WAKE WATATU WA MAREHEMU SAULI WAFUNGUKA WALIVYOKUWA WAKIISHI NAE "ALIKUA ANATUPENDA SANA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • Hapa ni katika Kijiji Cha Kibaoni wilayani Chunya mkoani Mbeya ambapo ni nyumbani kwa mfanyashara maarufu wa Madini na Mmiliki wa mabasi ya Sauli ambaye sasa ni marehemu Sauli Solomoni Mwahabhila.
    Marehemu Sauli alifariki Agosti 4 mwaka huu mkoani Pwani kwa ajali ya gari na kuzikwa Katika makaburi ya familia Kijiji Cha Godima huku mtoto wake wa miaka 3 akinusurika katika ajali hiyo.
    Ayo tv na Millardayo.com imefika Hadi katika Kijiji hicho alipokuwa akiishi marehemu na kuzungumza na wake Watatu wa marehemu wamesema marehemu alikua na Wake wanne na mmoja alifariki hivyo wamebaki Watatu na watoto 16.

КОМЕНТАРІ • 496

  • @HawaAdili
    @HawaAdili 25 днів тому +8

    Namuunga mkono anaesema bi mkubwa ndo mke hao wengine wamekuja baada ya kuwa na pesa mungu isaidie familia yake wasigombane❤

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Місяць тому +85

    Mke wa kwanza wa kwanza hana maneno mengi na busara nyingi sn ongera mke wa kwanza

    • @Liliana-mc2su
      @Liliana-mc2su Місяць тому +5

      Wapili Sasa et namba nliyokuwa naijua mm TU 😂

    • @agathahasote9894
      @agathahasote9894 Місяць тому

      @@marymanoni5536 sana

    • @fideamtenga212
      @fideamtenga212 Місяць тому +7

      Hongera mke wa kwanza wewe ndio umepoteza mume hao wengine wamepoteza hawara

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Місяць тому +3

      Mara nyingi alikuwa na huyo wa pili ktk mizunguko yake ya shughuli zake za kazi hasa zinazohusu mabasi, akiwa Dar mara nyingi huyo alikuwa akimsaidia kazi za hapo hata ofisi ya shekilango ulikuwa unamkuta huyo mke mdogo, tena ni mpole sana tofauti na jinsi mnavyomchukulia. kwa hiyo msimbeze kila mmoja kati yao alikuwa na majukumu yake, tambueni kufiwa na mume siyo mchezo, wake wote hao wapo kwenye majonzi mazito tafadhalini wapeni maneno ya mazuri ili kuwafariji ktk kipindi hiki kigumu kwao.

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 Місяць тому

      @@rayisadesigns2646 mpole angekuwa mpole angejinadi ivyo alikuwa nae mda wote ww unaona sw eeeeee omba ucwe ww ndugu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Місяць тому +7

    Matajiri hawaoi wanawake wanaoa nyota wanawake mjue asilimia kubwa wanaoa nyota za wanawake ndio maana wanakuwa wahuni na hawahurumii wanawake wanawatesa sana wanawake wasiomcha Mungu jamani Mungu atusamehe wanadamu tunatesana sana ila Mungu atadhibitisha haki yake😊

  • @DoricaMgogo
    @DoricaMgogo 29 днів тому +7

    Mke wa Kwanza Mungu alie mbinguni akutie nguvu huna baya mumy

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 Місяць тому +32

    Mke wa pili ana mbwembwe eti no anaijua yeye tu.
    Maneno mengiiii.
    Hongera bi mkubwa huna maneno mengi Mungu akupe maisha marefu

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 Місяць тому

      Kwa kweli eti namba anaijua yeye tu anataka kuudhihirishia umma kwamba yeye alikuwa zaidi ya wengine

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Місяць тому

      .

    • @salmaramadhan2725
      @salmaramadhan2725 Місяць тому

      😂

    • @salmaramadhan2725
      @salmaramadhan2725 Місяць тому

      Bibi Wa pili punguza mdomo,mbona alioa Wa tatu,huyo Wa 3 ndio alikuwa kipochi manyoya

    • @neamusic2601
      @neamusic2601 Місяць тому

      ​@@salmaramadhan2725Duh

  • @ObadiahKabulente
    @ObadiahKabulente Місяць тому +6

    Hapo mke ni mmoja WENGINE ni kupe wanyonya DAMU.

