SAKATA LA UTEKAJI NCHINI LAFIKA BUNGENI MAJALIWA AFUNGUKA HAYA ''VYOMBO VYA DORA VISIHUSISHWE''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 128

  • @NAFTALIMUNDANGA
    @NAFTALIMUNDANGA 15 днів тому +15

    Watu wa Mbeya tunaomba msifanye makosa tena kutuletea mtu mbinafsi kama huyu mama.

    • @reginas1832
      @reginas1832 15 днів тому +3

      Ukweli ni kwamba wabunge wote kuanzia spika hawajaweka na wananchi. Ndiyo maana wanakiburi.

  • @sindaslyvester1007
    @sindaslyvester1007 15 днів тому +13

    Tulia acha dharau MUNGU anakuona

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 15 днів тому +8

    Huyu Tulia sijui anaelewa kama wananchi wanajua hali ilivyo kuliko yeye anavyotegemea kusikia kwa polisi

  • @mussamuna900
    @mussamuna900 15 днів тому +8

    Ntashangaa sana huyu spika wakimrudisha tena bungeni

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up 15 днів тому +9

    Umeulizwa wewe au kaulizwa waziri mkuu?!!!!!! We vipi? Unamwakilisha mwana nchi gani wewe!!!!!!! Roho mbaya kama hiyo sura

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 15 днів тому +1

      Guilty as charged mtu mwovu anajitetea kwy swali ambalo halimuhusu

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 15 днів тому +8

    Mimi niko mbeya ila uyu dada Mungu amsaidie kwaiyo ata yule ambae alichoma picha ya rais katekwa na mganga

  • @user-lu8ny2gu7t
    @user-lu8ny2gu7t 15 днів тому +7

    Taarifa gani mnataka mpewe wakati mnaambiwa watu wanatekwa huyo spika anaongea kwa dharau na hasira utasema anaongea na mazombi

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 15 днів тому +7

    Wewe dada huna sifa ya kuwa spika umejaa upendeleo kwa maccm yako watanzania wanakuchukia vilivyo kwa namna unavyoonyesha umejaa upendeleo

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 15 днів тому +3

    Mbeya najua hakuna mbumbumbu tunaomba huyu Tulia tusimuine humu Bungeni tuleteeni mtu mwenye uchungu na wananchi.

  • @salama1113
    @salama1113 15 днів тому +6

    Kumbuka cheo dhamana 😢😢😢

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 15 днів тому +6

    Waziri mkuu toa maelekezo na karipio kwa jeshi la police pia unapaswa kumwambia IGP awajibike kwa kushindwa kuwalinda watanzania huku kila mwezi wanaliowa mishahara kwa kodi zetu

    • @MakameAbdallah-wn3hc
      @MakameAbdallah-wn3hc 15 днів тому

      Ulinzi unaanzia kwako binafsi ikiwa unajua bibi babu mama baba au jirani yako mshirikina anafanya dhambi yakuulisha watu kwa nini hutoi taarifa kwa vyombo vya usalama kwani IGP anapiga ramli au ana darubini ni lazima apatiwe taarifa ajue pa kuanzia kazi yake.
      Mkikaa kimya mnaficha waovu matokeo yake ndio hayo.

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 15 днів тому +3

    Mungu uliyemkuu,mfalme wa mbingu na Ardhi ,hakimu mkuu usiyesinzia wala kulala,tupe utulivu wa nafsi ,tujaze subra .Ameen

  • @JoshuaKamusiara
    @JoshuaKamusiara 15 днів тому +2

    Kweli Tulia ni hadui kweli kweli wamechoka na kazi kweli CCM wizi tu hakuna lolote

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 15 днів тому +5

    Kwa hatusikii wana ccm hawapotei wala hawatekwi kila kukicha wanaopotea ni wana cdm tu

  • @richardhoseni2643
    @richardhoseni2643 15 днів тому +3

    Ukistaajabu ya musa utaona ya Firaun sikutegemea kusikia majibu kama haya kutoka kwa mwanamkeee mwenye uchungu anayebeba mimba mie Tisa na kwa maelezo haya ya spika kama kuna watu, watu wenye mpango wa kuendelea kujiweka hiki chama madarakani itakua hatujielewi. Dawa ya msiba ni kuzika hawa kwa maneno haya wameshapoteza uhalali wa kutusimia na kutuongoza wakapumzike hicho kiburi ni cha hali juu

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu 15 днів тому +2

    Nasikia hasira

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 15 днів тому +2

    Mungu ni mwaminifu, ipo siku shilingi itageuka,,

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 15 днів тому +4

    Acha wahusika wajibu maswali jukumu la jeshi la police linao wajibu kulinda raia na mali zao

  • @musasimbeye7829
    @musasimbeye7829 15 днів тому +2

    Kwa kauli hizi akinasoka biashara imeisha tusahau.Lakini Tulia ana Mama yake mzazi anastahili kutekwa Tena Yuko Tukuyu.

