- 25
- 221 691
TATESA
Tanzania
Приєднався 2 чер 2019
TANZANIA AGRICULTURE TECHNICAL SUPPORT AGENCY (TATESA) is an Organization established in 2019 by professionals from various agricultural fields with the aim of enhancing and empowering agriculturalists and farmers in agricultural and livestock keeping activities for the purpose of achieving sustainable development goals (SDGs).
The Organization vision is To be a leader in the agriculture industry by providing enhanced services, relationship, profitability and be able to provide quality services that exceed the expectations of our esteemed customers.
The Organization vision is To be a leader in the agriculture industry by providing enhanced services, relationship, profitability and be able to provide quality services that exceed the expectations of our esteemed customers.
TATESA EP22 - SAMAKI WA MAPAMBO? SATO, WASIOZALIANA, CHAKULA MBADALA, AZOLA?
TATESA EP22 - SAMAKI WA MAPAMBO? SATO, WASIOZALIANA, CHAKULA MBADALA, AZOLA?
Переглядів: 523
Відео
TATESA-UZOEFU BINAFSI WA MKULIMA/VIAZI MVIRINGO/MBEYA/NUMBER ONE/KIPATO
Переглядів 8 тис.Рік тому
TATESA-UZOEFU BINAFSI WA MKULIMA/VIAZI MVIRINGO/MBEYA/NUMBER ONE/KIPATO
TATESA EP21 - KILIMO CHA PARACHICHI KIBIASHARA, MCHE MMOJA KILO 400, WANUNUZI, FURSA ZA MASOKO
Переглядів 14 тис.Рік тому
Wasiliana Nasi 0715 866 027 Kwa Huduma za Ushauri wa Kilimo na Ufugaji
TATESA,EP21 - Kilimo cha Ngano, TARI, Utafiti, Kipato Kwa Mkulima
Переглядів 1,4 тис.2 роки тому
Wasiliana nasi 255 715 866 027, Kwa Huduma Mbalimbali za Kilimo na Ufugaji @tatesa
TATESA EP20 - KILIMO CHA MALISHO, UFUGAJI WA KISASA, MABADILIKO TABIA NCHI, PEMBEJEO NA UHIFADHI.
Переглядів 4552 роки тому
Kutokana na Mabadiliko Tabia Nchi (Climate Change), kwasasa Malisho yamekuwa ni ngumu kidogo kupatikana kwa wakulima, hivyo tumekuletea kipindi hiki maalumu ili uweze kujifunza namna gani unaweza kulima malisho (Nyasi) za aina mbalimbali ambazo zitakusaidia kukabiliana kipindi cha ukame! karibu, Usisahau Kusubscribe kwajili ya Vipindi vijavyo. Wasiliana Nasi 0715 866 027 www.tatesa.co.tz
TATESA EP19 - UFUGAJI WA MENDE, KIPATO CHA UHAKIKA, FURSA ZA AJIRA, KILO MOJA ELFU 70
Переглядів 11 тис.2 роки тому
UFUGAJI WA MENDE KIBIASHARA! Je Umewahi Kutamani kufuga Mende? Ungana nasi Upate kujua namna Bora ya Ufugaji wa Mende Kibiashara Tufuatilie Instagram @tatesa_agriculture 0715 866 027 www.tatesa.co.tz
TATESA EP18 - MATUMIZI YA NDEGE SISIZO NA RUBANI KWENYE KILIMO, DRONES, KILIMO CHA KISASA
Переглядів 7113 роки тому
TATESA EP18 - MATUMIZI YA NDEGE SISIZO NA RUBANI KWENYE KILIMO, DRONES, KILIMO CHA KISASA
TATESA, SHAMBANI KWA MKULIMA, CHANGAMOTO NA SULUHISHO, KILIMO UTAKIPENDA
Переглядів 2843 роки тому
TATESA, SHAMBANI KWA MKULIMA, CHANGAMOTO NA SULUHISHO, KILIMO UTAKIPENDA
TATESA EP 17 - ONGEZEKO LA THAMANI (Mpunga - Mchele)
Переглядів 7194 роки тому
KUONGEZA THAMANI (Mpunga-Mchele) Unaweza usiwe mkulima wa mazao lakini ukahusika katika kuongeza thamani ya mazao mbalimbali yanayozalishwa na wakulima. Mnyororo wa thamani katika kilimo ni mpana sana hivyo ushiriki katika kilimo pia kuna nafasi nyingi sio tu kuwa mzalishaji. - Leo tupo Malampaka Rice Mill iliyopo Maswa, wanahusika zaidi Kukoboa na Ku-Grade Mchele katika madaraja tofauti tofaut...
