"STEVE NYERERE AKUBALI YAISHE, NILEE WATOTO WANGU,ANAZIBA RIZIKI ZANGU"-SENGOMATRIDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 244

  • @mercytoywa8518
    @mercytoywa8518 2 роки тому +6

    My favorite actor in Tanzania. Much love from Kenya. I love u more in mwamamziki

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому +5

    Her face😍🥰💟nampenda

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому +17

    Wewe ni msomi mrembo.una lugha nzuri ya kuongea.achana na huyo stive hamuendani Wala hakufai

    • @vinnahjasson5546
      @vinnahjasson5546 2 роки тому

      Kabisaa

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 Рік тому

      Alinikimbia Mimi kaenda kwa Stive wake vumilia ndiyo maisha

    • @ashakufakunoga4904
      @ashakufakunoga4904 Рік тому

      Unajua kila mtu anamazuri yake namabaya yake huyu Dada kipindi anakutana na Steve alikuwa namtoto mdogo sana katelekezwa namzazi mwenzie naalikuwa hajulikani kabisaaa kama sasa hivi hivyo asiongee maneno kupitiliza siyo kwamba Tivu hana yake yakumuongelea...sisi wanawake tukishika hela kunawengine hatukumbuki tuliko toka ..Heshima yamtu uliye zaa naesiyo sawa nayamtu ambae alikutoa kwenye mji wako kunasiku atakupa tukio na usiamini...

    • @faigee-p7u
      @faigee-p7u 3 місяці тому

      Ameshamuacha ni kwamba kwanini bado steve anamfatilia

  • @rehemajingu3909
    @rehemajingu3909 Рік тому +1

    Pamoja na uzur woote huo lkn sijawah kusikia skendo mbaya!! Mungu akutunze superwoman!!

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 2 роки тому +8

    steve nyerere alikua ana kula mzigo mzuri hivi jamani daah asee kweli sio lazma mwanaume uwe na SIXPAKI

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 роки тому +6

    Dida kwa umbea eti maskn🤣🤣🤣🤣

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 2 роки тому +1

    Kumbe steve ni mpuuzi namna hii

  • @kasholakashola2775
    @kasholakashola2775 2 роки тому

    Beuty

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 2 роки тому +2

    Yani watanzania mli kubali kiswahili kabsaa, na wapa hongera kuepukana na ukabila....

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 роки тому +1

      @@swaumdodoma7591 mimi mkenya, laiti wakenya wote wangelijua umuhimu wa kiswahili, mambo yangelikua rahisi, huku....

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 роки тому

      @@swaumdodoma7591 kitu cha kushangaza ni kwamba wakenya wanapenda Kiswahili kwa ujumla ila mafikra za kikoloni zime Tu adhiri.....hata nyinyi mnge kua vivyo hivyo kama si Julius Nyerere....

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 роки тому

      @@swaumdodoma7591 na dadangu ebu nikuulize ..unatoka sehemu ipi ya Dodoma....

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 роки тому

      @@swaumdodoma7591 bado sijaskia huko...Ila napenda dodoma, nimesha skia sifa nyingi....

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 роки тому

      @@swaumdodoma7591 naweza pata vipi no.zako ili tuwasiliane....

  • @afualusigi923
    @afualusigi923 2 роки тому

    Steve huyuuu!

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 2 роки тому

    sema kipnd yupo na tivu ake alikua mbaya 🤣🤣saiz kajua thamn yake anahs sio level ya tivu ila vituko jmn haendan hata na tivu jmn 😆😆😆😆

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 2 роки тому

    dida icho kichekoo 🤣🤣🤣lool

  • @SaudaShabani-zf3xx
    @SaudaShabani-zf3xx 4 місяці тому

    Yani steve hata ivo ulimstili tu manake kwanza hakuwa hadhi yako kabisaaaa! Huyo shotiii piga chini

  • @sadihashimu4664
    @sadihashimu4664 Рік тому

    Yan hufanan n huyo stev hata kdg dadaangu we ni mzur,msomi una busara unaangalia la kuongea achana na huyo mbwabwaja hovyo

