Mashaallah swali mtu yuwakesha kazini je vp yafaa kuswali tahajjud alfu swala ngani waweza swali ucku ukipinduka ya kuazia saa sta kama bdo huja lla thafadi shekh
Assalamu Alaykum warahhmatullahi wabarakat je mtu akaswali witri baada ya swala inshaallah nikaswali rakaa 11 je nikiamka kuswali tahjudi naweza kuiswali witri aw haifai??
tafuta muda katika huo wakati wa kazi kisha swali rakaambili za kiamu laili kisha toa salam kisha utaswali witri rakaa moja.jambo hili halizidi dakika 5 katika usiku mzima wenye masaa 12. shukran.
Sheikh Izzudin alwy wallahi umekunywa ilmu Masha Allah...Allah akuhfadhi ilkuwa sijui wallahi,Allah atupe khusnul khaatima.
Wanipunga sana ustadh, Allah azid kukubariq 🤲
Shukran sheikh
Allah akuzidishie umri
Mashaallah swali mtu yuwakesha kazini je vp yafaa kuswali tahajjud alfu swala ngani waweza swali ucku ukipinduka ya kuazia saa sta kama bdo huja lla thafadi shekh
Jazakallahu khayra Allah bless you
Mashaallah shehe umenifundisha Sana Allah akuzidishie
Shukran sheikh wang jazakalah khairan
Izzaddin_ALLAH_akuhifadhi_jamani_Na_soma_Mengi_kutoka_kwako_Allah_akulipe
Asante Shekhe mwenyezi mungu akubarik
Ma Shaa Allah sheikh wetu uko vizuri.. Jazakhallahu khair
MashaAllah jazakAllah kheri
Mashallah
Shukran shekh nimejifunza kitu kikubwa leo
shukran sana sheikh mungu akueke
Shukran JazakaAllahu kheir
shukran Jazakum Laah khair
🙏🙏🙏🙏
ASALAAM ALAYKUM WARAHMATUH LLAH WABARAKATUH Unaweza kusali sala nyengine baada ya witri
Shukran shekh
Allah Barik
Sheikh je yafaa kumaliza swala ya isha halafu ukwaswali rakaa moja tu ya witr, bila kuswali tahajud wala qiyamu llaili?
Assalamu Alaykum warahhmatullahi wabarakat je mtu akaswali witri baada ya swala inshaallah nikaswali rakaa 11 je nikiamka kuswali tahjudi naweza kuiswali witri aw haifai??
Shukran sana shekh, Swali je kueka alarm kwa sababu ya kuamka usiku uswali yafaa?
shukran shekh allah akuhifadhi
mayan tv kaswida
Mashaallah Shukran sana Sheikh kwa masomo mungu akweke inshaallah
Jamani kwa sisi tulio saudia atulali mpaka alfjri so tahajud aziswii jamani shekh Alhmdulillah kwa kujua aki
Shukran wanaka llahu khayraa
Shukran sheikh
MashaAllah jazzakh Allahu
Look pp
Manchallah, shukran
Shukran sheikh kwa mawaidha mazuri
Sasa kama wafanyakazi wa naofanyakazi saudia kulala ni saatano na kuendelea inakuaje hapa Sasa Assalamualaikum
شكران
Shukran
shukran sana
Ahsnt sana Allah akupe afya bora umenifudisha Sana mm nilikua nakosea Allah anisamehe
Nina swali shekhe kwa mfano ukiswali isha alafu usilale mpaka saa saba Kisha waeza swali swala ya tahajud
Sharti ya Tahajjud ni lazima ulale usingiz alafu uamke ndipo uswali Tahajjud.
Na jee kama wafanya kazi usiku usiku mzima hulali je hufai kuswali tahajjud?
tafuta muda katika huo wakati wa kazi kisha swali rakaambili za kiamu laili kisha toa salam kisha utaswali witri rakaa moja.jambo hili halizidi dakika 5 katika usiku mzima wenye masaa 12. shukran.
Cjakufahamu hasaaaa
Shukran