#Live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Powered by Restream restream.io
    JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    MKUTANO WA SIKU 16 wa nyimbo za Sifa ,Maanudu na Neno la BWANA kupitia Mtumishi wakeRV.OMARI MNYESHANI NA ADAM HAJI Waliye kuwa Muslim Wakaokolewa na Bwana YESU CHRISTO, sasa ivi Wanatangaza Makuu na Uponyaji wa YESU.
    BUJUMBURA-BURUNDI BUYENZI 2Av n4b
    ARESHE CHURCH BI
    areshechurchbi@gmail.com

    for more info please contact us to
    +257 79 065 646/ +275 62 667 842

КОМЕНТАРІ • 13

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 Місяць тому +3

    Mh,inatisha.Mungu atusaidie.

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 Місяць тому +3

    Mtumishi, nakuelewa sana.....naomba mrekodi kipindi spesheli cha Malaika.

  • @khalilweiz8530
    @khalilweiz8530 Місяць тому +3

    Nihatari Yesu atusaidiye kweli

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 Місяць тому +2

    Kila mwenye kujawa na moyo wa kupenda achangie huduma hii!!!

  • @elizabethmwanga2103
    @elizabethmwanga2103 Місяць тому +3

    SoMo la malaika ninaomba liendee au utufundishe malaika wote asante

  • @user-fx5xb9qk9p
    @user-fx5xb9qk9p Місяць тому

    Bwanasifiwe.tunamuitaji paster katekela Burundi

  • @josephmwando4151
    @josephmwando4151 Місяць тому

    Karibu nahisi kwamba mambo mengine heri kutoyajua, manake kuyajua inaumizaaaaa! Mungu uturehemu.

  • @anthonymaina7100
    @anthonymaina7100 Місяць тому +4

    Tumalizie kuhusu Malaika please

  • @josephmwando4151
    @josephmwando4151 Місяць тому +1

    WUEH! Mambo mengine yanachukiza sana, unapopata ufahamu wa uovu unaotendeka duniani. Hata najiuliza mbona Mungu anaruhusu haya yote yatokee? Ningekuwa na uwezo ningeuangamiza uchawi kabisa.

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 Місяць тому +1

    Duuu imeishia Patamu!!!

  • @Mbingutv508
    @Mbingutv508 Місяць тому

    Bwana awe nanyi huko

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 Місяць тому

    Kwan hapo Yuko wap nyamba Ari muburundi imana ya twibutse

  • @petermuiruri9875
    @petermuiruri9875 Місяць тому +1

    Ni nataka shehe uongee kuhusu autism