JINSI YA KUTENGENEZA UNGA WA LISHE by mwanga1tv 12/10/2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Unga huu ni mzuri na hutengenezwa kwa kutumia nafaka kikubwa ni vipimo sahii

КОМЕНТАРІ • 22

  • @anitaandrea567
    @anitaandrea567 10 місяців тому +3

    Nafaka kwa ajili
    Ulezi kilo moja
    Mahindi nusu kilo
    Mchele nusu kilo
    Mtama nusu kilo
    Karanga( zilizokaangwa) nusu kilo
    Ngano
    Soya ( zilizokaangwa)

  • @jescamudogo338
    @jescamudogo338 Рік тому +1

    Mbegu za maboga je azifai?

    • @mwanga1tv698
      @mwanga1tv698  Рік тому

      Unaweza kuweka lakini sio lazima Kwa maana virutubisho vyote mhimu vimo

  • @millicentwesonga7006
    @millicentwesonga7006 Рік тому +2

    Huuo unga unatumika je? Kwa uji ama?

  • @AminaSalum-ft5us
    @AminaSalum-ft5us 2 місяці тому +1

    Apo ulezi si umezidi watoto wengi uwa wanaalisha

    • @mwanga1tv698
      @mwanga1tv698  2 місяці тому

      Ukosawa akikisha unasafisha vizuri na kutoa uchafu ote pia uoshe baada ya kukauka anza usindikaji wako sasa

  • @Halima-zx4pg
    @Halima-zx4pg Рік тому

    👍👍🙏

  • @shamimuabdallah8801
    @shamimuabdallah8801 Рік тому +1

    Mbona hujasema soya kiasi gani

  • @angelsandemu2464
    @angelsandemu2464 Рік тому +1

    Bila kuziosha?

    • @mwanga1tv698
      @mwanga1tv698  Рік тому

      Nitumie ujumbe WhatsApp 0768852151 kwa maelekezo zaidi

  • @anithaapolinary6391
    @anithaapolinary6391 Рік тому +3

    Kwa hii elimu mtu hawezi kufaulu🚶

    • @mwanga1tv698
      @mwanga1tv698  Рік тому +1

      Mbona nirahisi nawengi mpaka Sasa wanatengeneza Kama utakuwa hujaelewa andika swali lako nami nitakusaidia uweze kuelewa au niandike kwa WhatsApp namba yangu nami nitakusaidia ili uweze kujua

    • @salomehaonga3455
      @salomehaonga3455 7 місяців тому +1

      Mm swali langu ule wa kuuza Ili ukae muda mrefu naongeza nini ukae mwezi au miezi

  • @priscatarimo6034
    @priscatarimo6034 Рік тому +1

    Mhhhhh mchele tenaaaa,???? Hii lishe badoooo sio

  • @hajrakifile797
    @hajrakifile797 11 місяців тому +2

    Mchele + mtama+!ulezi+ makindi mbona vyote ni kundi moja tu

    • @mwanga1tv698
      @mwanga1tv698  11 місяців тому

      Nafaka hizo zinatofautiana kwa asilimia kubwa