  • @RoyVarely
    @RoyVarely 26 днів тому +5

    Jina la kikrsto Maisha ya kiislam wanaume mwaminini Yesu ndo jibu pekee la maisha yako

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 26 днів тому

      Kuoa wake wengi sio kosa mitume karibu wote walifanya hivyo na mungu hajawahi wakosoa kuhusu hilo mana makosa mengine aliwaonya hii nijibu hakukuwa na kosa kuoa wake wengi ,kuhusu jina sauli sio jina la kisilamu kama ulivyo zema sauli ni jina lenye asili ya kiyahidi yupo mfalme alitawala isirael aiitwa sauli na hakuwa mwislam hivyo hapo pia umekosea

    • @starvista823
      @starvista823 26 днів тому

      Acha uongo wakristo kibao wanaoa wake zaidi ya mmoja

    • @walinaziontime7300
      @walinaziontime7300 24 дні тому

      Kamsome huyo sauli kwenye Bible alikuwa na wake wangapi? Alikuwa Dini Gani...?

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Місяць тому +16

    Pumzika Sauli! Kumbe ulitimiza Sunna ya wake wengi! Hongera kwako

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 27 днів тому +1

      Katimiza sunna kivipi wakati wakiristo huoa mke mmoja tu?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 27 днів тому

      @@mwawekomiuda9779 kwahiyo hao wengine sio wake zake?

  • @user-ym6hd7xh3g
    @user-ym6hd7xh3g 29 днів тому +7

    Kila mtu mume wangu
    Ni mume wa Monica aliyeanza naye maisha ninyi wengine ni wa kudangadanga tuu
    Mkewe yupo Chunya ninyi ndio mnakula maisha mjini
    Jamani dunia hiii

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu Місяць тому +20

    Ila mke wa pili ni nyoko sana, anavyojitapa utadhani yeye ndo alianza nae maisha ya chini wakati mwanzilishi yupo wala hana maringo, nawakati huohuo bi mkubwa ametwambia mke wa pili alifariki, so huyo anayesema niwapili kumbe niwatatu, nimempenda mke mkubwa nayule watatu ambaye hata siku ajali inatokea alikuwa anakatoto kake ndani ya gari

    • @juliennenzeyimana3274
      @juliennenzeyimana3274 29 днів тому

      Niwashenzi sana wake wadogo nanjo mana nimekataa yakufa sitokufa nachangiya bwana na mwanamke mwenzangu bora nitoke hawo wanakuja namambo mengi?usikute wari mtoa kafara?ya warimwengu ni mengi sana

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 16 днів тому

      Yani wew unaleta ujinga na wanaume wa sasahiv kwa unanzaje kuapa kwamba huta shea bwana na mwanamke mwenzio unajuahe kama anamichepuko ndo nyie wakuja kustukia bwana anamtoto nje ya ndoa Tena anamlipia ada shule ya private wakwako wanasoma kayumba

  • @darbusinessexpo
    @darbusinessexpo 28 днів тому +5

    Huyo wa 3 Mrembo sana,atawahi kuolewa tena

  • @ANGELUSLIJUJA
    @ANGELUSLIJUJA Місяць тому +12

    MKE WA PILI. ILO NI JAMBAZI. TENA ANAONESHA AKILI YAKE IMETAMANI MALI TU ETI MR SAULI UYO MUANGALIE AWA NDIO. WALETA MAGOMVI KATIKA FAMILIA NA NDUGU NI JAMBAZI KABISA

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 Місяць тому +33

    Kwa Jina la yesu epusha magomvi kwe Hii family 🙏

  • @davidpetro1637
    @davidpetro1637 Місяць тому +7

    marehemu hufa na chake jiandaeni 😢..poleni sana

    • @lainessmwombeki7919
      @lainessmwombeki7919 Місяць тому

      Ukweli mchungu

    • @rehaniabeta
      @rehaniabeta Місяць тому

      Mitazamo -

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 16 днів тому

      ​@@rehaniabetaSio mitazamo kama watanza kugombania Mali utashangaa zinaisha talatibu kwani wanawake tunajijua pia Mali haitak kelele

  • @neemakrekamoo4789
    @neemakrekamoo4789 29 днів тому +5

    Mke wa pili mweee na ujanja wote huo na maashuo ,bwana akakuolea Mke wa tatu qudadeq🙌

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 28 днів тому

      😂😂😂😂 wanawake zetu bhana naona mnakamind hako kapili mno

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 16 днів тому

      Nakwambia et hio namba nilikua najua mim tu wew kama nani

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 Місяць тому +4

    Dada Martha pole na msiba Mimi kakaako niko mbali tu uku naomba uvumile, Mungu akupe nguvu Dada angu tuko pamoja

    • @nth3512
      @nth3512 Місяць тому +1

      Nani kakwambia ujitangaze we n kaka ake?

