Nyimbo nzuri sana, ukivaa kama binti wa Yesu itapendeza, yaani usifanane na hao waduniani. Tumia jina la Yesu, ukiimba bila kumuinua bado inakua haijatulia. Maana hata duka langu naweza tu kuliita Alfa na Omega na isiwe na maana yoyote. Muinue Yesu. Usiwe kama hao wanaimba Gospel isiyo na Yesu, na tunajua wako kibiashara zaidi. Ni hayo tu🙏
dada Bella katika ile kweli mim huduma ya uimbaji unayofanya ninaipenda sana sana MAONI YANGU DADA TUTUNZE USHUHUDA HASA KWENYE MAVAZI NA MUONEKANO DADA HILI NINAOMBA HATA KWAKUPIGA MAGOTI DADA MZURI NINAEPENDA HUDUMA YAKO N Ili tuwe na utofauti kati ya sisi wainjili nawale wasio wa injili NAKUPENDA MUIMBAJI MWENZANGU MUNGU AKUTUNZE
People be judging Bella Kombo of her dressing code,yet some of you here are worse. Remember this was her first song after coming from the world. Goodos Bella 🎉🎉,more grace
Barikiwa sana , nimeisklza hii nymbo mara ya 19 sasa, umekuwa wimbo wa tofauti sana kwangu, unanipa zaidi kutambua ukuu wa Mungu #alphaomega #hakunakamawewe
Mi hii mwaka ni Mimi na mtumishi wa Mungu Bella, it's a wonder I've never seen this song or heard it but for the last 3 days I've been listening to it like 4 times in an hour, I just can't help it. Powerful worship to my God.
Wozza wozza the voice , the pitch and everything is actually on point, I love to see beautiful people like you singing gospel, u killed it Bella, keep it up ,we got your back Angel
Namesake you’re beautiful! Bellas rock. This gospel of the Lord needs to get to all corners of the world so spread the love like fire, use your words to inspire
ANY ONE 2019 ALIEMMIS BELLA...HIT LIKE PLLLLZZZ TUJUANE....BELLA ANAMPENDA MUNGU NI MTUMISHI WA MUNGU MAANA SIO KWELI KWAMBA HAWEZI KUYATUMIKIA YA DUNIA ROHO YAKE INAMUIMBIA MUNGU ALIE MKUU .....SIIIIIIIIING BELLA TUNAOKUPENDA NIWENGI SEMA HATUNAGA MAKELELE........IMBAAAAAAAAAAAAAA
Barikiwa na Mungu wa mbinguni Bella nimeifutlia interview yako uliyoifanya na mirrdayo nimependa kusikia kuwa before ulikuwa unamtumikia shetani na baadae ukajua huko siyo kwako mtumikie Mungu nae atakutumikia atakuinua Mara mia ya vike ulivyokuwa Kwa shetani kupitia wewe kina Bella wengi nawaona wakitoka mikononi Kwa falao wakija kuungana na wewe umeamua wamuzi sahihi sana hautojutia Mungu atakuheshimisha watu watakushangaa soon kwamba huyu ndo Bella!!!
Daah dada Bella you are so Anointed,very Anointed ...you are no just another artist ,you are something else in the realm of spirits ..your are blessed continue to bless us also
Nakosa cha kuongea ila nampenda sana mtu anaemsifu Mungu na kuabudu nakupenda sana Dada usibadili huu mfumo Mungu anapenda sana kusifiwa na kuabudiwa kuliko kuimba nyimbo za kulalamika Mungu akubarik endelea kumsifu Mungu
Wimbo mzuri sana Ujumbe umenibariki Ila Nakuomba ubadiri mavazi Pia hiyo michoro kifuani na karibia na bega kama inafutika husiiweke kama hafutiki basi no way but unaweza kuimba vizuri nimalekebisho tu endelea kumtumikia Mungu
Tutumike mama tukiwa vijana tuna nguvu. You bless me Mungu akuinue kwa viwango vingine na usiache kumtumikia acha Roho Mtakatifu akuongoze usifanye kwa akili zako.Love you!!!!!