  • @rhodamiguma7336
    @rhodamiguma7336 2 роки тому +5

    Nakupenda sana Weru your so cute MUNGU akupe mume mwm

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 2 роки тому +4

    Mm binafsi kwa nilivyomuangaria huyu mwanamke ana dharau sema labda hamjajua na ndio maana tiv ake anarukaruka Kama kitenesi .usihukum kesi Kama hujajua upande wa pili tiv anasemaje

  • @priscamwangama9192
    @priscamwangama9192 2 роки тому +4

    Dada anaongea kistarabu mpaka raha Pole mwanya

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 Рік тому

    Kwanza mi ningekutandika makofi 😏 hata mwili hakina hata hivyo ulimpa tu lifti hakuwa taip yako

  • @IreneGeorge-t3s
    @IreneGeorge-t3s 2 місяці тому

    mmh wadada wazuri wanatodate na watu ambao si typeyko

  • @sakayonsakihunga3496
    @sakayonsakihunga3496 2 роки тому +4

    Nakupenda Sana we mdada achana na akina uwoya wanazeeka bila maadili

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 4 місяці тому

    Na nyie mlivyo wam bea Sasa

  • @mauemy4685
    @mauemy4685 2 роки тому +2

    Huyu Steve ndio angekua kiongozi wa wasanii angewabania sio kwa nongwa hii asee hafai

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 2 роки тому +6

    Huyu dem alikua na Steve 😳 kwel hela noma. Afu ashakua staa saiv anamuona mshkaj choko

    • @neemakilingo8282
      @neemakilingo8282 2 роки тому +1

      Sasa mume wa mtu utaendelea kuwa nae Hadi lini kn wakat mtu ata km anapesa unabidi umuache

    • @sarahfuraha875
      @sarahfuraha875 2 роки тому +1

      Mi nahisi huyu nimemuona kabla sijamjua Steve. Nadhan sio Steve aliyemnyanyua huyu

    • @nyotawauniquem7462
      @nyotawauniquem7462 2 роки тому +1

      Welu ni. Star kabla ya stiv dear

    • @habibahabiba7128
      @habibahabiba7128 2 роки тому

      @@nyotawauniquem7462 steve kwanza

    • @getrudamartin2409
      @getrudamartin2409 2 роки тому

      Wellu ameanza kuigiza mda angalia movie ya matilda kipindi yuko mwembamba sema siyo mtu wa skendo huyu dada yani kujionyesha mitandaoni

  • @dapriccy3574
    @dapriccy3574 2 роки тому +1

    Sema nn Dada angu wellu stive hata hakuwa type yako ko achana nae mpk hapo ww ni mshindi,,😘

  • @mwajabumalekela5563
    @mwajabumalekela5563 Рік тому

    Yaani nilijua yananikuta mm tu na huyu mtu kumbe hadi hukooo!! Hlf ukiuliza anataka nn?? Yaani jibu halipatikana,,, ila wanataka tu tuchakae hlf waseme mmeona""" bila mm hawez

  • @faharikhamis1042
    @faharikhamis1042 2 роки тому +2

    Yani we dada nakupenda hata uwe na watoto kumi bado nakupenda njoo nikupe really love forsure I need you mama

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому +7

    Huyu dada ni mzuri Sana jamani.stive alikuroga ili umpenda maana na uzuri wako huwezi kuwa na stive

  • @martinkinyua7650
    @martinkinyua7650 2 роки тому +12

    I like this lady. For sure she as talent. She is very active in pazia

  • @twalib09
    @twalib09 2 роки тому +4

    Toto tamu mashallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 2 роки тому +14

    She's not comfortable with the Len's 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @neemaegnatio7725
    @neemaegnatio7725 2 роки тому +2

    Uyu mdada nampenda sanaaa hata movi zake ziko vzr

  • @Aikenya254
    @Aikenya254 2 роки тому +5

    Ndio mlikua mnataka kumpa usemaji wa wasanii. Familia inamshida Bure kabisa #stevenyerere2

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Umesikia upande mmoja tu! Steve yy anasemaje?! Mambo ya familia ni very complicated, huwezi kujua ukweli!

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 2 роки тому

      mamb y mwenzio yanakuhus nn

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

      Mimi mwenyewe si msanii lakini sikumkubali Steve.

  • @KelvinChana-bt4kz
    @KelvinChana-bt4kz 3 місяці тому

    ww nimwanake wa maana sn

  • @bensonfrancis5599
    @bensonfrancis5599 2 роки тому +7

    Nampendaga wellu sengo

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 2 роки тому +1

    Je nampataje huyu dada maana huyu ninjaa aliyekuwa naye hawaendani kakivua nguwo kanakuaje?

