This is how we live in most of the African countries. And after purchasing it, there is always room for renovation however u want it to be. Stop being bitter somehow 😏
@@cneamses3645 Yes but when building try to pay attention to detail when it comes to the interior. And no, not all Africans live like that. There are Africans with better taste.
Martin Odhiambo umeona mtaalam. Yaani hata madarasa huwa hayana nguzo ndani. Hata viwanja vua mpira ukiona kina nguzo ndani ujue ni vile vilijengwa miaka ya nyuma sana. Kachemka hapo...
Hiyo nyumba nje ni nzuri papyri mno. Ndani hata mimi niliesoma historia ningefanya vizuri zaidi. Jiko, bafu, milango mwe. Nguzo mtu atakuwa anagongana nazo kila kukicha. Fundi serelemala kabuni nyumba.
You ain't lying! I'm finding that I love the exterior of most of the houses I've seen shown (Unapologetic Nomads) but the interiors are not my cup of tea. Although they use high quality materials, in my opinion, the interiors lack warmth.
@@devorahstree671 agreed, but anywhere tropical climate is always tile floors and not much to make the home feel "warm". I think its trying to make it cold on purpose.
This house looks quite good from outside but inside it has been designed very poorly, Whoever buy It should hire a professional interior designer to amend and re design the whole interior structure.
Maxwell King na hizo nguzo za kati kati ya sebule unazigeuzaje kuwa urembo? Vipi hizo bafu za nyumba kubwa hivyo zinakuwa ndogo kweli kweli na hazina tofauti na guest house za 20,000?
The bathrooms and kitchen are a huge disappointment. Where is the tub for the master bedroom? Where is the huge kitchen with an island? While the outside property is well manicured and immaculate, the interior design leaves a lot to be desired.
Wewe ni mjinga sana, unawezaji kufananisha yaliyoko ktk ulimwengu huu,na mbingu ambayo hata baba yako hajawahi kufika hakika piga magoti utubu hiyo njaa Itakuuwa,
Kama unafanya biashara amini kwamba utakutana na Negative comments nyingi sana. Na nikawaida kwasababu watu hatufanani kimtamzamo. Hilo unatakiwa ulielewe Sana mkuu, na unatakiwa uwe na Positive energy yakutosha ili usiweze kuharibu biashara Yako. Kwa bahati mbaya hii video nilivyo iangalia kuanzia Mwanzo unazungumza maneno Ya kashfa mfn: hii siyo ile milango yenu ya shilng ngapi sijui. Imagine unazungumza hivyo kwa wateja wako.... Am so sorry for what I said, but you should be very careful for the sake of your business. God bless you 🙏.
Big up Aaron from Unapologetic Nomads. Wow, Tanzania got it going on! Great craftsmanship. Can the color of the ceiling lights be changed? Also, what is the approximate cost of this property?
Kwamza dalali una kauli chafu hakuna jengo duniani lenye mfano mbinguni kule si mikono ya wanadamu wanajenga hilo ilijue na usisema eti watoto wa matajiri wanavuta bangi omba rehema
Most bathrooms and kitchens in a lot of East African homes (I can't speak for the rest of the continent) always leaves much to be desired. Not sure why those are always neglected!
@@Manomacho nimeiona globalbuilding lakin globalbuildingzone sijaiona, na pia kwenye hii globalbuilding hakuna ramani ni picha za majengo kwa muonekano wa nje
Acha maneno ya nyodo ndugu yangu ayo ni maisha tuu ata ukikaa nyumba ya vipi mwishowe utazikwa mavumbini tuu nyumba zetu ni makaburi ata wewe mwenye nyodo utakufa tu yote hayo utayaacha apa apa duniani ni mambo ya mpito tu wa kidunia ayo
Simaanishi kumkwaza yyte, lkn kusema kweli, design ya hii nyumba bado sana sana, nje na ndani kote design mbaya. Nafsi kubwa imepotezwa...vyoo design kama vya baa, ngazi kama za shule, nguzo katikati ya sebule n.k
Nyumba ya kishamba sana, humo ndani planning yake haina mvuto hata kidogo. Bei na réal thamani ya nyumba haziingiliani, waipige mnada tu kwa shillingi milioni 50 - 120.
