MKOBA WA BIBI ep 4

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 188

  • @philipolugoma3796
    @philipolugoma3796 2 місяці тому +38

    Huyu mke wa mwenyekiti hakika ana jicho taamu sana kiukweli ani Amazingi mno kama unakubaliana nami gonga like za kutosha kwenye comment

    • @mudricksniper9495
      @mudricksniper9495 2 місяці тому +3

      Umalaya tu kuoga Aaaaaaaaa😂😂

    • @queenyqadoty
      @queenyqadoty Місяць тому +1

      Umalaya tu😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @anniesylivester4100
      @anniesylivester4100 Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂​@@mudricksniper9495

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Місяць тому

      UTAJIRI HUU JAMANI: AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE, WALIFARIKI MIAKA MINGI MORO
      ua-cam.com/video/bXl3lufZu_Q/v-deo.html
      AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE DAR ES SALAAM, WALISHAFARIKI MIAKA MINGI MKOANI MOROGORO NA WAKAZIKWA NA HUWA WANAKWENDA KUPALILIA MAKABURI YAO KILA MWAKA NA KUWASOMEA DUA.
      KAKA YAKE ANA PESA NYINGI SANA NA MAGARI YA KIFAHARI KAMA VOGUE SPORT, TOYOTA LAND CRUISER, V8 2.4L 326HP - KING OF SUV NK.
      USISAHAU KUSUBCRIBE NA KUSHARE TUKIO HILI KWA WATU WOTE ILI WAJIFUNZE KUMTEGEMEA MUNGU PEKEE SI MWANADAMU. SHARE, LIKE, COMMENT
      Maoni na ushauri wasiliana na chumba chetu cha Habar kwa simu no 0713 575718 ipo WhatsApp

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ Місяць тому

      😂😂😂😂na lipsi zake ajab zime nona sana😂😂😂😂

  • @murtazaseleman6793
    @murtazaseleman6793 2 місяці тому +12

    Mke wa mwenyekiti anajcho zur sana Masha Allah

  • @lucyjuma-nl2ko
    @lucyjuma-nl2ko 2 місяці тому +12

    Abbygael we ni kiboko kweli chukua mauwa yako..... 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @PhinarBotea-ed3xm
    @PhinarBotea-ed3xm 2 місяці тому +5

    Bi mgombaaa abigael kweny uchawii unatishaaa❤❤❤❤

  • @MudySule
    @MudySule 2 місяці тому +6

    Mwanzo huu mchezo niliuon mbaya ila saiv uko vizuri.shid ni dakika tu kidogo sana

  • @CheeGwavara
    @CheeGwavara Місяць тому +7

    Nilikua sijawai kumuona chili akiwa siliaz kwamiaka yote alikua kama comedy tuu Lakni clam kweli anawapa watu nafas kazi mzuri sana Kwa chili kurujutanta mantetereeee

  • @Soniajamal-pu4wz
    @Soniajamal-pu4wz 2 місяці тому +10

    Napenda uyo mdada wa mabutu anajuwa kulia uyo 😅😅😅

  • @highlightboy255
    @highlightboy255 2 місяці тому +9

    ACHAAAA KURUKUNTA MANTENTELEEEE😂😂😂

  • @EgidelogieIrishura-xc1ot
    @EgidelogieIrishura-xc1ot 2 місяці тому +11

    Uuuuuuuuhx ! Wacha kurukutu mantetere yani nanje ndababaye🇧🇮🇧🇮🇧🇮nipe like zangu kama unampenda vira

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 2 місяці тому +4

    Naomba uipost hio nyimbo ya binadamu wabaya... Nmeipenda sana❤

  • @SaidiNgomwa-f4l
    @SaidiNgomwa-f4l Місяць тому +3

    We mke wa mwinyi we nakupenda bure we dada unajuwa kulia sn mungu akibaliki kipaji chako🙏🇲🇿🇲🇿

    • @SarahLekinado
      @SarahLekinado Місяць тому +2

      Kumbe na wewe umeona ee anajua sana kulia na ni sekta ngumu sana lakini ameiweza haswaaaa❤mauwa yake ❤🎉🎉

