"MSIGWA ALITUMIKIA MABWANA WAWILI KWA WAKATI MMOJA" SILVATORY AMCHAKAZA VIBAYA MNO MCHUNGAJI MSIGWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @gracefoya4609
    @gracefoya4609 День тому +1

    Msigwa alisema hatakaa ahamie CCM, nanukuu maneno ya Msigwa, "Kama nikihamia CCM watu wairinga wakachome nyumba yangu na magari yangu"

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 День тому +1

    Kama anadhania huko alikokimbilia ndiko kwa atapata anahitaji angejiuliza ya NYALANDU ikoniaje.

  • @user-td5ye9zb1l
    @user-td5ye9zb1l День тому +1

    Kajiunge na mwezako Zito siasa kwako kwisha yako kikanuni msaliti hanasifa tena.

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 День тому +1

    Yasshinda mpina utakua wewe msiqwa umeisha kisiasa we kapumzzike kisiasa huna hoja kabisa njaaaaa sanaa

  • @user-td5ye9zb1l
    @user-td5ye9zb1l День тому

    Ameandikiwa ya kusema na ccm kwisha yake aibu imemkuta siyo Msigwa tena bali msaliti mkubwa.