From saudia rabia nilitka kununua iyo jumba lkn kwa mdomo wako mchafu na kuzarau watu nimeisamehe kwan jumban lote ilo alf tukifa kabr wanao chimba na ao maskin unao sema ww kuna heshima bas alf mbinguni unakujua ww vzr hakuna taka taka kama izo za kibanda chako izo ww unaona jumba sana iyo yakaida sana kabsa
Nyumba inje iko sawa but interior zake bro za kizee Sana bafu haina bathtub, haina shower cubicle ndani it lacks a lot of things pia fanya utafiti kutofautisha Kati ya townhouse, bungalow, maisonette,villa na apartment itakusaidia kwa kazi yako
Unapologetic Nomad brought me here and this home is beautiful!
THE OUTSIDE OF THIS HOME IS BEAUTIFUL. THE INSIDE IS WHAK😂😂😂😂😂😂😂
Reminds me of someone's granny's house...or a 80's hotel
This is how we live in most of the African countries. And after purchasing it, there is always room for renovation however u want it to be. Stop being bitter somehow 😏
The interior is a horror.
@@cneamses3645
Yes but when building try to pay attention to detail when it comes to the interior. And no, not all Africans live like that. There are Africans with better taste.
The two pillars in the main living room spoils everything.
Noted that too. Technically it distorts the ambiance in the room.
You have good eyesight
Thanks bro, it's part of my profession.
Martin Odhiambo umeona mtaalam. Yaani hata madarasa huwa hayana nguzo ndani. Hata viwanja vua mpira ukiona kina nguzo ndani ujue ni vile vilijengwa miaka ya nyuma sana. Kachemka hapo...
I agree. Its still a nice house though. But the interior design could be adjusted.
Kwamimi nyumba Ni nzuri kwa nje ndani ipo kishamba sanna.lakini ninaongea hivi hata tofali moja sijawahi kuwa nalo.allah atupe maisha na sisi yaraby
Duuh Mzee kauli zako sio Ingawa nyumba nzuri
Hiyo nyumba nje ni nzuri papyri mno. Ndani hata mimi niliesoma historia ningefanya vizuri zaidi. Jiko, bafu, milango mwe. Nguzo mtu atakuwa anagongana nazo kila kukicha. Fundi serelemala kabuni nyumba.
Beautiful property but I'd have to spend a fortune in remodeling.
@libra moon, I concur.
You ain't lying! I'm finding that I love the exterior of most of the houses I've seen shown (Unapologetic Nomads) but the interiors are not my cup of tea. Although they use high quality materials, in my opinion, the interiors lack warmth.
💯.
@@devorahstree671 agreed, but anywhere tropical climate is always tile floors and not much to make the home feel "warm". I think its trying to make it cold on purpose.
This house looks quite good from outside but inside it has been designed very poorly, Whoever buy It should hire a professional interior designer to amend and re design the whole interior structure.
Maxwell King na hizo nguzo za kati kati ya sebule unazigeuzaje kuwa urembo? Vipi hizo bafu za nyumba kubwa hivyo zinakuwa ndogo kweli kweli na hazina tofauti na guest house za 20,000?
Yeah that's true
U dont h've money be quitly.
Wapi uko
the kitchen is horrible
Beautiful home I love it. I come here from the unapologetic nomads channel 👍
Waoo. The house is superb. I like the security of the doors.
Duuh tokaini umeona pingu ikiuzwa bab hongera san kwkua umeingia mbinguni wew broo unazingua bn
Nyumbaa nzuriii cnaa
Mmm umetisha. Nyumba nzuri sana.
honestly nyumba ndani ni ya kishamba sana, nje is very presentable
The bathrooms and kitchen are a huge disappointment. Where is the tub for the master bedroom? Where is the huge kitchen with an island?
