#Live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #arisendshinetanzania #2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #mwamposalive
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

КОМЕНТАРІ • 66

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 22 дні тому +1

    Mungu wa mwamposa nakuomba yeyote anae tajirika kutumia nyota yangu arundishe haraka sana tena mara saba.

  • @MillyKhasoa
    @MillyKhasoa 24 дні тому

    Najiunganisha na mathabau ya mungu kufungua njia zangu za pesa utajiri uchumi ndoa watoto wangu katika jina la yesu cristo amen 🙏

  • @AsiaMsemo-ox1tg
    @AsiaMsemo-ox1tg 24 дні тому

    Eee bwana yesu naomba thomas wAngu nae akombolewe aache pombe apate kazi anaamini ee mwamposa ulietumwa na mungu nitendee kijana wangu nateseka nae mimi mungu mponye kwa jina la yezu amen

  • @kizachristine
    @kizachristine 24 дні тому

    Pia katika jina la Yesu naomba binti wangu akutane na mume sai

  • @MpajiRutunda
    @MpajiRutunda 24 дні тому

    Napokea uponyaji kwa jina la Yesu Kristo 🙏

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 24 дні тому

    Mungu naomba unilindie familia yangu yote Niko mbali kuwatafutia riziki

  • @ImeldaJohn-qc2pl
    @ImeldaJohn-qc2pl 24 дні тому

    Ee mungu NAMI naomba baba yangu afunguliwe apone magonjwa ambayo yanamsumbua

  • @fedgarnjeza6840
    @fedgarnjeza6840 24 дні тому

    Mungu niponye sauti inayokwama na mponye bibi yangu.

  • @kizachristine
    @kizachristine 24 дні тому

    Katika jina la Yesu naomba baba yule alie chukua pesa zangu azirudishe kabla mwezi ii haiya isha,

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 24 дні тому

    Mungu naomba unipe kibali kazini kwangu mabosi zangu na familia yao wanipende Kila siku pia mungu naomba unilinde kiafya

  • @MwambaBalaa-jt6gh
    @MwambaBalaa-jt6gh 24 дні тому

    Yesu nisaidie nipate nuru usiku na mchana amina

  • @user-ok5um8jt2b
    @user-ok5um8jt2b 24 дні тому

    Asante sana mungu kukombowa familiya zetu Amina Amina ❤❤

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 24 дні тому

    Eeeh Yesu nsaidie mm mwanao n mkosaj nmekukosea Sana nmeanguka Sana nsamehe mim mwanao naomba untoe kwenye hil gumu

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 24 дні тому

    Pia mungu wasaidie Irene na prudens kwe mitihani Yao mwaka huu

  • @DianaKamwalo
    @DianaKamwalo 24 дні тому

    Ebaba ukayainushe mahusiano yangu na kuyabariki yakarudi kama mwazo baba amee

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 24 дні тому

    Mungu naomba umkutanishe venansi na mtu sahihi pia awe salama

  • @user-ok5um8jt2b
    @user-ok5um8jt2b 24 дні тому

    Mungu naomba kupitiya mazabawu arese and shene mumewangu aponetumbo lake kwajinalayesu Amina

    • @domnickalone
      @domnickalone 24 дні тому

      Mungu Nataka peace myovela awe mke wangu sahihi Kwa jina la yesu.

    • @domnickalone
      @domnickalone 24 дні тому

      Napokea peace myovela kuwa mkesahihi Kwa jina la yesu.

    • @domnickalone
      @domnickalone 24 дні тому

      Napokea mke sahihi peace myovela Kwa jina la yesu.

    • @domnickalone
      @domnickalone 24 дні тому

      Asante Mungu Kwa kunipa afya nguvu pumzi na mke sahihi peace chirstian I myovela

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 24 дні тому

    Pia mungu naomba unifungue kwe kifungo Cha madeni futa kesi zangu zote

  • @witnessnyenshile1777
    @witnessnyenshile1777 24 дні тому

    Naomba nifunguliwe nipate Mme na ninao wadai wanilipe

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 24 дні тому

    Mungu naomba umkomboe bless akili aelewe anavyofundishwa shuleni

  • @aminarajab1045
    @aminarajab1045 24 дні тому

    Najiunga kama mqdhabahu hii Leo mimi ndio gidion nataka nigunguliwe kiuchumi kiafya utajili biashara kubwa kulipwa kiinuamgongo changu katika jinalayesu Kristo Ameee

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka mamaangu saida ngoma amsaidie mdogo wake mwamtoro ngoma maisha na nawatenganisha na watu wasio sahihi

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka NAMTENGANISHA annuary Ally Hassani Kukera na kila mwanamke aliekuwa na mahusiano yakimapenzi tofauti na mimi😊

