HOUSE GIRL EP 38 | S3 | LOVE STORY 💞💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 882

  • @MinnahOmary-p3r
    @MinnahOmary-p3r День тому +201

    Jamani kwawote tuliommiss baba ake naKai tujuane apo chini

  • @JoyceMeshack-p6j
    @JoyceMeshack-p6j 18 годин тому +81

    Me naomba zatiti abebe mimba kabla move haijaishaa

  • @OmarJaffar-fw4lt
    @OmarJaffar-fw4lt 17 годин тому +100

    sania kaharibu kwa kend sasa😂😂😂😂 anaenda kwa ngonde mgnga hehehe😂😂😂😂😂heh ndoa tunayo natunatamba nayo sania Mrs mgangaa mliofurahi sania kufukuzwa kwa tasha like hapa❤❤❤

  • @TimotheoNdonde
    @TimotheoNdonde День тому +332

    Wale tuliokubaliana na Tasha kumfukuza Sania gonga like ❤❤

  • @TegemeaYusuph
    @TegemeaYusuph День тому +63

    Anae amin mipango ya chiko lazima itafer likes zenu apa🎉🎉🎉

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 День тому +107

    Nani kafurahishwa na bibi ake zuu jamani aloooh nimecheka sana leo,,,,hongera kwako bibi,,,tafadhali nipeni namba yake nimpe zawadi yake😂😂😂

  • @MohammadSwaghir
    @MohammadSwaghir День тому +157

    Mm wa kwanza anaefurahi sania kutimuliwa na mr tasha gonga like yaan yeye niwangonde tuu

    • @ASHAMWABAYA
      @ASHAMWABAYA День тому

      😂😂😂😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 20 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @JaneChaula
      @JaneChaula 20 годин тому +1

      Mama kirikuu 😂😂

    • @Tynamnyilis9824
      @Tynamnyilis9824 19 годин тому +1

      😂😂😂Ngoja akusikie unamwambia yey ni wa ngonde atakuchambaaa😂😂

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @VicentPaschal-w7x
    @VicentPaschal-w7x День тому +20

    Safi sana Mr.Tasha hicho ndo tulikitegemea toka wali kumtimua Saniaa maana ni kapuuzi kweli. Wapi maua kwa Mr. Tasha 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @sharonbhoke-hk2my
      @sharonbhoke-hk2my 16 годин тому

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @riziki8406
      @riziki8406 13 годин тому

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

    • @ZeituniKuhowa
      @ZeituniKuhowa 12 годин тому

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @peninajohn4721
    @peninajohn4721 18 годин тому +33

    Malaika kukubali sana unajua kuigiza alafu ni mzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 17 годин тому

      Ila anavaa uchi sana yani kati ya wote walio igiza malaika peke yake ndio anae vaa nguo za ovyo

    • @mauamshindo2558
      @mauamshindo2558 14 годин тому

      Malaika ni nan?

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 13 годин тому

      @@mauamshindo2558 dada yake zuuli

    • @Amal-iq1wg
      @Amal-iq1wg 12 годин тому

      Mwenye kumpepeaa daa zuuu kitandani😢😢 ​@@mauamshindo2558

  • @ZenaAfreka
    @ZenaAfreka День тому +41

    wangapi 2meisubiri episode ya 38 mauwa yenu 2losubiria pa1🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AliceOngiro
    @AliceOngiro 23 години тому +16

    Hongera bibi zuu kwa hilo kofi maanake zuu pia kaanza kuzingua juu ni yeye kaacha mumeo hadi kapata utekaji 😂😂😂😂

  • @SarahWanyonyi-nu5zc
    @SarahWanyonyi-nu5zc День тому +15

    Kwa kweli mama Tasha Yuko vizuri ila apunguze kuamini watu wengine mama Tasha huruma itakuponza mamaangu❤❤❤❤❤

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 День тому

      ❤❤❤❤❤❤❤Yani mama tasha ni kama mama yangu Kwa huruma

    • @SarahWanyonyi-nu5zc
      @SarahWanyonyi-nu5zc День тому

      @@oman1oman179 watu wenye huruma tuko shida sana

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v День тому +25

    Kutoka Kenya 🇰🇪 Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu yoyote atakaye soma comment hii Mungu ampe maisha marefu

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 День тому +7

    Asante sana mama tasha kwa kujua ukweli ,chiku sio mtu mnzuri shertani yule.