While the outside property is well manicured and immaculate, the interior design leaves a lot to be desired.
Agreed... that is the problem in tz houses , rooms are small also , this house outside is amazing but inside only the sitting room is nice
True the inside is disappointing
BUNGALOW! Sio Bangalore
Hiyo nyumba aina thaman hiyo Mzee hiyo ya kawaida sana ikizid sana million 600
Million 600 kama utajenga mwenyewe una kiwanja ndio kweli unaweza ukajenga
ukubwa wa eneo na thamani ya eneo lilipo na thamani ya materials zilizotumika kwene hiyo nyumba japo ni ya kawaida but it deserve the price
Hii kama hela unayo unalipa 1.1 bil very fair
Apo sawa
Eneo kubwa
Hey very beautiful I like this ❤❤
The house was better from outside. Interior is very ordinary though. Wewe bana, cheki interior designs za nyumba Kenya, Nigeria or Sa?
I agree. Anafaa aangalie interior designs za huko Kenya.
Mmmmh which Kenya lol
nigeria interior designing is woooow
I can't agree more. The outer part is beautiful including the landscape but interior needs a remake.
Kenya 🤦🏽♂️ same pia ,check SOUTH AFRICA
Pole Sana hujui kusemea mbingu unasema matofari na miti mbingu hujielewi
Mashallah ni nzuri saaana safi
Siku moja ntanununua jengo ka hili. 💓
Mbona haina tofauti na ile niliyopangishaa,, acha dharau kusema maskini wanazungukaa pengine hao maskin wakawa maboss zako
Mimi Ninao uzoefu wa ujenzi bey yaiyo nyumba ipo Sawa kabisa
Naona Bei sawa sawa na nyumba
nyumba nzuri sana
Dalali kuwa na maneno mazuri ya uwsilishaji kauli unazotumia sio nzuri
Nyumba inaonekana imejiminya sanaa ndani
You have such grate taste if your projects . Keep up the grate content
Wewe ni mjinga sana, unawezaji kufananisha yaliyoko ktk ulimwengu huu,na mbingu ambayo
hata baba yako hajawahi kufika hakika piga magoti utubu hiyo njaa
Itakuuwa,
Huyu jamaa ni shoga kweli
Nashangaa Sana mpuuzi huyu kufananisha hii choo na mbinguni jinga kweli hili jamaa
si vizuri kufananisha mbinguni na vitu vilivyotengenezwa ni mikono ya binadamu
Ya kweli hayo kwani mungu kaumba mbingu tu
Kwa nje ni nzuri na sebuleni ni nzuri
Ipo vizuri Sanaa yaani hiyo fence na Paving ni zaidi ya 25M
Nipigie 0658494763 kuna nyumba nauza bagamoyo unitafutie mteja
Kama unafanya biashara amini kwamba utakutana na Negative comments nyingi sana.
Na nikawaida kwasababu watu hatufanani kimtamzamo. Hilo unatakiwa ulielewe Sana mkuu, na unatakiwa uwe na Positive energy yakutosha ili usiweze kuharibu biashara Yako.
Kwa bahati mbaya hii video nilivyo iangalia kuanzia Mwanzo unazungumza maneno Ya kashfa mfn: hii siyo ile milango yenu ya shilng ngapi sijui.
Imagine unazungumza hivyo kwa wateja wako....
Am so sorry for what I said, but you should be very careful for the sake of your business.
God bless you 🙏.
lugha yake ni mbovu sana
mshamba huyu, too much bragging.
Hana professional ndo maana anaongea lugha za kihuni na kashfa mwenye nyumba hapo atakosa wateja kwa maneno ya huyo aliyempa amtafutie wateja.
Kweli kabisa.