  • @telesiakaovera4381
    @telesiakaovera4381 2 роки тому +2

    Kumbe huyu mzuri alizaa nativu yake

  • @asinathmuhidini5083
    @asinathmuhidini5083 2 роки тому +1

    Mmmmh ivy nikweli mtoto mkali kama uyu stivuu ndo kazaa nae

  • @ashurahamis7163
    @ashurahamis7163 2 роки тому +1

    HIV hyu dada kwenye pazia kacheza

  • @jacquelinelekule426
    @jacquelinelekule426 Рік тому

    Kwanza sijui uliingiaje kwa kijeba km hichi alafu amuendani ht kidogo

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 2 роки тому +10

    Dah.. Asee kweli usanii mzuri , Yani Steve huyuhuyu na ufupi wake na midomo yake myeusi yenye sugu za fegi ndo alikuwa anamiliki mzigo huuu Dah !! Sema nini sio type yake ndo maana wakaachana uchawi ume expire dada kajielewa 😀
    Steve watu wake akina Tausi na Mama njerekela.

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому +3

    Stive hata hawaendani na huyu dada

    • @praisesteven7774
      @praisesteven7774 2 роки тому

      ata uyu dada alikua mbaya zamn 🤣🤣iv saiz ndio anaonekaan trust me alikua level yake enz zile but now mashaaaah

  • @kulwamsigwa3325
    @kulwamsigwa3325 2 роки тому

    Tivu mshamba Sanaa bado upo madili akuleleee mtoto wkt hutoi hata 100 ila tuwaachie wenyewe maana mapenzi haya usikute wakarudiana tukabaki vinywa wazi wazazi hawa

  • @elinapouljensen9244
    @elinapouljensen9244 2 роки тому +10

    Kuna kuachana na mtu kwa kujutia kuwa nae kwenye maisha yako lakini yeye akawa bado anataka uwe nae, kinachofata apo ni chuki na roho mbaya ya kwanini anakua anatamani ukose ukome either ushindwe urejeshe ukaribu nae umuombe msaada ndo afurahi, yan kuna watu wkt mwingine adi unajuta kuwafahamu kwenye maisha yako

  • @prettypretty9745
    @prettypretty9745 2 роки тому +4

    Totooooooooo zuriiiiii mashallah

  • @trusilahonduso6090
    @trusilahonduso6090 2 роки тому +6

    From Kenya 🇰🇪 we love you especially my kids. I admire everything about you

  • @felisteredward3630
    @felisteredward3630 2 роки тому +1

    Jmn sijui kalimmdanganya nn haka Ka jamaaa huyu dada

  • @kajugaa4537
    @kajugaa4537 2 роки тому +10

    sasa hapo Steve alikuwa analipandaje hilo konteina

    • @innocentmbise5418
      @innocentmbise5418 2 роки тому +2

      😃😃😃😃😃manina aki kale kajamàa kalkua akaez hii mama

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому

      Jaman jamn hhhaaaaaaaaa wabongo cwawez mm mmenishinda tabia

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому

      Na ili uwa linajickiaaa Mara lijifanye halijui kiswahil vzur ety lizungu.hhhhhhhhhhaaaa mzungu bongoooo kiruuuuuuuu siham bongo mm

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому

      Kontena la dizeli kbsaaa ulijuaje jmn kunywa pesp nalipa

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 2 роки тому

      Tuwaombe WCB watuulizie🤣🤣

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 2 роки тому +2

    Steve na rebeca hata hawaendani sijui alimpata wapi mtoto mzuri kama pesa kama mkeo hachoki kumtazama kila saa

  • @modetheo5182
    @modetheo5182 2 роки тому +2

    umeona steve kakuinua sasa hivi unamwona choko. ulizaa naye wa nini.

