Waziri Mkuu Aeleza Mikakati Ya Kukuza Kilimo Nchini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2017
  • Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini kutenga maeneo kwa ajili ya mafunzo maalumu ya kilimo ili kuhakikisha kunakuwa na kilimo chenye tija.

КОМЕНТАРІ •