BOB JUNIOR: ALIKIBA NIKAKA YANGU NAMWESHIMU NANAMPONGEZA, KATOKA KWA BABA YANGU,WEMA SINA TATIZO NAE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 2

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 6 місяців тому

    Huyu jamaaa nilisoma nae shulee moja bob junior sijui ananikumbuka zamani tulikuwa darasa moja form 2 green st.mary high school mbezi beach mwaka 2006 jamaa darasani alikuwa pia Ana kipaji cha kuruka sarakasi alikuwa anaruka sarakasi mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa leaders club kwenye tamasha la shuleee za st.marys wasaniii kibao walialikwa kufanya show wakina TID na mr blue q chief top band na jamaaa nikakutanae kwenye show nikamuulize vipi sijakuona darasani muda mrefuuuu akaniambia laifu bila chenga kuwa yeye shuleeee ameachaaaa ataki anaenda kusomea uproducer wa muziki mambo ya mziiki mashaaalah naona maisha yake sio mabaya mwamba anaishiiii anapendeza

  • @mosesraymond8781
    @mosesraymond8781 5 місяців тому

    Huyu Bob jni mlevi