@@jadenngoy1798tukija tu kiuhalisia wew na hawa nani mpumbav kama sio wewe mtu mzima lkn Akili huna😅😅 halafu wewe upo kishabiki na sio kiuhalisia unamuongelea mtu ambae hata hakujui na hajui km upo duniani,pambana kutafuta hela utoke nyum kwenu ujitegemee
Waandishi wa online media mnahitaji kubadilika ..katika maswali 20 ..maswali 4 ndio yanayo muhusu Bob junior lakini mengine yote ..hayamuhusu lakini inatakiwa ayajibu
Kwaiyo we unatumia mtu kutumia pesa zake kisa unampenda mwanaume mwenzio sasa clous na wasemeje yeye kaiga vingapi mapenzi yasikufanye iwe kipifu kwa mo hauzi juice mbona alimkuta bakharesa kitambo kwenye gemu na misha yanakqenda ukitaka chapekeako nenda mbinguni Ili watu wasijuige
Wewe mpaka sasa upo wapi?umejijenga vipi kimaisha?unakitu gani cha kujivunia kua umefanya jambo la maana?amblo hata ukianguka Leo waseme marhem ameacha vitu flani na flan, ukiachana na bangi,pombe na strahe...kuna wale ambao umesoma ila leo hii wamwkua mbali sana kimaisha, mpk ss upo kwny chumba kimoja,huna hata kiwanja,hata biashara 😅😅😅😅 hlf kengine sio kila mtu anapenda show off za kuonesha anavyo vimiliki acha uzamwamwa, tafuta hela utoke kweny chumba kimoja
Tanzania kuna radio nyingi ...lakini ya diamond platnumz iko juu
Bwana wako sio?
Juu mbiguni au acha ufala
@@SilaMinanda huyu atakuwa ni bwana ake Kweli?.. 😅😅😅😅
Mpumbafu zenu ...radio ya diamond platnumz number one ina sikilizwa Africa....n'a ina wafuhasi wengi youtube ushamba wenu
@@jadenngoy1798tukija tu kiuhalisia wew na hawa nani mpumbav kama sio wewe mtu mzima lkn Akili huna😅😅 halafu wewe upo kishabiki na sio kiuhalisia unamuongelea mtu ambae hata hakujui na hajui km upo duniani,pambana kutafuta hela utoke nyum kwenu ujitegemee
Huyu jamaa ana ongea kwa kujiamini hana hofu kbs 🎉
Waandishi wa online media mnahitaji kubadilika ..katika maswali 20 ..maswali 4 ndio yanayo muhusu Bob junior lakini mengine yote ..hayamuhusu lakini inatakiwa ayajibu
Clouds ilikuwa na ubaguzi na ushamba flani mondi asingekuwa mpambanaji angeshushwa na clouds kwa makusudi
Nyie endeleen kuiga mond anaumiza kichwa nyie kazi kuiga king music imekushinda umeiga na redio tena mh mond kwer wew nyooko
Kwaiyo we unatumia mtu kutumia pesa zake kisa unampenda mwanaume mwenzio sasa clous na wasemeje yeye kaiga vingapi mapenzi yasikufanye iwe kipifu kwa mo hauzi juice mbona alimkuta bakharesa kitambo kwenye gemu na misha yanakqenda ukitaka chapekeako nenda mbinguni Ili watu wasijuige
Huyu mwanmke hn maswali mengine kashklia kasema CI redio y fmilia 😏😏😏😏😏
Modi hawezekani bhanna mwacheni
Yaani crown fm imeibuwa wasanii wengi hata wale ambao tulikuwa tumeshawasahau
Vikofia vya watangazaji wa mbengo tv
Hawa wandishi wa lasaba b wakipewa maiki na kuropa basi ndo waandishi hata kuhoji hawajui
Wandishii wetu bad jifunzen kuhoj maswl ya msingi maswl mengine hayn hat man na nyny ndio munaazaa kulet uchonganishi
Kz yao kuhoji uchonganishi tu
Bob acha unafiki wewe kazi kujikomba
Huyu dada ana sound kma Dj Fetty
Ofcourse!
Kwani around hayo macho yake ni nini kinaendelea
Anaangalia usalama kama upo ili asije akaharibu 😂😂
Aaaaaah 😂😂😂
Usharobaro kawatoa wenzie wanamilikivitu vikubwa kabaki baado analamba lips tuu nakuvaa vikoti 😅😅😅
Sio mkiwa marafik ndio wote mtafanikia hat ukijitazam mkono wako vidole 5 lakn haviko sawa.
Wewe mpaka sasa upo wapi?umejijenga vipi kimaisha?unakitu gani cha kujivunia kua umefanya jambo la maana?amblo hata ukianguka Leo waseme marhem ameacha vitu flani na flan, ukiachana na bangi,pombe na strahe...kuna wale ambao umesoma ila leo hii wamwkua mbali sana kimaisha, mpk ss upo kwny chumba kimoja,huna hata kiwanja,hata biashara 😅😅😅😅 hlf kengine sio kila mtu anapenda show off za kuonesha anavyo vimiliki acha uzamwamwa, tafuta hela utoke kweny chumba kimoja
Unazani bob ni kinyonge kiivo mtu ana roots za Canada
Mbona kama anajichubua
Uyu ni mweupe😂😂😂😂
Si maisha yake 😂
yani wahandishi wa habr wajinga nkwel sasa iyo kauli ya kusema ali kiba ametupa dongo kwa diamond 😀
Wanafany kusudi tu, ili tuview...wasenge kwer yan 😂😂😂