Nyakorema Rioba
Nyakorema Rioba
  • 13
  • 4 534
Mtazamo wa watoto kuhusu MWALIMU JULIUS K. NYERERE katika kumbukizi yake | Unpopular Discussion EP 8
Baada ya kufanya mahojiano na watoto katika siku ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere, Unpopular Dscussion tukagundua kwamba watoto wanamwona Nyerere kama kiongozi muhimu katika historia ya Tanzania. Hata hivyo, ni wajibu wetu kuhakikisha kuwa watoto wanamfahamu Nyerere na watu wengine muhimu katika historia ya nchi hii, badala ya kuzingatia wasanii pekee ambao baadhi yao sio mfano mzuri wa kuigwa.
Wengi wa watoto hawa hawajui kwa undani ni nini Mwalimu Nyerere alifanya kwa ajili ya taifa letu. Wakati wengine wanamjua kama baba wa taifa, wengi hawana habari ya kutosha kuhusu michango yake katika kuleta uhuru, kuendeleza elimu, na kujenga umoja wa kitaifa. Hii inadhihirisha haja ya elimu zaidi kuhusu historia ya Nyerere na thamani yake katika ujenzi wa Tanzania ya kisasa.
Uzalendo lazima uanzie kwetu sisi watu wazima, lazima tuwe mfano. Kwa kweli badi hakuna mfano mzuri wa kutosha kwa watoto, bado sana.
Переглядів: 105

Відео

Baadhi ya watu wanaofurahia ndoa wanafanya Hivi: Kujenga Urafiki | Mungu | Unpopular Discussion EP 6
Переглядів 298Місяць тому
Mara nyingi watu wanakutana na wenza wao wanaofahamiana au wasiofahamiana vizuri. Mimi naamini hua hii sio sababu sana. Ninaamini mnawezafahamiana ndani ya ndoa, miaka mitano ya mwanzo (less or more). Ninaamini watu sahihi wasio wakamilifu na Mungu akiwepo, ndoa itakuwa njema. Lakini ninafahamu kwamba kuna ndoa ambazo zimeshindikana kwa sababu mmoja au wote, wameshindwa kuwa intentional na kuju...
Unajenga Familia inayosoma? | Stori books zipi zilikufanya uwe ulivyo? | Unpopular Discussion EP 5
Переглядів 2082 місяці тому
Katika video hii nimeongelea zaidi namna unavyoweza kutumia vitabu kubadilika taratibu. Mabadaliko si jambo la haraka, linahitaji maombi mengi na maamuzi (intentionality). Kama una watoto unalea au wa kwako, jua wanakuangalia zaidi ya wanavyokusikiliza. Ni wajibu wako kuonesha mfano nyumbani kwa kila nyanja ya maisha yako. Ukiwa umekosea bahati mbaya, wataelewa kwamba leo mama/baba/shangazi/mjo...
Fanya hivi, hii inaweza rahisisha maisha ya baada ya urafiki/Uchumba | Unpopular Discussion EP 7
Переглядів 552 місяці тому
Fanya hivi, hii inaweza rahisisha maisha ya baada ya urafiki/Uchumba | Unpopular Discussion EP 7
Una mihemko? | Tofauti ya kutunza na kuwekeza pesa | Unawekeza wapi? | Unpopular Discussion EP 4
Переглядів 9762 місяці тому
John George ni mtaalamu wa afya, lakini amejifunza mwenyewe (self tought) nidhamu ya fedha. John ni mmoja wa watu ninaowaangalia/admire sana hapa Tanzania. Ni mtu ambaye hakurithi chochote toka kwa wazazi wake (Mali) lakini ameweza kijifunza nidhamu ya fedha na kusaidia wengi. Unaweza kupata consultation kwake kwa kunitafuta kwa number 0765813043.
Utengano wakihisia wa wanandoa umekua janga | Disconnction | Unpopular Discussion EP 3
Переглядів 1962 місяці тому
Ndoa ni jambo ambalo ni takatifu, lakini wakati wengine wakifurahia, wengine wanalia. Hata wanaofurahia sasa, huenda wakalia baadae, lakini kuna uwezekano wote hawa wakapona na wasilie wala wasiwe na utengano kihisia. Ndoa zinatofautiana japo zinashabihiana kwa mambo kadhaa. Maelezo yangu ni ushauri na mtazamo binafsi, na si msimamo wa hali ilivyo. Hivyo nakaribisha maoni ili tuweze kujifunza z...
Urafiki kabla ya ndoa | Dating Tips | Usifanye haya nashauri Unpopular Discussion EP 2
Переглядів 3522 місяці тому
Mara nyingi sana watu wameishia kuwa maadui baada ya "kudate" kwa sababu walikuwa "wanandoa" kabla ya ndoa. Wasichana (mara nyingi zaidi kuliko wavulana) wamepika na kupakua, wameweka pesa pamoja, wamenunua viwanja, wamefanya yoote kabla ya ndoa na wengi wao wameishia pabaya. Kuna watu wanaamua kukaa pamoja na hawataki ndoa, sina cha kuongea juu ya hilo na ninaheshimu maamuzi yao. Isipokuwa mim...
TEASER UNPOPULAR DISCUSSION
Переглядів 1222 місяці тому
Nina mapenzi makubwa au passion kubwa na community work (kazi za kujitolea za kijamii). Napenda sana kujifunza na kutoa nilichojifunza. Nimekuwa najitolea kuzungumza sehemu mbalimbali na watu wengi wamekuwa wakipenda kila ninapozungumza. Hii imenifanya nijifunze zaidi na kujitoa zaidi. Kuanzisha hii platform ilikuwa lengo langu la muda mrefu, hivyo namshukuru Mungu. Kupitia mahala hapa, naamini...
EAT THAT FROG | Book review | Kula Chura wako Leo | Unpopular Discussion EPISODE 1
Переглядів 5162 місяці тому
Kitabu hiki kimenisaidia kupangilia mambo yangu kwa siku. Inaanza na kuandika chini ndoto na malengo, halafu unakuwa na action plan ya namna ya kutimiza. Anza na ndoto, halafu weka mikakati ya kuzitimiza kila siku kwa kuanza na yale magumu ambayo yatakwamisha usifikie ndoto au lengo lako. Unaweza kupata kitabu hiki kwenye maduka ya vitabu au online. Instagram ya Tumaini, binti yangu ambaye anaf...

