KIJUMBE MUHINDI - Full Movie |New African Movie | 2023 swahili movie | duma Tv💔💔❤️💞❤️
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- #kijumbemuhindi #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2023movies #dumafilms
SUBSCRIBE CHANNEL YA DUMA TV ILI KUTAZAMA FILAMU ZAKISWAHILI ZENYE KUFUNDISHA NA KUBURUDISHA
Duniani kuna wanaume washenzi humuu😢😢inaskitisha voo mijanadume mengine haiaminiki sio ya kuiamini kabisa loh poo!! poo!! mungu atunusuru na mijanaume kama hii iso imani😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Duma kucheza mlevi hawezi jaman 😂😂mhindi wa ilala kaweza Sana
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤❤❤
1
Mume wa Phina keshadanganya hivo
Hahaha 😢😢😢
Yanii inanonesha madharaa ya kumshirikisha mume taila kama huyu kwny mambo yako
😂😂😂😂😂