This is great. I just started studying Kiswahili a few days ago and I love it. Hearing another African American speak Kiswahili is just the motivation I need.
Habari gani? Hello! I am a Swahili native teacher from Dar es salaam, i teach via Skype at a reasonable price,if you are interested with learning contact me through WhatsApp, +255757714834
great work brother even me I'm learning foreigners languages different from English I also learn Chinese and Dutch I'm Tanzanian Swahili is my mother tongue so other language I just learned
Ms. Black Expat wow!! that's good I'm a native speaker from Tanzania we can do exchange with English because I'm not good in English since Swahili is my native language and my mother tongue
I just started swahili and this was the video that inspired me to learn. This is my second month since I've started learning. I always come back to this video when I get discouraged so thank you for being an inspiration 😊.
Hongera kaka! I didn't know the Swahili word for 'experience' and I'm Kenyan! You could fool me for a Tanzanian or a Kenyan from Mombasa and I'd believe it. Hongera!
I loved the way you said "lugha" like how it should be I was amazed. Wow man congrats way to go!!! PS: I'd mistake you for someone from Eastern Congo (DRC) or West Tanzania with that accent lol.
Brother I need your help am learning Wolof language but the Internet does not teach how to pronounce and other resources what I learn was few phrases in Wolof I want to improve .
Wow! I'm doing the same thing with Portuguese. I want to learn Swahili. Learning Romance culture and East African culture will make you very well-rounded. Impressive!
I'm aboutt to say that i'm really impress not just because of your swahili skill but it's pretty amazing to see african-amercican intersting about african language and i swear you did so good!
Tafadhali ndugu zangu wote tunaozungumza Kiswahili hasa tuliotoka nchi za Afrika Mashariki tutahadhari tunapotoa taarifa kwa kuvunja sheria za lugha tusiwakanganye wenzetu wanaojifunza lugha hii.Asante.
I can say this without any fear Swahili and Arabic got a very huge difference. I have lived with Arabs and am a Kenyan .so you better trust I know what am saying .very few words in swahili mean the same as those in arabic and remember the way they pronounce then is so different. ...now let me hear people say Swahili was made out of Arabic then what was Bantu community made out of...sitaki ubishi mimi
Sarah Wairimu Joe nita bishana nawewe.. It might not seem same on surface level.. But on the kihumu gia ciugo icio.. Ni nyinge ni CIA ki arabu... But you can never notice them because of sentence structure and mordernity of today's world
yah Swahili doesn't come from Arabic it is from Bantu but some little words are from other language as a common thing to any language to take some words from other language even English there are words from Swahili so it kind of that
Njeri Sarah Wairimu ... hapana kama ww muislam na umesoma madrassa ndio unatujua kama lugha ya kiswahili kuna baadhi ya maneno yanayokana na kiarabu.. haitaki ubishi wala usitake kushindana .. basi- baas.. karimu- kareem.. shukrani- shukran.. yako na baadhi ya maneno
Shukrani. Na pongezi sana kwa bifii yako katika kujifunza KISWAHILI. Utafaidika zaidi ukisoma Translation ya Quran kwa Kiswahili ya mfasiri Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy
wow....unaongea kiswahili kizuri sana...Kama ukitaka kujua zaidi karibu sana Tanzania itakusaidia sana ....mimi ni Mtanzania ila ninaishi s.korea.....keep practicing you're doing great
WOW man you are damn good I'm from South Africa and understand Swahili a bit.I wana here you speaking on South African language like Zulu or Sotho.I want to learn more languages please send me a message I would like to get in touch with you and more info on how to learn other languages.
Vipi ulifanikiwa kutembelea East Africa (Tanzania) ? Kama bado ni lini utatembelea, ingekua vzr km ungechukua videos kwny hii tour yko km wanavyofanya Vlogers wengi ambao wanaipenda sana Afrika......Karibu sana!
