didas major unamoyo mzuri itakupendeza sana na kukufaa ktk Dunia hii na akhera uwe muislam ufatilie dini hii na ifuate ipo siku kwani utajua thamani ya Uislam. Uislam ndio dini ya manabii wote kuanzia baba yetu Adam mpaka Issa bin Maryam yani Yesu wote hao walikuwa waislam na Muhammad swala Allahu aleyhi wasalam ndio mtume wa mwisho. Dini ya haki mbele ya M/ Mungu ni Uislam ndio dini ya haki na kweli. nakuombea kwa M/Mungu akuongoze ktk haki uifuate Amin.
Subhanallah 🤲😭😭😭😭😭🇵🇸❤️🇵🇸❤️☝️☝️☝️☝️
Nawapenda sana, tena sana wewe na Sule, Mungu awape mwisho mwema, na wokovu ktk Kristo Yesu
mashallah karibu kwa uislam
Ma sha Allah tabaraka llah ustadh ngu Allah akuogoze apa n kesho akhera n sote waislam
Maa Shaa ALLAH 🇰🇪🇵🇸💚💚💚
Ameen.,
SHUQRAN❤
Allahu Akbar.
Napenda sana darsa lako la historiaya kiislamu
karibu kwa uislam
Mashhalha
Mashallah
Thank u very much
❤❤❤❤❤❤
Asalam aleikum warahmtullah wabarakatuh
Nam
Assalaam alayqum mwenye kujua naomba anijuze wayahud ni watu gani?
Jamani nyie mashehe natamani mngekuwa wakristo tu.
Sas wakiwa wakristo si watakua wezzi mana mapasta wote ni wakora