  • @AnnaSoka
    @AnnaSoka Місяць тому +8

    We abigaili utakuwa mchawi kwel maan sio pw😂😂😂

    • @LoolKing-z5z
      @LoolKing-z5z Місяць тому

      Umeonaaeeeeh 😅😅😅😅😅

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 Місяць тому +4

    Ama kweli si marafiki wote w kuwaamini,abigael pole sana😢

  • @JumaMzongi
    @JumaMzongi Місяць тому +1

    Uyu bibi migomba n best actors wallh mungu amjalie mfnikio yke mbeleni💞

  • @KagomaMoses
    @KagomaMoses 2 місяці тому +8

    Mimi naendelea kusifia mpangilio wa matukio , mmetisha saana wakubwa

  • @AllyUmuganwa
    @AllyUmuganwa 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri Sana kabisa kapela Burundi wanakukubali Sana wewe na we zako na uyo mwenye aliongea kirundi tuna mupenda Sana ❤❤❤❤

  • @MussaBustotant-dd8ty
    @MussaBustotant-dd8ty 2 місяці тому +5

    Yani birababaje cane love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nawapenda

  • @saidmahundi545
    @saidmahundi545 2 місяці тому +5

    Nyimbo zako nzuri sana na zinatia majozi😅

  • @ramsomussa2760
    @ramsomussa2760 2 місяці тому +4

    Kaka unajua paka unakera my brother 🎉

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 2 місяці тому +4

    Kz nzr jmni...mambo ni moto

  • @H-GROUP
    @H-GROUP 2 місяці тому +12

    nafasi ya abigael ni ngum sana ila ina uhalisia kwenye maisha yetu

  • @TzSweetheart
    @TzSweetheart Місяць тому +4

    Huy Abigael na sura yke ilivyo Kam mchaw kwel

  • @Awoshy
    @Awoshy Місяць тому +2

    Kinachinishangaza marehemu kafanana sana na yule mzee😂😂😂sasa si ndugu jamani

  • @ShabaniHamis-z3y
    @ShabaniHamis-z3y 2 місяці тому +5

    Kaz nzur sana ongela sana mzeee

  • @HussainAbdallaAli
    @HussainAbdallaAli 2 місяці тому +7

    Leo ni nimekuwa wa kwanza😊

  • @nestorkingjohnqueen8265
    @nestorkingjohnqueen8265 Місяць тому +1

    Wawoo umeongea kibrundi nimefurahia snaaa Na Niko kenya nawafatria snaa

  • @MariamHarunah
    @MariamHarunah 2 місяці тому +1

    bonge la tamthilia👏👏🔥🔥❤️❤️

  • @JonathanChacha-tj9hj
    @JonathanChacha-tj9hj 2 місяці тому +3

    Kwa nini mmemuuu mganga chiliii binadamu wabaya.😢

  • @mathewmlala6290
    @mathewmlala6290 2 місяці тому +8

    Bibi migomba unaweza kusema ukweli ni mganga kumbe ni tamithilia

  • @AbubakharyMiduma
    @AbubakharyMiduma 2 місяці тому +8

    Kazi nzuri hongera kiongozi

  • @MasauShida
    @MasauShida 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri sana Mr. Chilly🇹🇿

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 2 місяці тому +8

    Kazi nzuri sana

  • @abuumaisara4254
    @abuumaisara4254 2 місяці тому +7

    Hiyo nyimbo yanikumbusha mbali kweli yani

  • @Josephramadhan-d2y
    @Josephramadhan-d2y Місяць тому

    ha Kika mke wa mwenyekiti ni kifaa mno❤❤❤

  • @noellairakoze1944
    @noellairakoze1944 Місяць тому +2

    Walioyo sikia ca kwetu Burundi tujuane.......Birababaje cane😂😂

  • @bingobilaly7808
    @bingobilaly7808 2 місяці тому +2

    Show love from kenye🇰🇪🇰🇪 kazi poa

  • @JohnKipalile-bq9ec
    @JohnKipalile-bq9ec 2 місяці тому +4

    Hii move kali sana aise🙌

  • @jeanbosconibigira4637
    @jeanbosconibigira4637 2 місяці тому +5

    Nawakubali hadi kirundi munasem🇨🇦🇧🇮

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 2 місяці тому +1

    Hongeleni sana ❤❤ kazi nzr

  • @abubakarswaleh5667
    @abubakarswaleh5667 2 місяці тому +1

    Tamthilia bomba sana aiseee

  • @Katuni862
    @Katuni862 Місяць тому +1

    😂😂😂😂sjui nacheka nni

  • @AliAli-w9x6d
    @AliAli-w9x6d 2 місяці тому +1

    ❤❤wow nimependa sana ...