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 Місяць тому

      Tuko msibani usinichekeshe😂😂​@@nth3512

    • @mohamedslh5478
      @mohamedslh5478 27 днів тому

      ​@@nth3512😅

  • @deboramsangi360
    @deboramsangi360 Місяць тому +3

    Mke wa pili hiyo namba unaijua wewe tu, wacha weee! Mbwebwe nyingi akati mke mkubwa wala hajikwezi mungu ambariki Mungu awasaidie tu

  • @user-zw9mi8fn3w
    @user-zw9mi8fn3w Місяць тому +5

    Mbona boss hana pis kali, au ndo sheria zetu.

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 28 днів тому

      Kwaiyo hapo hujaona uzuri wa hao wanawake? Acha hizo kijana

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 29 днів тому +3

    Wanawake ni wengi sana Wanaume jitaidin muwe kama marehem SAULI kuoa wake wengi ili kuwastiri Mungu atakulipa kwa hilo

  • @CandyVois
    @CandyVois 26 днів тому +2

    Duuuuuuu wak zak wa kawaidi san❤

  • @Gml-wi5nv
    @Gml-wi5nv Місяць тому +8

    Poleni

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Місяць тому +7

    ila wanaume 😢😢🙌🏻🙌🏻

  • @user-ih9ou6bx2n
    @user-ih9ou6bx2n Місяць тому +1

    Wanaume mungu anawaona watoto 16 poleni sana watoto kumi mama zao tuwasikie

  • @gracegeorge4848
    @gracegeorge4848 20 днів тому

    Mke wa 3.mzuri mashallah

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 29 днів тому +1

    Very innocent

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Місяць тому +3

    Rest in peace
    Kipengele kwenye Mali hapo mhhh m/mungu awape subra katika. Kugawana inshallah

    • @jumakessy7560
      @jumakessy7560 28 днів тому

      Kwanini waafrika mtu akita wanawaza kugawana mali, mwanzo wa ufukara huo

  • @annaamsi9463
    @annaamsi9463 24 дні тому

    Mungu atusaidie

  • @shabansaid2323
    @shabansaid2323 Місяць тому +1

    Poleni sana wafiwa.

  • @user-do2qp5fv9b
    @user-do2qp5fv9b Місяць тому +11

    Mke wa tatu ndo mzuri mke wa pili anaonekana mbinafsi namba yake hiyo nyingine naijuwa peke yangu

    • @salhamlanz9806
      @salhamlanz9806 Місяць тому +1

      Kweli kabisa kwann asinge waambia wenzie hili tatizo

    • @wasilaahmad7913
      @wasilaahmad7913 Місяць тому

      ​@@salhamlanz9806huenda ni kaongo hako

    • @user-gx4vx5ru2u
      @user-gx4vx5ru2u Місяць тому

      ​@@salhamlanz9806na kwanini yey tu ajue hiyo no lijambazi huyo

  • @AishaMwarabu
    @AishaMwarabu Місяць тому +1

    Daaa jmni ilaawasio wake niwazaziwezie apo mke nimmoja au wte walizaa tuu daa nmekumbuka mbli poleni Sana 😢

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 28 днів тому +1

    Napenda Sana Basi la sauli poleni

  • @stevencharles-di9yc
    @stevencharles-di9yc 28 днів тому +1

    mungu awatie moyo

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Місяць тому +54

    Sauli kafa lakini sababu ya mali wengi wataumia.bora angekuwa mke mmoja.waka 3 tutaona mengi.Mungu awatie nguvu wake wa sauli.

    • @ZainabItenya
      @ZainabItenya Місяць тому +14

      Huwezi Kua Na Mali arafu Uwe Na mke mmoja

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn Місяць тому +4

      Kwan familiy ya mke mmoja hautokei ugomvi

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Місяць тому +3

      Mke mmoja watu wanauana pia kama aliweka vyema kimaandishi inaweza kua na nafuu

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 Місяць тому +1

      Hakuna Asari yeyote inachotakiwa hapo mke mkubwa Asimame kiume kuwa simamia wanawake wezake Akisimama imara mke mkubwa watu wote ni machawa watabakia kuongopa kabisa

    • @user-ui4oh8gf8n
      @user-ui4oh8gf8n Місяць тому +8

      Mkirsto anakuwaje na wake watatu????