Leah Edward, natoka Tanzania east Africa, nawapongeza wazungu wote mnaojua kuongea kiswahili.na muelewe kuwa lugha ya mwenzio siku zote sio rahisi.Mimi natamani pia kujua kuongea kiingereza naona kigumu simchezo.
Hongera ndugu! If I was in Washington I'd definitely be up for joining you. Good luck with it anyway. Also, the subtitles need cleaning up whenever you have time! Salama
Shukurani mingi sana Sankara. Kiswahili chako imeshinda ya watu wengi sana kutoka Afrika Mashariki. Endelea na bidii hiyo. Keep it up. In in the DC metro area
Good morning, am from Trinidad & Tobago. I just started learning Kiswahili, it's nice to know someone in the Diaspora has interest in learning the language. I want to speak as fluently as you one day.
I'm jealous (jk). Beautifully spoken Nubian King. I'm inspired to learn and am literally waiting for my book to be delivered on coming Monday. Hopefully, by the time the Easy Visa and the Right to Abode is approved and the motherland (hopefully) does designate Kiswahili as the official language, I'll be as fluent as you. You're an inspiration. Thank you for sharing your video.
Njoo Tanzania Yaani Tanganyika na Zanzibar Ndiyo unaweza pata mafunzo mazuri ya kuongea kiswahili Kenya wanaongea kiswahili ambacho hakieleweki vizuri hawajui kutumia vizur maneno ya kiswahili hili hivyo utajifunza kiswahili chenye makosa kama utaenda Kenya Mwisho wa yote Karibu Tanzania upate mafunzo mazuri ya kiswahili naamini utafarijika.
Mombasa tunaongea kiswahili kizuri labda nairobi ndio wanabwabwaja na nyinyi watanzania jifundisheni kutumia maneno sio kwenye(angalia mukaeka angaria juweni Kuna tofauti ya ya L na R...
Sio kwamba hatujui kutumia maneno vizuri, it's because we really don't need kiswahili so much in Kenya, ndio maana twapenda kutumia (sheng). Na nyinyi wa tz, mnafaa mjue tofauti ya L na R, ndio mseme kiswahili yenyu ni safi😎
@@nassirmsauzi6818 Mm n mtanzania lkn nakubali Mombasa wanazungumza KSW kizuri hakina tofauti sana na cha TZ ila tu nkwavile ni wachache tofuti na TZ lkn yote ya nn 'wakati tunajenga nyumba moja sasa kwanini tugombanie fito?' Binafsi huwa nafarijika sana Kuona Kenya na TZ tunavyojitahidi kukuza KWS hii c ndiyo tunayo taka kufikia malengo ya kufanya KSW kiwe Lugha ya Kutuunganisha Bara zima la AFRIKA.,,.!!!!
That's an interesting observation, because when African Americans repatriated to Liberia and Sierra Leone, they were called "Congo" by the native African.
Daaaah, Bro ukieandelea na juhudi hii utafika mbali sana kwenye lugha ya kiswahili, karibu sana kwenye ulimwengu wa kuongea lugha Mama. Natokea Tanzania ila ni mzao wa Zambia.
UhuruSasa85. Mambo, mimi naongea kiswahili sanifu na ninakaa maryland nimetokea tanzania niko hapa kwa muda mrefu sasa, ukiwa na maswali usisite kuuliza. uwe na siku njema.