TATESA EP16 - GREEN HOUSE, UWEKEZAJI WAKE, KILIMO CHENYE TIJA
Переглядів 3744 роки тому
TATESA EP16 - GREEN HOUSE, UWEKEZAJI WAKE, KILIMO CHENYE TIJA
TATESA EP15 - KILIMO CHA PAPAI, KIBIASHARA
Переглядів 3 тис.4 роки тому
Je umewahi kujiuliza namna Bora ya Kulima PAPAI Kibiashara na kufanya Kilimo endelevu, Utalima vipi, Yapi mambo Muhimu, Majibu ya Maswali yote tumekuwekea Mpendwa mtazamaji wetu.Tufuatilie pia kupitia Abood Tv kila siku ya Alhamis Saa 3 na Nusu Usiku, Endelea kutufuatilia TATESA. Kwa Maswali na Huduma zetu mbalimbali za Kilimo na Ufugaji wasiliana nasi TATESA CO.LTD Kwa Mawasiliano Tupigie 0715...
TATESA EP14 - UFUGAJI WA SAMAKI SATO & KAMBALE
Переглядів 10 тис.4 роки тому
info@tatesatz.com 0715 866 027 Morogoro, Tanzania www.tatesatz.com
TATESA EP13 - UFUGAJI BORA WA MBUZI
Переглядів 23 тис.4 роки тому
Ili uweze kuwa mfugaji bora wa mbuzi yapo mambo muhimu unayopaswa kuyafahamu, mambo hayo yatakusaidia kwa namna moja au nyingine kuweza kusonga mbele kwenye suala la mafanikio kiufugaji. 1.Mbegu Bora (Aina ya Mbuzi - Nyama au Maziwa) 2.Banda Bora 3.Malisho 4.Zingatia Ushauri wa Wataalamu wa Mifugo 5.Kuweka Kumbukumbu ya uzalishaji Kwa Mafunzo na Ushauri zaidi juu ya Kilimo na Ufugaji Wasiliana ...
TATESA EP 11 - UFUGAJI BORA (UTUNZAJI WA MAYAI)
Переглядів 33 тис.5 років тому
Kwa Mawasiliano info@tatesatz.com Au Tembelea Tovuti yetu www.tatesatz.com
TATESA EP10 - UFUGAJI BORA WA NGURUWE
Переглядів 32 тис.5 років тому
TATESA EP10 - UFUGAJI BORA WA NGURUWE
TATESA EP09 - UFUGAJI WA SAMAKI KIBIASHARA
Переглядів 7 тис.5 років тому
TATESA EP09 - UFUGAJI WA SAMAKI KIBIASHARA
TATESA EP08 - KILIMO CHA NYANYA NA FURSA ZA MASOKO
Переглядів 13 тис.5 років тому
TATESA EP08 - KILIMO CHA NYANYA NA FURSA ZA MASOKO
TATESA EP7 - UZALISHAJI BORA WA MICHE YA PAPAI (PAPAYA FARMING)
Переглядів 9 тис.5 років тому
TATESA EP7 - UZALISHAJI BORA WA MICHE YA PAPAI (PAPAYA FARMING)
TATESA EP 06 - VUNA PESA NYINGI KWA KUTUMIA DUMU LA LITA 20
Переглядів 4,6 тис.5 років тому
TATESA EP 06 - VUNA PESA NYINGI KWA KUTUMIA DUMU LA LITA 20
TATESA EP05 - KILIMO CHA PILIPILI HOHO (Capscum Farming)
Переглядів 11 тис.5 років тому
TATESA EP05 - KILIMO CHA PILIPILI HOHO (Capscum Farming)
TATESA EP04 - FAHAMU UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA
Переглядів 13 тис.5 років тому
TATESA EP04 - FAHAMU UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA
TATESA EP03-UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE (DRIP IRRIGATION)
Переглядів 11 тис.5 років тому
TATESA EP03-UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE (DRIP IRRIGATION)
TATESA EP02 - UTAMBUZI NA UDHIBITI WA VIWAVI JESHI VAMIZI KWENYE ZAO LA MAHINDI
Переглядів 1,6 тис.5 років тому
TATESA EP02 - UTAMBUZI NA UDHIBITI WA VIWAVI JESHI VAMIZI KWENYE ZAO LA MAHINDI
TATESA EP01 - UOTESHAJI WA MICHE KWENYE KITALU NYUMBA KWA KUTUMIA TRAY
Переглядів 11 тис.5 років тому
TATESA EP01 - UOTESHAJI WA MICHE KWENYE KITALU NYUMBA KWA KUTUMIA TRAY
