Dada Eunice Mungu wa Mbinguni akubariki kwa huu wimbo. Unatuvusha wengi, endelea kumuomba Mungu akupe neema yake wakati unaendelea na nyimbo zingine ili zipate kibali na kuponya wengi. Mungu azidi kukuinua kila kukicha.
💪💪💪💪 ya Mungu iendelee kua juu yako mungu azidi kuipandisha huduma yako ya kumtumikia mungu kwa hiyo njia ya uimbaji kuwatia moyo wale walio vunjika moyo na kukata tamaa...umenibariki sana wabarikiwe na wengine pia....
Amen dear umenibariki sana asante kwa kutembea kenya Githurai barikiwa sana i love u sister
Kwakweli mpango wa Mungu auzuhiliki , Mungu akubariki kwawimbo huu🙏🙏🙏
This song has given me courage to start and move again
Wimbo mzuri sana dada.
Ulitubariki sana Nairobi 🇰🇪
Uko vema mno dada hata muonekano wako wa uimbaji,mtu asikudanye ukajibadilisha,uko kitumishi ubarikiwe sana
Amen
This is powerful.. From Lushoto Tanga Tanzania
My first time to listen to this amazinĝ song. Mimi ni mpango wa Mungu
Karibu tena kimandolu
Barikiwaaa saaanaaa
Mungu akubariki sana dada umejua kunifurahisha KKKT Mwanakwerekwe Zanzibar
This is God talking to some of us through this song 😭😭😭Mungu wangu nikupe nini?
Anastasia kiatu kivue style ❤
Dada Eunice Mungu wa Mbinguni akubariki kwa huu wimbo. Unatuvusha wengi, endelea kumuomba Mungu akupe neema yake wakati unaendelea na nyimbo zingine ili zipate kibali na kuponya wengi. Mungu azidi kukuinua kila kukicha.
Amen...
Umefanya vzuri sana Mungu akubariki utuwekee nondo nyingine kama hii by baba winner
Woke up singing this song mpaka nmeutafuta niuskize wote 😊😊😊😊Mungu atufungulie njia ili Mambo yetu yaende sawa na mipango yake 🤲🤲🤲🤲
Congratulations to you mamy, Mungu azidi kukuinua katika safari hii ya utumishi..
Mpango.wamungu.kweli.hauzuiriki.haleluyaa
Mpango.wamungu.ni.mzuri.kwakilamtu.aliye.muumba
Wimbo wako wanibariki sana,Mungu akupeleke kwa viwango vya juu
Wimbo mzuriiii sana umekuwa faraja kwangu nausikilza kila kukicha.. hakika Mungu akuinue viwango vya juu coz ni mpango wa MUNGU
Kazi bila lawama. Hongera dadangu
You have really blessed us in kenya mum may God bless you more already missing you mom gatunga tharaka nithi
Dada uko vizuri ,Tunakuombea Mungu ufike viwango vya juu zaidi na zaidi❤❤❤🎉
Kweli kabisa kila kitu ni mpango wa Mungu Mwanadamu hawezi zuia mpango wa Mungu ubarikiwe Classmate wangu
🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️😭 hakika mungu ndiye Kila kitu lazima
Hiyo ni nyota hiyo ya MUNGU
Shikiria My sister
Utaenda Bali kiroho.
Amen 🙏❤️👍.
Wow what a blessing song??? May God give you more grace and favor .
Amina Dada, mpango wa mungu hauzuiliki hakika, barikiwa sana
Mbingu zikunenee mema sku zote za maisha yako
Amen
Mungu akuinue dada Eunice malengo na shabaha yako itimie kila mtu Mungu anabadilisha maisha yake kwa muda na wakati sahihi.
Ubarikiwe.
@@petermbise Amen
Mungu akubarik Sana mama tena Sana I love songs ❤️❤️ kazi iendelee nitamu Sana hakika huu wimbo umenivusha 2023
mum keep it up, very blessing song. My name is Jeconiah Ondieki
Barikiwa sana dada👏👏👏
Hio wimbo inanibariki sana barikiwa sana dada nauende mbali
ubarikiwe sana dada umenifanya. roho. yangu kutulia sana
Nimejifunza kitu kupitia wimbo huuu😢😢😢😢😢😢 anyway God bless you with your family
Mungu akulinde wimbo umenigusa mm pamoja na nyumbani kwetu
Amina my sister, mpango wa mungu hauzuiliki na chochote wala lolote.