Let no man take the Glory! He is Alpha and Omega! May the Lord Jesus i serve bless you and give you more revelation into wwritting and singing WORSHIP unto HIM YHWH
This song is amazing, that's all I can Say Bella, when you told me at Raha towers that I should check it out, I was convinced that it will be a good song but I didn't know it would be this much beautiful, I could feel it from deep inside me, plus amazing video, figurative scenes, it's superb
Wakiwa n kondoo wataisikia sauti yake sio mm ndani yangu Bali n yeye mkishusha uwepo namna hii vaeni Kwa heshima si Kwa Kwa kuacha mabega njee Dagoni anaeza angunga ila yezeberi mama WA mapambo na ukahaba anaeza nyanyuka kaka natural jisitiri shush uwepo Baki na mwenyewe uwepo usibaki na watu wanaosifia wimbo Baki na Mungu
kama wew nimsomaj wa biblia# nimsomaji was biblia jarbu kufuatilia namna impasavyo kuonekana mtu aliye okoka s then najua utabadilika # maana mungu kakupa kipaji lakin umekichanganya na mambo ya dunia kwa maana ya mavazi# nani kakudanganya dhambi haianzii katka mwaili# wakat miil ndiyo dhabihu ya mungu @ anasema tumekua hekalu# iv mungu amekuwa wa kufananiahwa na wanadam et# haangaliii mavaZI# iv kama wasanii wa gospal wa kiume kama Paul Clement wakiwa wanaimba huku wamevaa sual chin ya kiuno napo tutasema tusiangalie mavazi# tafadhali utakuwa hujaisoma biblia vzur nahapo ndipo maarfa yetu yanapotea# nakutakia mtazamo mpya na maisha mema ktk kazi yako Amen#
mambo ya dunia kivipi na wakati anaimba nyimbo za kumsifu mungu, baada ya kumtia moyo nyie mnaojiita wsatakatifu ndio mnaoshiriki kuifanya huduma yake ione kane si ya maana! wabongo jaman! tunajionaga sn watakatifu
wow!!!!!!! nice.. that sounds unique and beautiful,,, may u be lifted much higher,,,,,u ar beautiful just go a bit slow wth make up and hair style not all Africans understand that...
Atake sema nyimbo mbaya huo ni wivu tu Kwanza message nzuri na imejitoshelezaMbili dada umevaa vizuri current ma kwa kujistiri hili huwa tatizo kwa wengi lkn umejitahidiTatu location na scenes ziko vizuri sana na story imeeleweka kwa lugha ya pichaMWANZO MZURI NATAMANI KUONA GOSPEL SINGERS LIKE U KEEP IT UPIG@gideon_paul_magangira
Waoh! The massage is cool as well as the Video but the worst thing is that white dress. The song you sing is for the most high and perfect God not human so why you didn't put on something that glorifies the one you are singing for? Unless u where pointing a human and not God.
wimbo mzur sanaaa ila vazi huko mgongo linashusha heshma ya ALPHA & OMEGA au otherwise directors wa video wawe wanaangalia na shot za kuchukuaa...BE BLESSED
From Kenya 🇰🇪🇰🇪whose back here after wimbo mpya na Evelyn.MUNGU YUKO MOJA TU, BLESSINGS
Mimi hapa
It's me ❤
Nani. Yupo hapa anasikiliza wimbo wangu pendwa ❤ 6/1/2025
here at 22/08/2024 and I can say Bella the lord brought you from far... all glory and honor to Him... may God grant you greatness in your ministry❤
Nyimbo nzuri sana, ukivaa kama binti wa Yesu itapendeza, yaani usifanane na hao waduniani. Tumia jina la Yesu, ukiimba bila kumuinua bado inakua haijatulia. Maana hata duka langu naweza tu kuliita Alfa na Omega na isiwe na maana yoyote. Muinue Yesu. Usiwe kama hao wanaimba Gospel isiyo na Yesu, na tunajua wako kibiashara zaidi. Ni hayo tu🙏
Amen 🙏
I love this song. Wapi watu wangu wa Kenya.
🙌🙌🙌😍😍😍😍♥️
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tuko hapa i also love it.
dada Bella katika ile kweli mim huduma ya uimbaji unayofanya ninaipenda sana sana MAONI YANGU DADA TUTUNZE USHUHUDA HASA KWENYE MAVAZI NA MUONEKANO DADA HILI NINAOMBA HATA KWAKUPIGA MAGOTI DADA MZURI NINAEPENDA HUDUMA YAKO N Ili tuwe na utofauti kati ya sisi wainjili nawale wasio wa injili NAKUPENDA MUIMBAJI MWENZANGU MUNGU AKUTUNZE
❤❤❤❤❤ love it
People be judging Bella Kombo of her dressing code,yet some of you here are worse. Remember this was her first song after coming from the world. Goodos Bella 🎉🎉,more grace
Barikiwa sana , nimeisklza hii nymbo mara ya 19 sasa, umekuwa wimbo wa tofauti sana kwangu, unanipa zaidi kutambua ukuu wa Mungu #alphaomega #hakunakamawewe
it is a blessing that such a very pretty soul is serving the LORD.......Be blessed!