    • @catherinefelician2148
      @catherinefelician2148 2 роки тому

      Hpn nakataa

    • @robbynyamriba251
      @robbynyamriba251 2 роки тому +1

      Kamuinua kutoka wapi?wellu sengo mi namjua kabla hata ya huyo Steve,kipaji chake ndicho kilichomuinua bhn acheni story zenu

  • @jasminshemsanga8727
    @jasminshemsanga8727 2 роки тому

    Chiz yule anaroho mbaya anataka mwenzie angaike ili awe anamlialia shida

  • @zainaburamadhani7495
    @zainaburamadhani7495 2 роки тому +6

    Nampenda sana Rebecca

  • @kaimasawe1919
    @kaimasawe1919 2 роки тому +3

    Yaan Nina Kaka atakufaa Sana napenda uwe wifi yangu achana na wangoni

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 2 роки тому +6

    Nakupenda matilda

  • @jovanafidelis2802
    @jovanafidelis2802 2 роки тому

    Ana sauti ya kinaigeria🤭kama vile hajui kiswahili basi ataongea kinge Cha kinaija

  • @gillimangi5522
    @gillimangi5522 2 роки тому

    .huyu dada.itakuwa alilogwa na steave ampende

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 2 роки тому

    Halafu mwambie na huyo mtangazi wakiume aache kujichubua sasa

  • @mariammbelwa2487
    @mariammbelwa2487 2 роки тому

    Steve anamtaka uyu dada ndo shida hyoo na sisi tunasema akutakii kaa kwa kutulia sio lazima kuishi na mwanamke ulozaa nae..alafu kumbe watoto wote kazaa na stivu yaan ata ukute kwenye kuigiza alitishia kutoa ndo maan ukaona uzae tu 😅...maan amuendan jaman

  • @laxmikhairah1503
    @laxmikhairah1503 2 роки тому +3

    Pole mwaya
    Mana uyo ni adui wako cyo Mzazi mwenzio

  • @mohammedabdala7526
    @mohammedabdala7526 2 роки тому

    Da dida bi hindu yupo wapi ?

  • @mtegemeemungusiomwanadamu6618
    @mtegemeemungusiomwanadamu6618 2 роки тому +4

    Macho kama ya jini

    • @ubongosahihi
      @ubongosahihi 4 місяці тому

      😮😢😂😂😂😂 amevaa lensi kwenye macho yake 😂😂😂😂 😅😅😅😅😅

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 2 роки тому

    Hivi anakunya mavi magumu kweli huyu

  • @elizabahenge4485
    @elizabahenge4485 2 роки тому

    Kimwanaume chenyewe jmn mhhh

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Kwanini ulimruhusu uyu mtu kuwa na Mahusiano nae, ila Pole sana kipenzi.

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323 2 роки тому +1

    Ya nini mie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @paulmaghembe143
    @paulmaghembe143 2 роки тому +6

    Steven Nyerere alikuwa anakojoa pazuri sana huyu jamaa
    Mali safi na salama kabisa hii

  • @Memphisblue22822
    @Memphisblue22822 2 роки тому

    Wanawake MNA uruma jamani .. Khaaa... Yaniiii mie na huyu dada 😤

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 2 роки тому

    Vijana tutafute Pesa.

  • @hawamwalami8248
    @hawamwalami8248 2 роки тому +3

    Dida nyie et maskini

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yanini mie

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 2 роки тому +3

    Zigo La Steve,Uzuri Six Packs Sio Kigezo kwenye Mapenzi.😗🤔🤔🤔

  • @estermahenge5972
    @estermahenge5972 2 роки тому

    Yani dida😄😄😄etii ya nini mie😄

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому +1

    Sema Steve Nyerere akubali yaishe Ili ulee Mtoto wenu, sio Useme ulee Mtoto wako , Kwani hiyo mimba uliingiza na KIDOLE?
    maneno kama haya wanawake ndio unakuta wanaume wengi wanawaachia Watoto , msiwe wabinafsi mtoto sio wako peke Yako ,mtoto ni wenu..!

  • @catherinecharles932
    @catherinecharles932 2 роки тому

    JUMA UMBEA UMEKUISHA LEO😁

  • @ashangohi450
    @ashangohi450 Рік тому

    Unahekma sana welu

  • @rhodamiguma7336
    @rhodamiguma7336 2 роки тому +1

    Weru ulshawishika nn kwa huyo shotiii, nachukia sana wanaume wafup

  • @mohammedabdala7526
    @mohammedabdala7526 2 роки тому

    Da wellu ilove you

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 2 роки тому

    Steve achakuloga upate mwanamke au ulimbaka binti wawatu duuuhh tupo watu napesa na mvuto ila hatuna mahusiano wewe umempataje huyo?

