Ziko Hizo Nywele.. zaitwa Human Hair. ukivaa waonekana una nywele original kama zako.. Na sasa hivi wamezi advance to Lace Wig... yani laini singa ukivaa wallahy tena kama umekaa mwarabu mtu hakujui kabisa labda uwe fundi wa kutambua kuwa mtu kavaa wig. Allah atuongoze yaarab. Amin.
sikubaliani na rasta ambazo ni za mkonge zinaruhusiwa, mm naona haifai kuunganisha nywele na kitu chochote kile, yaani inakuwaje nundu kichwani hairuhusiwi iweje rasta zifai
Jazzakallah khaira kwa ukumbusho
Mungu akujaalie kher yakutuelimisha in Sha Allah
Allah kuzidishe ustadh izidin
Ziko Hizo Nywele.. zaitwa Human Hair. ukivaa waonekana una nywele original kama zako.. Na sasa hivi wamezi advance to Lace Wig... yani laini singa ukivaa wallahy tena kama umekaa mwarabu mtu hakujui kabisa labda uwe fundi wa kutambua kuwa mtu kavaa wig. Allah atuongoze yaarab. Amin.
mwenyezi mungu akufanyie wepesi wa maisha yako
MashaAllah sheikh......... i like all of ur darsa
Mashaallah jazakaallah kheri inshaallah napenda sana darsa zako
Masha Allah Allah akuzidishie ilmu
shekhe asante kwa mawaidha mazuli
Hahahaha shekh hpo kwa chupii waaaa mbavu cna
Hanadi Alabed 😂😂😂😂😂😂😂😂😅
بارك الله فيك وحسن عملك
shukraan ustadh jazakallahu khair
Mashallah Allah akulope kila lakheri.
Masha Allah
Mashaallah sheikh
Je na kwasisi ambao atujaolewa
ما شاء الله بارك الله فيك
mashallah sheikh
sikubaliani na rasta ambazo ni za mkonge zinaruhusiwa, mm naona haifai kuunganisha nywele na kitu chochote kile, yaani inakuwaje nundu kichwani hairuhusiwi iweje rasta zifai
vizuri sheikg
MASHALLAH
Sheikh lzudin uwiiii....hii chupi hahahah....
Shekhe naomba namba yko
masha Allah
As'alyekum swali langu je kusuka dreads za nywele zako pia haipaswi? ( yani kuzisokota nywele zako zinakuwa kama mtu kasuka rasta )
Zinafaa lakini zisikazwe sanaa hakikisha maji yatapita katika kila unywele kama utakua na shaka basi usitengeze
mashallah
Sheikh lzudin sijaelewa hii mkonge ni nn au ni nywele ya aina gani samahani
Naomba no yko ya watapp kwa kuuliza maswali plz
nina swali shekhe .je yafaa kutoga sikio mala tatu au mala nne
baba wa kileo khatari sana tunaushahidi huku kwetu wafanya machafu na wanao
Nani huyo
Tupe jina lake pls
Je.kutiadawa.kwenye nywele kuna.uharamu gani wakati nyelezinabaki.vilevile?.naombeni.jibu.nielewe
Hadija,naskia unaeza paka unaeza paka brown ama ngine bora isiwe black.black haram
Huku ambako dini ilishuka kila kitu si haram. Kukata nyusi tattoo kupaka nywele rangi dye kubadilisha maumbile. Mi mkenya niko iraq na waangalia tu
masha Allah