Ww hujui unacho kiongea kumbuka Babu Yako hakua akimuamini mungu naitaendelea ivyo Hadi kiama na kumbuka alishinda kifo na kaburi huwez mfananisha na Babu yako
HATA KAMA KUNA UHURU, KUNA MIPAKA. ITAKUWA VIZURI KUEPUKA MAMBO KUHUSIANA NA DINI KWASABABU HATA KAMA WEWE UMUHESHIMU YESU, KUNA WENGI WANAMUAMINI NA UTAWAUDHI. YASEMEKANA UKIMDHARARU AU KUMTUKANA WA MWENGINE, WAKO PIA ATADHARAULIWA AU KUTUKANWA. LENGINE NI KUTUMIA MANENO YASOKUWA NA HESHIMA, AU HAYAFAI KUTAJWA MBELE YA WATOTO AU HATA WATU WAZIMA KUKULIKO. KAMA KWELI UMETHAMINI MAONI YA WALIONITANGULIA, NAOMBA CLIP HII UIPAKUWE .... HATA HIVYO, KILA LA HERI NA MAFANIKIO KATIKA USANII WAKO.
We kalambua we wagombadze muyangu we
Ww hujui unacho kiongea kumbuka Babu Yako hakua akimuamini mungu naitaendelea ivyo Hadi kiama na kumbuka alishinda kifo na kaburi huwez mfananisha na Babu yako
Jesus Mwana wa Mary (Peace Be Upon them) ni Mtume wa Mungu.
Fanyeni heshima na mitume wa Mungu.
Mzee yuko sawa
Radio kaya
Huyu kalambua alipotelea wapi
Safi
Leta jokes zingine ila sio za kudhihaki Yesu. Heshima sio utumwa
Utalaniwa wewe mzee
Hahahaha wewe mzee vunjambavu
Kwani huyu mzee sinilikia alikufa,ni kweli ama niuwongo.
Bado yupo, unaweza kumfuatilia kila siku kwa Voroni Enehu kupitia fb.watch/auzyhxq_kj/
@@RADIOKAYAKENYA okay ni sawa, Mungu amzidishie umri
Kwani ilikuaje mpaka akatangazwa kuwa amekufa
Mzee utachizi wewe
🤣🤣🤣🤣🤣
Mocking jesus unknowingly..be careful