TATESA EP05 - KILIMO CHA PILIPILI HOHO (Capscum Farming)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 3 роки тому +1

    Asante

    • @tatesa
      @tatesa  3 роки тому

      Karibu kumbuka kusubscribe

  • @marykessy7042
    @marykessy7042 4 роки тому

    Mbegu boraa inaitwajee

  • @halfanhassan9318
    @halfanhassan9318 5 років тому +1

    Zinalimwa kwenye hali ya hewa ipi

  • @eliasbenjaminmk3210
    @eliasbenjaminmk3210 4 роки тому +1

    Asanteni sana kwa ushauri

  • @rizikimwasandube7072
    @rizikimwasandube7072 4 роки тому +1

    Asant

    • @tatesa
      @tatesa  4 роки тому

      Endelea Kufuatilia Vipindi vyetu

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 4 роки тому

    Udongo unawezaje kutibiwa ili mnyauko uthibitiwe tafadhali?.

    • @tatesa
      @tatesa  4 роки тому

      ndiyo karibu 0754431449

  • @aidanmayowera1785
    @aidanmayowera1785 5 років тому

    Asante kwa darasa zuri

    • @tatesa
      @tatesa  5 років тому

      Ahsante Aidan endelea kufuatilia vipindi vyetu

  • @timothmhangwa4329
    @timothmhangwa4329 5 років тому

    Asanteni sana,ila muwe mnatutajia na mbinu za kukabiliana na matatizo ya magonjwa shambani.

    • @tatesa
      @tatesa  5 років тому

      Ahsante, endelea kufuatilia vipindi

    • @tatesa
      @tatesa  4 роки тому

      wasiana na mtaalamu 0754431449

  • @gsmligoonlinetv9787
    @gsmligoonlinetv9787 4 роки тому

    Tatizo lenu wataalamu hamuweki namba zenu ,hii mnaeleza jujuu hatuwaelewi kivileeewekeni namba zenu tuwe tunawapigia by mchungaji mligo

    • @tatesa
      @tatesa  4 роки тому

      Karibu GS Mligo, Tafadhali tazama video hadi mwisho namba zipo hapo au angalia kwenye video description. Kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi 0715 866 027 au 0745 975 126

    • @gsmligoonlinetv9787
      @gsmligoonlinetv9787 4 роки тому

      @@tatesa Asante Sana Mimi ni mkulima wa mbogamboga ninayehitaji Sana ushauri wenu maana tunapsmbana Sana lakini wakati mwingine tunazidiwa kete na wadudu,,

    • @gsmligoonlinetv9787
      @gsmligoonlinetv9787 4 роки тому

      Na Sasa nipo kwenye maandalizi ya kilimo Cha pilipili kichaa na pikipiki hoho lkn ushauri wa namna ya kutumia madawa,,pia nipo kwenye majaribio ya kutaka kujaribu zao la zabibu kwenye aridhi ya mkoa ya pwani ,,bado tunahitaji tatesa mtusaidie zaidi

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 5 років тому

    Miche 11000 - 140000 ni sawa na gramu ngapi za mbegu?, hujatoa njia za kukabiliana na mnyauko umetaja tu mtaalam

    • @tatesa
      @tatesa  5 років тому

      Ahsante Rubby, endelea kufuatilia vipindi vyetu, kwa vipindi vijavyo utapata mafunzo zaidi kuhusu hilo.

    • @tatesa
      @tatesa  4 роки тому

      wasiliana na wataalamu kwa namba 0754431449

    • @japhetjaphet5490
      @japhetjaphet5490 3 роки тому

      Ukowapi

    • @japhetjaphet5490
      @japhetjaphet5490 3 роки тому

      Nitumie nambayako