Urafiki kabla ya ndoa | Dating Tips | Usifanye haya nashauri Unpopular Discussion EP 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024
  • Mara nyingi sana watu wameishia kuwa maadui baada ya "kudate" kwa sababu walikuwa "wanandoa" kabla ya ndoa. Wasichana (mara nyingi zaidi kuliko wavulana) wamepika na kupakua, wameweka pesa pamoja, wamenunua viwanja, wamefanya yoote kabla ya ndoa na wengi wao wameishia pabaya. Kuna watu wanaamua kukaa pamoja na hawataki ndoa, sina cha kuongea juu ya hilo na ninaheshimu maamuzi yao.
    Isipokuwa mimi naongelea watu ambao wanadhani ndoa ni jambo la muhimu hata kama si la lazima. Niwakumbushe tu kwamba haimaanishi ukishamfahamu mwenza wako ndio hatabadilika, kuna mtu aliwahi sema "wanaume ni kama kambale hahah" lakini sijui kama wanawake wao ni aina gani ya samaki lol! Watu wote hubadilika, tunahitaji maombi zaidi.
    Ukitaka kuungana na mimi instagram na TikTok, link hizi hapa: / nyakorema_rioba
    TikTok: / nyakoremarioba

КОМЕНТАРІ • 11