very few words sound Arabic n second their pronouncing is so different from Swahili. visit Kenya and Tanzania..trust me when I say this coz I live in an Arab country
Kiswahili chako kizuri sana 👍👍 unanyambua vitenzi hata kuliko waswahili wenyewe 😂😂 hongera sana Mr. Sankara. Watafute ndugu zako kutoka Kenya watakufunza Sheng. WaKenya wakiwa shuleni wanafunzwa Kiswahili sanifu lakini wanapokuwa nje kwenye mitaa wanazungumza Sheng which you can say is pidgin swahili or slang
Wow! Hongera ndugu. Wewe ni hatari. Kuwa na ufasaha wa Kiswahili kiasi hicho ili hali hujasungukwa na Waswahili ni ajabu kabisa. Una akili ya juu kabisa. Sasa tembea Afrika mara nyingi hasa Afrika Mashariki. Mungu akubariki kaka
Safi sana kaka. Umeongea kama mwenyeji wa kibongo kabisa kaka yangu. Mimi hufundisha kiswahili pia. Niliishi Virginia kwa mwaka mmoja, lakini nikarudi tena California. Bado nakifundisha Kiswahili hapa Bay Area. Ningependa sana kuwasiliana na wewe kaka yangu. Umenitia moyo na kunifurahisha sana. Karibu sana nyumbani Tanzania Myamwezi wetu.
This is great Swahili but there is one thing other than your accent that is very not like Swahili. The umms. I actually recommend learning how people in other languages have pauses and also the filler words because the filler words make you sound like a native. For instance, the French use en fait a lot. As a Swahili speaker, eish, eh and ati are things I didn’t even realize I was doing until a friend asked me what ati is.
Hongera sana unaongea vizuri sana. Ninatoka Tanzania na ninakaa Milwaukee kwa sasa, Mungu na aibariki juhudi yako na uweze kujua Kiswahili kwa ufasaha. Uwe tu na uhakika kwani naona kama hujiamini ni kama una wasiwasi kidogo lakini amini kuwa unafanya kazi nzuri sana sana. Nakupa hongera tena na naomba ujiamini maana unaongea vizuri sana sana :) :) :)
Habari kaka. Mimi ni mkenya na ninaongea kiswahili sanifu. Wakati utaposafiri hapa nchini and kule Tanzania; unaweza niambia hapa mtandaoni kisha tunaweza patana na tuonge moja mbili. Au sivyo?
This is great. I just started studying Kiswahili a few days ago and I love it. Hearing another African American speak Kiswahili is just the motivation I need.
Nakutakia mafanikio ndungu.
Barikiwa sana.
Japokua tumetenganishwa tunawapenda sana. ❤❤
I'm a native speaker of Swahili from Tanzania I can say your Swahili is good you also know how to make it structure perfect
awesome.. i am also trying to learn Swahili... ninatoka Mexico.. ninapenda Kiswahili :) blessings
Priscila Hernandez karibu tanzania 🇹🇿
Priscila Hernandez karibu kenya na Tanzania
asante sana
Habari gani? Hello! I am a Swahili native teacher from Dar es salaam, i teach via Skype at a reasonable price,if you are interested with learning contact me through WhatsApp, +255757714834
I do teach on line. I live in the Bay Area. Jonas.Ilole@gmail.com
Damnnnnnnnnn!!!!!! This is outstanding. I'm still learning my numbers and introduction. Great job my brother.
I can help you. Naweza kukusaidia sana. jonas.ilole@gmail.com
great work brother even me I'm learning foreigners languages different from English I also learn Chinese and Dutch I'm Tanzanian Swahili is my mother tongue so other language I just learned
This is great! I'm taking a Swahili class now.
Ms. Black Expat wow!! that's good I'm a native speaker from Tanzania we can do exchange with English because I'm not good in English since Swahili is my native language and my mother tongue
i am from Tanzania. i can teach you if you want.
@@dorisonesmo8814 muongo! kila mwana afrika mashariki ana kabila lake wala kiswahili sio lugha ya mama kwa mtu yeyóte!
Safi sana
I just started swahili and this was the video that inspired me to learn. This is my second month since I've started learning. I always come back to this video when I get discouraged so thank you for being an inspiration 😊.
Im Tanzanian,im here for you Ican teach jast a fundamental of it.
Damn! The brother is hot. This is great for all our Africans in the diaspora to learn KiSwahili. I will also start learning.
Your Kiswahili is great your pronunciation is perfect. Umejitahidi sana hongera sana.
