MZEE MAGOMA KWISHA HABARI | APEWA ADABU NA YANGA AFIKISHWA PABAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @AshphauShomary
    @AshphauShomary 2 місяці тому +1

    Brother nimekuelewa sanaaaaa kombe jipya linaitwa magoma cup kweli nimekubali😂😂😂😂😂😂😂😂😂bro pewa maua yakoo😅😅

  • @prince783
    @prince783 2 місяці тому

    Yanga hiinweek trend no 1 africa

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 2 місяці тому +4

    Hapo unakosea unasema tuwaachie Simba kombe msimu/mwaka huu.
    Tafadhali sisi tuna mpango wa kuchukua ubingwa miaka kumi.

  • @ramamakelo3780
    @ramamakelo3780 2 місяці тому +6

    Salute

  • @thomasantapa8353
    @thomasantapa8353 2 місяці тому +1

    Good point

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 2 місяці тому +4

    Huyo asiwatishe na uchawi mkamate mlete kilabuni atoe hiyo katiba yake.

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 2 місяці тому +1

    Uko smart sn🎉🎉🎉🎉🎉

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 місяці тому +1

    Sijui osca ana tetea nn sikiliza pande zote 2 halafu simamia pointi za msingi mtu hadi kafoji hadi sahihi ya mama karume si mchezo

  • @DavisMmole
    @DavisMmole 2 місяці тому +2

    Jamaa kaongea point sana

  • @ShukuruGerald-tc3ys
    @ShukuruGerald-tc3ys 2 місяці тому

    Nimekuelew sana kk ila hao makolo iyo tar 8 watasema tu

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 місяці тому +1

    Msameheni magoma, huyo amejaa moyoni na mambo ya zamani/ujima abadirike.

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 2 місяці тому +1

    APEWE MAUA YAKE MAGOMA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂BUNDI KAHAMIA JANGWANI

  • @wazirimagayuka9681
    @wazirimagayuka9681 2 місяці тому +1

    Atuachie Yanga yetu. Akapige magoma yake huko

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 2 місяці тому +1

    Achinjwe mangoma

  • @habibukassam9702
    @habibukassam9702 2 місяці тому +3

    Magoma kavimbiwa makande ya kuomba mkundu wake uliooza

  • @hamzarobert2372
    @hamzarobert2372 2 місяці тому +1

    Atuachie yanga yetu

  • @albertbaraka5194
    @albertbaraka5194 2 місяці тому

    Case iyi sio big deal ila vyombo vya habari ndo wanafanya ionekane kama big deal kwa ku ongeya na mzee Magoma. Anataka ku trend tu

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 2 місяці тому +1

    Afugiwe kabisa uyo chawa

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 2 місяці тому +3

    😂😂😂

  • @JumaHiza-mq7ch
    @JumaHiza-mq7ch 2 місяці тому +3

    Simba wamepata kombe la juma magoma

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 місяці тому

    Mimi namsapoti magoma

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 місяці тому

    Ongea kwa hoja sio kwa matusi

  • @mariammbapira645
    @mariammbapira645 2 місяці тому +1

    Mbona huyo katiba Rita haitanbuliki inatambulika ya magoma

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 2 місяці тому

    Magoma kapata like ngapi,kumbe huwa anaroga !!!!😂😂😂😂😂

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 місяці тому +1

    Hakuna kumsamehe mara ya 3 analeta kesi kesi zake

  • @annambele789
    @annambele789 2 місяці тому

    Waandishi hawataki kufuatilia vitu kwa kina na wenyewe wamekuwa magoma kitakita.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 місяці тому +1

    Awe na heshima kwa magoma? Mzee? Yule hafai kuheshimika hata kidogo Kamshauri aache mambo ya kuteka timu, hayo ni ya kale.

  • @mariammbapira645
    @mariammbapira645 2 місяці тому +1

    Yanga Africa mpo ni ngapi huna jipya

  • @albertbaraka5194
    @albertbaraka5194 2 місяці тому

    Yatapita yana mwisho

  • @HadijaKiwambu
    @HadijaKiwambu 2 місяці тому +1

    Magoma nyau Kama nyau wengine tu

  • @Eliacharless-f3z
    @Eliacharless-f3z 2 місяці тому +1

    Ila magoma hatumwa salama tutamnyosha

  • @mr.jperembo8140
    @mr.jperembo8140 2 місяці тому

    Muulizeni magoma kwan yanga inatatizo gani lauongozi lililo pelekea ashtaki uongozi wa Yanga me nadhani timu ingekuwa inapoteza mafanikio

  • @mr.jperembo8140
    @mr.jperembo8140 2 місяці тому

    Tumeongea point tupu

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl 2 місяці тому +1

    Huyo. Muacheni. Atafute. Kick. Tu. Na. Wewe. Mwandishi. Unaongea. Nini? Ulitaka. Engineer. Aongee. Nini. Na. Huyo. Chizi? Hivi. Wewe. Unaoga. Kapita. Chizi. Kapita. Na. Nguo. Zako. Halafu. Unamukimbiza. Uchi. Kati. Yenu. Nani. Ataonekana. Chizi? Naomba. Jibu.

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 2 місяці тому +5

    KIMSINGI WAMETUSAIDIA, YANGA UKITUKASIRISHE NI SASA NA KUMCHOKOZA BLACK BAMBA SIMBA ATACHAPWA BILA HURUMA, KAMA MBWA KOKO.

  • @IddiSaaly
    @IddiSaaly 2 місяці тому

    Alie Shiba maharage ni wewe usie jua mpra lkn mwenzio yuko sahihi bwege wewe

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 2 місяці тому +2

    Wewe ndo umeshba maharage,uwe na heshma na wazee

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 місяці тому +4

      Sio kila mzee anastahili heshima! Utahesimiwa pale tu utakapojiheshimu ! RESPECT IS EARNED NOT BOUGHT!

    • @ellywachas
      @ellywachas 2 місяці тому +2

      Yani sisi tuheshimu fala mmoja kama yule hatuna muda huo kabisa ukijitoa akilini sisi ndo yanga tunakurudisha kwenye msitar

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 2 місяці тому +1

      We unamuheshimu Mzee kilomoni 😅muheshimu huyo kwanza huyu magoma ni kolokwinyo kama nyie siyo yanga kadi zake zumekufa sawa na kadi ya kiliniki tu kadi huliipii we mwehu sawa na pasport ikiwa imeisha muda huwezi kusafiria kingine sawa na leseni kama hujarinyuu we huruhusiwi kuendesha usiringie kadi we siyo mwanachama bila kulipia Ada ya mwaka

    • @OS-pf6op
      @OS-pf6op 2 місяці тому

      Huyu naye kiroba mwingine, atakuwa kolo nini?

    • @sadiqadam7971
      @sadiqadam7971 2 місяці тому

      Kwamba haujui kuwa ata wahuni na wendawazimu wanazeeka? 😂

  • @sirajally8356
    @sirajally8356 2 місяці тому

    dogo koma simba namagoma wap na wapi acha ujinga saw?

    • @sirajally8356
      @sirajally8356 2 місяці тому

      acha uchawa dogo musilamu mzima unakua mnaaa acha unafkii

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 місяці тому

    Ona domooooo

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 місяці тому

    Wewe nar peleka uko ndevu zako mfuui