WAVAMIA NA KUMUUWA MLINZI WA ASKARI J.K.U SHELI YA MAFUTA TUNGUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 7 місяців тому +2

    Mwenyenzi mungu tuondoshee mabalaa haya yanayoendelea kutokea katika kisiwa chetu hapa tupofika siku tu tulichotegemea kabisa

  • @mohammednyemaga4793
    @mohammednyemaga4793 7 місяців тому +1

    Serikal jitaidini kuwa makini haiwezekani tunapoteza nguvu kazi kwa mambo ya kipuuzi kama haya milioni 10 inatoa uhai wa mtu kweli,SIO poa,Nina Imani kwa uwezo wa mwenyezi mungu hakuna kinacho shindikan,
    MWENYEZI MUNGU AKUWEKE MAHARA PEMA PEPONI.ASIKARI WETU

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 7 місяців тому +1

    Hio ndio Zanzibar ni njema atakae aje hapo ndio tulipofikia hamna tena Amani poleni sana wafiwa Allah amsameh makosa yake

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 7 місяців тому +1

    Milioni kumi wanatoa roho ya mtu daah ukatili ulioje

  • @sumenokisupai8171
    @sumenokisupai8171 6 місяців тому

    Jamani ndugu zanguni mungu siyo asumani
    Sasa mbona hawo hawana kabila kama siyo ubaguzi ambayo ipo kwa wamasai nini sasa 😡😡

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 7 місяців тому +1

    mbona kama ni mchongo,mmoja auliwe mwengine ajeruhiwe tena wana silaha ya moto

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 7 місяців тому

    Tatizo nyinyi wakuu wapolisi nyote mnatokea bara nahao waporaji ni ndugu zrnu wanatokea hukohuko kwahio uhalifu zanzibar utaendelea mana weye arps hata ukisema utembee chochoro za zanzibar hamzijui ndomana uhalifu unazidi

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 7 місяців тому +1

    Hiyo inayofanya uhalifu mitwana kutoka bara zanzibar

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 7 місяців тому

      Musiseme. Km watu. Wa bara hamuezi jua. Mm mzanzazibar ila sipendi ubaguzi kwetu ss na hata wao

  • @sumenokisupai8171
    @sumenokisupai8171 6 місяців тому

    Tajeni kabila acheni ubaguzi 😡😡😡

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 7 місяців тому +1

    Ni watu wasiojulikana nadhani ni wale aliompiga shamte sasa hawana pesa wanaingia kwenye bweta za sheli mnawajuaepolisi msitudanganyey

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 7 місяців тому

    Wabongo wanaingia visiwani awa

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 7 місяців тому

    Safety box zipo simple sana nadhani haya yameshatokea palipobakia tumuombeeni sana Dua ndugu yetu,na tuzidi kuchukua tahadhari juu ya matukio kama haya.

  • @user-gn8ls8ji5x
    @user-gn8ls8ji5x 7 місяців тому

    Huyu ana zungumzanini mbona anazalilisha askari wa serekali ya mapinduzi ana waita walinzi anasemanini askar ana waita walinzi wakampuni

  • @marrowog8975
    @marrowog8975 7 місяців тому +2

    Serekali mnasababisha kuuwawa kwa askari tanzania .. sera zenu za matumiz ya silaha ni ngumu

    • @marrowog8975
      @marrowog8975 7 місяців тому +1

      Imefikia raia wanachezachezq na majeshi yetu

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 7 місяців тому

      ​@@marrowog8975 yaani. Kuna mengi ya kujiuliza

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 7 місяців тому

    Hi I huyo alio jeruhiwa kwakupigwa mateke ingia akilini.?. Mchungu zeni vizuri.

  • @user-gn8ls8ji5x
    @user-gn8ls8ji5x 7 місяців тому

    Mimi nawalaumu askari inaonesha hamna ulizi katika maeneo hayo au doria

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 7 місяців тому

    Nyinyi police mnajiona,,,,hao ni askari sio walinzi acha kudogesha vyombo vyetu vya ulinzi

  • @emakulatamapunda2182
    @emakulatamapunda2182 6 місяців тому

    Maisha ni magumu watu wanamichongo saivi

  • @mohammednyemaga4793
    @mohammednyemaga4793 7 місяців тому

    Haiwezekan Yani haiingii akilin kabsa Sheri ilipo na kituo cha polisi kilipo na mahakama ilipo ni pua na mdomo Ina maana asikari waliokuwepo pale mahakamani hawakuona tukio

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 7 місяців тому

    Haiwezekani mwingine auwawe mwingine apigwe mateke hapana huyo mmoja wamateke ni mmoja nahao waharifu waliotekeleza mauwaji

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 7 місяців тому

    Tujazieni tu hao wabara wenzenu waje kutumaliza maana mlouwa 64 na kila uchaguzi hawajatosha masikini zanzibar yatima inozulumiwa na watawala makaburu tanganyika

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l 7 місяців тому

    Inalillah wainaillah rajighuun😢😢😢

  • @mohamedhilali9756
    @mohamedhilali9756 7 місяців тому

    Innallilah wainna illah rajjiun

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l 7 місяців тому

    Ila mmewaona kwenye cctv camera hembo njoon na tarifa kamili ctaki hizi

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 7 місяців тому

    Kwa habari za mawio Mimi ni bin Nyange media

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 7 місяців тому +1

    Kwa iyo kamanda huuamini ulinzi wa JKU? Wamiliki wa vituo vya mafuta waimarishe ulinzi vipi unavyoshauri ww wakati teyari wamekodi JKU kulinda vituo vyao? Na mbona unaiita kampuni? Wakati hicho ni kikisi cha ulinzi cha serikali

    • @kylesmeight4837
      @kylesmeight4837 7 місяців тому

      Kuna wale wakala wa ulinz JKU ambao sio waajiriwa

    • @thabitdeco1575
      @thabitdeco1575 7 місяців тому

      Kwa hyo jamaa alikuwa si JKU au mbona wamempa Silaha ? Kisha hao hao jamaa alovamia kwel walikuwa na mapanga au na wao walikuwa na silaha z moto?