  • @farajaMezza-qn4be
    @farajaMezza-qn4be Місяць тому +37

    Wake zake kama vile wamefanana wote

  • @annanasoro3007
    @annanasoro3007 Місяць тому +2

    Huyo mke wapili ataleta shida baadae

  • @user-xq6rg2pb1x
    @user-xq6rg2pb1x 29 днів тому +2

    Kumbe wakisto wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja🤐

  • @sontrillthereal8186
    @sontrillthereal8186 Місяць тому +1

    Mimi sijaona walipokosea hao kina mama, ni wivu wetu tu wa Kiafrika😅😅😅😅😅

  • @PatrickDavid-l3p
    @PatrickDavid-l3p 25 днів тому +1

    Nimempenda bi mkubwa wengine palamia tu

  • @HerriThabiti-qd5rr
    @HerriThabiti-qd5rr 27 днів тому +2

    Kwani sisi wakristu ndoa za wake wengi ruksa? Nataka nijue maana namimi napenda

  • @ABDIMHINA
    @ABDIMHINA 28 днів тому +2

    Pesa imehalalisha mkisto kuowa wake watatu

  • @GloryLuvila
    @GloryLuvila Місяць тому +2

    Mungu awafunge mkanda ndugu zangu mulee watoto zenu km baba yao alivyo wapendwa mweeeh polen yupo mungu wawajane na baba wa yatima fungeni mkanda maneno ya nje msiyasikikize shilikianeni kuwalea watoto hao 😢😢😢Rest in pice baba Geda

  • @ConsolathaKicheleri
    @ConsolathaKicheleri Місяць тому +20

    HAPO MKE WAKE NI WA KWANZA .KIDINI

    • @jeffmap4038
      @jeffmap4038 Місяць тому +1

      Kwa iman yako wewe

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 Місяць тому

      Kidini mke ni mmoja hivyo ndo anamanisha yani huyo wa kwanza ndo serikali ndo wanamfamu upo ..unless angekuwa muislam​@@jeffmap4038

    • @janeobure3006
      @janeobure3006 Місяць тому

      Kwa dini yako. Lakini waislamu wao mungu ameruhusu wake wengi kwao siyo dhambi.kwa wakristo ndiyo dhambi.​@@jeffmap4038

    • @starvista823
      @starvista823 26 днів тому

      Dini gan

    • @user-us7oy4fy5l
      @user-us7oy4fy5l 25 днів тому

      Umeso wapi

  • @leahmwenisongole-yp7id
    @leahmwenisongole-yp7id 28 днів тому +2

    Mke wa pili wezi wanajua kujieleza mke halali ni mmoja tuuu eti tumejenga huku na kule duuuu

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Місяць тому +2

    Hya poleni sana mungu awape hkma mkae kwaamani.a

  • @leocadearzengo4606
    @leocadearzengo4606 Місяць тому +4

    Ila mke wa pili🙌

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 Місяць тому +3

    Mke wa pili huyo ninamashaka nae 😢😢😢😢 MUNGU azidi kuwasaidia,hii family

    • @LatifaMatayo-sz2cb
      @LatifaMatayo-sz2cb Місяць тому

      Mashak y nn

    • @fideamtenga212
      @fideamtenga212 Місяць тому

      Huyu mke wa pili ni mchawi labda kausika

    • @janetdundul3858
      @janetdundul3858 Місяць тому

      @@fideamtenga212 kwasababu katamka neno kwamba yeye kunanamba moja ambae anaijuwa yeye tuu jamani mke mkubwa MUNGU amsaidie

    • @LatifaMatayo-sz2cb
      @LatifaMatayo-sz2cb 29 днів тому

      @@janetdundul3858 afu pia uyo wa pili anajishaua sanaa Yani inavoonesha bwana uyo ndo akiemckliza n kumjal sanaa

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 24 дні тому

    Nasikia huko akhela ukiwa muislamu utaenda kupewa wake wengine 70 kama ni mkristo ndo imekula kwako duhh

  • @annathomas-wy8yt
    @annathomas-wy8yt Місяць тому +6

    Halafu wote karibia wanalingana,duh,

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 24 дні тому

    Kwani ukristo unasemaje kuusu wake watatu

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 Місяць тому +2

    Hata kusikitika hakuna kwel mke mmoja anafaa bana.

