Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nakupenda Bure ulievaa gauni, imagine nimerudia kutazama Zaid ya mara tanoo, kila lakherii da Glory❤
I'm from Kenya I don't understand Swahili 😊 but nimeiangalia hii mara 5Huyo mdada mwenye kigauni ni 🔥
BEST GROUPDAMN VOCALS.
Nimeanza kumuelewa salama after grown up zamani nilihisi anauonevu 😂😂😂😂😂😂she is just straight
Lydia ktk emotional song u are the best pliz usitoke apo maana katika entertainment song kuna wabaya zaid yak wakina glory razak na king david
The lady mwenye kigauni ana sauti flan hivi ....
Napat goosebumps ❤🎉
hivi hiyo goosebumps iko na maana mgani?
Wamepangilia sana sauti zao.. mwenye kali kakaa kwenye kali uyo ya kukauka kakaa kwake pia..good
Kaaa et yakukauka kwann unatumia maneno makali rahim
girls this time are so strong vocaly
I love Lidya
Bongo star search for now imekuwa haswa 😍
Atakaeshinda BSS msimu huu ni mdada📌📌..tena kati y uyu dada alievaa kigaun cha maua au getrude yule wa kwenye group la kwanza😎
Uyo getrude ndo Alie Vaa gauni jekundu mda ule na ukweli mwingne ni kwamba mshindii wa hawamu hii n mwanamke
Cheee Kuna mdada anaitwa lydia ww 😊😊 uyo alieachia unywele 🙌
ukwel ni kwamba awamu hii wadada tuko moto manzee!❤ vocalist kama wote
Ndivo mganga alivo kuambia?
@@KenrogersEdwinmmmmhhh
Lidyah aseee ❤
Best group💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Lydia's voice duuuhh goosbumps.... 🤗
Hawa kweli ni wanauwezo,,,seriously hapa kuna vichwa
Lydia ni 🔥🔥🔥🔥🔥
❤my best onesmo Reynold you are the best
Jmn huy dada mweny kigauni cha maua sy yule aliye imba watu fek😮
❤❤❤❤wametisha
We wakali
Lydia anauwa sana 😃😃😃🙌
If this was the best group I wonder izo zingine zilikuaje
Wanaimba vizuri sana lakini ODIENCE wanaipa asilimia chache sana kwenye kuwatazama they should be concentrate to their audience
Shishi nakumpenda Bure unanongesha kipindi
Wapambane bado sana
Master J et which is the real artist 😂😂😂badala ya who is the real artist 😅😅kiingereza shikamoo
i love this perfomance
Mambo ni motooooo
Onesmo anajuwa sn🔥🔥🔥🙌
Master j what a judge👏
Lydia ❤🎉
Du Sina neno
Glory congratulation umeua
Kwel masta jey kaongea ukwel ikinkundi la kwnza ndo kimefanya vizzur unasikia kbs saut kuliko lile la pili
Shishi vibe nimeipenda sana ❤😅
chills n goosbums all over
Daah huyu dada wa kwanza nyoko sana
Wametish san wamecheza n bend kbx
Vickhel Elishaa😊❤
Masta kanyooka
Uyo jamaa kazingua vibaya mno, ashukuru hao wadada
Wameharibu tu huo wimbo Kwa kuushusha key,,,,!
I love it 💓
Mpk nimecheza❤❤❤❤❤
Vickel unajua
Alie washauri magroup hamn kitu
Sasa ndio mmeamua kuchukua wasanii kabsaa
master Yuko na point asikikizwe
the best
these guys know music nyieeeeeee
Naombeni jina la uyo ambye shishi kamwongelea hapo kwamba hyo vocal kaanza yeye nimuwekee mark
Na mbona hamjagusia mvulana alafu ndo ali vibe vizuri sana
hili group la moto
Onesmo number One
❤
Yes
Hili ndo group 🔥
Em wapande key hapooo🤩
Wamewezaa kali sana ❤
Lydia ni moto
Ilove this group
Lydia sings🙌
Safi sana
Naenjey san tokea kenya uku
Kiasi chake
Wakifikaga dar wanaogeshwa jaman wanangaaa
Hi ndo dar Mafuta ya Nazi unangaa
😂 imagine hapo ndo Wana week tuu dar wameshang'aa
Wow ❤❤
Ila Shilole
Huyu Muuza Viatu ana hatari sanaa💣
🇹🇿🇹🇿
Onesmoo uyooooo ❤
Hawawezi kiukweli na wameharibu wimbo wa watu wafungwe tyu kiukweli
😂😂😂Dahh why
Acha wivu komwe wew😂
Hili group uyo dem shishi alie msemea ndio mbadiii sanaa vocal yake then wapili uyo mwenye gaunii af lydia and all in all hapa kwenye group ✌️ ndo kuna mshindiii wa Bss
Unajua king david wewe unamjua razak wewe wana balaaa
Kaaaaaliiii
1:38 hapo aisee harmony ilipendeza
I wish ningemuona johson benson
Hapa ndo atatoka mshindi
Jaman we dada grory umeenda BCC na uko nakipaji kikubwa Cha kuimba kwenye bend
Jamani wanavyopanda , najikuta machozi yananilenga lenga
Sio kweli we mnafki 😅😅😅
Ana tudanganya eti wakat anacheka😂
Huyo muuza viatu mkali sana
Uyu dada wakwanza hafai
🔥🔥🔥
They kill it
Hako kadada kamevalia gauni ni hatar
❤❤❤
Naomba kuuliza, “the walking band” wapo group no ngapi!?
Wapo.lile walofanya vibaya zaidi wamevaa tisheri za damu ya mzee
I feel pity for judges👏👏
Huyo Dada aliye vaaa black trough imebana anajuaa hadi anakera
Kati ya ma group yote hili ndo limefanyavizuri zaidi. Naiamini mm!!
Hawa wameua..... jaman wale The Walking vp?
The key they choose was not comfortable to all
Why is madam hinders master Yani anamchamba even if master yuko right lol 😂😂
LIVE WANAFANYIA WAPI NIJE LIVE
Awa wawili weny brack na koti za jeans wanakityu🎉🎉❤❤❤
❤❤
🔥 📛
kwani alosemwa beyonce ni yupi? mwenye kigauni au?
As individuals nawapa lakini as a group no, more effort
🎉🎉🎉
❤😊
Dogo wa kiume kazingua, angecheza vizuri tu part yake group lingefika mbali
😂😊
❤❤❤🎉🎉
Hamna kitu hapo ni mmoja tu huyu wa gauni la maua
Huna kitu unajuwa wew😂
😂😂😂😂umeona kitu baada ya kuona mapaja😅😅😅😅
Sema vizuri wewe kunakitu unakitafuta 😂😂
@@modestysifa3774 😂😂😂😂😂😂
Nakupenda Bure ulievaa gauni, imagine nimerudia kutazama Zaid ya mara tanoo, kila lakherii da Glory❤
I'm from Kenya I don't understand Swahili 😊 but nimeiangalia hii mara 5
Huyo mdada mwenye kigauni ni 🔥
BEST GROUP
DAMN VOCALS.