Nigeria utimu upo sana lkn wapo kibiashara sana kuliko chuki, industry ya muziki Nigeria ipo kupush sana kazi za wasanii wao tofauti na Tanzania, Media nyingi kubwa zimechangia kugawanya wasanii na kuwashusha kimuziki pale wanapodai maslahi yao.
It is interesting that Director Keny said the same thing as what Lukamba said in one interview he did. In short WCB hakuna hela msidanganyike.....what Lukamba said he was tired of looking big out there lakini in real life he was struggling to even looking after his close family when they needed urgent help.🤦♀️
Ila ukweli kule kung'aa hakuna na amepungua! Mnaosema Wasafi hakuna pesa lakini basi kuna kaupepo wakiwa pale wanaonekana! Angalieni Mavoko! Harmonize amshukuru saba Sarah!!
kwanini watu wanakua wanfki sanaa yaani jamaa daimond kampa exposure kubwa sana lakin anazuga duhh maisha yanaenda kasi sana woote waliokua wakubwa hao maproduser, madirector walikua wamepewa na nahuyo kijana kwanini mtu usiapriciate
Acheni kukariri vitu nyie hv kwani huyo Mondi munamuona kama mungu eeh ndo anagawa Ridhiki? Yn mmemsahau Mungu kua ndo mgawa Ridhiki hapa Duniani, Nyie ndo wakwenda kumsujudia Na maboxsa Getini Daaaaahhhh, Na hiyo yote inakuja kutokujiamini kua Bila yeye ww huezi kusonga mbele
D. Kenie anaoneka kuwa na busara nyingi Sana. Big-Up Mungu akubariki. Sana.
NAPENDA SNS SANA AJILI WATANGAZAJI WANAJUA KUULIZA MASWALI MAZURI TENA YAMANA. D KENNY YOU ARE THE BEST BRO
Well done Kenny, kumbe ulikuwa unasoma.
Nakukubali Derector kenny from🇰🇪🇰🇪 na hayo maji kunywa yote Mzee Baba😂😂😂
I'm so interest with Director Kenny, keep going DK.
Hii interview mbovu kenny hajui kujibu maswali vzri anazunguka sana
Very intelligent guy, thanks Kenny. kkkombo Isle of Man 🇮🇲
director kenny nakubali❤
Nigeria utimu upo sana lkn wapo kibiashara sana kuliko chuki, industry ya muziki Nigeria ipo kupush sana kazi za wasanii wao tofauti na Tanzania, Media nyingi kubwa zimechangia kugawanya wasanii na kuwashusha kimuziki pale wanapodai maslahi yao.
Well said
It is interesting that Director Keny said the same thing as what Lukamba said in one interview he did. In short WCB hakuna hela msidanganyike.....what Lukamba said he was tired of looking big out there lakini in real life he was struggling to even looking after his close family when they needed urgent help.🤦♀️
Nani kakudanganya eti WCB hakuna hela? 😂😂😂😂
Hela ipo kubwa sana ila vijana wana tamaa. Pale hela inapokuja vijana wanataka hela yote iende kwao bila kujua kuwa kuna watu wameinvest.
Hakuna Hela wanakupa Umaarufuu tuu
@@MrTop-wj7no read between the lines when you listening to interviews .. siyo lazima waseme NIMETOKA WCB SABABU NILIKUWA SILIPWI VIZURI 🧐Stupid
@@bongoupdatestv9322 nonsense.... hakuna hela! Kwanini uondoke sehemu yenye hela??
Sema @sky uko vizur sana big up bro🔥🔥
Nakubal👍👍
🗣Big Up DK👍🤜🤛🤝👌....
Yuyu journalist napenda Sauti yake sana
Seriousness haipo kwake smile ni nyingi kuliko ni Kama hakujiandaa hv
Kenny hataki kutoboa ngoma hhhh hukuachana na mondi kirahisi
Ila ukweli kule kung'aa hakuna na amepungua! Mnaosema Wasafi hakuna pesa lakini basi kuna kaupepo wakiwa pale wanaonekana! Angalieni Mavoko! Harmonize amshukuru saba Sarah!!
Kwani Sara ndo alompa pesa hebu fatilia waliompa pesa alikuw balozi Wa kampuni ndo waliompa pesa
Ni Sana sio Saba🤔 alafu kunenepa sio sifa aisee😂 msiwasujudu watu kiasi hiko sawa Kuna ushabiki lakini huu mnaoonyesha ni utumwa mnawatumikia watu
@@Oldskulgemini9991 hawa ndo wale wanojidhalilisha kusujudia watu pesa ni popote alipoandikiwa kupata wasafi wanakuonda km mbinguni ushabiki mbaya
Kwani Yeye ni mungu au unajifanya kujiongelesha pumba hapa
Sio Mungu! but Sarah! lol kweli vijana mnaamini kubebwa na wanawake, poleni. Glad didn't raise kids in that Country to believe that way.
Boss pambana tumpate Diamond 💎 coz I hope una show itakuwa Kari sana...