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 29 днів тому +2

    Yaani Mke mdogo anasema mji mkuu ni Mbeya alikokua anaishi nae yeye?😮😅 Haijalishi Mke Mkubwa anaishi nyumba ndogo kwa umbo kwa namna yoyote, ule ndio Mji Mkuu

  • @jemimabakari
    @jemimabakari Місяць тому +5

    Mke wa pili kama mbinafsi hivi😭

  • @hassanmkangwa2062
    @hassanmkangwa2062 28 днів тому +2

    Kumbe siku hizi wakiristo wanaoa mke zaidi ya mmoja.

  • @user-pm7pj6zi6q
    @user-pm7pj6zi6q Місяць тому

    Pole sana

  • @abdalahzungu6264
    @abdalahzungu6264 29 днів тому +1

    Kumbe wakristo nawao wanakua na mke zaid ya mmoja?!!

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed Місяць тому +8

    Mkristo anakuaje na wake 3 au mihepuko

    • @esterMahenge
      @esterMahenge Місяць тому

      Shangaa na wewe wanaoji ata michepuko😂😂😂

    • @neemagodfrey9734
      @neemagodfrey9734 Місяць тому

      Aloo

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 Місяць тому +1

      Wapo wengi tu,,,Wa kwanza huwa wa kanisani na hao wanaobaki inafungwa kimila.

    • @Marlin-pb1ru
      @Marlin-pb1ru Місяць тому

      ​@@jamesmzaki6041wakristo hatutambui ndoa za kimila wala kiserikali mke ni mmoja tu hao wengine ni wazazi wenzie

    • @storytime1204
      @storytime1204 Місяць тому

      ​@@jamesmzaki6041khaa hyo sio ndoa sasa wa kwanda ndio mke hakuna ndoa za kimila wala mahakamani ni ujinga tu

  • @SaniaIdrisa
    @SaniaIdrisa Місяць тому +21

    Wake wakavuuuuu

    • @FrolaMrema
      @FrolaMrema Місяць тому +3

      Uhakika wa kula upo😅

    • @SaniaIdrisa
      @SaniaIdrisa Місяць тому +1

      @@FrolaMrema 😂😂😂hamnaga amani mtu akifa na Mali ni wachache Sana wanaoacha Mali mambo yakawa mazuri Kwa familia zao

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 Місяць тому +8

      Ukishaoa zaidi ya make mmoja umeita kifo nyumbani kwako. Madhabahu zao wanakuja nazo kwako na zikianza kupigana wewe utakuwa wa kwanza kufa.

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu Місяць тому

      ​​@@sophiemsuya6507uongo

    • @SadickHusein
      @SadickHusein Місяць тому

      Acha unafiki ww​@@sophiemsuya6507

  • @NahyaSalumu-oc7yw
    @NahyaSalumu-oc7yw 18 днів тому

    Wake zake wote visu

  • @yustaishengoma8526
    @yustaishengoma8526 Місяць тому +9

    Jina la sauli jaman, usije ukamwita mwanau sauli wanapenda wanawake hatari

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 Місяць тому

    Sauli ka enjoy life

  • @EsterPaul-jt5im
    @EsterPaul-jt5im Місяць тому +1

    Ngoja nitafute hera mimi uke weza hapana cwezi najijua akili yangu

  • @Kibaadvocate
    @Kibaadvocate Місяць тому +28

    Ila wanaume jamani kutulia ndio hawawezi,,,mtu kahangaika na mke wake kutafuta maisha lakini akishapata wazo analoliwaza ni kuongeza wanawake😢😢😢😢

    • @TBCLINICKYELA
      @TBCLINICKYELA Місяць тому +2

      Kuna sehemu wanakataza kwenye Biblia kuwa na mke zaidi ya mmoja?