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 15 днів тому +3

    Duh,sijawahi kupiga kula lakini safari hii ntajaribu kupiga kwa kweli

    • @YoakimMsuha
      @YoakimMsuha 15 днів тому

      Utaniambia na mm tena naomba unikumbushe

  • @WilliamLusulo
    @WilliamLusulo 14 днів тому

    Mungu anajibu kwa wakati wake, ipo siku

  • @SetephaJery
    @SetephaJery 15 днів тому +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿watu wana potea alafu wabunge wana piga makofi hiii nnchi hiii

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 15 днів тому +1

    Na kwanini ninyi bunge hamna miemko y kukemeaa hays yanayotkea ndani y nchi yetu au ninyi mnachukulia ni sawa maana tayari mnatolea mfno kwa mganga

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 15 днів тому +1

    Naomba selikali itwambie na itoe tamuko kwamba watanzania Sasa tusikubari kukamatwa na polisi kwani Atujui nani polisi nani mtekaji mbona la nganga wa singida limekua kama kakigezo mpaka tutaanza kukatiliaha shaka au tutaambiwa twende kwa waganga wa kienyeji kutafuta ndugu zetu uwenda wamezikwa na waganga nitaanza kushutukia hii njia

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley 15 днів тому +1

    Duh...kazi ipo

  • @user-ii2vm5vv1b
    @user-ii2vm5vv1b 14 днів тому

    Ooh Bwana Yesu tuokoe hatuna tutetee zaidi Yako.

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 15 днів тому +1

    Kwani anayetakiwa kujibu watu kupotea ni spika au ni nani? Mbona spika anachukua nafasi ya serikali?

  • @moizemusonda2552
    @moizemusonda2552 15 днів тому +2

    Mimi nilijua mtu akiwa na PHD au akawa na masters anakuwa ni mwenye akili, kumbe😢

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 15 днів тому

      angekuwa mwanaye katekwa angeongea lugha hiyo, kilio kikubwa ktk nchi

  • @btechie04
    @btechie04 14 днів тому +1

    Au basi wacha nikae kimyaa tuu, ila haya mambo yana mwisho wake

  • @BARAKAJOSEPH-j4u
    @BARAKAJOSEPH-j4u 15 днів тому +1

    Mbona spika unang'ang'ania kwa mganga tu
    Mheshimiwa ameilizia kwa kugusa pote gusa vyombo vya dola

  • @SomweMateso
    @SomweMateso 15 днів тому +1

    Spika watanzania hatakiw kujibu hoja kama hz kaonyesha zalau kubwa kwa bunge pia kwa watanzania

  • @user-zg1lx6du6p
    @user-zg1lx6du6p 12 днів тому

    Uwiiiii tanzania nchi yangu😭😭😭

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 15 днів тому +1

    Aliyeshiba hajali mwenye njaa,yaani vitu viko wazi kila siku polisi wanakamata watu wanatoweka alafu mnajitoa akili,Stupid Government! Hivi nyinyi kina Tulia watoto wenu au yule Sativa angekua mdogoako ungeongea hivyo? Sijui mnayapigiaga kura ya nini majitu mabinafsi ,bure kabisa!Mxiiiiiiu

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 13 днів тому +1

    Kwanini umtangulizie majb waziri mkuu!!? Acha ajibu alie ulizwa hii sio poa

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 15 днів тому +2

    Hivyo akiongea na kule usoni utadhani anakamuliwa majipu.Eti tunawakilisha wananchi!ni wananchi gani mnaowawakilisha?Mpina tu ndie alikuwa mwakilishi wetu,sio nyie

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 15 днів тому

    Mmmmm duuu sawa mam mungu akubariki

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 15 днів тому +1

    Nilitaka niachie bonge laa tusi kwa spika , ila kwakuwa naye ashaungana na watawala ngoja ninyamaze tu😊

  • @user-to9yg2by5i
    @user-to9yg2by5i 14 днів тому

    Ama kweli Dunia Ina Mambo!!? Hata akina soka wamechukuliwa na mganga!!?

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 15 днів тому +3

    Acheni blaaa blaaaa!!!

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 15 днів тому +1

    Huyu spika anaishi nanani anaishi wapi

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 12 днів тому

    Mungu anatenda kw wakti wke acha inyeshe tu

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 15 днів тому +1

    Sasa km polisi wasiusushwe ni nani wa kulaumiwa wakati wao ndio usalama wa raia

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 9 днів тому

    CCM HATARI SANA

  • @athumanbalozi9748
    @athumanbalozi9748 14 днів тому

    Ikitawala chadema
    Watatekwa sana

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co 14 днів тому

    Kwa majibu haya sikutegemea kabisa wala wabunge kpiga makofi.

