MHE. RAIS SAMIA AKIWAAGA WANANCHI WA BUKOBA MKOANI KAGERA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @elimuyatiibakwakanuni4527
    @elimuyatiibakwakanuni4527 2 роки тому +1

    Rais ninaempenda sana kwa dhati ya moyo wangu mama tutakuunga mkono mama yetu ,tunakupenda sana sana mama

  • @alfredjkananirwenyagira2806
    @alfredjkananirwenyagira2806 2 роки тому +1

    Asante kwa ziara ya Bukoba, umeupiga mwingi

  • @lusekelomwaselela1816
    @lusekelomwaselela1816 2 роки тому +1

    Mama safi sana

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 2 роки тому +1

    Safiii sana my president

  • @aronindibalema4964
    @aronindibalema4964 2 роки тому +1

    Kazi iendelee

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 роки тому +1

    Mama Samiath Suluhu Hassan.... UNAPENDWA BILA PINGAMIZI LOLOTE 2025 NI NJIA NYEUPE SANA.

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 2 роки тому

    Mhe Mama Rais wetu. Tunakuomba ufanye ZIARA ya mkoa wa Shinyanga uone mwenyewe hali ya maendeleo ilivyo

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 роки тому +1

    Watu wa Bukoba mji wenu ni msafi ila mzibue hiyo mitaro basi iliyojaa michanga tele sijui mvua sikinyesha maji yanapitaje kwenye mitaro hiyo and ndio mji unakuwaga dimbwi maana hakuna drainers kunaonyesha.

  • @hamzanyangali2941
    @hamzanyangali2941 2 роки тому +1

    My president hadi 2030

  • @jacksonjackson9650
    @jacksonjackson9650 2 роки тому

    Sawa mama tumaliZe

  • @Jereplus-sw8nr
    @Jereplus-sw8nr 2 роки тому +1

    Mbona walinzi ni wengi wakati Hannah Shoshote chamana

  • @jambo3751
    @jambo3751 2 роки тому +2

    Kuna watu eti wanasema asikilize kero za wananchi asipite tu kuwasalimia.
    Hivi hizi pesa alizozipeleka katika kila sekta nchi nzima ili kutekelezwa miradi mbalimbali kama elimu afya barabara maji umeme si ndio kero
    zenyewe hizo ambazo hutatuliwa kwa kupelekwa pesa? Au kero zinatatuliwa kwa porojo na maigizo?
    Pesa ndio zinazotatua kero.
    Na SAMIA amepeleka pesa kila wilaya ili kutatua hizo kero.

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 2 роки тому

      We hata usijari watu wengi hawana akili walisha tekwa na maneno ya Majukwani hao

  • @Jereplus-sw8nr
    @Jereplus-sw8nr 2 роки тому

    Watu wamechoka na Chama Kimoja watuwenye akili hawezi kuchangiliya ushenzi huo wizituu