    • @esterkiyongo2316
      @esterkiyongo2316 Місяць тому +3

      ​@@TBCLINICKYELAndio

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn Місяць тому

      ​@@esterkiyongo2316ni sehem gani hiy

    • @sarafinaluvanda6236
      @sarafinaluvanda6236 Місяць тому +4

      ​@@TBCLINICKYELA ndio ipo. Wakorinto mtume paulo anasema kila mwanaume mmoja awe na mke wake yeye mwenyew na kila mwanamke awe na mumewe. Kasome wakorinto

    • @samwa9496
      @samwa9496 Місяць тому

      ​@@esterkiyongo2316mi naona yeye alienda kama wazazi wetu wa zamani, wakani yupo na wa mila wapo, moyo unatamani na pesa zipo, amekosea masharti zimemramba

  • @rodjeje5479
    @rodjeje5479 Місяць тому +7

    Kulikua na haja ya kusema namba naijua mm tu..

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 Місяць тому

      😂😂 hapo ndio wanaume wanajuaga kucheza na akili za wanawake wasiojielewa kamwambia namba unaijua wewe tu, kumbe kila mwanamke kaambiwa neno hilo hilo na alipokufa taarifa ya Kwanza kapewa mke mkubwa, nyie wanaume acheni hizi mdada alijiaminisha kumbe hayuko peke yake😂😂

    • @asmetkevtz
      @asmetkevtz Місяць тому

      Anazijua haki zake ndio mana kasema yeye tu!

  • @user-ds5tf9xx1d
    @user-ds5tf9xx1d Місяць тому

    Rip baba wa family ......

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 21 день тому

    Mke wa pili kudadadek kitawaka baada mazishi kuisha, mbinafsi sn ety NO nilikua naijua mie 2 khaaa.

  • @judithkisavanga7244
    @judithkisavanga7244 Місяць тому +15

    Ila mke wa pilii😊😊

    • @claudia1500
      @claudia1500 Місяць тому +1

      Yani ni selfish kweli😂

    • @Ajijji12
      @Ajijji12 Місяць тому +1

      Eti Namba ya sim ya mimi na yeye tu 😅

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 Місяць тому +1

      Kibuyu sana aiseeee huyo hata kulea watoto wa mke mwenzie hawezi

    • @jabelijigs6342
      @jabelijigs6342 Місяць тому

      Kipengere Kwa kweli 😂

    • @jabelijigs6342
      @jabelijigs6342 Місяць тому

      Utoto mwingi

  • @tausimwaluvalile6491
    @tausimwaluvalile6491 Місяць тому +8

    Ila kimke Cha pili kiongo nyie,eti namba ninayoijua Mimi tu 😅😅😅ila jamani

  • @ismailwiliam385
    @ismailwiliam385 Місяць тому +5

    Si mnaona wanawake wa boss kubwa hakuna slay queen, eeeh inafikirisha eeeh

  • @abdijecha6932
    @abdijecha6932 Місяць тому +7

    Wafiwa nawaogopa mhhh hats chozi

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 Місяць тому

    AHYAAA:: milad ayo .. UMEANZAJE KUBADILIJINA? Dolika mbwile kuja debora mbwilo❓.. au nijinamoja ilo🙆🏻‍♂️

  • @DareAziz-g3s
    @DareAziz-g3s Місяць тому

    Hawajabagua mtu wamewaka wote watatu vzr sana

  • @user-gg4kw6le3b
    @user-gg4kw6le3b Місяць тому +4

    Umalaya tu na tamaa za mali ngoja muone cha mtema kuni na hivyo vifaranga😂

  • @samwa9496
    @samwa9496 Місяць тому +5

    Walikuwa wanapenda jamani msiingilie kama walikuwa hawana ugomvi

  • @hawaa341
    @hawaa341 Місяць тому +6

    Hapo kwenye wake 3 mkiristu lini tena

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Місяць тому

      Ni kwa sababu ya hela

    • @user-tc9vi3ow3n
      @user-tc9vi3ow3n Місяць тому

      Mkiristu ukiwa na ela unaluhusiwa kuwa na wake zaidi ya Mmoja, ukiwa una ela ni mke Mmoja tu,

    • @wazirimakua12
      @wazirimakua12 Місяць тому

      ​@@user-tc9vi3ow3n😂😂😂

    • @hapi6113
      @hapi6113 Місяць тому

      @@user-tc9vi3ow3n ahahahaha yan din inaubaguz sana angekuwa masikin asingesaliwa kabisa ila tajir ni kama hamn kosa