Hii nyimbo nimeisikiliza toka nasoma 2018 mpaka sasa nimepata kazi hiyo part kuishi kwangu mimi ni neema yako 😢inafanya nilie mno Mungu huyu
Ubarikiweeeeeeee dada Bella Kombo mungu utabariki Kaz ya mkono wako my sister eeee mungu naomba uyaangalie Kaz ya dada angu mungu utabariki Kaz yake
Mi hii mwaka ni Mimi na mtumishi wa Mungu Bella, it's a wonder I've never seen this song or heard it but for the last 3 days I've been listening to it like 4 times in an hour, I just can't help it. Powerful worship to my God.
God . jesus .heard this song this morning at ctn .wah ! This lady can sing .m just gazing at her.we thank God for yu love .so gifted
Wozza wozza the voice , the pitch and everything is actually on point, I love to see beautiful people like you singing gospel, u killed it Bella, keep it up ,we got your back Angel
There is GOD IN Heaven.....Ur blessed
Namesake you’re beautiful! Bellas rock. This gospel of the Lord needs to get to all corners of the world so spread the love like fire, use your words to inspire
ANY ONE 2019 ALIEMMIS BELLA...HIT LIKE PLLLLZZZ TUJUANE....BELLA ANAMPENDA MUNGU NI MTUMISHI WA MUNGU MAANA SIO KWELI KWAMBA HAWEZI KUYATUMIKIA YA DUNIA ROHO YAKE INAMUIMBIA MUNGU ALIE MKUU .....SIIIIIIIIING BELLA TUNAOKUPENDA NIWENGI SEMA HATUNAGA MAKELELE........IMBAAAAAAAAAAAAAA
Barikiwa na Mungu wa mbinguni Bella nimeifutlia interview yako uliyoifanya na mirrdayo nimependa kusikia kuwa before ulikuwa unamtumikia shetani na baadae ukajua huko siyo kwako mtumikie Mungu nae atakutumikia atakuinua Mara mia ya vike ulivyokuwa Kwa shetani kupitia wewe kina Bella wengi nawaona wakitoka mikononi Kwa falao wakija kuungana na wewe umeamua wamuzi sahihi sana hautojutia Mungu atakuheshimisha watu watakushangaa soon kwamba huyu ndo Bella!!!
Daah dada Bella you are so Anointed,very Anointed ...you are no just another artist ,you are something else in the realm of spirits ..your are blessed continue to bless us also
Anointed hapaswi kuwa mgongo wazi Amon
Hongera saana Bella endelea kunyenyekea mbele za Mungu utaenda mbali saaana nakutia moyo kazi yako nzuri saana by Jane Misso
kumtumikia Mungu kuna faida sana. keep it up. Barikiwa sana young lady
Nice song Bella.am feel bless for Abu dhabi UAE,God bless Bella kombo ❤
Nakosa cha kuongea ila nampenda sana mtu anaemsifu Mungu na kuabudu nakupenda sana Dada usibadili huu mfumo Mungu anapenda sana kusifiwa na kuabudiwa kuliko kuimba nyimbo za kulalamika Mungu akubarik endelea kumsifu Mungu
Barikiwa sauti nzurii sanaa
wow very nice....the voice is on point and very powerful message
Kumtumikia Mungu ni sadaka. hongera sana dada kwa uamuzi huo Mungu azdi kukupigania
Aiseeee zaid ya mwaka nlkuwa nausikia huh wimbo lkn nlkuwa sjui mwimbaj n nan dada bella Nashukuru huu wimbo huwa unanipa nguvu sana nkiusikia
Keep it up darling God is using u now indeed. Praise the King my love u have to because he is worth of our praises.
Safi sanaa Bella niliimisi hii Sauti tangu nikusikie kwenye bss hongera na mungu akubariki
Nilikuwa nnajiuliza ndiyo huyu huyu bella kombo wa bss kumbe ni yeye daah mungu huyu mwacheni autwe Mungu
Mungu kamchagua kamfanya awe chombo chake .... Mungu azidi kumuongoza ili sauti yake ifikie kila pembe ya dunia.
Saaafi sana Bella !! Bongee la Nyimboo! Hujalkosea mwana
gombaton General Enterprises God bless u Bella
Nakpenda sana cct Bella. Uzidi kuinuliwa na Mungu wa Mbingu na Nchi.
