Askofu Mwaikali Dayosi ya konde awashiwa moto mkali sana na wachungaji pamoja na waumini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лип 2021
  • Wakristo na waumini dayosisi ya konde haina Imani na uongozi wa Askofu wao Edward Mwaikali kutokana na uongozi na maamuzi yake batili ya kuhamisha makazi ya dayosisi kutoka Tukuyu kwenda jijini Mbeya.
    ‪@BusokeloTV‬ ‪@bishoperickmwangi735‬ ‪@JosephatGwajimaRudishaTv‬ ‪@MasanjaTVgospel‬ ‪@PeterMcKinnon‬ @pilipili

КОМЕНТАРІ • 74

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 2 роки тому +1

    Mkitoka apo muende na kwa waganga wakienyeji maana Kristo hayupo hivi

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 2 роки тому

    Kumbe Mwaikali hafai msaka tonge ( Hongera sana mjomba yangu Mwakihaba kwa maamuzi yako ya kijasili)

  • @rehemamwambelo3961
    @rehemamwambelo3961 3 роки тому

    jamn mtumishi mwaikali wapi unapeleka kanisa jamn kanisa sio biashar 🙋🙋jmn muogopen mungu wakristo🙏🙏🙏🙏

  • @alinaninemwaisumo6827
    @alinaninemwaisumo6827 3 роки тому +1

    Kama wapo maaskofu waliochoka ki-roho, basi Askofu Mwaikali ni wa kwanza. Akae benchi. Kongole sana kwa MWAKIHABA.

  • @stephano263
    @stephano263 3 роки тому

    Kaka Elieza ahsante bro

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 роки тому

    Mabadiliko kkkt ni muhimu sana.wokovu wa baridi wanatafuta pesa badala ya kutunza wana wa Mungu

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 2 роки тому

    Kwnn mnapenda malumbano na magonvi makamisani mwenu? Ibilisi amewashika kweli kweli

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 2 роки тому

    Kanisa la kkkt linaenda kupoteza mwelekeo wa kumcha Mungu wanapambana kimwili sana

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 2 роки тому +1

    Mimi ndio maana nilikimbia huko KKKT yaani wakavuuu! Hawana hata tone la Mungu, yaani huwa nawaangalia nachoka kabisa

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 роки тому

    Palipo na hela hapakosi magomvi

  • @LucasLucas-sj6fg
    @LucasLucas-sj6fg 3 роки тому

    MWAKIHABA ametengeneza ndama 😎😎Ni Haruni wa hapo

  • @tusekilemwamkinga1209
    @tusekilemwamkinga1209 2 роки тому

    Nyie wachungaji au wapiga dili?kupatwa kwa dini

  • @faithkarema7422
    @faithkarema7422 2 роки тому

    Tafuteni mungu kwa bidiii kila kitu kina sababu

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 роки тому

    Mwaikali ajiuzuru Kama vipi Mbeya waanzishe dayosisi yao

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 роки тому

    Mungu awatetee sana mlio amua kusimamia kweli.amelaaniwa mtu yule anaemtumainia mwanadamu

  • @sissoalfred7259
    @sissoalfred7259 2 роки тому

    shida ya hapo nlioona ni kwamba mabadiliko hampendi ... Je historia ya kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine mnaifaham au historia ya jinsi ilivyo anza mwaifahamu ....? Alafu mnaelewa shida ya Ukabila kweli nyie kweli Msije kua mnatenda dhambi Bure .... Mungu awatangulie ila hili litakuja kua shida mbeleni Mjitathimini sana katika Yote msemayo Msije mkawa nyie ni wasaliti 😊😊😊

  • @harounabel6875
    @harounabel6875 3 роки тому

    Hawa ni waasi wakubwa hawafai hata kusikilizwa wapo kimasilai wengi washirikina tu hapo Mungu atende kazi ugomvi wenu wa ukoo mnauleta kwenye kanisa hatukubali uasi wenu

  • @Saint-for-ever
    @Saint-for-ever 3 роки тому

    Hatari ndani ya kanisa we have to give more praising

  • @samuelngogo5572
    @samuelngogo5572 2 роки тому

    Hawaa wakina mwa mwa ni shida uovu mwingine hamuoni sio🙈🙈

  • @dicksonmwampulule9453
    @dicksonmwampulule9453 2 роки тому +1

    Umoja ni nguvu

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 3 роки тому

    Yesu awasaidie wanyakhusa madalaka mnapenda nakusalitiana ndomana kila kanisa mwa mwa