    • @FrankKashamakula-xb1pc
      @FrankKashamakula-xb1pc Місяць тому

      ​@@user-tc9vi3ow3nnani alikudanganya kwenye Ukristo io ni udhinifu mke ni 1

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 Місяць тому +1

    Mke wa pili mnafiki sana😂

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Місяць тому +12

    Nyie Wanawake poleni ila hata choz kutililika hamna

  • @Ayshernasolo
    @Ayshernasolo Місяць тому

    Mke wapili akewe ulinzi maneno yote anamalza yeye alfu yupo busy na cm😊😊😢

  • @jerryanton9224
    @jerryanton9224 Місяць тому

    Pesa za maelekezo hazidumu

  • @upendomumba4827
    @upendomumba4827 Місяць тому

    Mke mmoja mahawala wa2

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 Місяць тому

    Rip sauliiii

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Місяць тому +2

    Halafu nyuso zao mungu kazitowa kope maana kope ndio zenye kuleta aibu hata chozi jamani

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 28 днів тому

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
      Nimecheka kwasauti jaman
      Eti ximetolewa kope

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 28 днів тому

      @@abdulkarimabdallah9536 we ndugu huwaoni kama hawajafiwa vile

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 Місяць тому

    Kumbe adi wakristo wanaolewa watatu

  • @annanasoro3007
    @annanasoro3007 Місяць тому

    Mpo wangapi sasa tumeona wakwanza mara wapili alifariki tena hooo minimke wapili sijaelewa

  • @RichardmwisalileghambiRichardm
    @RichardmwisalileghambiRichardm 24 дні тому

    Ongera mke wa kwaza kuwapokea wake weza

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo Місяць тому

    Poleni.what next?

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 Місяць тому

      😂😂😂😂Mali kurudi kwa wenyewe ama🤔

  • @blandinapeter7004
    @blandinapeter7004 Місяць тому +5

    Kwa hyo mke wa pili anajifanya alikua anapendwa kuliko wa kwanza? Mpka aseme mji mkuu ndo aliokua anaish yy na saul mfyuuu

    • @user-pz9yp4em6e
      @user-pz9yp4em6e Місяць тому +1

      Ila wew wanfanya nmecheka jmn.

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Місяць тому +1

      Ata mi meshangaa uyu dada😂

    • @miriyamasanja6766
      @miriyamasanja6766 Місяць тому +3

      Ana umimi huyo mke wa pili

    • @blandinapeter7004
      @blandinapeter7004 Місяць тому

      @@miriyamasanja6766 sanaa

    • @jostamzxkaole3113
      @jostamzxkaole3113 Місяць тому

      Kasema mumewangu🙆🏻‍♂️..ila kawatajawoote na kasema watoto ninaowengi (kaunganishawatotowoote)

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Місяць тому +1

    Mweee!!

  • @Naju645
    @Naju645 28 днів тому

    😅😅et namba nilikua naijua mm Tu jaman wake wadogo mbwembwe

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 Місяць тому +2

    Hata wakiristo wamekuwa kama wais𝕝𝕒mu kujaza wake tu pindi akipata mali😢😢😢😢 shida yao n nn hasa lkn mi nilikimbia ckutaka ujinga

    • @msarama5406
      @msarama5406 Місяць тому +1

      Ni nature ya maumbile utakimbia sana sijui utenda wapi tena

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 Місяць тому

      @@msarama5406 𝕟𝕚𝕜𝕠 𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕪𝕒𝕟𝕘𝕦 𝕜𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕤𝕒 𝕟𝕒𝕝𝕚𝕖𝕒 𝕨𝕒𝕥𝕠𝕥𝕠 𝕨𝕒𝕟𝕘𝕦 𝕟𝕒𝕞𝕚 𝕟𝕚𝕞𝕖𝕥𝕒𝕗𝕥𝕒 𝕞𝕒𝕝𝕚 𝕪𝕒𝕟𝕘𝕦 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕨𝕒𝕠 𝕟𝕕𝕠 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕗𝕒𝕟𝕪𝕒 𝕜𝕦𝕥𝕦𝕜𝕠𝕞𝕠𝕒 𝕝𝕜𝕟 𝕤𝕚 𝕞𝕞 𝕟𝕚𝕜𝕠 𝕥𝕒𝕪𝕣 𝕜𝕨𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕜𝕦𝕪𝕒𝕛𝕚𝕓 𝕙𝕦𝕜𝕠 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕦𝕞𝕖 𝕟 𝕨𝕖𝕟𝕘𝕚 𝕡𝕚𝕒

