TRAINING: Ufugaji wa Samaki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @mrakida
    @mrakida 4 місяці тому

    ili uwe na bwawa 6 za ukubwa wa 30mx20m ina maana uwe na eneo lenye 3600 square meters kama sijakosea ..Kwa maana hiyo eneo karibia na heka moja ..Naomba ushauri zaidi kama nimekosea hesabau apo..Maana kama ndio ivyo basi ufugaji wa samaki kibiashara ni grama sana maana wakulima wadogo hawana maeneo kiasi icho

  • @fredrickouma-s2q
    @fredrickouma-s2q Рік тому

    Mafunzo mazuri , nambari ya mawasiliano

  • @evangomera9565
    @evangomera9565 Рік тому

    Number ya uwasiliyano

  • @emmyshya-year9600
    @emmyshya-year9600 5 років тому +3

    tunashkuru kwa darasa zuri sana nimependa. Ila hilo li mziki linakera..lina saut ya juuu sana had kero.

  • @lameckmathias1188
    @lameckmathias1188 4 роки тому +1

    Kifaraga kimoja cha samaki aina ya sato na kabale ni sh. Ngapi pia mawasiliano yenu Jamani ni mhimu na mnapopatikana

  • @hassansiraji8648
    @hassansiraji8648 4 роки тому +1

    Vep maji yanatakiwa yabadrishe kila baada ya muda gan

  • @jabirnalicho6218
    @jabirnalicho6218 2 роки тому +1

    Nashukuru sana kwa elimu nzuri

  • @mankappy2017
    @mankappy2017 4 роки тому +1

    Shukran kwa darasa , namba ya simu kwa mawasiliano zaidi tafadhali

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 роки тому +1

    nikweli kaka endelea hivo hivo kutuilimisha kwa mambo kama hayooo.

  • @trendingworld7613
    @trendingworld7613 2 роки тому

    jaman mi sielew mnaposema samaki wanne sijui watano mnamaanisha nn 🙄

  • @evangomera9565
    @evangomera9565 Рік тому

    Nahitaji elimu ya ufugaji wa samaki

  • @anyangograce1465
    @anyangograce1465 5 років тому +2

    Mm nina eneo na nina maji

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 3 роки тому

    Jamaniii naomben msaada, nataka kufuga samaki

  • @gidombawala3111
    @gidombawala3111 4 роки тому

    Nadhani mabwawa Madhuri ni ya kujenga

  • @anyangograce1465
    @anyangograce1465 5 років тому +1

    Mnapatikana wp na no zenu he zapatikanaje

  • @bwerumaster6691
    @bwerumaster6691 4 роки тому

    Kama umevuna maji ya mvua au kisma bado unahitaji kibali??

  • @gladymwaipopo5002
    @gladymwaipopo5002 3 роки тому

    Mnapatikana wapi

  • @traffrocky5081
    @traffrocky5081 4 роки тому

    Watu tunaitaji namba

  • @joycepaul8848
    @joycepaul8848 4 роки тому

    Tunapataje namba zenu

  • @juliethscott1129
    @juliethscott1129 4 роки тому

    Namba ya simu please

  • @williamftairo3475
    @williamftairo3475 4 роки тому

    Chakula cha samaki ni kipi na tunakipataje?

  • @suleimanmbarouk650
    @suleimanmbarouk650 4 роки тому

    Good

  • @uwezomazongera7819
    @uwezomazongera7819 4 роки тому

    this is gud and impressing

  • @simakeexavery3260
    @simakeexavery3260 5 років тому

    Shukrani

  • @martinaswai1347
    @martinaswai1347 5 років тому

    Asante Sana mtaharamu wetu

  • @godifreypaul9409
    @godifreypaul9409 4 роки тому

    Mnapotaka kuwaelimisha watu,tafuteni MTU mwenye ufahamu,mzoefu wa kuelimisha.MF.kifaranga kimoja sh,ngapi.bei ya chakula,mmoja anaanzia na sh,ngapi akikuwa.Kibali cha maji,kuna watu wanavuna ya mvua,ulaji wao kwa siku,nk.

  • @godfreylaroya4480
    @godfreylaroya4480 5 років тому

    Asante sana nimekuelewa