Kwa hathi ya kibongo labba lakini finishing mbovu sana
Nyumba nzuri sema kutokuwa na hela ndo maana tunaponda
Bonge ya mjengo hongera sana boss L
Konde gang,mjengo wa harmonize
Naitaka hiyo nyumba,
Nyumba nzuri xn ila bei kubwa sana hiyo
Ayse
Big up Aaron from Unapologetic Nomads. Wow, Tanzania got it going on! Great craftsmanship. Can the color of the ceiling lights be changed? Also, what is the approximate cost of this property?
$603,567
Now for this price I’d go for the Magnolia 12 house in Kenya. It’s way better.
bullet-proof door.. cool
Gud
Kitendo cha ghorofa Kuwa na Nguzo ndani hata kama limejengwa namna gani hilo ni likepitwa na wakati sanaaaaa
Kwamza dalali una kauli chafu hakuna jengo duniani lenye mfano mbinguni kule si mikono ya wanadamu wanajenga hilo ilijue na usisema eti watoto wa matajiri wanavuta bangi omba rehema
Hajitambui huyu mtu
Huyu dalali nae kwanza mvuta bangi 😂😂
@@kennedymlay9532 ndio mana ana kauli za kihuni 😏
Khadija
Ww mwenyewe masikini wajitia shobo tu
Kali
4:23 na maskini kadhaa waliokuzunguka😅😅😅
daah acha kk.....maskn maskin kadhaa😁😁🙌🙌
huyu dalali kiboko
Dalali Anazingua
Kiukweli nyumba nzuri
Most bathrooms and kitchens in a lot of East African homes (I can't speak for the rest of the continent) always leaves much to be desired. Not sure why those are always neglected!
Ok nimeona ndugu yangu je imeshanunuliwa au bado ipo hiyo nyumba
Nyumba ya harmonize hii
Ni tamu sana tuombe mungu corona hishe naja nikichukue hicho nimeipenda sana
Helllow
Still available......????
Good
house ni interior.....ndani wameharibu vibaya..atakaye nunua..itabidi abomoe
😂😂😂Mtoto akule bangi tena.... Anyway the house is extremely massive
Haaaah! Eti masikini masikini kadhaa.....!!
Haya bhana
Mimi ni dalali"lakini sijaona dalali mpumbavu kama wewe"unamkufuru mwenyezi mungu mbwa wewe?ulishawahi kufika mbinguni? Shenzi kabisa
Kakosea sana
Ata wewe umemkosea sana hakuna mtu wa mwenyezi mungu anaita mtu mbwa
Unaweza hisi ni maneno mazuri unayoyatumia kwa ajiri ya kuvutia biashara lkn kwa bahati mbaya maneno yako ndio yanaiharibu biashara
Eti unawaanyalia maskini mbwa kweli weee
Harmonize house
Eti mbunguni pepo shetani wew
Nilchogundua umu hakun mweny nyumba mfano wa hii na tulicoment maskin watupu hahahaa hasir mbay jama
Ipo maeneo gan iyo nyumba
Stupid presentation...kua professional sio una zarau mbwa ww
Kweri kabisaa yaani zarau
haja dharauuuu yyte nahuyo mjengo sio wamchezooo.
Ibrahim Rukundo Kazarau tena sana kuna time kasema kule nje kwa Masikini masikini hiyo ni Zarau kubwa
@@masoudzanzibarali9994 [04:20]
Ipo salasaala ipi? Send me your WhatsApp number.
Tunakubali
Nyumba ya harmonize banaa
Habari
Jamani naiitaji Nyumba Hii
Nyumba sio mbaya lakini zile piller mbili pale ukumbini zimeharibu nyumba yote na kwenye vuil hakuna hata jakuzi moja na interior design amefeli
Ndo ivyo kizur hakikos kasor
tubadilike waafrika tuachane na mambo ya kiuchawiuchawi na kuwanga.