Wow! Congratulations to you! Your flow is good👏🏽👏🏽👏🏽! Watching from Kenya, East Africa
Hongera kaka! I didn't know the Swahili word for 'experience' and I'm Kenyan! You could fool me for a Tanzanian or a Kenyan from Mombasa and I'd believe it. Hongera!
Experience is, uzoefu bro. Am a Kenyan too who loves Swahili
Tonight is my first day on my Swahili speaking journey
I loved the way you said "lugha" like how it should be I was amazed. Wow man congrats way to go!!!
PS: I'd mistake you for someone from Eastern Congo (DRC) or West Tanzania with that accent lol.
your swahili is flawless! i'm impressed. good job!
Congratulations guy!!! Umeweza kabisa....mimi naongea burundian swahili
as a native speaker i really find your fluency to be on point. keep up the good effort
Asante ndugu! Bado kuna mengi ya kujifunza lakini ninashukuru hata hivyo.
UhuruSasa85 pole pole ndio mwendo, utafika.
una asili ya Angola kaka? naona bendera ya Angola ni picha yako humu. Natumai naweza pata mtu wa kunifunza kireno
Brother I need your help am learning Wolof language but the Internet does not teach how to pronounce and other resources what I learn was few phrases in Wolof I want to improve .
Wow!
I'm doing the same thing with Portuguese. I want to learn Swahili. Learning Romance culture and East African culture will make you very well-rounded. Impressive!
You sounded good. I live in TZ Im in the peace corp and I understood everything you said!
Wow 👏🏾👏🏾👏🏾 amazing sentence structure. And your pronunciation is good to
I'm aboutt to say that i'm really impress not just because of your swahili skill but it's pretty amazing to see african-amercican intersting about african language and i swear you did so good!
Tafadhali ndugu zangu wote tunaozungumza Kiswahili hasa tuliotoka nchi za Afrika Mashariki tutahadhari tunapotoa taarifa kwa kuvunja sheria za lugha tusiwakanganye wenzetu wanaojifunza lugha hii.Asante.
Umenena sawia, ninakuunga mkono.
Amazing! He speaks Swahili very fluently and Clearly.
Kazi nzuri sana.Hongera!Mimi nimetoka katika nchi mojawapo ya Africa Mashariki na kwa sasa naishi Kansas.Nimefurahishwa sana na unavyoongea Kiswahili.
I can say this without any fear Swahili and Arabic got a very huge difference. I have lived with Arabs and am a Kenyan .so you better trust I know what am saying .very few words in swahili mean the same as those in arabic and remember the way they pronounce then is so different. ...now let me hear people say Swahili was made out of Arabic then what was Bantu community made out of...sitaki ubishi mimi
Sarah Wairimu Joe nita bishana nawewe.. It might not seem same on surface level.. But on the kihumu gia ciugo icio.. Ni nyinge ni CIA ki arabu... But you can never notice them because of sentence structure and mordernity of today's world
Oman right?
yah Swahili doesn't come from Arabic it is from Bantu but some little words are from other language as a common thing to any language to take some words from other language even English there are words from Swahili so it kind of that
Njeri Sarah Wairimu ... hapana kama ww muislam na umesoma madrassa ndio unatujua kama lugha ya kiswahili kuna baadhi ya maneno yanayokana na kiarabu.. haitaki ubishi wala usitake kushindana .. basi- baas.. karimu- kareem.. shukrani- shukran.. yako na baadhi ya maneno
Swahili syntax is bantu, its vocabulary on government and structure is mostly Arabic in origin.
Hongera sana kwa kufanikisha kujifunza. Kwa kweli unajieleza vizuri sana.
Shukrani. Na pongezi sana kwa bifii yako katika kujifunza KISWAHILI. Utafaidika zaidi ukisoma Translation ya Quran kwa Kiswahili ya mfasiri Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy
This is very encouraging to know that African Americans are learning to speak & write the Swahili language.
