UKHT SHARA AMSOMEA QASWIDA MUMEO LIVE HOLINE NA KUWAKOMESHA WAMBEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • #gharirionline #algharirvideo #ukhtshara

КОМЕНТАРІ • 55

  • @aliforlan
    @aliforlan Рік тому +16

    Subhaanallah, Kasomen dini ndugu zang hio so mila za waislam .Acheni kabsa Taften radhi za Allah sw.

  • @HusseinMohamed-jq7hu
    @HusseinMohamed-jq7hu Рік тому +3

    Inallillah waina ilayhi rajuuun Allah SW atufanyie wepes

  • @madamshifaa8503
    @madamshifaa8503 Рік тому +5

    Duuuuh wanawake WA kiislamu tunapoelekea ni pabaya tutaenda kujibu huko subhanallah 😭😭😭😭😭

  • @sleymankhatib4440
    @sleymankhatib4440 Рік тому +4

    Astaghfirullah ndio ukht uyo mtoto wa kiislamu harusi yako unajipigia tarabu mwenyeo, ndio mana ndoa zinakua hazidumu munamkera mola wenu, ukht Shara nakuonea huruma omba msamaha kwa mola wako

  • @MariamHassan-j3k
    @MariamHassan-j3k 10 місяців тому

    Honger ukht shara mungu awape maisha marefu muwe wa wa kufa kuzikana🫶🫶👌👌❤️❤️

  • @SaidWaKonde
    @SaidWaKonde Рік тому +6

    Hizo sio qaswida ni tarabu za enzi tukiskia tunajua muda ya chuoni na skuli 🎉

    • @princekheir7267
      @princekheir7267 Рік тому +1

      Kwan nan hajui km hio ni nyimbo acha ufala uo we kaz kuangalia na kucomnt km wataka pamoja na like

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Рік тому

      Ahahahaheeeeeeee😂😂😂😂

  • @UmmuhAmina-du4or
    @UmmuhAmina-du4or Рік тому +2

    Hata hujapendeza mwaya unge yafanya ndani kwako mim ningekupa mashaallah lakini hapo hamnakitu dada angu shara

    • @UmmuhAmina-du4or
      @UmmuhAmina-du4or Рік тому

      Sjui Hawa wanakuaga wanafata mkumbo sio wawo kuto kujielewa

    • @UmmuhAmina-du4or
      @UmmuhAmina-du4or Рік тому

      Maukhuti zangu jieleweni ktkt uwisilam wenu mapenzi yako wote mpe mumeo chumbani sio uwajani

  • @salehhaji-yo7lu
    @salehhaji-yo7lu Рік тому +1

    Mashaallah Ukhty shara Allah akup lil la kheri katk ndoa yak

  • @Aisha-zz4xy
    @Aisha-zz4xy Рік тому +2

    Subuhana llah hiyo sitaarabu jamani

  • @HusnaAbdallahAbdallah-qu9ms
    @HusnaAbdallahAbdallah-qu9ms Рік тому +1

    Masha Allah umependeza ukhty shara

  • @KhamisiKassim-s1q
    @KhamisiKassim-s1q 10 місяців тому

    mashaallah kumpata muume hb

  • @BimkubwaThabit
    @BimkubwaThabit Місяць тому

    Mashallah ukhty shara 😂 🙌

  • @FATUMACHONGA-vu1hf
    @FATUMACHONGA-vu1hf Рік тому +1

    Hii taarab au qaswida

  • @asyaisultan2069
    @asyaisultan2069 Рік тому +2

    Sauti nzurii mashallaah lkn huku paswa kumuimbia mbele ya hadhara hayoo ni mambo ya makafiriii alafu unajiita ukhti gani wewe any way sishangai Sana maaana ya ukhti ni Dada kwa iyoo sijui unatufunza nini hapoo Dada Eti duuuuhhh tubu kwa mungu Wako yy ni mwenye rehma na mwenye huruma kukusamehe hashindwdiiiii

  • @ahmedcantona4580
    @ahmedcantona4580 Рік тому +1

    Ukhty shara amuimbia taarabu mumewe

  • @hapsaail6693
    @hapsaail6693 Рік тому +1

    Subhaanallah

  • @TurkanCalender
    @TurkanCalender Рік тому +4

    ASTAGHFIRULLAH LAZIM WA ATUBU ILAIHI MIMI KMA NINASAUTI HIYO NAMUIMBIA MUMEWANGU NDANI

  • @MbozaMwazuzu
    @MbozaMwazuzu Місяць тому

    ❤❤❤

  • @aminasija8441
    @aminasija8441 Рік тому

    Maisha mema ukhty zuchu

  • @MtumwaMakame-ru8tq
    @MtumwaMakame-ru8tq Рік тому +1

    Aaaaaa , mmeisha tofautisheni kati ya kaswida na nyimbo , hii nitarabu safi bila tochi