Safi sana Mate endelea kutupa nondo hizo zitufae maishani
Ununuzi ktk shamba bei gani kila gunia
Officizenu zinapatikana wp
Hizo ndo sita kwawakati mmoja au unaweka mojamoja
nataka kulima viaz lakn sina uzoefu naomba naimba nambayako
naomba namba yako
Naomba no ya mkulima
Nataka kuingia katika kilimo cha viazi naomba no yako mkulima
Ndoo 6 za mbolea kila mwaka ndoo za lita ngapi? Ni lita10 au 20
Mwaka huu naanza kulima please únaesoma like ilinnipate notification nijikumbushe mara Kwa mara Asante
Habari,Kuna aina ngapi za parachichi,na nzuri ni ipi
Hongela sana sanga tunaomba namba ya sim yako
Galama zipoje
Asante Naomba namba yako
Kilimo chaumwangiliaj 3:40
Hizo trei na weza pata wapi na shs ngapi
Manapatikan wapi
Viazi vinapandwa mwezi wa ngap
Habari Yako boss wangu? Mm nipo tabora naitaji Miche ya parachichi
Nitaepukaje mipapai isiyozaa,maua yake ni madume
Kwa hicho chakula unacho tumia unaweza pata matokeo mazur kweli?
Inapendeza sana kaka
Kuliahia mifigo sawa ila kula hapo mtihani kidogo
Eti mbegu bora ya mende kazi ipo kweli
Usinunue nenda chooni utawapata
Watu wamechanganyikiwa sasa hata mimi nitaanza kuuva mavi kilo moja laki moja
Manyara babati
Mkoa Gani huu?
Mbeya
Naomba mawasiliano ya mfugaji wa mende uliyemtembelea njia ya kwenda sngea
Very nice!!
hallo kiongozi naomba kujua kama kuna uwezekano wa kufika shambani ilikufanya research niko mkoa wa sogwe
Mbegu chotara si Bora kwa afya yangu kama mlaji. Na ijapokuwa mkulima anao uweO wa kubaini mbegi YA ASILI na ya CHOTARA akija kununua kwa ajili ya kuatika miche ya kuoanfa shambani Swali ni Je, ndugu mtangazaji. Mimi na wengune kama Walaji wa haya mapapai ya kibiashara - tuna vielelezo gani kuwa matunda ya mapapai tunayoyanunua kwa ajili ya ulaji - ni ya chotara (yaani kitaalamu GMO - Genetically Modified Organism) au la ni ya ASILU? NITAJUAJE Ili basi niweze kuamua Kula au kutokula tunda Hilo?
great
Kazi nzuri. Keep up the good work
Soko lake lipo wapi?
nisaidie namba zenu
Wasiliana nasi 0715 866 027
Habari wakulima wenzangu Viazi hivi ninavoviona ni vya mwezi wa tatu yaani machi???
Asee hii elimu imekaa vizuri sana, 💪🏽 mko vizuri 🤝🏽
Hongera sana. Yanasitawi ukanda was chino mlima Kilimanjaro?
Mtaji w mbuzi Kama Bei ipi napenda
Nyumban wapo wengi sana
Unavunaje mende
Sauti inakata kata sanaaa , kwhyo hatupati material kikamilifu
NATAKA MBUZI WA MAZIWA
Thanks for training
Safi sana
Hongera Baba Kazi nzuri
That music is so loud.
Kazi nzuri sana wana TATESA naomba kujua umuhimu wa alama kama hiyo ear tag pia muongozo wa kupata vyakula vyenye protein pia kuna changamoto ya soko kwani uzoefu uliopo kuna watu wanakuja shambani na wanatunyonya sana kwenye suala la bei je unanisaidiaje mimi mkulima ninayefuga ili nifuge mifugo yenye kuleta Tija nimewapigia kwa bahati mbaya simu iko busy
Moja ni shingapi mbuzi wa masiwa
Nimependa kazi yenu nyie mpo mkoa gani
2o22 mtakuwepo 8.8.2022 morogoro
Naomba namba zenu za cm pls🙏
0715 866 027