    • @AbdulMaeda
      @AbdulMaeda 29 днів тому +1

      Tafuta ela

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 29 днів тому

      @@AbdulMaeda 𝕨𝕖 𝕤𝕚 𝕞𝕨𝕒𝕟𝕒𝕦𝕞𝕖 𝕟𝕕𝕠 𝕚𝕟𝕒𝕥𝕒𝕜𝕚𝕨𝕒 𝕦𝕥𝕒𝕗𝕥𝕖 𝕡𝕖𝕤𝕒 𝕟𝕒 𝕤𝕚 𝕖𝕝𝕒 😄🙄𝕄𝕚 𝕟𝕚𝕜𝕠 𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕪𝕒𝕟𝕘𝕦 𝕤𝕚𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚 𝕞𝕨𝕒𝕟𝕒𝕦𝕞𝕖 𝕞𝕨𝕖𝕟𝕪𝕖 𝕥𝕒𝕞𝕒𝕒 𝕫𝕒 𝕜𝕦𝕠𝕒 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕨𝕒𝕜𝕖 𝕨𝕖𝕟𝕘𝕚 𝕛𝕦𝕦 𝕪𝕒 𝕥𝕒𝕞𝕒𝕒 𝕞𝕚 𝕞𝕨𝕒𝕟𝕒𝕦𝕞𝕖 𝕒𝕜𝕚𝕥𝕒𝕜𝕒 𝕞𝕒𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕟𝕞𝕚 𝕒𝕛𝕚𝕡𝕒𝕟𝕘𝕖 𝕜𝕚𝕗𝕖𝕕𝕙𝕒 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕙𝕒𝕨𝕖𝕫𝕚 𝕒𝕜𝕒𝕗𝕚𝕖 𝕞𝕓𝕖𝕝𝕖 𝕙𝕦𝕜𝕠🙄😏

  • @SashaOscar
    @SashaOscar 29 днів тому

    Daaah huyu mke mkubwa jmn anatia huruma xana 😢😢

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 28 днів тому

      Ndio mwenye uchungu hawa wengine wala mali tu mwenzao katoka nae mbali

  • @SarahNambela-m1v
    @SarahNambela-m1v Місяць тому

    Eti namba naijuwa mimi tu Huyu mke wa pili anaonekana kama ni mzingo zaindi ya ngunia ya mchele

  • @stelapius9604
    @stelapius9604 Місяць тому +1

    Huyu mke wa pili anajikuta mmmh

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 27 днів тому

    Inaonekana mke wa pili alimwamini na alimshirikisha vitu vingi kuliko wengine,,hadi alikuwa na namba ya siri ya Mr

  • @user-vn4er5rd6j
    @user-vn4er5rd6j 29 днів тому

    Mbona mkristo anawezaje kuwa na wake watatu😢

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 28 днів тому

      Hili ndo swali hata mmi najiuliza qu ngoja tuwaulize wenyewe

    • @alicemwanjali1833
      @alicemwanjali1833 27 днів тому

      ​@@abdulkarimabdallah9536atakua anasali kanisa la mitume ni wakristo ndio unapoingia kwenye dini yao uwe tayari umeoa wake watatu ,hata watano ila huruhusiwi kuoa tena

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 Місяць тому

    Huyu jamaa kaenda kuzimu moja kwa moja yaani wake watatu?😂😂😂😂

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Місяць тому +3

    wake wamefiwa juzi tu lakini wakavu hapo wanawaza mali tuu

    • @kautharabusazi707
      @kautharabusazi707 Місяць тому

      Ulitaka wawe ICU????

    • @user-do6pw7fz8t
      @user-do6pw7fz8t Місяць тому

      Kama kafa nazo je!? Si mpaka ujue alizipataje! Kama za shetani anayeyuka nazo my friend! shetani hana cha kudumu hata siku hii!! Ni viini macho tu/ mazingaombwe.

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 29 днів тому

    Ila mke wa pili mmmmh

  • @EmmanuelDominic-rb8bf
    @EmmanuelDominic-rb8bf 29 днів тому

    Mke wa kwanza na wa tatu nimewakubali sana hawana mambo mengi ila huyo mke wa pili sasa ngonjera nyingi sana

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Місяць тому +1

    Sasa huu sio mwislam kwanini wake zaidi ya mmoja? kumbe kweli mke mmoja hatoshi!🤨

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 24 дні тому

    Makafiri mtafakari muhsmie kwenye dini yahaki