  • @mishekimbuba1688
    @mishekimbuba1688 18 годин тому +7

    Zuuuuuuuuuuu amezimia mpaka muda huu mapenzi shikamoooooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimekupenda hiyooo et anatak kwenda kwa kaiiii alikokimbiaaaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @VicentPaschal-w7x
    @VicentPaschal-w7x День тому +8

    Hahaha Kilamba anashitushwa na Vibao vya Bi, Zuu. Bila shaka anahisi akicheza vibaya kitamlamba kama. Jina lake

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 13 годин тому

      @@VicentPaschal-w7x 😂😂😂ajiangalie kinachofuata chake maana wote wametembezewa

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u День тому +8

    Ss hv inazidi kuwa tamu house garl

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r День тому +16

    Bibi zuu kashachaluka 😂😂😂anatembeza viganja to pongezi sana kwa wana busati TV mana mmejua kutubuludisha Sana..

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      👏👏👏👏😂😂😂😂😂

    • @Abigakatikiro
      @Abigakatikiro 16 годин тому

      😅😅 Nimependa Hilo Kofi la bibi zuu😆😆😆

    • @marymele9714
      @marymele9714 14 годин тому

      😂😂😂

  • @WinnieWanza-k3e
    @WinnieWanza-k3e День тому +142

    Wanao kubari chiko atashindwa like zenu 😂😂😂

    • @ElizabethBanda-p4i
      @ElizabethBanda-p4i День тому

      Ila pana vita nzito

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      😂😂😂😂

    • @Johar903
      @Johar903 19 годин тому

      🔥🔥🔥🔥

    • @HidayaMbodze
      @HidayaMbodze 19 годин тому

      Huyu Hana chake. Na candy nae anamalizwa vihela akae kwa kutulia arudi kwa mama na hatakikani uko pia

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому +1

      @@HidayaMbodze 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 День тому +95

    Kma unakubali na msimamo wa zatiti Kwa thania weka like from Oman 🇴🇲🇴🇲

    • @Issanabii
      @Issanabii День тому +1

      Nami nimependa sana jinsi zatiti na musimamo wake

    • @Hadija-o5b
      @Hadija-o5b День тому +3

      Bibi kachafukwa haelewi

    • @Jaysantans
      @Jaysantans День тому +3

      Aaah wap upo oman ya wap wakat jana ty tumepixhana kalikoo umefikaje wew uko

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe День тому

      Hivi Riziki hulali

    • @victorkipkorir2120
      @victorkipkorir2120 20 годин тому

      Your good iam from kenya

  • @BikyeombeLubembela
    @BikyeombeLubembela День тому +5

    Wale ambao atupendi mimba ya zuuh kutoka nipeni like please 😢❤🎉🙌tangu nianze kuangalia ihi movie ndo kuomba like zangu sasa 😢😢❤ 🙌na mungu awabariki Vyote 🙏❤️🙏🙌

  • @MsSafiya-fi3tl
    @MsSafiya-fi3tl День тому +8

    Bib wa zuuu leo amevulugwa kbs😂😂😂

  • @gracenyevu8082
    @gracenyevu8082 День тому +11

    Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @Seranjoroge9244
    @Seranjoroge9244 День тому +6

    Wale watakao taka tufuatane, kujeni hapa❤❤❤❤

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 19 годин тому +5

    Ukweli zuu ungekaa kwako utulie kai angeteswa. Na tunaomba team kai chiko asifanikiwe ata kidogo

  • @MaombiMahenge
    @MaombiMahenge 17 годин тому +4

    Jamani bibi ni hatari nimeipenda sana hii

  • @CarolineWilly-k4u
    @CarolineWilly-k4u День тому +19

    mnatak hii movie iwe ya kivita au mbn majambazi wanaongezeka mnaharibu bhn wapungue hao majmbazi

