MLAFI - Full Movie❤️❤️ |New African Movie | 2023 swahili movie | duma Tv💔💔💞💞
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- #mlafi #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2023movies #dumafilms
SUBSCRIBE CHANNEL YA DUMA TV ILI KUTAZAMA FILAMU ZAKISWAHILI ZENYE KUFUNDISHA NA KUBURUDISHA
KAZI nzur Ila duma waharibu saut
Duma sauti si nzuri
Yo mboooo😂😂
😂😂😂😂et weka tu tumbo ndo litaenda kuchagua
Duma ndio nin hata huelewik inaongea nin
Kazi nzuri sana kaka duma
Duma Una haribu kubadili saut
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤❤❤
Jmn xijapenda kabixaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyu Mromba khaaaa
Mov nzuri ila duma umeharibu kubadilixha sauti
good movie
Kazi nzr but duma jarb kubadil style ya kuzungumza haijakukaa sawa na somtymz waskilizaji hatuxkii vZr
Duma ongea kiume....acha kubadlisha sauti...unaharibu
Hiyo sauti hapana kwa kweli
😂😂😂😂😂weka weka
Ww handsome ilaa watuboesha sasa na hyo sauti yako
Nimechk kwa saut 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mwanangu Duma ni mpambanaji sana ndio maana nimeamua kushauri...Shida no story na director...Uwezeshaji wako mkubwa ila hizo sehemu mbili usipochukua hatua.Work done is equal to zero.
Duma bora ungesema unaenda chooni ukakimbia ukamuacha na mjomba ake lol😂😂😂
Umenikera kweli waongea kama vile wala viazi atakama ni acting xi kihivyo.
Ndio akaitwa mlafi
😂😂😂😂😂
Kama Mimi nakimbia nawacha mjomba na bint yake😂😂😂
Hii ni kiboko xanaa
Dah!!Yakinikuta ayo mimi sijui nafanyaje mtoto wa watu,ntasepa😂😂😂😂