Umejitahidi sana kaka. Karibu Afrika Mashariki - Tanzania, Kenya, Zanzibar, Rwanda, Uganda, Komoro, Shelisheli, Msumbiji
wow....unaongea kiswahili kizuri sana...Kama ukitaka kujua zaidi karibu sana Tanzania itakusaidia sana ....mimi ni Mtanzania ila ninaishi s.korea.....keep practicing you're doing great
Wow bruh you've inspired me. You just revived my hope of learning my first language. Thanks
WOW man you are damn good I'm from South Africa and understand Swahili a bit.I wana here you speaking on South African language like Zulu or Sotho.I want to learn more languages please send me a message I would like to get in touch with you and more info on how to learn other languages.
Vipi ulifanikiwa kutembelea East Africa (Tanzania) ?
Kama bado ni lini utatembelea, ingekua vzr km ungechukua videos kwny hii tour yko km wanavyofanya Vlogers wengi ambao wanaipenda sana Afrika......Karibu sana!
Hongera kwa jitihada zako brother! Tunakukaribisha Tanzania hadi visiwani huku Unguja na Pemba.
Leah Edward, natoka Tanzania east Africa, nawapongeza wazungu wote mnaojua kuongea kiswahili.na muelewe kuwa lugha ya mwenzio siku zote sio rahisi.Mimi natamani pia kujua kuongea kiingereza naona kigumu simchezo.
hongera sana unaongea kiswahili kizuri sana. karibu Tanzania
bro am so proud of you, you speak my native language.“damn“ come to Miami I'll teach you more.
Hongera ndugu! If I was in Washington I'd definitely be up for joining you. Good luck with it anyway. Also, the subtitles need cleaning up whenever you have time! Salama
Your intonation is perfect, excellent work !!
Shukurani mingi sana Sankara. Kiswahili chako imeshinda ya watu wengi sana kutoka Afrika Mashariki. Endelea na bidii hiyo.
Keep it up. In in the DC metro area
Unaongea vizuri sana kaka. Keep it up!🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊👊
Good morning, am from Trinidad & Tobago. I just started learning Kiswahili, it's nice to know someone in the Diaspora has interest in learning the language. I want to speak as fluently as you one day.
Asante sana!
@@UhuruSasa85 karibu. Thanks for your response.
Hongera sana. Kiswahili chako ni kizuri sana na kinaeleweka vizuri tu. Karibu sana Tanzania pamoja na nchi zingine za Afrika Mashariki.
Hongera sana kaka,karibu Tanzania, Kenya,Uganda,Burundi,Rwanda na Afrika kwaujumla
I'm jealous (jk). Beautifully spoken Nubian King. I'm inspired to learn and am literally waiting for my book to be delivered on coming Monday. Hopefully, by the time the Easy Visa and the Right to Abode is approved and the motherland (hopefully) does designate Kiswahili as the official language, I'll be as fluent as you. You're an inspiration. Thank you for sharing your video.
Mwanangu uko vizuri katika kuongea kiswahili, kaza buti utafika mbali sana.
well done for learning our language w e love kiswahili
Njoo Tanzania Yaani Tanganyika na Zanzibar Ndiyo unaweza pata mafunzo mazuri ya kuongea kiswahili Kenya wanaongea kiswahili ambacho hakieleweki vizuri hawajui kutumia vizur maneno ya kiswahili hili hivyo utajifunza kiswahili chenye makosa kama utaenda Kenya Mwisho wa yote Karibu Tanzania upate mafunzo mazuri ya kiswahili naamini utafarijika.
chief Martin wacha upuzi
Hata pwani ya Kenya pia hawajuwi Kiswahili vizuri?
Mombasa tunaongea kiswahili kizuri labda nairobi ndio wanabwabwaja na nyinyi watanzania jifundisheni kutumia maneno sio kwenye(angalia mukaeka angaria juweni Kuna tofauti ya ya L na R...