КОМЕНТАРІ

  • @BukelebeTv
    @BukelebeTv Місяць тому

    Mungu akubariki Dada nyakorema kwa masomo haya mazuri

  • @BukelebeTv
    @BukelebeTv Місяць тому

    Waooo

  • @activezitizen
    @activezitizen Місяць тому

    Good staffs

  • @EmeldaNasson
    @EmeldaNasson Місяць тому

    Mbarikiwe sana najpanga

  • @mourineosunga1861
    @mourineosunga1861 Місяць тому

    Mungu akubariki, napenda jinsi unavyojua kuwasilisha vitu kwa watu, naamini wengi tukikusikia tutabadili kitu katika maisha yetu. hongera sana

  • @ElizaSiprian
    @ElizaSiprian Місяць тому

    Asante mnoo

  • @ElizaSiprian
    @ElizaSiprian Місяць тому

    Thank you

  • @ElizaSiprian
    @ElizaSiprian Місяць тому

    Thank you so much

  • @ElizaSiprian
    @ElizaSiprian Місяць тому

    Asante sana kwa mambo mazuri

  • @ElizaSiprian
    @ElizaSiprian Місяць тому

    Asante sana

  • @ElizaSiprian
    @ElizaSiprian Місяць тому

    Asante sana

  • @ElizaSiprian
    @ElizaSiprian Місяць тому

    Asante sana kwa mambo mazuri

  • @tumainijohngeorge6611
    @tumainijohngeorge6611 Місяць тому

    Amazing 🎉🎉🎉

  • @tumainijohngeorge6611
    @tumainijohngeorge6611 Місяць тому

    Thank you so much for this❤

  • @tumainijohngeorge6611
    @tumainijohngeorge6611 Місяць тому

    Waoh waoh.. I am going to read

  • @tumainijohngeorge6611
    @tumainijohngeorge6611 Місяць тому

    This is amazing. Very positive content on the internet.

  • @tumainijohngeorge6611
    @tumainijohngeorge6611 Місяць тому

    Amazing. I am going to read those. Nimeshasoma hiko cha teens

  • @tumainijohngeorge6611
    @tumainijohngeorge6611 Місяць тому

    Thank you so much Nyakorema.

  • @tumainijohngeorge6611
    @tumainijohngeorge6611 Місяць тому

    This is amazong. So much to learn as a teenager.

  • @activezitizen
    @activezitizen Місяць тому

    Thank you

  • @activezitizen
    @activezitizen Місяць тому

    Thank you so much Nyako

  • @activezitizen
    @activezitizen Місяць тому

    Reading is leading. Thank you Nyakorema

  • @restmhina7568
    @restmhina7568 Місяць тому

    Napenda kukusikiliza sana! Natamani hiiki kipindi kibreak the internet, kuwafikie watu wengi as possible! Nyako, You will always say something that will fiil up the Gap somewhere! 🎉

  • @activezitizen
    @activezitizen Місяць тому

    Here to Stay!! Amazing staffs

  • @activezitizen
    @activezitizen Місяць тому

    So insightful, worth millions of subscribers.

  • @activezitizen
    @activezitizen Місяць тому

    Amazing staffs.

  • @LindaeliKarama
    @LindaeliKarama Місяць тому

    Ubarikiwe my dear sr unazidi kunifundisha na ntaendelea kufuatilia unpopular discussion.

