MAMA FOUNDER: AKIRI SAFARI HAKUAMINI KAMA IPO/BABA WA FAMILIA AMEENDA NI PENGO KUBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @bakarimnyubi2650
    @bakarimnyubi2650 Рік тому +8

    Usijali mama Jikaze mwanao ndio ameenda kupambania maisha na kutimiza ndoto zake. N kwa uwezo wa Mungu Founder atarudi na mazuri juu yko. Chazaidi kumuombea tu Founder Tz azidi kuwika ndani na hta nje ya Africa. May Allah shower you with more blessings and indeed all will be good aameen...🇰🇪🇧🇭🥰💐🥀🌷💝

  • @zachariahtomemba9070
    @zachariahtomemba9070 Рік тому +1

    Mungu linda kijana yako kaka Dogo Founder TZ na Familia yake linda mama mzazi na dadazake ,may God uplift and use brother Dogo Founder TZ kunawiri sana Dunia, its only time that will tell,Dogo Founder TZ is comparable to king David in the Bible as small as he is, with God all things are possible,Amen.

  • @amitiesecondaire1140
    @amitiesecondaire1140 Рік тому +1

    Familia nzima ya wakimbizi wa nyarugusu tunamuombea kijana wetu huko Aendako Mungu Akawe kiongozi wa kila hatua Atakayoipitia,, Pia ubarikiwe sana Mama yetu najua Mungu Alisikia Maombi yako na Atimae utaanza kuona Matunda ya uzao wa tumbo lako mama yangu.

  • @MaendaEca-pz7lq
    @MaendaEca-pz7lq Рік тому +3

    Usiwaze sana mama umesha zaha kiho cha jamiii yule ni dume atarudi

  • @bienvenukichambaomar5067
    @bienvenukichambaomar5067 Рік тому

    Wa Congomani wetu, 🇨🇩 wa bembe

  • @AmisaTunza
    @AmisaTunza Рік тому +2

    Usiwe na wasiwasi Najua mungu Nimlizi tosha naatatenda

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 Рік тому

    Mungu amuongoze

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Рік тому +1

    Muombe munqu mna duh

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 Рік тому

    Kwani baba yupo wapi?

    • @masifaentertainment
      @masifaentertainment  Рік тому

      Alifariki toka mwaka jana

    • @stellajoseph9334
      @stellajoseph9334 Рік тому

      @@masifaentertainment ooh! Maskini pole yake, mungu atamfanyia wepesi ktk kazi zake.

    • @niahussein5387
      @niahussein5387 Рік тому

      Baba alifariki

    • @zachariahtomemba9070
      @zachariahtomemba9070 Рік тому

      Stella Joseph,ujue Babake Dogo Founder TZ hayuko as aliaga dunia Kwa hivyo ni kijana analewa na mamake mzazi akiwa ni mjane.ulipo ombea Sana hii familia ya kina Founder TZ mungu aweze kuinua kijana kimuziki ili aweze kusaidia mamake mzazi na dadazake na nduguye mdogo.

    • @stellajoseph9334
      @stellajoseph9334 Рік тому

      @@zachariahtomemba9070 Tunamuombea mungu amsaidie, mpaka Sasa nyota yake imeanza kunghaa ,atakua msanii mkubwa Sana, na tayaria ameanza kubadilika, kwa muda mfupi tu, tunaba mungu azidi kumuinua.