  • @jordanissamunena1702
    @jordanissamunena1702 Місяць тому +4

    Nikimuona muhina najisikiavizuri namkubali saaaana

  • @ramadhaniilali6114
    @ramadhaniilali6114 2 місяці тому +6

    Mwenye mku unaceza kama messi 🎉

  • @bilombelekilozodieudonne123
    @bilombelekilozodieudonne123 2 місяці тому +7

    *kama umezielewa izi nyimbo za chill gonga like 😂😂*

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri sana🎉🎉

  • @HawaaYaa
    @HawaaYaa 2 місяці тому +2

    Ila abigaeli ww simtu mzuri wallah

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 Місяць тому +3

    Mzuri sanaaaa

  • @abubakaliyahaya2968
    @abubakaliyahaya2968 Місяць тому +1

    Abigael mchaw kweli😂😂😂

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 2 місяці тому +2

    Naaam hii kali mwinyimkuu

  • @issamtolwa
    @issamtolwa 2 місяці тому +11

    hv chill xo mganga keelii mbn hizo nyimb kam za waganga kwelii

    • @YusraWaziri-t3w
      @YusraWaziri-t3w 2 місяці тому

      Kam si mganga uyu bas jilan yak mganga

    • @Awoshy
      @Awoshy Місяць тому

      @@issamtolwa aliwahi kusema familia yao inafanya hizo mila kifupi ni mganga kweli huyo😂

    • @KusuManyota-hk8fw
      @KusuManyota-hk8fw Місяць тому

      😮😮😮​@@Awoshy

    • @dizzomontana7219
      @dizzomontana7219 Місяць тому

      Una onekana inaenda sana kwa waganga wewe😂

    • @alfredtebeka2497
      @alfredtebeka2497 Місяць тому

      Inaonekana wew na waganga ni Pete na kidole😢😢,, acha hizo tabiya bro utakuja ufinywe na wachawi wa imaya hiii😂😂😂

  • @hamisiomary6286
    @hamisiomary6286 2 місяці тому +5

    Kazi ni nzuri sana

  • @abelmusungu8573
    @abelmusungu8573 Місяць тому +1

    Mbona washirikina wameshinda jamani,,, hapo ndo mmekosea nyinyi

  • @SeifSwedy-g3w
    @SeifSwedy-g3w Місяць тому

    Kaz nzur xan jamn

  • @SaumuSaumu-w5l
    @SaumuSaumu-w5l 5 годин тому

    Duh mganga ameniuma sana 😂

  • @IshakaSilima
    @IshakaSilima 2 місяці тому +4

    Musichelewe kurushia vipande vyengine kaz nzur

  • @mussamohd4414
    @mussamohd4414 2 місяці тому +2

    Huyu chili anasoma kwa waganga ndy anapatia nyimbo za majin ya kingindo

  • @stym12345
    @stym12345 2 місяці тому +2

    Tudondosheee mzigo Kila baada ya siku mbili

  • @PatrickMalulu
    @PatrickMalulu 2 місяці тому +1

    Mmh mbna ipo Bomba hiiii

  • @MwanashaSuleimanTabwara
    @MwanashaSuleimanTabwara 2 місяці тому +7

    Uzembe wako umeua mmeo

  • @Credokiwaga01
    @Credokiwaga01 2 місяці тому +2

    Kwani ngoswe ndo Nini?

  • @lsacklsack
    @lsacklsack Місяць тому +1

    Kaz iendelee❤❤❤

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t Місяць тому

    Abigael nimurembo dada adi bc ❤❤❤

  • @KagoseNjume
    @KagoseNjume Місяць тому

    Duuu itamthilia ni hatari sana

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 2 місяці тому +2

    Usiicheleweshe kuitoa

  • @victormpeta8114
    @victormpeta8114 2 місяці тому +5

    Kazi nzuri

  • @Erastopk
    @Erastopk 2 місяці тому +1

    Big up ,,kaz inaeleweka

  • @SelaKadide
    @SelaKadide 2 місяці тому +1

    Editor kuwa makini kiasi kwasababu tunafaa kungojea episode 5 na sio 3 but kazi tunaipenda sana