    • @AishaAisha-oj1yq
      @AishaAisha-oj1yq 18 годин тому

      😂😂😂😂😂

    • @FATUMASalim-b5f
      @FATUMASalim-b5f 16 годин тому

      Washaanza kuboesha na hao majambaz wao

    • @YusraSiyaleo-yk2fz
      @YusraSiyaleo-yk2fz 16 годин тому +2

      Haiboeshi bn kama ww huwez kuitazama acha 😂😂😂😂😂😂

    • @CarolineWilly-k4u
      @CarolineWilly-k4u 15 годин тому

      @@YusraSiyaleo-yk2fzhujui movie ww

    • @MwajumaMohammad
      @MwajumaMohammad 14 годин тому +1

      Ila kuteka watu inazidi familia mbili zote zinataka kutekwa Tasha na Kai hapana. Naona kwa Tasha Chiko kaambulia patupu Tasha atashinda hii vita. Naomba Chiko ambulie kulia yy na jambazi wake.Hapa tunata raha hadi Zatiti atuletee kitoto kizuri kama Tasha

  • @AshaMohd-u7n
    @AshaMohd-u7n День тому +15

    Walioona kilamba ameona zamu yke kupigwa kibao anipe like japo 1 jmn hhhh

    • @jalxs6745
      @jalxs6745 День тому +1

      Bibi akutenda aky agempa nayeye

    • @omarelhabibi4071
      @omarelhabibi4071 День тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂anakwepesha kicwa😂😂😂😂

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @ZainabuKaniki-h8c
    @ZainabuKaniki-h8c 6 годин тому +1

    Yan mi sania ananikela akiwa anamfokea mama ake Tasha na huyo kendi anavyomtukana mama ake

  • @DamarisMoraa-y5d
    @DamarisMoraa-y5d День тому +18

    Yaani bibi zuu akionekana kwa hii movie inanoga kùnoga wanakubali bibi zuu anaweza tujuane kwa like

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna День тому +6

    Dooo leo n cku ya bibi kuzaba watu vinganja,waigizaji nyte n mashabiki wenzangu nawapenda nyte kwa ajili y Allah muwe n usiku mwema

  • @twinkledestar4277
    @twinkledestar4277 День тому +20

    Team strong oyeeeeeh

  • @RebeccaRhobi
    @RebeccaRhobi 16 годин тому +5

    Chiko anapenda sifa jamani

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe День тому +6

    Jamani Leo nimewahi nipeni like zangu hata kumi tu timu tasha😅😅

  • @Gsh-ov2ut
    @Gsh-ov2ut День тому +4

    😂😂😂😂😂😂Weee yaani Kila mtu na Kofi la size yake bibi Zuuu nakupenda Bure bibi ❤❤❤❤❤❤

  • @SbahHiai
    @SbahHiai 4 години тому +1

    Nacheka Kama mazur bibi hongera sana❤❤❤

  • @HabibaAthumanMwaboko-vq4qk
    @HabibaAthumanMwaboko-vq4qk 16 годин тому +4

    Nafurahi sana kai na zatiti wakiitana kwamajina mazuri mke wangu na mume wangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @ZeitunNyamvula
    @ZeitunNyamvula 17 годин тому +3

    Haka Sania kananichekesha yaani hakajui kunyenyekea kabisa mdomo wake unamponza ,hivi kataenda wap na candy ashamtusi😂😂😂

  • @babysister4th
    @babysister4th 17 годин тому +5

    Karibu nishtuke nikijiuliza mamake Tasha asiseme ni mjamzito wa chiko 😢😢

  • @celestinemakolo3954
    @celestinemakolo3954 22 години тому +5

    Tujuane tunaoamin kipara mtelezo hana akil mtu mzima ovyo unamuona adui afu unamwacha hatua tatu mbele apite so muda wote huo anaongea na simu alijua jamaa kaganda😊😅