  • @AbdulMosh
    @AbdulMosh 14 днів тому

    mimi ni ccm lakini napenda kuuliza iweje iwe wa upinzani tu.hasa chadema.

  • @alinanusweedward2952
    @alinanusweedward2952 15 днів тому +1

    Tulia aksoni hakushinda uchaguzi Mbeya waliiba kura masanduku na Masunduku

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 13 днів тому

    Tuwe kama marekani!! jamani kila siku matembeleeeee lini nyama!?

  • @EdgarLema-g6f
    @EdgarLema-g6f 9 днів тому

    Ukisema watu wamekutwa kwa mganga wamezkwa iyo n tofauti kabixa DC longido kasema wanapeleka watu kwenye mapori akamatwe ahojiwe sio rais samia anaishia kuwatengua 2 aitoshi akasema ccm 2020 walishinda kwa dhuluma

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e 14 днів тому

    Hili jini mnaloliita cjui sound bar hivi linaelewa tunavyofeel vibaya mbwa kabsa

  • @GjkKessy
    @GjkKessy 15 днів тому +1

    Unaweza ukawa msomi kumbe Bado mjinga

  • @mzeekidevu9688
    @mzeekidevu9688 13 днів тому

    Hivi hawa wanatekwa ni mbuzi au ni watu mmetukosea sana kwanza wenyewe nanyi ni marehemu watalajiwa sema tu hamujielewi

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 14 днів тому

    Huyu SPIKA ni mpuuzi KABISA hajali uhai WA binadamu

  • @ValentineFrisch
    @ValentineFrisch 15 днів тому

    Hivi huyu spika amezaliwa bungeni au mitaaani kama wengine ? Mungu wa mbinguni utashusha hukumu wewe unajua ukweli halisi utawafuta machozi hivi hawaoni tatizo la sativa na bado mnasema nchi ya amani

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 8 днів тому

    Swala la waziri sio la spika 😮

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 15 днів тому

    Wewe spika hao watu wakubwa wamepotea nawao wamepanda magari hivi mnaona watu niwajinga kiasihicho kweli gari zinachukua watu mchana kweupe ww unasema kiholela hivyo kwanini usiwe nahofu hujui wazazi wanaumia

  • @user-ec7us6vf6w
    @user-ec7us6vf6w 12 днів тому

    Sawa lakin na ninyi wakuu mnakufa yuko wp MAGU?? Majaliwa/ Tulia kumbukeni nanyiny ni Maity Watarajiw saw jizimeni Data

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 14 днів тому

    Wewe dada mbona hupendi Serikali ikikosolewa kwani mali ya ukoo wenu hili ni Taifa letu sote wa Tanzania

  • @reginas1832
    @reginas1832 15 днів тому

    Nafikiri unamwakilisha mmeo na mtoto. Shame on you na vibaraka venu vyote kuanzia chura na team yote. Mungu akapigane nanyi

  • @PeterAlphonce-uh2mc
    @PeterAlphonce-uh2mc 14 днів тому

    Ipo siku Bible inasema jisaidie utasaidiwa Mungu pekee atachoka nafsi zinatumia za wananchi ok

  • @godlistenlema6259
    @godlistenlema6259 14 днів тому

    Na humo bungeni hamna wabunge wa chadema MUNGU anawaona ipo cku

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 8 днів тому

    Haki utaipata kwa mungu tu peke yake!

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 8 днів тому

    Selekali ndiyo chanzo nawengine wanafata wewe sipika hakuna niselekali hiyohaipo ninyie ccm msikali tabia mbaya kwendauko hakuna ulinzi tanzania mnatekawatu hatugani maneno tu

  • @ShaboNgereja
    @ShaboNgereja 9 днів тому

    Waojulikane wako wapi wakati wanapeleleza

  • @DanielNdahani-n6i
    @DanielNdahani-n6i 9 днів тому

    Kweli huna hakili ww

  • @KhamisBoss
    @KhamisBoss 15 днів тому

    Duh jaman hii nchi hatutoboi

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 14 днів тому

    Hili lispika ni liko mwezini kila siku?
    Na Huyu waziri mkuu picha, sura Kaa " upinde wa mvuA" ni mwanaume??