Repeat mode activated. mpango wa MUNGU ni AMINA
💪💪💪💪 ya Mungu iendelee kua juu yako mungu azidi kuipandisha huduma yako ya kumtumikia mungu kwa hiyo njia ya uimbaji kuwatia moyo wale walio vunjika moyo na kukata tamaa...umenibariki sana wabarikiwe na wengine pia....
Mungu amethibitisha chombo chake katika wimbo huu,Ubarikiwe sana Dada,umefanya kitu kwenye Moyo wangu,na ndivyo Mungu alichokusudia.
Kweli kabisa mdogo wangu
Mungu ni mweza wa yote.Dada ametoa kitu chema.
Mungu akuinue juu kama Esther my younger sister
Ubarikiwe Sanaa daah qwa wimbo zuri Sanaa
Duuh...wimbo ambao unaendana na ninachopitia kwa sasa....
Unanihimiza sana huu wimbo...Barikiwa
Mpango wa mungu hauzuiliki.,.akisema ndio hakuna wa kupinga
Dada mungu akuonekanie a touching song when I go through I can't control my tears
Wimbo mzuri ambao naupenda sana 🔥 barikiwa dada.
Dada songa mbele kwani kazi ya mikono Yako si bure kwani Kuna kitu tayari Mungu anafanya juu Yako na katikati ya watu wake
Kweli mpango.wa mungu hauzuhlliki
Ubarikiwe dada Eunice kwa wimbo mzuri ,ujumbe ni Wa viwango na uwiano
Amen
Dada ubarikiwe kwa wimbo huu wa baraka
Very powerful mssg
Thank you for this song.. it's a declaration song..be blessed
Amin dadangu mungu akutumie nguvu
Wooooiy am blessed aky barikiwa sana dadangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
You're a blessing Eunice beautiful and sweet soul. God bless you for me
You are annointed my sister. Love from Kenya
Ubarikiwe sana mpendwa umeimba vizuri sana.
Barikiwa sana sana sana sana Dada
Mpango wa mungu lazima utimie,ni Amina na kweli
Hakuna yeyote anaweza kuzuia mpango was mungu 🙏🙏🙏
Napeda hii wimbo sana balikiwa siz
Nampongeza mwimbaji pamoja na directa video imetulia
Waooooh Ubarikiwe snaaaaaa Eunice
Barikiwa sana nitumie no yako mm pastor Frida
Amina 🎉
Amen
Barikiwa dada MUNGU akutangulie ukuezaidi saba sabini kwenye huduma hiii
Ni kwel dad yang
Aiya huu wimbo uko poa brethrens
Amen makaaya Mungu azidi kukupandisha viwango vingne wimbo umenifuta machoz
Yupo Mungu akiyeniweka Haha mpango wake hauzuiliki
Nimefurahia sana nigependa tufanye kazi pamoja ya huduma ya Mungu
May God bless you Dada🙏🙏🙏🙏hata mwanadamu afanye nini hawezi zuia mpango wa mungu
,may God continue blessing you always my sister
I love the song it keeps me going
Barikiwa sna mpendwa
Waaah umebarikiwa na sauti kama Anastasia be blessed nimebarikiwa na wimbo wko
I real love these song it's just a blessing to me
Amen amen glory to God, good song ,nimejufunza kitu
Mungu aendlee kusaidia ❤❤
AMEN,the song has added something to my soul may GOD bless you more mtumish🙏🙏.
Wimbo huu umetembea Moja Kwa Moja Hadi kilindini mwangu moyoni katika wakati ufaao.asante dada
Wonderful Amen....
Very lovely song be blessed
Amina na kweli huo mpango Mungu kabixaa imenitia nguvu na kunipa moyo zaidi
More grace I love this song the beats
Stay blessed Eunice John Urio
Mungu.nmzuri.kwelikweli
Ameni, mungu akubariki sauti unayo
🙏🙏🙏🙏 mbarikiwa dada
Amen soo powerful mpango wa MUNGU hauzuiliki AMEN dada barikiwa sana
Powerful song wow
Wow powerful song.... Very true mpango wa mungu hauzuliki kamwe
Amen
Ameen 🙏
Amen Mungu akuinue zaid
Mungu akubariki kwa utunzi wako
This song has touched my heart tonight. I Was so down but the song realy encourage me and give me a hope .the plan of God
veery nice song
Barikiwa sana
Amina ❤
Great!God bless you