Sio kwamba hatujui kutumia maneno vizuri, it's because we really don't need kiswahili so much in Kenya, ndio maana twapenda kutumia (sheng). Na nyinyi wa tz, mnafaa mjue tofauti ya L na R, ndio mseme kiswahili yenyu ni safi😎
@@nassirmsauzi6818 Mm n mtanzania lkn nakubali Mombasa wanazungumza KSW kizuri hakina tofauti sana na cha TZ ila tu nkwavile ni wachache tofuti na TZ lkn yote ya nn 'wakati tunajenga nyumba moja sasa kwanini tugombanie fito?' Binafsi huwa nafarijika sana Kuona Kenya na TZ tunavyojitahidi kukuza KWS hii c ndiyo tunayo taka kufikia malengo ya kufanya KSW kiwe Lugha ya Kutuunganisha Bara zima la AFRIKA.,,.!!!!
Hey man congratulation speak gud Swahili bro u got Congolese accent lol
Exactly!!😅
no that is Tanzanian accent just because he is a leaner thus why he might be a little different but it is Tanzanian accent lol
Alice Macharia 🤣🤣🤣🤣🤣
That's an interesting observation, because when African Americans repatriated to Liberia and Sierra Leone, they were called "Congo" by the native African.
@@dorisonesmo8814 true
well done....umejaribu sana and keep up the spirit. Asante sana
John Patrick Asante!
Hongera Sana Karibu Tanzania 🇹🇿
Umeongea kiswahili sanifu. Ahsante sana.
Vipi mkaka,, niko Arusha-tanzania. Hongera sana ,, uko fiti!!! Karibu pande hizi.
Daaaah, Bro ukieandelea na juhudi hii utafika mbali sana kwenye lugha ya kiswahili, karibu sana kwenye ulimwengu wa kuongea lugha Mama. Natokea Tanzania ila ni mzao wa Zambia.
well done! Tanzanian accent! Watching from Kenya
Your swahili is so fluent,you sound like a kenyan swahili radio presenter
hongera kaka. Karibu sana Afrika Mashariki
Hongera. very impressive.
Hongera kwako kaka! Kiswahili kitukuzwe!!!
Umeshajua tayari safi sana
Hi, do you offer any classes online for people wanting to learn this language.
Hongera sana kaka.. unaongea kiswahili kizuri
congulatulations make sure umeenda kenya pia utapenda||| can teach more
Nakubali bro lakini utafikiri watoa taarifa ya habari 😄😁😆😀 lakini ukopoa Sana nakubali sana
Hongera una ongea kam mbongo kiswhili chako kizuri karibu Tz
hongera kaka,uko juu kabisa
Wow,congrats.so proud of you!
Poa sana, lugha ya kiswahili imejulikana sana siku hizi!! Bravo !! Kiswahili kitukuzwe.
Hongera unaongea vizuri saaana.
hongera kaka. congratulations brother
I love the crossover between Swahili and Arabic. I got a few key words because they're basically the same in both languages ^_^
+Brianna Taylor I agree, makes me wanna study Arabic!
UhuruSasa85. Mambo, mimi naongea kiswahili sanifu na ninakaa maryland nimetokea tanzania niko hapa kwa muda mrefu sasa, ukiwa na maswali usisite kuuliza. uwe na siku njema.
Asante sana! Wapi Maryland? Ningependa sana kuongea nawe.