  • @janethndossy2267
    @janethndossy2267 2 місяці тому

    Asante dada Nyakorema Nimependa Icho Kitabu cha Ulichoelezea mwishoni...... Samahani Naweza kukipata soft Copy Lakini Ya Kiswahili? Asante🙏

  • @gideonlazaro3290
    @gideonlazaro3290 2 місяці тому

    Nyako kitu ambacho unafanya sasa unawenza usione mabadiliko kwa watu lakini amin kuna wengi unagusa maisha yao Mungu akubariki sana kuwa na iman utakuwa mtu mkubwa

  • @mbukesimuli4646
    @mbukesimuli4646 2 місяці тому

    ❤❤❤

  • @marymaridadi7330
    @marymaridadi7330 2 місяці тому

    Be my Viola and gift me a book or two😃. I love your content

  • @paulomadale3078
    @paulomadale3078 2 місяці тому

    😊

  • @kelvinmushi2950
    @kelvinmushi2950 2 місяці тому

    💯

  • @YohanaSenya
    @YohanaSenya 2 місяці тому

    Mungu akubariki mno, maana na mm nmekuwa muhanga kweli hili jambo, Sasa mmejifunza.🙏

    • @UnpopularDiscussion
      @UnpopularDiscussion 2 місяці тому

      Ndio maana tuko hapa, kujifunza pamoja. Inatia moyo kupata comment kama hizi. I hope umesubscribe.

  • @YohanaSenya
    @YohanaSenya 2 місяці тому

    Realities ❤

  • @moranya24
    @moranya24 2 місяці тому

    Very informative, thank you so much 🙏

  • @EstherFaustine-m6w
    @EstherFaustine-m6w 2 місяці тому

    Mungu akubariki dada, Nashukuru nimejifunza mengi kuhusu Fedha. Asante sana

  • @theodoreihucha8409
    @theodoreihucha8409 2 місяці тому

    Very helpful

  • @janethndossy2267
    @janethndossy2267 2 місяці тому

    Waooooo asante Sana Dada Nyakorema .... Nimejifunza Kitu Kikubwa sana Pia Nimefurahia kweli kweli Unafanya Kazi Nzuri Sana Unatuelimisha Mungu Akubariki Sana🥰🥰🥰

  • @gracemasegenya1495
    @gracemasegenya1495 2 місяці тому

  • @neemaopiyo7334
    @neemaopiyo7334 2 місяці тому

    ❤❤❤Hongera sana Nyako. It's how you look at him though ❤❤

  • @stefanieniewiem8710
    @stefanieniewiem8710 2 місяці тому

    Nyako you rock!!👏👏

    • @UnpopularDiscussion
      @UnpopularDiscussion 2 місяці тому

      Thank you for subscribing and watching. Karibu sana kwa maoni

  • @JosephMsofehealth-basics
    @JosephMsofehealth-basics 2 місяці тому

    Siku nyingine uongelee financial plans na goals kwa wanandoa hasa ndoa changa. Mana hii ni topic kwa tamaduni zetu haijadiliwi sana. Otherwise asanteni sana kwa elimu hii. Kuwa na bajeti, kuna na mipango na kuwa na nidhamu ya kukuza mtaji ni mambo nimeyapata hapa.

    • @UnpopularDiscussion
      @UnpopularDiscussion 2 місяці тому

      Haya maoni tumeyachukua na tunayafanyie kazi immediately. Nyie ndo mnaamua tufanye nini going foward. Asante kwa kusubscribe

  • @annemassawe4200
    @annemassawe4200 2 місяці тому

    This is so inspiring❤

    • @UnpopularDiscussion
      @UnpopularDiscussion 2 місяці тому

      Thank you lot agemate haha. Asante kwa kusubcribe na kuangalia, usiache kutufatilia kwa mambo makubwa yanakuja..

  • @japhetmagacha
    @japhetmagacha 2 місяці тому

    Kaka yangu mwalim wangu 🙏🙏🙏🙏

    • @UnpopularDiscussion
      @UnpopularDiscussion 2 місяці тому

      Asante sana kwa kusubscribe na kuangalia. Usiache kurudi

  • @kayagakayaga1573
    @kayagakayaga1573 2 місяці тому

    Somo zuri sana, linapqtikana kwa kuwa na bando wala si kulipia, Bwana awabariki

  • @isaacmusicclass6509
    @isaacmusicclass6509 2 місяці тому

    Asante sana nimjifunza kitu

  • @JaneMosama-fu4hp
    @JaneMosama-fu4hp 2 місяці тому

    Ahsante saana nyakorema

    • @UnpopularDiscussion
      @UnpopularDiscussion 2 місяці тому

      Asante sana wifi kwa kusubscribe na kuangalia, endelea kukaa hapa maana kuna mambo mzuri sana yanakuja

  • @sirenky4824
    @sirenky4824 2 місяці тому

    Tamu sanaa ahsanteni sana,sema mmetupunja muda 😢

    • @UnpopularDiscussion
      @UnpopularDiscussion 2 місяці тому

      Kijana wetu toka USA asante sana kwa comment na kusubscrbe. Usiache kuweka kabisa larm ili kila mada ikija uweze kuiangalia.

  • @neemamarwa1783
    @neemamarwa1783 2 місяці тому

    Asante ma br na ma wi nimewapata na kuwaelewa vzr,mbarikiwe