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 24 дні тому

    Namuunganisha mwanangu Adrian afaulu wastan wa A ktk masomo yake darasa la saba afaulu vipaji maalum kwa jina la Yesu

  • @batalingayachristopher-ry5lv
    @batalingayachristopher-ry5lv 24 дні тому

    kesi ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba trh 25-08-2024 Imekwisha

  • @kizachristine
    @kizachristine 24 дні тому

    Amen

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka ndugu zetu wa ulaya wote warudi tanzania kwa haraka wahamie zinga bagamoyo wafukuzwe huko ulaya

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka dadaangu mwali Abillahi njema afirisiwe huko ulaya wote warudi tanzania kwa haraka wahamie zinga bagamoyo

  • @user-ok5um8jt2b
    @user-ok5um8jt2b 24 дні тому

    Asante sana

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka mamaangu mwamtoro ngoma NAMTENGANISHA na na watu wasio sahihi

  • @FestinaMlelwa
    @FestinaMlelwa 24 дні тому

    Napokea mafanikoo naomba niwekichwa sio mkiabkwajina layesu

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    zulfa abdallah nataka nizione siku zangu kwanjia sahihi na kwa haraka na nipate mtoto wakiume na baba wa mtoto awe annuary Ally Hassani Kukera

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka mwali shuruti saida talk na faidha ña ngoma warudi tanzania kwa haraka wahamie zinga bagamoyo

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka Kujuakusuka kwa haraka na kwanjia sahihi

  • @Matiabobilali-ev6ob
    @Matiabobilali-ev6ob 24 дні тому

    🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🙌🇺🇲

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka nilipe madeni kwa haraka na kwanjia sahihi

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka naitenganisha nyumba yetu na vitu vyote vibaya vitoke kwa haraka na kwanjia sahihi

  • @JimmyJamal-c2s
    @JimmyJamal-c2s 24 дні тому

    Napokea kulipw ela yangu ya likiz ya mwez huu yote

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 24 дні тому

    Nataka sasa ivi muda huu wa saa 8 usiku kupitia operation komboa familia nataka baba Adrian asilale kwa ajili yangu na awakumbuke watoto wake awahudumie pia

  • @AlphonceLupama-h8u
    @AlphonceLupama-h8u 24 дні тому

    Mtume nataka nipate kazi yamgu ya ualimu niliomba mwaka huu

  • @JimmyJamal-c2s
    @JimmyJamal-c2s 24 дні тому

    Jimmy apate kaz kilahis

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka nipone maradhi yote kwa haraka na kwanjia sahihi

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka nipate pesa yakodì kwa haraka nihamie ninapopataka

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka mwanangu binur juma aache kukojoa kitandani usiku

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka nipone tumbo na uvimbe

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka nipone macho kwa haraka na kwanjia sahihi

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka kakaangu iddi abdallah apate cheo cha uwenyekiti achaguliwe na wanakijiji wote wa zinga bagamoyo na wampende

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka mamaangu aache uchawi

  • @AnaPatricio-vm7qb
    @AnaPatricio-vm7qb 24 дні тому

    Em mungu naomba nifunguliwe na mimi, 😂

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka mwanangu binur juma NAMTENGANISHA na na watu wasio sahihi naitenganisha na aache uzizi

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka nipone UTI na pid

  • @MwambaBalaa-jt6gh
    @MwambaBalaa-jt6gh 24 дні тому

    Yesu nisaidie nipate nuru usiku na mchana amina

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 24 дні тому

    Zulfa abdallah nataka nizidiwe na wateja kwenye biashara zangu

  • @MwambaBalaa-jt6gh
    @MwambaBalaa-jt6gh 24 дні тому +1

    Yesu nisaidie nipate nuru usiku na mchana amina

    • @SharoMasai
      @SharoMasai 24 дні тому

      Ee bwana mimi nimkosaji nisamee makosa yaguyot

    • @SharoMasai
      @SharoMasai 24 дні тому

      Mimi izengo mahuma nisaidie bwana katika familia yangu nakaziyagu nauzamiwa

    • @SharoMasai
      @SharoMasai 24 дні тому

      Nisaidie baba niko kwenye atali

  • @MwambaBalaa-jt6gh
    @MwambaBalaa-jt6gh 24 дні тому

    Yesu nisaidie nipate nuru usiku na mchana amina

    • @SharoMasai
      @SharoMasai 24 дні тому

      Nisaidie mim jamani

    • @SharoMasai
      @SharoMasai 24 дні тому

      Nisaidie Mimi izengo mahuma