Bob Njagi na Ndugu wawili waliotoweka Kitengela wapatikana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Ni afueni kwa familia na marafiki wa ndugu wawili Aslam na Jamil Longton pamoja na Bob Njagi baada ya kupatikana wakiwa hai katika mazingira tatanishi maeneo ya kitusuru. haya yanajiri baada ya juhudi kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja chama cha mawakili LSK wakiwemo wanahabari kushinikiza kuachiliwa kwao

КОМЕНТАРІ • 55

  • @saramungania7125
    @saramungania7125 5 годин тому +9

    Let us thank God for protecting these people. Mentioning the captors and the powers that be is glorifying them for nothing. They are not worthy the mention. The battle belongs to the Lord!

  • @dodokibbah3513
    @dodokibbah3513 3 години тому +1

    Yaani mngenyamaza kidogo tuu aky wangeuliwa thanks to whoever was involved.
    And above all the Almighty

  • @jessenjuenjoka4440
    @jessenjuenjoka4440 5 годин тому +3

    Here's ,what a miracle my friend,weee mungu amekataa na hawa.

  • @Trizah-254-e
    @Trizah-254-e 5 годин тому +4

    Ruto anatakikana kuwekwa ndani, yaani haezitesa Kenya hivi as if ni ya mamake😢

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 5 годин тому +4

    Alafu utaskia Huster!!...bottom up!
    Wheelbarrow juu...tano tena😢

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 5 годин тому +9

    Shame on you Ruto...look at the age you are compiting with😂😂😂

  • @georgesagwe6703
    @georgesagwe6703 5 годин тому +10

    The whole thing is working against Ruto.let him stop these abductions

  • @maureenouma-b5e
    @maureenouma-b5e 5 годин тому +7

    Eti bado mtarudisha Ruto uongozini,vifo zitazidi walai tunashukuru Mungu wako hai,unashikwa na hakuna chenye umefanya ulaaaniwe wewe Rais

  • @anantbhatta4765
    @anantbhatta4765 5 годин тому +14

    Hello Kenya iam anant from India I love Kenya ❤

    • @geoffreymbogo5881
      @geoffreymbogo5881 5 годин тому +2

      Wina mbeca kana no muhahi

    • @marymutero7212
      @marymutero7212 5 годин тому +2

      Thank you, greeting and.. I love lndia too.

    • @Stargate234
      @Stargate234 5 годин тому

      Love kenya at your own risk, krnya is a crime scene and banditry society it's not a country.

    • @josephsimba830
      @josephsimba830 5 годин тому +1

      After such an episode you dare say you live Kenya?

    • @anantbhatta4765
      @anantbhatta4765 5 годин тому

      @@marymutero7212 thnq so Much kenya citizen

  • @jayalltheway1102
    @jayalltheway1102 4 години тому +1

    Ruto MUST go NOW

  • @georgekamau9855
    @georgekamau9855 4 години тому

    Poleni sana na Mungu a wabariki. Our Mau Mau freedom Fighters went through hard time and they never got what they wanted. 2nd liberation heroes also suffered a lot.

  • @veronicakilonzo788
    @veronicakilonzo788 4 години тому +1

    Thank You Lord

  • @washingtonmbiti9348
    @washingtonmbiti9348 3 години тому +1

    Ruto na regime yoote pamoja ig.wafunguliwe mashtaka.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 5 годин тому +2

    Alhamdulillah

  • @alimohamed6270
    @alimohamed6270 5 годин тому +5

    Alhamdullilahi

    • @anantbhatta4765
      @anantbhatta4765 5 годин тому

      @@alimohamed6270 hello brother iam anant from India

    • @alimohamed6270
      @alimohamed6270 4 години тому +1

      @@anantbhatta4765 I'm from Kenya 🇰🇪brother

  • @mariamkamburi890
    @mariamkamburi890 5 годин тому +2

    Too many coincidences....the police knew where they were

  • @susannyambura3759
    @susannyambura3759 2 години тому

    Hapo hata wana biashara wanaweza cordinate na police wee hii kenya🙄🙄🙄

  • @cateciru7325
    @cateciru7325 4 години тому

    Kenyans never learn the writing was on the wall. But they still went ahead so dont be surprised

  • @victorosindi3762
    @victorosindi3762 5 годин тому +1

    Kenya should remind them police officer that we are not under colonial error,, those police who are abducting Kenyans to killed your days are counted na hamta penda

  • @nyaozilnyao8849
    @nyaozilnyao8849 3 години тому

    Kazi ya masengeli hiyo

  • @mathekarichard1382
    @mathekarichard1382 2 години тому +1

    A human being doing this to another human being.....Mungu tusamehe tu... humanity is out of us but again the Almighty God punish this ideots who are hurting the fellow human..... please reaveal this ideots who are hurting fellow human

  • @BethBeth-d3e
    @BethBeth-d3e 3 години тому

    Glory to GOD

  • @b.9811
    @b.9811 3 години тому

    If masengali could not have been given pressure wange😢enda

  • @miriamwangui1714
    @miriamwangui1714 5 годин тому

    To God be the glory

  • @charlesopudo7192
    @charlesopudo7192 3 години тому +1

    A police state.

  • @Spectre-Turner20
    @Spectre-Turner20 4 години тому

    Alshabaab

  • @perisnekesa8117
    @perisnekesa8117 5 годин тому +2

    Ruto 😈👿👿👿👿👿👿👹👹👹🕊️

  • @emmanuelmutuku3456
    @emmanuelmutuku3456 4 години тому

    Ruto, Ruto, Ruto 😢😢😢😮

  • @mohamedgathu2676
    @mohamedgathu2676 3 години тому

    Kwa bahati mbaya uskie Ndege ya prezo imeanguka, 😂😂 ile sherehe itafanyika duh...
    Sijasema prezo wa Kenya 😂😂

    • @ThomasOrocho
      @ThomasOrocho 3 години тому

      Kwani unaficha Nini ...Mimi nili votia Ruto but nikisikia ndenge imefinya mtu na royalists kumbafu...nitasema Mungu Ako na mipango zake

    • @mayamaxextra
      @mayamaxextra 2 години тому

      Apa ni sherehe hadi chee😂😂

  • @TobiasWhale-r1y
    @TobiasWhale-r1y 4 години тому

    In forensic investigations, it's possible to recover fingerprints from cash money/ bank notes. this can help track down the conspirators too if they were careless giving away the cash