Am in love with this song. Keep it up Dear friend Bella. You bless my heart
Duh kumbe ni Bella huyu huyu wa Unifinyange😂😢 YESU WEWE NI MKUU SANA
Very Beautiful... GORGEOUS voice... Powerful message.
nimebarikiwa na hii ngoma ...neema izidi maishani mwako Bella
Hivyo unafikiri kwamba unamwimbia Jehovah? Shauri yako!!!
Wimbo wangu niupendao❤
I love this song🥰, God bless you bella🙏
"Alfa& Omega and Milele "are my favorate songs , be bleased Bella Kombo
Wimbo mzuri sana
Ujumbe umenibariki Ila
Nakuomba ubadiri mavazi
Pia hiyo michoro kifuani na karibia na bega kama inafutika husiiweke kama hafutiki basi no way but unaweza kuimba vizuri nimalekebisho tu endelea kumtumikia Mungu
Tutumike mama tukiwa vijana tuna nguvu. You bless me Mungu akuinue kwa viwango vingine na usiache kumtumikia acha Roho Mtakatifu akuongoze usifanye kwa akili zako.Love you!!!!!
Hakika hakuna zaidi ya yeye ,aliye juu kulikon vyote azidi kukutia nguvu na kukufunulia zaidi,
hongera sst atabadlika tu Mungu hubadilisha mtu taratb
You are so talented!!
Nice song madam
Keep up that sprit of worship
I feel blessed wic this song
Impressed. True definition of songwriter
Bella kombo Mimi ni Yule kaka ulinifanyia prophecy pale best Bite naomba Mawasiliano yako.
Let no man take the Glory! He is Alpha and Omega! May the Lord Jesus i serve bless you and give you more revelation into wwritting and singing WORSHIP unto HIM YHWH
Mavazi uliyovaa na wimbo unaomba na unayemuimbia haviendani kabisa....wasanii muogopeni Mungu jamani
Jackson Lutobeka kweli kabisa wanataka kuchanganya mungu na shetani.
Ludely vyagusa
Jackson Lutobeka kabisa yaani nashanga wanaomsifu
nonsense
dada napenda sana unapoimba unajua hata kushusha wingu la roho mtakatifu .lkn napenda nikushauri ubadili the way of dressing .Mungu akusaidie kwa hilo
Si unajua Tena kuiga, Mungu atambadirisha one day
hakuna mwingine Alpha and omega beautiful song. and the vocals eiiiiish 👌👌
Wakenya tuko hapa kwa wingi ingawa WA Tanzania wenzake wanamkemea tu
Wooooooow nice hit,dah mefarijika sana,now nipo nabudu 😀😀😀
my Favourite gospel song right now lots of love bella
Nice song, the vocals are wow. Be blessed Dada
This song is amazing, that's all I can Say Bella, when you told me at Raha towers that I should check it out, I was convinced that it will be a good song but I didn't know it would be this much beautiful, I could feel it from deep inside me, plus amazing video, figurative scenes, it's superb
Your Ministry is a blessing
Dada wimbo mzuri but kunyoa kidunia kuvaa mgongo wazi kidunia jaman chukueni mfano kwa martha. Mwaipaja
My favorite Gospel song 🙏🙏💕💕💞💞🙏
Safi sana kazi nzur hiv chibi dayo yupo wap
Wakiwa n kondoo wataisikia sauti yake sio mm ndani yangu Bali n yeye mkishusha uwepo namna hii vaeni Kwa heshima si Kwa Kwa kuacha mabega njee Dagoni anaeza angunga ila yezeberi mama WA mapambo na ukahaba anaeza nyanyuka kaka natural jisitiri shush uwepo Baki na mwenyewe uwepo usibaki na watu wanaosifia wimbo Baki na Mungu
Uko juu ubarikiwe sana Bella
Mungu akuinue zaidi ..blessings
Kipaji cha hali juu,keep it up.
Nmebalikiwa na kaz hiii mungu aktie nguvu
Mungu kakutoa mbali usimwache nice voice
☝☝☝☝☝☝☝👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👏👏👏👏Alpha Omega hakuna kama ww
Be blesssss
Nimeupenda wimbo na video.Hongera sana
I love this song, Nakumbuka maisha yangu ya Advance school.
#I feel this blessing.