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 День тому +3

    Awapenda mumenikubalia ombi rakutupa ingine❤❤❤ alafu nimecekeshwa n'a kupara muterezo😮😮😮

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 20 годин тому +3

    Bibi zuu hongera sana kwa makofi haya nmecheka paka basi 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @زينه-ل4ح
    @زينه-ل4ح День тому +4

    Ivi toka umehaziy kupamban ju yazatit hucoki😂😂

  • @NeemaFelix-v5f
    @NeemaFelix-v5f 15 годин тому +3

    wanaotaman utokee mkono wa maana alafu tasha awagonge wooote na afanikiwe tuungane

  • @FaithGeoffrey-i8c
    @FaithGeoffrey-i8c 17 годин тому +3

    Bibi zuri fanya jambo

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 19 годин тому +3

    Yani chiko wew utadondokea pua we mandevu

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 18 годин тому +4

    Vibao vya Bibi vi menichekesha simanzi zote zikaniisha hongera sn bibi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MonicaNYAMVULA
    @MonicaNYAMVULA День тому +9

    Ila we chiko mchokozi Sana eti kipara mtelezoo😅😅😅😅 nimecheka sanaa

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      Tobaaa😂😂😂

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 13 годин тому

      Anaita watu majina ya ajabu mara amuite Tasha ety kipochi manyoya 😄

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg День тому +6

    Kpara mterezo😅 ungemkanda kwanza mr chiko maana anakuenjoe😅😅

    • @PaulCecyl-jz4mr
      @PaulCecyl-jz4mr День тому +1

      😂😂😂😂 kipara mterezo 😂 chiko 😂

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg День тому

      @@PaulCecyl-jz4mr haaaa

    • @celestinemakolo3954
      @celestinemakolo3954 22 години тому +1

      Amkande wap na hana akil unamwacha adui apite hatua tsno 😅😅😅

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      ​@@celestinemakolo3954kwakweli akili ni nywele na yeye hana lolote😅😅😅😅😅😅😅

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo 17 годин тому +3

    Chiko wajisahau sana kumbuka ww huzae wacha zatiti wetu apate mimba kwa Mr tasha awanyamazishe walimwengu 😂😂

  • @FaithChivatsi
    @FaithChivatsi День тому +4

    Woooooiiii vita imekua nzito xxx apo weee mambo n moto ila nmefurahi jinsi tasha alivyomtimua sania

  • @KingD-kh6yc
    @KingD-kh6yc День тому +8

    Sania si aende kwa mgangangonde kimamulaaa

    • @Smart7-b5e
      @Smart7-b5e День тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 14 годин тому +4

    wanpgi wamefurai kumuon jafari kipara mtu kazi 😅😅

  • @SabrahNibuka
    @SabrahNibuka День тому +5

    Asantee bibi zuri kwa kumtuliza mama k❤wetu

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg День тому +5

    Ila mama kirikuu😅😅😅nenda kwa mvuta bange menzio candy mkale bange😅😅

  • @BadriaMaulid-r1o
    @BadriaMaulid-r1o День тому +3

    Bbi Zuu kachngnyikiwa anatmbeza vibao t hhhhhhh kilamba jiangalieee 😅😅😅😅😅

  • @sephaniamussa2498
    @sephaniamussa2498 16 годин тому +2

    Pameanza kuchangamka ndugu watazamaji kama mnavyoona🤠🤠🤠

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik День тому +4

    Afadhali.kiramba ukwanju hukusema ungepingwa chako.kibao😂😂😂😂😂 helooooo bibiake zuuli

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      😅😅😅😅😅😅 mamayoooo

  • @zeynab7617
    @zeynab7617 День тому +3

    Chiku na Sania mpango umefeli😂😂😂😂

  • @EstherMutisya-rf4qq
    @EstherMutisya-rf4qq День тому +4

    Yaani leo episode imenonga bibi walambe makofi wote

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      Wavunje hata hivyo viuno😅😅😅😅

