Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MWENYE HEDHI KUSOMA QUR-AN , KUSHIKA MSAHAFU NA KUKAA MSIKITINI KWA AJILI YA DARSA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 тра 2024
  • MAJIBU YA SHEIKH ABDUL-QAADIR AL-AHDAL (ALLAH AMUHIFADHI)

КОМЕНТАРІ • 14

  • @AllyHamis-t8z
    @AllyHamis-t8z 25 днів тому

    Shehe nampenda sana mungu hamuweke inshala

  • @aminauwimana9976
    @aminauwimana9976 Місяць тому

    Subhana'allah shukran Jazeera hikiwa mwanamke anasafisha msikiti

  • @mustafatsomba6178
    @mustafatsomba6178 2 місяці тому +2

    Sheikh AbdoulQaadr hata sisi wakongomani tunakupenda kwa ajili ya Allah... Allah Akuzidishie kila la kheri na Akupe umri mrefu ili tuzidi faidika na ilmu zako ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Sisterjemi1
    @Sisterjemi1 2 місяці тому +2

    Samahanini mie niko mbali sijui sheikh alipo nauluza hivi kama mfano unakwenda msikitini kusoma kawaida lakini sasa usiende kusoma mpaka itoharike wakati masomo yamekupita hapa vipi basi In sha Allah naomba jibu

  • @TeacherOthman
    @TeacherOthman 2 місяці тому +4

    Jazaakumu Allahu khaira

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 2 місяці тому +2

    Ma shaa Allaah

  • @AliHamad-xl2mm
    @AliHamad-xl2mm 2 місяці тому +1

    Mashalla Allah amuhifaz shehee

  • @husna34562
    @husna34562 2 місяці тому

    Shukran shehk

  • @ibrahimabdillah5729
    @ibrahimabdillah5729 2 місяці тому

    Mmmmhh
    Hapa sipo pamoja na Sheikh katika hili
    Hapana....Hapana...Hapana

  • @ashrafhashim2116
    @ashrafhashim2116 2 місяці тому +1

    Huyu shaykh nihatar sema hataki minaazaat

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 2 місяці тому +1

    Shekh Abdulqqadr kwanini hufunguki ukweli unabanabana maneno kuwa mkweli ,