  • @LucasLucas-sj6fg
    @LucasLucas-sj6fg 3 роки тому

    Mwakihaba ndio kiongozi wa waasi hapo, 😃😃 😃 😃 Toba aaaa

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 роки тому

    Aibu mnamuaibisha sana kristo mtalipa hakika

    • @tusekilemwamkinga1209
      @tusekilemwamkinga1209 2 роки тому +1

      Kkkt sio Wana tamaa ya madaraka duu mnalipeleka wapikanisa?mnataka askofu awe mwakihaba huyo ndo chanzo Cha ugomvi

  • @janethmagemakwakeliinauma3581
    @janethmagemakwakeliinauma3581 2 роки тому

    Jamani jamani kaziipoo emungu ingilia kati

  • @japhetpeter6123
    @japhetpeter6123 2 роки тому

    Ukosefu wa Nidhamu tu

  • @naomiwilliam5897
    @naomiwilliam5897 3 роки тому

    Mbona hilo limeisha wajameni mweeh

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 2 роки тому

    Wanyakyusa ubinafsi unawasumbua sana! Kitu kdg ivo mnafanya upuuzi ivo

  • @wemambonge2948
    @wemambonge2948 2 роки тому

    Sisi wanakonde tuko nyuma yenu na Mungu at u shi ndie yule bwana asiiyemjua yusuph ajiuzuru tuu

  • @ayoubhebron674
    @ayoubhebron674 3 роки тому

    Sawa bodia naona mapambano yanaendelea

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 2 роки тому

    Mwakihaba huyo nitatizo kwa miaka mingi!hapo kweli mfanyacho Ni mungu kweli!yaani swala la kuhamisha makao makuu ndo mgombane hivyo jamani!

  • @angolilemwakalundwa5645
    @angolilemwakalundwa5645 3 роки тому

    Tuendelee kuliombea kanisa letu

  • @tumainirkyando8128
    @tumainirkyando8128 2 роки тому

    KANISA LETU LUTHERAN TUNATIA AIBU SANA KILA SIKU MIGOGORO ? NI AIBU KUBWA SANA

  • @marthamwaisumo7912
    @marthamwaisumo7912 2 роки тому

    Yani kuhamisha dayosisi ndo muache waumini wakiyumba yumba dah mnaitaji muokoke

  • @LucasLucas-sj6fg
    @LucasLucas-sj6fg 3 роки тому +1

    Watapigwaa na MUNGU hawa yeti macho ....🤔🤔

    • @ulimbagakipole9156
      @ulimbagakipole9156 3 роки тому +1

      Watapigwa na Mungu yupi? Mungu ni wa utaratibu,nje ya utaratibu tuliojiwekea hapo hapana Mungu.

    • @LucasLucas-sj6fg
      @LucasLucas-sj6fg 3 роки тому

      @@ulimbagakipole9156 subirini muone ....Endeleeni tu ndio mtajua MUNGU sio mjomba wenu

  • @andreaotaigo40
    @andreaotaigo40 2 роки тому

    Tunalipeleka wapi kanisa watu wa MUNGU? Tunapata faida gani tunapokuwa tunalumbana?

  • @gwamakajubeck45
    @gwamakajubeck45 2 роки тому

    Kuna wafanyakazi hawajalipwa ujira wao kwenye miradi mbali mbali kama hospital, shule kulikuwa hakuna uharaka wa kuhamisha makao kabla ya kulipwa au kuingia makubaliano.

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 2 роки тому

    Mnatia aibu Sana yaani kuhamisha makao makuu ndo mgombane hivyo?duuu!mpo kwenye Vita vya damu na nyama!

  • @homeland4447
    @homeland4447 2 роки тому

    Mh!! Kumbe msaidiz wa askofu no mwingine?

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 2 роки тому

    Katiba yenu inasemaje? tuanzie hapo

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 2 роки тому

    Kanisa L KRISTO tumelogwa wapi., pesa, tamaa ya madaraka, ubinafsi, vimeharibu Kanisa la KRISTO na kupoteza mwelekeo wote, Eeeeh KRISTO MWANA wa MUNGU Shuka uchukue Kanisa lako tu

  • @andersonfungo9443
    @andersonfungo9443 2 роки тому

    0

  • @dicksonjohn4141
    @dicksonjohn4141 3 роки тому

    KWANI HUJUMA MNAYOMFANYIA ASK. MWAIKALI NI YA MUNGU? NYIE NDIO MNAOMTUMIKIA NABII WA BAALI!!!