Unakula upepo ukiangalia maskini maskini wanavyozurura😂😂daah
Duuuh hii nyumba nimefanya mimi wiring chini ya mmiliki prof endrow mbwambo
Mr ninaweza kupata ramani ya nyumba ya vyumba 7 vya kulala lakini isiwe na ghorofa? Email yangu ni 3354422@gmail.com
@@albertchuma4313 naomba ramani ya hyo hyo Bangalore inayo tangazwa ka ukiweza nicheki obedimichael8@gmail.com
@@albertchuma4313 tafadhali pitia @globalbuildinngzone intagram,kuna ramani kali
@@p2rmtv628 Albert Chuma tafadhali pitia @globalbuildinngzone intagram,kuna ramani kali
@@Manomacho nimeiona globalbuilding lakin globalbuildingzone sijaiona, na pia kwenye hii globalbuilding hakuna ramani ni picha za majengo kwa muonekano wa nje
Acha maneno ya nyodo ndugu yangu ayo ni maisha tuu ata ukikaa nyumba ya vipi mwishowe utazikwa mavumbini tuu nyumba zetu ni makaburi ata wewe mwenye nyodo utakufa tu yote hayo utayaacha apa apa duniani ni mambo ya mpito tu wa kidunia ayo
ASTAAFIRULLAHX3...umekosea sio mbinguni
Simaanishi kumkwaza yyte, lkn kusema kweli, design ya hii nyumba bado sana sana, nje na ndani kote design mbaya. Nafsi kubwa imepotezwa...vyoo design kama vya baa, ngazi kama za shule, nguzo katikati ya sebule n.k
mbovu sana
Usimfananishe yesu nausenge wako mbwa
Mbona kama konde village ivyo...sijaelewa
Presenter ana lugha za kuvuta bangi, hivi kweli ndio nifanye nae biashara huyu!!!!!!?
Haiwezekani kabisa....hata mteja sijui kama atapata
Yaani hajatulia
😁😁😁
Hahahahahahaaaaa eti maskini kadhaa waliokuzunguka
Kitchen ya kishamba
This houses is beutiful outside no inside
Nice
Harmonize hili
How mush is the house
Nyumba ya kishamba sana, humo ndani planning yake haina mvuto hata kidogo. Bei na réal thamani ya nyumba haziingiliani, waipige mnada tu kwa shillingi milioni 50 - 120.
Nina offer ya 500M.
Mungu atakusaidia ww kaka nyumba waita mbingu.Nyumba gani inaweza fanana na mbingu bwege ww
Mm naitaka hio nyumba Kenya shiling ni ngapi???
From saudia rabia nilitka kununua iyo jumba lkn kwa mdomo wako mchafu na kuzarau watu nimeisamehe kwan jumban lote ilo alf tukifa kabr wanao chimba na ao maskin unao sema ww kuna heshima bas alf mbinguni unakujua ww vzr hakuna taka taka kama izo za kibanda chako izo ww unaona jumba sana iyo yakaida sana kabsa
Mwenyewe kanikela hatary ..dharau kibao
*KABURULI* REKEBISHA RUGHA KAKA! UNAKOSEA! INNA LILAH WA INNA ILLAH RAJ-UN!
Mbona hakuna kibaya Alicho kiongeya binadamu bwana
Daaaa
Aloo..kunawatu wanakula maisha bhana
Dah maza fanta haya ndo maisha bhana
Hii kweli hatari
Thamani ya nyumba hiyo 400000000 milioni
Nyumba inje iko sawa but interior zake bro za kizee Sana bafu haina bathtub, haina shower cubicle ndani it lacks a lot of things pia fanya utafiti kutofautisha Kati ya townhouse, bungalow, maisonette,villa na apartment itakusaidia kwa kazi yako
I love the outside of the house very beautiful, the inside needs work! How much is this house, is this house for rent or for sale?
It is for sale about 1.4 Billion Tsh. which is approximately 603,400 Usd.
@@cneamses3645 ain’t no way😂
$603 000 is very reasonable wouldn't complain about the price.
Napenda series corona ikiisha naja Tanzania nikichukue
We scober msenge sana
🤣
Konde gang verag