Sana wakwetu
Following from kenya
Sura pia imebadilika
kwanini watu wanakua wanfki sanaa yaani jamaa daimond kampa exposure kubwa sana lakin anazuga duhh maisha yanaenda kasi sana woote waliokua wakubwa hao maproduser, madirector walikua wamepewa na nahuyo kijana kwanini mtu usiapriciate
Dah kwan uyo mondi ulishawai kusikia anawaapreciate walompush
@@magidachimija5599 asante kwa jibu
@@magidachimija5599 umempa jibu safi
Kama ujui mzk tulia harmo ndo alimtoa uyu jamaa akiwa wasafi
Uyo ndie binadamu ukimsaidia mtu saidia tu
Sky una ushushushu flan iv
Truth be said Sky, he's not having the same clout that he used to when he was working with wasafi. He's not Kenny that we knew.
Who cares about clout...?he doesn't need that his talents speaks for him! 💯
@@m___ck799 💯
@@m___ck799 very true...
Fact is he has more money right now than then.... Jina bila hela halisaidii
@@m___ck799 Haven't said anyone cares, do you even know what it means to have a command of clout
Keny mbona kama kamnyweso vile nani mwingine kaona ?
Jamaa kapaukaaa
🤣🤣🤣🤣🤣 pau
Mtu sana wewe Can
Hapo pakupata sifa ila kiwanda hakina chochote ndio yale ya s2kizzy kupandishwa ndege safari nyingi alafu mwisho wa siku hella yako inaliwa
Nan anaskiaa maombiii kwa mbaliiii
🤣🤣🤣🤣
Tatizo bongo ushamba umetuzidi balaaa ukimiliki kireg tu ushakuwa na ujiga wa kishamba
Na nyinyi sns mumenga, ngania kupotea mutu akitoka wasafi duh munaonyesha zahili munawachukia wcb mungu anawaona
Wewe huna akili Sawa
@@aishabrondi236 wew ndo haujui Hilo nchi nzima
🙌🙌🙌🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Uyu nae bite zake zilikuwa ndo tatizo mondo kila akitoa nyimbo anaambiwa ame copy bit
Kuna tofauti na producer and director beat inatoka Kwa producer Kenny is a director?
@@perrybenson7188 ume mshushuwa😂
😆😆😅😅
MIT MARATARI
Kaka sky sio kua atapotea tayari ashafifia
Acheni kukariri vitu nyie hv kwani huyo Mondi munamuona kama mungu eeh ndo anagawa Ridhiki? Yn mmemsahau Mungu kua ndo mgawa Ridhiki hapa Duniani, Nyie ndo wakwenda kumsujudia Na maboxsa Getini Daaaaahhhh, Na hiyo yote inakuja kutokujiamini kua Bila yeye ww huezi kusonga mbele
Yn wa tz bana ndo utimu huo ambao hatutak sisi wote ni watanzania acha mamb ya utimu
Kweli nimejifunza mengi
#FOA
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Video inakelele
NoMa SaNa
Amekonda Sana
kwan kunenepa sifa
@@ChoroTesla 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuwahi kuwa mnene huyu. Pia ana mawazo kaachana na mpenziwe
Mbovu kakonda?
Unamhoj mtu kuna mikelele hata hatuskii vizur daah
saut znafanana
Nakwambia ukweli yaani wew ndo basi tena kwenda nje ya TZ bro tusijifariji kaabisaa
Watu kama nyinyi mnajifanya miungu watu
apunguze kuchezea pua, ni karaha na uchafu especially in public.
Haonekani tena..
Zuto atazisikia tu
Unafanya interview uku tunaskia makelele ata atu sikii vizulii
Nimechill
Ni ushamba wenu wabongo! eti diamond ndio maana wanaondoka, wanafanya wafanyakazi wao kama watumwa, modern day slavery.
Good interview bt harmonize is a good guy
Diamond platnumz ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html🔥🔥🔥
We no msee
Matokeo ya Urais kenya yametangazwa Rasmi
ua-cam.com/video/gOE5XPQnUYg/v-deo.html
Mbona ameshapotea tayari,hakutakiwa kumuacha mondi
Kwani mondi ni mungu anagawa riziki
Huyo mond ni mungu nyie mnaopenda kutukuza watu ndo hamuwez kujiongeza ishi maisha yako usipende kusujudia mtu
Kuna majitu masenge umu ndani yan uyo dai yanamuona kama ni mungu
kwani mondi ni mungu jamani..what matters he's talented..Time will tell...
Chuki binafisi
Tuseme ukwel kenny now ur not famous like b4
Ila ana pesa kuliko awali
Jamaa anaongea kwa mapoz sana
It is his nature !! Msamehe bure
Kwa iyo kuongea harama haraka ndo Ujanja.
@@ChoroTesla unajua Kuna watu wanamatatizo Sana aisee😂😂 sijui ndo tatizo la afya ya akili😂😂 msamehe tu
@@Oldskulgemini9991 umaskini wa fikra....
@@Oldskulgemini9991 Ufinyu wa kishetani huo unaitwa 😅😅😅😅😅😅😅
Mondi Ali mtombea mkewe tunajua
huyu anamengi lakini anafumba fumba vingi
KAKONDA, KAPAUKA Arudi TU MAKETE kupanda miti
Msisahau msimu huu wa winter kupauka muhimu
@@ashuuuaisha9122 Hamna kitu Kama hicho Hapa DAR Hakuna baridi ya kumpausha mtu Ila stress ndo zinampausha Mtu
Chuki wivu
@@sn723 wivu wanini?
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Diamond platnumz ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
My new video gusa maandish ya blue ukatazame nilivyomfunika DOGO BALAA ua-cam.com/video/ZXoVZuZFMy8/v-deo.html