Abdukiba + Tunda Man + Tommy Flavour - Ubaya Ubwela (Visualiser)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Music by Abdukiba featuring by Tunda Man & Tommy Flavour performing (Ubaya Ubwela)
Stream/Download:linktr.ee/Abdu...
Listen to Abdukiba on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music: / abdukiba
Boomplay: www.boomplay.c...
UA-cam: / @abdukibatz
Spotify:open.spotify.c...
Connect Abdukiba on Social Media:
Instagram: / officialabdukibaa
Twitter: / abdukiba_
Triller:triller.co/@ab...
TikTok: / abdukiba
+For More Information Booking Abdukiba:
Contact:emailabdukiba@gmail.com
©2024 Kings Music Records.All rights reserved.
#Abdukiba #TundaMan #TommyFlavour
nani mwingine amemsikia @alikiba mwishoni agonge like hapa tafadhali
Sauti ya raisi ❤❤❤
Woyooooo❤❤❤
Mimi hapa
Me hapa nipeni like zang pia
❤
Mimi ni yanga ilakwaibuludani ikopoa achana na makabila ilikulupuka kulecod🎉🎉
Ngoma kali sana sisi mapapaa tumefikiwa taratibu tu bila kutoka jasho🔥🔥🔥🔥🔥
KaLiii. Team sold out tujuwane hapa 😂😂😂
apaaa ni ubayaaa ubwella simbaa another level tuuu
Nipeni maua yangu me wa kwanza❤❤
Ubaya ubwela #Simba upiga mwingi kaka Tunda,Abdukiba na Tommy nawasalute sana,kapitie kwangu pia kunazo nyimbo mtazipenda
Ubaya ubweLaaaaaa
Hatar jamaniiiiii❤❤❤❤
Wa kwanza jaman leooo yeeeeeeah @King kiba
Nyimbo nzuriiii sanaa wanasimba ni humu tuuuuu😊😊😊
Yeeebabaaa🎉🎉🎉
A boy from Kenyan🇰🇪🇰🇪💯🔥🔥🔥🔥💥
Hatariiiii
Unyama ni mwingi ❤ na ubaya ubwelaaaaaaaa❤❤❤
Tommy kauua humu ❤❤❤
Km umekutana na mtu mzima kavaa kitenge like hapa😂😂😂😂
Hahaha
Mmekutana mafundi wote 🔥🔥🔥 dah Simba Raha Sana
Niko Congo RDC wakwanza knipeni likes zangu
Acha uwongo fala nn 😂😂😂 Congo ya nyoko
Mmetisha vijana na msela wazaman captain wa bongo fleva 🎉🎉🎉
Namba moja mnyama oooooh oooooh aaaaah aaaaah ubaya ubwela
Ubaya ubwela moto🔥🔥🔥🔥🔥
Eeeh ubaya ubwela
Nakubali jimbo kali sana
atali babaaaaaaaaaaaaaaaaaa
THIS IS SIMBA BROTHERS ❤️🦁🇹🇿
Number 1🎉🎉
Beat.kama linaendana na nyimbo ya tommy flavour inaitwaa NIOMBEe.
Kama umeiskilza nipe like😂😂😂😂😂😂
Mulemule
Kweli kaka. 😂😂
bro we unasikio kweli 😁 😁
Alie kalibu na Abdu Kiba amwambie achangamke kufanya promo hii nyimbo kali
Shabiki wa Simba mimi apa toka Kenya 🇰🇪🇰🇪
Kenya wakati upo kiwalani 😅😂
@@InspirationalChickens-cf7uu kiwalani ndo wapi tena 😂
Devidiru 0:00 0:00
Jiwe Kali sana aseee
unyama mwingi 🎉🎉🎉🎉❤❤
Nyimbo kali sana
❤❤❤❤,,namb 1 Simba
Finally Tumepata Nyimbo Ya Taifa Wanasiimba
Tommy kaumiza snaa🎉🎉🎉
Ngoma kali sana
Kama unakubalii kipaji Cha iyo familia ya mzee kiba gonga like
Nyimbo Kali sana nimewakubal
SIMBA akalale😅😅
Number one❤❤
Zawadi tosha kwa mashabiki wa simba goma Simple and classic,
Hili kesho lazima kila mtu aliimbe uwanjani
Dah! Adbu kiba huu wimbo hatariii❤
Unyama mwingi🎉
Hatari na nusu
Hii ndio nyimbo bora kabisa ya timu,
Natamani wadau wa mpira wautambue katika ukubwa wake
Ngoma kali sana haitaji majina watu inaongelea soka la manyama ngoma kali leta like makopa kopa kama yote mboss nae muwe na mkumbuka
Ni wa kwanza ku like na ku coment
Nyie vijana mnaniweka njia panda nipende king's music au Yanga Yangu 😂😂😂 ILA Ngoma 🔥🔥🔥
Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa
Unyama ubwabwa
Uspimee
Motoooo
Weweeeeeeeea alikibaaaaaaa motooo❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉oooooh ubaya ubwelaaaaaa
is Simba 🦁🦁🦁
Walikubali Ngoma hii gonga like za KUTOSHA HAPA👍👎
King's music mm wakwanza hapa like
Dah poa sana king music,music hunasisimua Kwa haaaa haaaaa tena sio ngumu kuimba hata mtoto anaweza kuimba ! From Mozambique.
Hii nyimbo ni🔥🔥🔥
Mumetisha Sana
❤🔥🔥🔥🔥🕴️
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Ohoooo tuondoke sasa tulipoaaa😂😂😂
Ubaya Ubwela Unyama mwingi sanaa 🔥🔥👑👑♥️♥️🇲🇿🇲🇿
Wapiri Mimi npn like
Wakwanza mimi hapa nipeni like zangu please
ua-cam.com/video/NhOUwoFPgaA/v-deo.htmlsi=lqJOhSJh0EWu5tcW?sub_confirmation=1
Niko Mozambique 🇲🇿🔥🔥🔥🔥gonga like
Hakuna mbaya nzuri ni mbaya tu 💥🦁🦁🦁🦁
Wakwanza nipeni mauwa yangu hacha ubaya
🎉🎉🎉
Goma Kali kinomamamaa
Ngoma hii ni kali
Hii nyimbo Kali sana
Ladha ya Tommy Flavour 🎉
❤❤❤❤
Konde boy mnyama kabisha kawazidi nyote😂bomboclaaaaaaaaaaaaaaaaaaaattttttttttttttttttttttt
Ngoma ya motoooo mamaee😂
Ngoma kali mwaka huu atakufa mtu uwanjani kubabake oy 😂😂😂😂😂😂
Nyimbo mayaaaaaa!!
Simbaaaaaaaaaaqqqq🦁🦁🦁🦁🦁🦁
To pushed mziki wetu wana King's ili ngoma tamu saaaaana💪
Nooomàaaaaa nyimbo y karne
Ubaya ubwela
Wa mia tatu 37. Siyo mbaya🎉 🙏
Hii ni banger
Nyimbo ya mpira
Wakwanza nope we like zangu
Nikalii
🔥🔥🔥🔥🔥
Masterpiece
UBAYA UBWERA
❤❤
King's x tundaman 🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🔥🔥🔥🔥🔥🔥
weee hatari Sana ✍️🙏🇯🇲
Simba nguvu moja
Tommy flavour up wap ume pote san tommy tup ngom mzz
Unajua sana kiba
unyama ni mwingi
Simba nguvu moja ❤❤❤❤
Bonge la Song kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubaya ubwela siyo ukabila
Ubaya ubwela
Nimependa sana