swahili sounds for me a little bit like arabic
im from Albania and swahili sounds very sweet in my ears
very few words sound Arabic n second their pronouncing is so different from Swahili. visit Kenya and Tanzania..trust me when I say this coz I live in an Arab country
Your fluency 😍 im teaching myself to speak Swahili. im basically a beginner tho
Hongera 👏👏👏
Anazungumza vizuri sana. KARIBU SANA TANZANIA
Am native speaker toka Tanzania. Tunaweza kuwasiliana kwa njia ya mtandao (internet)
Unaongea vizuri.....hongera
Kiswahili chako kizuri sana 👍👍 unanyambua vitenzi hata kuliko waswahili wenyewe 😂😂 hongera sana Mr. Sankara. Watafute ndugu zako kutoka Kenya watakufunza Sheng. WaKenya wakiwa shuleni wanafunzwa Kiswahili sanifu lakini wanapokuwa nje kwenye mitaa wanazungumza Sheng which you can say is pidgin swahili or slang
Umeua ...you killed it just like you am trying to learn swahili
Wow! Hongera ndugu. Wewe ni hatari. Kuwa na ufasaha wa Kiswahili kiasi hicho ili hali hujasungukwa na Waswahili ni ajabu kabisa. Una akili ya juu kabisa. Sasa tembea Afrika mara nyingi hasa Afrika Mashariki.
Mungu akubariki kaka
Umejitahidi Sana miezi mitatu utakua ushaweza vizur kwa sababu upo vizur sana
Napenda kiswahili chako sana. Siamini wewe ni mwamerika na unazungumza kiswahili nzuri hivyo. Congrats.
Kiswahili chako kizuri sana! Keep it up! Love from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Karibu Afrika Mashariki karibu Tanzania ujionee maajabu ya lugha hii adhimu.Safi sana nakusubiri kwa hamu nikufundishe Kiswahili
kiswahili Chako kizuri. Karibu Africa Mashariki. Umefaulu kwa kweli.
Waoooo nimeipenda sana kujua kiswahili inapendeza
Kiswahili chako kizuri sana Mungu akujalie.
Safii sana hongera umejtahidi
Wewe unahitaji kurudi barani Afrika, Kiswahili fusuli sana kongole. 👍🏿👍🏿👍🏿
Safi sana kaka. Umeongea kama mwenyeji wa kibongo kabisa kaka yangu. Mimi hufundisha kiswahili pia. Niliishi Virginia kwa mwaka mmoja, lakini nikarudi tena California. Bado
nakifundisha Kiswahili hapa Bay Area. Ningependa sana kuwasiliana na wewe kaka yangu. Umenitia moyo na kunifurahisha sana. Karibu sana nyumbani Tanzania Myamwezi wetu.
This is great Swahili but there is one thing other than your accent that is very not like Swahili. The umms. I actually recommend learning how people in other languages have pauses and also the filler words because the filler words make you sound like a native. For instance, the French use en fait a lot. As a Swahili speaker, eish, eh and ati are things I didn’t even realize I was doing until a friend asked me what ati is.
Sure but because he is a learner,he has to worry out about that.
Lol
nzuri sana unaweza kuzungumza vizuri sana I like that
Hongera sana unaongea vizuri sana. Ninatoka Tanzania na ninakaa Milwaukee kwa sasa, Mungu na aibariki juhudi yako na uweze kujua Kiswahili kwa ufasaha. Uwe tu na uhakika kwani naona kama hujiamini ni kama una wasiwasi kidogo lakini amini kuwa unafanya kazi nzuri sana sana. Nakupa hongera tena na naomba ujiamini maana unaongea vizuri sana sana :) :) :)
Nimeongea na mwanamke mtanzinia na amenifundisha kiswahili. Nataka kuona ufu ya ngeli lakini ila hii napenda kiswahili sana.
sankara kaka hongera sana kiswahili chako kizuri sana
Asante kwa kujua kiswahili lugha ya Afrika nzima
Hongera sana kaka
Kaka unajitahidi sana kuongea Kiswahili. Endelea kujifunza, na karibu sana Bongo!
kwanza hongera sana. Kiswahili yako iko poa sana. Sankara(Upright Man), Huko maryland kuna embassy ya kenya, wapigie simu
Sankara anaongea kiswahili kizuri zaidi,wakenya hamjui kiswahili
umejitahidi mno
mimi natojea tanzania kilikozariwa kiswahili karibu tuzungumze
Maashaallah umewezasana kuzungumza kiswahili