  • @LucasLucas-sj6fg
    @LucasLucas-sj6fg 3 роки тому

    Mnatengeneza uasi.....Hili Ni kundi la waasi dhidi ya kuhani Mkuu wa kanisa

  • @dicksonjohn4141
    @dicksonjohn4141 3 роки тому

    HAKUNA ASIEJUA KUWA HUYO MWAKIHABA ALIKUWA ANAUTAKA USKOFU WA KONDE KWA HIYO HE IS TRYING TO CORRUPT OTHERS ILI WASIUTII UONGOZI WA MWAIKALI, SHAME ON YOU MWAKIHABA AND YOUR TEAM!!
    NAMSHAULI PROF. MARK MWANDOSYA UKAE MBALI NA HUU MGOGORO MAANA INASEMEKANA UKO NYUMA YA AKINA MWAKIHABA NA TEAM YAKE YA AKINA KIMONDO

  • @homeland4447
    @homeland4447 2 роки тому

    Kwa msio ijua dayosisi mnabweka tu!!, Mnaijua hata mirad ya dayosisi ya konde nyie mnao chat humu. Fuatilia miradi ya dayosisi ya konde utagundua imekufa yote, uliza kwa Nini,Tena Ni tangu alipochaguliwa kuwa askofu mirad haiendelei

    • @dicksonjohn4141
      @dicksonjohn4141 2 роки тому +1

      Hakuna, miradi imeanza kufa wakati wa Askofu Mwakyolile!!

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 2 роки тому

    Wewe mwakihaba ndo tatizo!unataka wagawe dayosisi ili uwe askofu?sio vzr mwabudu kwa roho na ukweli acheni uroho wa madaraka

  • @ishengomanelson
    @ishengomanelson 2 роки тому

    Acheni ujinga na upumbavu wa kidunia ninyi. Eti munapigania kuhama huu si ujinga tu. Yaani povu linawatoka eti kwasababu ya kuhama. Kwanza hamna adabu kama viongozi wa kanisa. Yaani Lutherani bhana ndio maana wengine tumeacha kusali.

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 2 роки тому

    Eneo hapo tukuyu dogo Sana Wala hapafai kuwa ndo makao makuu!mwaikali wapeleke mahakami utawashinda

    • @homeland4447
      @homeland4447 2 роки тому

      Mh!! Hivi wewe zinakutosha kwel

    • @salomejalileni7274
      @salomejalileni7274 2 роки тому

      Mambo ya Mungu mahakamani kufanya nini😳

    • @graysonpastory1918
      @graysonpastory1918 2 роки тому

      Reuben tumia akili sn inaonekana uwezo wako ni finyu kufikiria,au ndugu yako huyo

  • @dicksonjohn4141
    @dicksonjohn4141 3 роки тому

    MWAKIHABA NA KUNDI LAKE NI WA HOVYO KABISA. KWANI MBEYA IKO WAPI, HAWA WATU NI LIMBUKENI SANA KINACHOWAUMIZA NI UFISADI WA MADARAKA TU. ONDOENI UPUUZI WENU NYIE WATU WA TUKUYU KWANI TUKUYU NDO KONDE?? HOPELESS KABISA NA MNATIA AIBU!!

  • @rehemamwambelo3961
    @rehemamwambelo3961 3 роки тому

    kweli hiz nyakat za mwisho kama t marumbano yanaanza kanisan jee???😂😂😂mataifa inakuaje🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @ephraimmwandemange4155
      @ephraimmwandemange4155 2 роки тому

      wanaofanya ivo so vichha kumbuka no watu wazima kuna kitu chini ya kapet unaehukum sio Nazi yako mwachie mungu

    • @enelisemboneke2183
      @enelisemboneke2183 2 роки тому +1

      Niwakati wakuomba yote yanayotokea ni Mungu anataka tubadirike nisauti ya Mungu anataka tutengeneze tuzidi kumuombaMungu arudishe amani ya kanisa lake

  • @tusekilemwamkinga1209
    @tusekilemwamkinga1209 2 роки тому

    Wanyakyusa mna maneno mnataka muongozwe na Nani?mnalipeleka wapi kanisa nachoka Bora niwe mpagani nyie sio rubbish pastor

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 роки тому

    Mabadiliko kkkt ni muhimu sana.wokovu wa baridi wanatafuta pesa badala ya kutunza wana wa Mungu