  • @lizyjustin5153
    @lizyjustin5153 Місяць тому +2

    Yaan kama namuona vile bi migomba atakavyo aibika

  • @allymtalika9839
    @allymtalika9839 Місяць тому

    pamoja na uzur wa hii series...ila background music inanivutia sana

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 2 місяці тому +2

    Nani ameona shuka ikitingika? 😅 kazi nzuri 👍👍

  • @SophiaNdayishimiye
    @SophiaNdayishimiye Місяць тому +1

    Huo wimbo unaniliza mimi jamani😢

  • @Sazamhlone
    @Sazamhlone Місяць тому

    Weee mwinyiiii 😂😂😂😂😂😂

  • @JamaliAmour-jp9dd
    @JamaliAmour-jp9dd 2 місяці тому +2

    kulu kutanta maniteteleee

  • @NicholausMziray
    @NicholausMziray Місяць тому +1

    Mke wa mwinyimkuu anajua kuomboleza

  • @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
    @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m 2 місяці тому +1

    Jamani mimi mpaka Sasa sielewi. Natamani watupie episóde 5 Sasa Hivi Ili nione itakavyo kuwa.

  • @MbiziLuvukastore
    @MbiziLuvukastore 2 місяці тому +1

    Mwenewachu ndakumbhonye😅😅😅

  • @DaudFataki
    @DaudFataki Місяць тому +1

    Mmpo vizuli lakin nashauli jitahidin kubadilisha mazingira japo yanavutia ila jalibun kwenda zenji au mbeya ikibidi na congo nikisoma koment naona kenya congo mnawashsbiki wengi kwaiyo inawapasa kutanuawigo wa sanaazenu

  • @NOVATISIYAME-iz9qw
    @NOVATISIYAME-iz9qw 2 місяці тому +6

    Mnachelewasha sana kazi

  • @JeyderNgendanyi
    @JeyderNgendanyi 2 місяці тому +1

    Meme ndo namba 5,677 kwakwel nimewahi😂😂😂😂😂😂

  • @cizadavid1653
    @cizadavid1653 Місяць тому

    Birababaj can gos vrmt 😅😅😅

  • @GeorgePayowela
    @GeorgePayowela 2 місяці тому +1

    Duuh huyu dada analia hadi so pw duuh

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 2 місяці тому +1

    Hua nawahi ila nakuta kumejaa😢

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 2 місяці тому +4

    Wamwisho nipen like zangu

  • @MshihiriKorosha
    @MshihiriKorosha 2 місяці тому +1

    Good job

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 2 місяці тому +2

    Good job 👏

  • @Paulomchinje
    @Paulomchinje Місяць тому

    Unaweza kaka chili

  • @SalmashafiiSalmashafii
    @SalmashafiiSalmashafii 2 місяці тому +2

    Musi ichelewesh bac

  • @FatmaTaharamohd
    @FatmaTaharamohd 2 місяці тому +2

    DAkika kidogo mbn

  • @wigon127
    @wigon127 2 місяці тому +2

    Umtima wange ulabyabayaye chaneee

  • @ArunaMavugo
    @ArunaMavugo 2 місяці тому +1

    Chil nakukubalisana toka mwizi wakuku

  • @EarlShirey-t4u
    @EarlShirey-t4u 2 місяці тому +1

    Ernser Underpass

  • @oluwaburundi698
    @oluwaburundi698 2 місяці тому +1

    Birababaje Cyane ❤

  • @yasintakasunzu6265
    @yasintakasunzu6265 Місяць тому

    Hizi sasa ndio zirushwe azam

  • @Yamungurama
    @Yamungurama 2 місяці тому +3

    Wakwanza Leo

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 2 місяці тому +1

    shukran mkuu na team nzima

  • @HamisZaidun
    @HamisZaidun 2 місяці тому +2

    Icho kijinyimbo kinatia huxuni xn

  • @luswagamasasi605
    @luswagamasasi605 2 місяці тому +2

    #Chili mwana wa sosi, kumbe syo kuigiza tu.hata kuimba pia n mbaya namna hii.. naona hz Vocal unafanya zimetulia haswa...

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 Місяць тому +1

    Tuongezee dakika

  • @philipomwakalunde1623
    @philipomwakalunde1623 2 місяці тому +2

    Wa Kwanza Leo