  • @ZainabuKakozi
    @ZainabuKakozi День тому +4

    House girl kumeanza kuchangamka 😂😂😂

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      Hatari sana😂😂😂😂😅😅

  • @veronicahmomanyi
    @veronicahmomanyi 14 годин тому +2

    Chico Ni mwanamke mbona hanatengemea wanaume wengine hapambani mwenyewe kama mwenyewe

  • @gracesanga3984
    @gracesanga3984 День тому +3

    Jamani namimi acheni tu nicomety tu namimi naombeni like hata 10 nione kama mnanipenda wanafaria wa busat

  • @MakarotiKamugisha
    @MakarotiKamugisha 19 годин тому +2

    Asante bibi kwa vibao umewaweka saw

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 День тому +2

    Wewe chiko mpuuzi kweli 😅😅😅 zatiti hakuitaj kwann usimuache na mumewake Tasha ala

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i День тому +3

    😂😂😂😂😂 kilamba tamuka neno moja wakupe kofi lako😂😂😂😂

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому +1

      😅😅.😅😅😅😅

  • @djbarser
    @djbarser День тому +2

    😂😂😂 leo episode imeisha vizuri sanaaa

  • @Saumu-vr4bc
    @Saumu-vr4bc День тому +1

    Jamani hamna kulala hadi tunaona house girl, team strong hoyeee🎉🎉🎉🎉

  • @Mygirl_1032
    @Mygirl_1032 20 годин тому +5

    Hongereni kwa kazi nzuri 🙏 🙏🙏🙏🙏

  • @HappySilengi
    @HappySilengi День тому +3

    Busat mnazingua kipand dakik 5 kweli

  • @BenitheMunezero
    @BenitheMunezero 17 годин тому +4

    Safi Sana tasha umefanya lamanaa

  • @IreneMndolwa
    @IreneMndolwa День тому +2

    Heeee bibi zuu kagawa dozi safi😂😂

  • @SundiMalekwa
    @SundiMalekwa 17 годин тому +1

    Chiko unamaneno nyoko kipar mterezo hahahaah mar butii ndundoo

  • @amosziro4152
    @amosziro4152 20 годин тому +3

    Bibi aende kumuokoa Kai ingekua tamu sanaaaaa

  • @BenedictapauloBenedictapaulo
    @BenedictapauloBenedictapaulo День тому +3

    Asante kwa busat tv maana nilikuwa naisubiri kwa hamu

  • @BaıyaTwaha-e8l
    @BaıyaTwaha-e8l 16 годин тому +2

    Bola bibi alivolipiga zuli çöz anajuwa yeye ndio chanzo alafu anapiga piga kelele

  • @Rtyf4
    @Rtyf4 День тому +4

    Kipara mtelezo jameni chiko 😂😂😂

  • @ceciliawilly8573
    @ceciliawilly8573 15 годин тому +3

    😂😂😂 sasa sania ataenda wapi,kwa mama candy aliharibu,kiburi ilimjaa akaongelesha candy vile anataka😂😂,damasosi naye aliolewa 😂😂😂😂😂😂,nakuhurumia sana sania

    • @sakina5550
      @sakina5550 6 годин тому

      Ataenda kwa ngonde wake 😂😂🎉😂🎉😂😂😂

  • @ZainabuKaniki-h8c
    @ZainabuKaniki-h8c 6 годин тому +1

    Rahma jamn umenikosha mpaka nataman nimwambie mumewangu aoewe jmn

    • @ZainabuKaniki-h8c
      @ZainabuKaniki-h8c 6 годин тому

      Nimejifunza sana asanten busati tv na kundi lote mko biye

  • @LeticiaHaji
    @LeticiaHaji 4 години тому +1

    Kipara mterezoo😂😂😂😂😂

  • @MasauShida
    @MasauShida День тому +4

    Kazi nzuri team Busati tv🇹🇿

  • @PerezQuenisha
    @PerezQuenisha День тому +5

    Maua kwa tasha kumtimua sania🎉🎉🎉

    • @MarkByamana
      @MarkByamana День тому +1

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 16 годин тому +1

    Hahahaha hahaha kelel wew Malaika na zuu sas mutakiona sas vita zimeanza tu vizuri,, hila hii mambo ya watu kushikwa sioni kama ndio mwanzo wa kufaulo,, wew chiko hio ni shimo hunalichimba mwisho hutaitiya tu mwenyawa