    • @kylesmeight4837
      @kylesmeight4837 7 місяців тому

      @@thabitdeco1575 kwa taarfa iliotoka walsem wamewavizia

    • @kylesmeight4837
      @kylesmeight4837 7 місяців тому

      @@thabitdeco1575 cjui kwnn wanpew silaha ila wanakuw wameptia mafunzo ya kujenga taifa

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 7 місяців тому

    Sawari langu nikwamba je hao majambazi wamejuwaje kama hapo ela zinalala?napalikuwa hamna wauza mafuta nikimaanisha wafanyakazi wà sheri kusema labda walikuwa bado wapo wanauza mafuta na ela zipo

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 7 місяців тому

    Hahaha, inachekesha sana!! Watu Wana risasi za moto eti wamevamiwa na silaha za jadi Tena wamepokonywa silaha zao za moto!! Kumbe munatamba ikifika kipindi cha uchaguzi tu!! Wapumbavu wakubwa nyie

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 7 місяців тому +1

    Zanzibar haijawahi kuwepo na matokeo kama haya ya ajabu kwanini isirejeshwe passport Zanzibar

    • @mohammednyemaga4793
      @mohammednyemaga4793 7 місяців тому

      Ndugu passport SIO suruhisho,ila tu suruhisho la matukio kama haya ni vyombo vyetu vya ulinzi na usalaama,Kuna JWTZ, POLICE,JKU,KMKM,KVZ ,ZIMAMOTO PAMOJA NA MAFUNZO VIKOSI VYOTE HIVI VINGEKUWA NA USHILIKIANO WA PATROL KILA SEHEMU MATUKIO KAMA HAYA YASINGETOKEA ZANZIBAR NI NDOGO SANA RAIA MA VYOMBO VYA USALAMA INAWEZEKANA KUZUIA MAYUKIO KAMA HAYA.

    • @VuaiMuhidini
      @VuaiMuhidini 7 місяців тому

      Hakuna njia nyengine ispokua hyo sababu watu wa ajabu ajabu wapo wengi kisiwani

  • @user-sw5kz8ep3e
    @user-sw5kz8ep3e 7 місяців тому +1

    Yaan watu wenye silaha za jadi wamewavamia watu wenye silaha za moto😂😂 si la kuchek lakn Tuna mafunzo ya kuwaongeza askar wet

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 7 місяців тому

      Yaani najiuliza sipati jawabu au walilala

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 7 місяців тому

      Watu kumi wakikiwahiii , silaha yakooo sio chcht

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 7 місяців тому

      @@mwanaidimussa mbn camanda anasema walikuwa 3

    • @abuujihad8411
      @abuujihad8411 7 місяців тому

      sina la kucheka hao jamaa wakija wanakuja wengi wala sio uzembe

    • @user-sw5kz8ep3e
      @user-sw5kz8ep3e 7 місяців тому

      @@mwanaidimussa 10 wametokea wap watu wamesemw ni watatu tu mean askar wap wawil na silaha alafu wahalifu wa3 na silah za jad

  • @saidrashid5972
    @saidrashid5972 7 місяців тому

    Mtu ameshafariki na kuumizwa halafu wananchi wasiwe na shaka vp?

  • @HABIBUJUMAALI
    @HABIBUJUMAALI 7 місяців тому

    acheni ujinga uwoo hii ni ajali hata kama wangelilinda na bomu la nyuklia wakati wa kufa ukifika utakufa tu. na huyu kamanda vp? jeshi analiita kampuni yaani hawa jamaa wajiona vibaya sanaa.

  • @user-gn8ls8ji5x
    @user-gn8ls8ji5x 7 місяців тому

    Mlinzi anakamata bunduki

  • @user-xu7fu9iw9w
    @user-xu7fu9iw9w 7 місяців тому

    Badilisha kauli jku si kampun ni kikosi Cha smz

  • @KassimOmar-o3d
    @KassimOmar-o3d 7 місяців тому +1

    Hao silaha zao hazifanyi kazi mpaka kipindi cha uchaguzi tu

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 7 місяців тому

    Dah mtihani Amani ipo kweli ?

  • @user-vd6hw3no9l
    @user-vd6hw3no9l 7 місяців тому

    Poln jmn😢

  • @Ibraah-Artisan
    @Ibraah-Artisan 7 місяців тому

    Poleni Sana 😂

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 7 місяців тому +1

    Ndo faida ya muungano hiyo!

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 7 місяців тому

    Innalillahi wainnalillah rajiun

  • @aishahamad7923
    @aishahamad7923 7 місяців тому

    Dah😢