  • @nancyjohn5261
    @nancyjohn5261 2 роки тому

    Jamani Mungu akupiganie welu

  • @youngmeekmilly3511
    @youngmeekmilly3511 2 роки тому +3

    Mke mzuri huyo c awe jimama langu 😁😂😂

  • @mariamakungwa5391
    @mariamakungwa5391 2 роки тому

    Pole kumbe

  • @dayanakassanga944
    @dayanakassanga944 2 роки тому

    Masikini masikini wanafiki nyiye

  • @msalabanireko1518
    @msalabanireko1518 2 роки тому

    Ivi ili contena tivu ake alikua annalipanda vzr kwel jmn

    • @victoriaanthony717
      @victoriaanthony717 2 роки тому

      Acha ujinga kwani huyu mdada kipindi anaanza usanii alikuwa hiv tuache ushamba alikuwa Ni wa kawaida sana Ila pesa sabini ya roho ndio imembadilisha

  • @baruabarua1569
    @baruabarua1569 2 роки тому +1

    Tivuu akee

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 роки тому

    Mungu atusaidie banadamu

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +2

    Yan huyu Dada mzur lkn Sasa yupo kama diva mapoz meng 😂😂😂😂
    Ila kwa Steve Sijui kaingiaje🤣🤣🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ mnanini mie!!!!!! Mapenz niache mie kidogo 😄😄😄😲😲😲😲

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому

      Kweli kbs 🤣🤣🤣mapoz mengi atimai kangukia kwa Steve 🤣🤣

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

      @@nasraabdallah850 🤣🤣🤣🤣

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому

      @@baimarrajahbuayan6237 tunacheka km mazur🤣🤣🤣🤣siwenyew atujui tutangukia wapi mung atunusur. Ila dada kazid mapoz uyu kutamaki mikononi kwa Steve mbaaa🤣🤣🤣🤣🤣

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

      @@nasraabdallah850 🤣 🤣 🤣 🤣 atajua ajui

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому

      @@baimarrajahbuayan6237 🤣🤣simo🙌🙌

  • @FadhirMagembe
    @FadhirMagembe Рік тому

    Nic

  • @firstnakoko6605
    @firstnakoko6605 2 роки тому

    Steve katomba huyu

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 роки тому +1

    nasema iv apo welu mbaya jamani live ni mzuri welu kushinda mekup yn nimzr sana ao wengnie wte wana subil

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 роки тому +2

    Kwel hela haijawah kushindwa looh teve wa kumvua chupi mdada mzur hyu jaman duh

  • @sameerallykelly7852
    @sameerallykelly7852 2 роки тому

    Wellu

  • @alfredbuyamba8250
    @alfredbuyamba8250 2 роки тому

    My

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 роки тому +2

    Mhh hatari Sana....wadada wa mjini....

  • @naija6679
    @naija6679 2 роки тому

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*#.
    ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html

  • @filberthabashi2870
    @filberthabashi2870 2 роки тому +1

    Dada mzuri huyo

  • @divinebernard1047
    @divinebernard1047 2 роки тому

    Nakupendaga saaana tu Ila punguza mapozi my dear Ila ww ni kati yawasani ninao wapenda💋

  • @farhadimranmoodyimran5119
    @farhadimranmoodyimran5119 2 роки тому +4

    Yaan hii pisi Steave ake alivua chupi dah 🤣🤣🤣🤣

    • @andrewjulius6796
      @andrewjulius6796 2 роки тому +2

      Hata Bado siamini yaan tivu Ake Alikua anakojolea ndani kabisa 🙆🙆

    • @enjoomaliya1399
      @enjoomaliya1399 2 роки тому +1

      Mm mwenyew siamini , kama kweli

    • @lucylucy3678
      @lucylucy3678 2 роки тому +1

      @@andrewjulius6796 sas jaman kwn yeye haisimami au

    • @lucylucy3678
      @lucylucy3678 2 роки тому

      Mbk nakuchomeka bila shid cheze steave yak

    • @andrewjulius6796
      @andrewjulius6796 2 роки тому +3

      @@lucylucy3678 hata kama inasimama ndio mpka stivu Ake jamaniiiii🙄🙄