Grow Higher @BellaKombo
Bado udunia in mwingi ndani yako
Nakupenda Sana ntungie nyimbo
Ubarikiwe Bella,Mungu akuinue juuuuuuuuuuuuu
Wow Best song
Jesus Christ is Alpha and Omega
No hate in my heart , You killed it baby ☝️☝️
Nice song Bellah God bless you
❤️ God bless you my sister!
kama wew nimsomaj wa biblia# nimsomaji was biblia jarbu kufuatilia namna impasavyo kuonekana mtu aliye okoka s then najua utabadilika # maana mungu kakupa kipaji lakin umekichanganya na mambo ya dunia kwa maana ya mavazi# nani kakudanganya dhambi haianzii katka mwaili# wakat miil ndiyo dhabihu ya mungu @ anasema tumekua hekalu# iv mungu amekuwa wa kufananiahwa na wanadam et# haangaliii mavaZI# iv kama wasanii wa gospal wa kiume kama Paul Clement wakiwa wanaimba huku wamevaa sual chin ya kiuno napo tutasema tusiangalie mavazi# tafadhali utakuwa hujaisoma biblia vzur nahapo ndipo maarfa yetu yanapotea# nakutakia mtazamo mpya na maisha mema ktk kazi yako Amen#
mambo ya dunia kivipi na wakati anaimba nyimbo za kumsifu mungu, baada ya kumtia moyo nyie mnaojiita wsatakatifu ndio mnaoshiriki kuifanya huduma yake ione kane si ya maana! wabongo jaman! tunajionaga sn watakatifu
MAMLAKA YA KUMHUKUMU UMEYAPATA KUTOKA WAPI??? WEWE NI NANI??? HERI AKE BELLA ALOMUIMBIA MUNGU OLE WAKO WEWE UNAEJIONA UMEPATA NAFASI YA KUMHUKUMU
@@noahmoses2852 ULOKOLE MAANDAZI HUO KANIUDH SANA HUYO JAMAA ANAMACHO MACHAFU ANAONA MABAYA TUU HAONI JEMA HATA MOJA
3 years later, she took your advice
I love this women....she blesses me a lot🙌
Nimekupenda bureee dad
Nyimbo mbaya mavazi mabaya yani hivi unajiimbia wewe au unamwibia Mungu..Nawanao kundanganya eti umependeza hawana akili jifunzee kuvaa vizuri
Mm namteea dada bella nyimbo nizur ila mseme katika mavazi apo sawa ila atajilekebisa
keep praising him sweetie.. 😍
moja kati ya machampioni wa Tz so kila la kheri madam bella kombo
muonekano wako uendane na kile unachokiwakilisha dadaangu , sijapenda mavaz yako , hizo nywele na hayo makope Badilika
Mimi ningependa nikufutilie nikujue na nijifunze kutoka kwako Angel mary
Ushauri wangu badili muonekano wako kimavazi nyimbo nzur haujaitendea haki badilika
hayo mavazi na mwonekano una shida gani ? watanzania bana!
Cdhani kama mavazi yana define imani ya mtu. Just saying
Sidhani kama uko sahihi
uko vizuri tatizo kiduku2
mungu akubariki
Usiache kumtumikia God ua blessed
Awesome. Godspeed
wow!!!!!!! nice.. that sounds unique and beautiful,,, may u be lifted much higher,,,,,u ar beautiful just go a bit slow wth make up and hair style not all Africans understand that...
Nakupenda sana Bella jamani
Atake sema nyimbo mbaya huo ni wivu tu Kwanza message nzuri na imejitoshelezaMbili dada umevaa vizuri current ma kwa kujistiri hili huwa tatizo kwa wengi lkn umejitahidiTatu location na scenes ziko vizuri sana na story imeeleweka kwa lugha ya pichaMWANZO MZURI NATAMANI KUONA GOSPEL SINGERS LIKE U KEEP IT UPIG@gideon_paul_magangira
Waoh! The massage is cool as well as the Video but the worst thing is that white dress. The song you sing is for the most high and perfect God not human so why you didn't put on something that glorifies the one you are singing for? Unless u where pointing a human and not God.
😍😍😍😍 be blessed sweetie..
so happy for you ma....
Like twende sawa
nice song Bella stay blessed
Amen to God be the Glory 🙌🙌🙌
hii ngoma kubwa sana
Nimebarikiwa mno na huu wimbo
Your music is a blessing 🔥 🔥 🔥
wimbo mzur sanaaa ila vazi huko mgongo linashusha heshma ya ALPHA & OMEGA au otherwise directors wa video wawe wanaangalia na shot za kuchukuaa...BE BLESSED
Elisha Simbeye Uwokovu in hatua