  • @manenoramadhan1432
    @manenoramadhan1432 15 днів тому

    Bunge la ccm oyeee 😂😂😂😂😂😂 daaaah et watu wanamihemuko hiv Kuna hata ndg yko kishatekwa na watu wasiojulikana km tayar utaona kua hpo hmn bunge

  • @Deo-mj1io
    @Deo-mj1io 10 днів тому

    Nyumba baba kwazia lin mama akaongoza

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 15 днів тому

    Hamna kitu hapo majaliwaaa unaongea tu km vile hamuoni yanaoyendelea

  • @FEBRONIAFABIANI
    @FEBRONIAFABIANI 14 днів тому

    Kama akiingia chini ya basi akidondoka c ataonekana? Kinacho tuuma kwauhakka kijana deo alichukulia, chakula nae alichukulia ss mnatuambiaj serikali?

  • @EvelynePaul-x9y
    @EvelynePaul-x9y 12 днів тому

    Jamani muogopeninamungu basi

  • @harunmruma2291
    @harunmruma2291 15 днів тому

    Kazi ya police ni usalama wa raia na mali zao

  • @JackKanyigo
    @JackKanyigo 12 днів тому

    Alafu kuna Nyumbu zilizopitishwa na mwendazake zinapiga makofi..Na hili ndilo lilikuwa lengo la mwandazake kuwa na bunge la kijinga kama hili

  • @barakamkekena488
    @barakamkekena488 13 днів тому

    Nikiongea mengi naogopa.yasije yakanikuta lkn scha tuongee tu

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 15 днів тому

    mwachien soka na wenzaka, nyie watekaji mnafanya maovu makubwa kwa nchi yetu, mnainajis nchi

  • @NisperLaurian
    @NisperLaurian 15 днів тому

    Viongonzi mnasahau uongozi ni nguo ya kuazima

  • @ValentineFrisch
    @ValentineFrisch 15 днів тому

    Huyu majaliwa ni yule wa magufuli au mwingine???????

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 15 днів тому

    We mama sijui unaongea nini hata

  • @holyspiritpropheticministr3687
    @holyspiritpropheticministr3687 14 днів тому

    Tunahitaji aujibikaji

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co 14 днів тому

    Hao wanao piga makofi, tunaomba pia muwe mnationyesha.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 15 днів тому

    Tulia kumbuka na wewe ni mzazi ulizaa je wakwako wakitekwa utasemaje.

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 14 днів тому

    Hiyo miwani haikutoshi

  • @stevenmilton2504
    @stevenmilton2504 14 днів тому

    Ndo spika wetu huyo

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 15 днів тому

    Ngoja siku wakuteke wewe ndio utajua.

  • @ObediiLaizar
    @ObediiLaizar 15 днів тому

    Wanaopiga meza na Wao hawajaelewa swali hatuna viongoz TZ MUNGU utulinde

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 13 днів тому

    Acha ujinga ww mama kiongozi ngan ww kuma ww

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 15 днів тому

    Kuhusu yule kiongozi wa chama tawala aliyesema Hawa tukiwapoteza polic msiwatafute.

  • @lugembesweya3288
    @lugembesweya3288 14 днів тому

    Mpaka wamuuwe mtoto wake ndo utaamka

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 15 днів тому

    NI DHAMBI WAACHIEN HARAKA

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 15 днів тому

    Leo ndo nimejua kumbe Hawa viongonzi lao Moja kutetea watekaji dah bc Tena hakuna kitu hapo uwiiii eeeee dah

  • @user-qm3dd9wb1v
    @user-qm3dd9wb1v 15 днів тому

    Khaa khaa jamani

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc 15 днів тому

    Mhusika wa utekaji ni yule anayefukia watu.
    Kamuulizeni yeye atakupeni jibu sahihi.
    Tamaa na uchu wa mali na madaraka ndivyo vinavyosibu watu.
    Mnakwenda kwa wagaganga na mkiambiwa kafara ipatikane roho ya mtu mnatekeleza amri za kishetani za waganga wenu
    halafu mnatupia lawama jeshi la polisi halifanyi kazi.
    Ili tu akiwa salama tuache hivyo vitu.

  • @holyspiritpropheticministr3687
    @holyspiritpropheticministr3687 14 днів тому

    A country with no accountability

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 15 днів тому

    mlitakiwa muwakamte, na mseme makosa yao, kama mmeshindwa kufanya hivyo hawana hatia waachieni

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 15 днів тому

    MAJALIWA NILITAKA NOKUCHIKULIE FORM 2030 NISHAGHAIRI

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 15 днів тому

    spika tulia hutendi haki angekuwa mwanao katekwa kwel ungeongea hivyo unavyoongea sasa, kwa nafas yko unatakiwa usaide wananchi

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 15 днів тому

    Nyinyiwatuwambeya kamaunauzarendo msimchanguetena huyu atawamariza watuwanatekwa watotowanaibiwa

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 15 днів тому

    Tunakoenda kubaya ila twende tu kwa kuwa safari tulishaianza

  • @manenoramadhan1432
    @manenoramadhan1432 15 днів тому

    Hamna spika hp