Miujiza Ya Suratul Fatha Katika Namba - Sheikh Khamis Suleyman
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- #Masjid Mtoro Online Tv.
Maisha Ya Mwanaadamu Yametawaliwa Na Ndoto. Na Ndani Ya Ndoto Hizo Kuna Uhalisia Wa Maisha Yetu Zaidi Ya %70. Tunafanyaje Ili Tuweze Kuupata Uhalisia Kamili Juu Ya Tafsiri Za Ndoto Zetu Kukamilisha Tukiotacho Au Kujiepusha Nacho Tukiotacho. Fuatana Na Sheikh Khamis Suleymani Ndani Ya Nyumba Salama Masjid Mtoro Online Tv
Subhan Allah ustadh hungera kwa kutufunza mambo muhimu malipo yako kwa Allah ameen
Shukran sana
Jazaka llah kheir sheikh
Alhamdulillahi kwa elimu nzur
@@abilahirufai8269 naam
Alhamdulillah
Mashalllah
Subhaalllah
ALLAH akujaaliye utufundishe na namna ya kusoma ili kufungua mambo yetu Biidhini llah
Shukran sana
Subhana allah
Sheikh Nakuomba tufundishe namna ya kupata ufunguo katika kisomo cha ayatul qursiyu
Inshallaah itafuata siku si nyingi
Assalamu
Salaam alayk