  • @LucySamsoni
    @LucySamsoni День тому +10

    Tatzo sasa hii move munataka uizidishia sana maujambazi inatakiwa mpunguze

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 20 годин тому +2

    Safi San Tasha 🎉🎉🎉🎉🎉 Kwa kumfukuz Sania jamn wale tulio furahia tujuan

  • @doreenlawrence5905
    @doreenlawrence5905 23 години тому +4

    Kichapo cha bibi😂😂😂😂😅

  • @hafidhabdulmalik3799
    @hafidhabdulmalik3799 17 годин тому

    Kiukweli sania ameuvaa uhusika kwa asilimia 100%, apewe mauwa yake. Sania anajuwa kuigiza

  • @VeronicaNajib
    @VeronicaNajib День тому +3

    😂😂😂😂Bibi zuu ananimaliza mimi na ako kamsemo kake ka yenyewe hayo

    • @batuli-n8e
      @batuli-n8e День тому

      😂😂😂😂niuwe

    • @ThaBroski
      @ThaBroski 19 годин тому

      😂😂😂😂😂 nimalize

  • @tibelmtandi2275
    @tibelmtandi2275 День тому +4

    Nipo njee huku nilikuwa nataman kumtandika zuu kibao bibi maua yako umenisaidia🎉🎉🎉🎉😮😮

  • @RoseMaya-n7t
    @RoseMaya-n7t 15 годин тому +1

    Chiko na nicknames 😂😂😂😂 kipara mtelezo😂😂

  • @افااقع
    @افااقع 11 годин тому

    Waah 😂😂😂bibi zuu kwakweli wewe ni mtu mhimu sana kwa hii busati❤❤❤❤🎉🎉

  • @RusomokeJolie
    @RusomokeJolie 22 години тому +1

    Mbonasasa maneno yanakuwa mengi vitendo vidogo

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 18 годин тому +1

    Bibi anatia vibao tu kama kasa😂😂😂😂😂 kanifurahisha kweli

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 17 годин тому

    Uyu nae wanaume wenzake wanajidifia pesa yeye anajisifia kua mbeae

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi День тому +1

    Busati nawapenda bure ila sania wewe hery uende kwa bwanako ngonde acha kushobokea ndoa za wenzako ngonde kimamula yuko na surprise yako ya jogoo huko jaman huna hata haya ubwa wewe nakuchukia aky 😂😂😂😂

  • @margparet5741
    @margparet5741 19 годин тому +1

    Sania kimemramba 😂😂😂😂😂Tasha nakupenda sana kwa msimamo wako,usiwe bwege kama kai eti candy aje hadi kwa ke nyumbani ampigie makelele na yupo kimya tuu kama zuzu

  • @AliJussa
    @AliJussa 14 годин тому

    Bibi kapiga vibao vya kutoa mawenge😅😅 wote kimyaaa

  • @zubeidahamad7933
    @zubeidahamad7933 9 годин тому

    Jaman zuri hicho kijora kimeshakoma tena badilisha pia vaa vizuri

  • @DianaBlaison-u7s
    @DianaBlaison-u7s День тому +25

    N Mimi nmkuwa wa kwanza ❤❤❤ unae kuballi Sania anamimba ya mganga gonga like 😂😂😂

  • @SAMWELCHACHA-jf1yo
    @SAMWELCHACHA-jf1yo 11 годин тому

    Mm ukwel nina nampenda xana suri na satiti natamani ningepata hata mmoja wao walai, mm natokey kenya migori County,hvyo nampenda sana satiti na hata mwenye ako na satiti na suri wako na wanawake wazuri sana ni sawa kua na maua mazuri kwenye boma yake ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