  • @ahmedmuhhamed8754
    @ahmedmuhhamed8754 Рік тому

    Allah akujaalie kil l kheri kweny ndoa yk Dada yng lkn musijibadilishe majina mukishafikia kuwango CH kuw mastaa jiite jin lako n ulipolelew uoathamini n waluokulea pia uwathamini

  • @UmmuhAmina-du4or
    @UmmuhAmina-du4or Рік тому +1

    Onesheni mifano mizuri ktk jamii kwa mtuakiolewa kajistili juba nagauni lisilokua na marembolembo nakamaunajipodoa ufiche ulicho kupaka ndo Sheria ya kiislmu

  • @nassrajaffar5386
    @nassrajaffar5386 Рік тому +1

    Mashaallah

  • @tatubwasheh4384
    @tatubwasheh4384 Рік тому +1

    Maisha mema ukhty

  • @UmmuhAmina-du4or
    @UmmuhAmina-du4or Рік тому +1

    Nakwamungu unazima maana wew umesoma madrasa mwalimu wako alikufundisha kujistili mwili na mengine hapo hamna kitu

    • @thuwaybah5679
      @thuwaybah5679 Рік тому

      Yaan nguo mtihan yuko waz mbele ya ummat wa watu

  • @UmmuhAmina-du4or
    @UmmuhAmina-du4or Рік тому +2

    Ndo mana ndoa nyingi hazidumu wenyewe tunakosea njia

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 Рік тому +1

    Hio sio qasda

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +1

    Kumbe umeolewa hongera kwa sara😅

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому

    Ulidamshi kipenz ❤

  • @kimwanachangani3922
    @kimwanachangani3922 11 місяців тому

    C qaswida Tena hizo ... ni Taarabt...iblis huyo ashawachanganya jamani ...ukhty law ufikirie

  • @mishikombowato1457
    @mishikombowato1457 Рік тому +1

    Kharamu dadaangu japo najua nifuraha ya ndoa umepata ila katubu dada omba masamaha kwa Allah haramu hiyo unayoifanya

  • @ماتيماتنزانياا
    @ماتيماتنزانياا Рік тому +1

    Hiyo sio kawaida ni nyimbo

  • @sleymankhatib4440
    @sleymankhatib4440 Рік тому +1

    Na nyinyi wanume hamuna akili kuingiza maholini mbele ya wanawake aibu tupu musipelekeshwe nyie

  • @HusseinMohamed-jq7hu
    @HusseinMohamed-jq7hu Рік тому

    Yaan ndigu zangu WA kiislam tunapinga Aya ya Allah SW inayosema Wala musionyeshe mapambo yeni isipokuwa Kwa waume zenu SS tunafanya mm halafu tunajiita maukhty mtume Saw anasema hakika ya kujistir hakupunguz k2 ktk uzur wako SS kama hatujakaa na nguo ambazi sizo hatujaridhika bd turudini Kwa Allah SW jamani akhera kuzito sana

  • @ruusal4777
    @ruusal4777 Рік тому

    Hamna mwari apo😢😢😢

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому

    Sasa mbona naona habari za msiba ameolewa tayari juzi na amekufa🤔🤔

  • @sleymankhatib4440
    @sleymankhatib4440 Рік тому +1

    Tena ata aibu huna wewe na mumeo apo ovyoo

  • @abdulqadirofficial9295
    @abdulqadirofficial9295 Рік тому +1

    Hiii qasda au nyimbo?

    • @princekheir7267
      @princekheir7267 Рік тому

      Vanga ilo

    • @user-ni8jj1cr1t
      @user-ni8jj1cr1t Рік тому

      Kasda za sasa nyimbo tu

    • @princekheir7267
      @princekheir7267 Рік тому

      Izo sio kasida mzee ufaham jiambie kwanza mnakua mnatuharibia majina tu kwan cc tulisema qasida iyo ni burudani tu ukhty kaamua kuimba

    • @aydamohamed4508
      @aydamohamed4508 Рік тому

      @@princekheir7267 mbn mmeandakia hpo ukhty amsomea mumewe qaswida,..hakuna qaswida hapo Allaha awasamehe n atuongoze vema waislam wote

    • @salehhaji-yo7lu
      @salehhaji-yo7lu Рік тому

      ​@@princekheir7267nasru ipo sherehe ya van maan mwenzan huy c huw munamfanyia sherehe mwenzen

  • @aminasija8441
    @aminasija8441 Рік тому

    Maisha mema ukhty zuchu

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