Huyu bwanangu hata hajui miaka yangu!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 97

  • @madamboss348
    @madamboss348 6 років тому +25

    Mm wa kwanza koment baadae like my koment my comrades in gulf

  • @paulmutuku9042
    @paulmutuku9042 6 років тому +11

    Msichana ana kiburi na utoto sana.

  • @scholarnasy7906
    @scholarnasy7906 6 років тому +6

    Maina njoo baby nikupende wachana na huyo bibi hajui mambo ya ndoa

  • @shiisabina3413
    @shiisabina3413 6 років тому +4

    Can I get this man.??

  • @naimkangi6027
    @naimkangi6027 6 років тому +6

    Maina forget huyo bibi Ad move on na maisha yako she's not serious na paka ya msitu hata uiweke vizuri aje kwa nyumba cku moja itarudi mstuni .

  • @classiccell9671
    @classiccell9671 6 років тому +2

    Matatizo yatakwisha lini janani !!😂😂😂poopo!!!

  • @sarahwambui4248
    @sarahwambui4248 6 років тому +4

    Wanaume mheshimu wanawake ....mcheeeeeew....mnakosea baadaye mnakuja kunyenyekea kaukeni kabisaar

  • @mwaramaggie3875
    @mwaramaggie3875 6 років тому +2

    😢😢😢😢😢😢24yesrs na 40years waaah tafuta mtu ako 30years kuenda juu au mtu ako matured. Housegal turned to wife😂😂😂😂.wacha ni hustle .single and happy team gulf 24years tuko au💪👐

  • @cynthiacyndy9095
    @cynthiacyndy9095 6 років тому +5

    Uyu dem ata Maina umevum lia sana....hiyo mdomo tu

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 6 років тому +5

    Wekeni namba za walioachwa tuwaliwaze jamani

  • @thomashezekiah3764
    @thomashezekiah3764 6 років тому +7

    Huyo mwanamke ana kiburi sana atafunzwa na ulimwengu

  • @annnjogu972
    @annnjogu972 6 років тому +10

    Serious huyo hayuko na haja na ndoa 40/24 yrs hazipelekani tafuta mke mwingine uoe bro...nigutee

  • @sarahwambui4248
    @sarahwambui4248 6 років тому +1

    Hahaaa....ety 3yrs...huhuuu

  • @kenyanbae9971
    @kenyanbae9971 6 років тому +3

    Maina nitafute pls,am single and searching I can make a good wife wachana na hiyo kihelehele

  • @babukoi.6947
    @babukoi.6947 6 років тому +2

    Huyu mdada hayuko serious,bwana Maina ujipange!

  • @sekinatalibtalib8246
    @sekinatalibtalib8246 6 років тому +5

    Msichana bado ana utoto. Mme ampe mdaa japo aoe mke mwengine wa makamo,coz mme ni mtu mzima ,kuelewana na huyo binti haitakuwa rahisi ivyo.

  • @rhodamakeila5924
    @rhodamakeila5924 6 років тому +5

    Huyu demu ana mdomo sana

  • @beatriceomino7321
    @beatriceomino7321 6 років тому +1

    Dem ako na kichaa ama nn Maina mungu atakupa bb mwengine wacha na huyu mjinga chukua mtoi wako .

  • @stecybeib8030
    @stecybeib8030 6 років тому +1

    Mwanadada pang'ang'a punguza.ndoa n kuvumiliana isuuu bora uhai

  • @blessedemmy4538
    @blessedemmy4538 5 років тому

    Lilian you will regret soon young gal,marriage lyf isn't that easy but u av to be polite d prayerful for it to work😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @mamatrevor3871
    @mamatrevor3871 6 років тому +6

    Waah huyu msichana anaakili hata kidogo 😕😕😕😕😕😕

  • @aliceamanya6457
    @aliceamanya6457 6 років тому +1

    Kiherehere sana huyo msichana

  • @busenasilvanos2096
    @busenasilvanos2096 6 років тому +1

    Mwanamke anamaringo na ni maid

  • @paulinekamau9633
    @paulinekamau9633 3 роки тому

    Huyu dem ako wapi Sasa maina ulimchosha

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 6 років тому +3

    I don't want to judge but lilian wacha kifront front mob..... Uki mature utarudi

    • @jannet506
      @jannet506 6 років тому

      Hahahahaha awache kifront front,,

    • @isaacchumba
      @isaacchumba 6 років тому

      😂😂😂kifront front

  • @Simbighilia
    @Simbighilia 6 років тому +3

    Kweli Maxomo ni ya muhimu uzaidia kuwemo kwa hekima,Huyu dem ako na utoto imechang'anyika na ujing'a,hana hats sababu maalumu ya kuaja ndoa take na ww maina style- up aibu ndogo ndogo ya kuoa kabla ya kujipang'a na ebuka ulevi na uwajibike kimaisha kama Mme.

    • @jamilaomar6396
      @jamilaomar6396 6 років тому

      on point

    • @vincentomondi6131
      @vincentomondi6131 5 років тому

      Unajuaje hakua amejipanga akioa,,wewe hauoni vile huyo dame ako na mdomo,,huyo ni dame mluhya,,wako na mdomo.

  • @noreenitenyo7107
    @noreenitenyo7107 6 років тому +2

    Maina Niko hapa achana na huyu mwanamke hayuko serious n ndoa she's childish

  • @nimoras
    @nimoras 6 років тому +1

    I understand tht lady ni yy tu anaeza jua shida zenye amepitia na huyu mwanaume so stop judging her ama Namna gany

  • @violetnyansiaboka2821
    @violetnyansiaboka2821 6 років тому +3

    Matendo na maneno ya mwanamke yanapandilisha mwanamme but lilian never make a decision when u are hungry nimekuhurumia

  • @gracendungu5860
    @gracendungu5860 6 років тому +1

    Watu wa 1994, kwanza tukule kule raha,huyu hakuwa ready kuoleka😂😂😂😂.acha nipigapige duster.😢😢woiye ni kama maina analia 😢😢maina nitafute tuongee tuoanane

  • @JacqifysWorld
    @JacqifysWorld 3 роки тому

    nani bado anaskiza patanisho huu mwaka wa 2021? hehehe hapo kwa 24 kukuwa 35 amenimaliza ata mimi naweza zusha

  • @asdlyne2120
    @asdlyne2120 6 років тому

    Mwanamke akili ndogo..ajifunze kunyamaza..marriage is not a bed of roses

  • @paulinenjoroge7953
    @paulinenjoroge7953 6 років тому +2

    Huyo dem ata regreat siku moja

  • @loisegitau4897
    @loisegitau4897 5 років тому +1

    maid kwanza ni mpoa kama bibi. huyo bwana ni mjinga sana. kikuyu na pombe mlirogwa? maina umetupa boma kwa madharau yako.

  • @edwardsimiyu7239
    @edwardsimiyu7239 6 років тому +1

    Ignorance has no cure... 😁😁

  • @harrietkemmy8062
    @harrietkemmy8062 6 років тому +2

    Huyu shaghala hana akili kabisa yakelb...mwanaume anaonekana ako na akili na mpole

  • @SteveAnders21
    @SteveAnders21 6 років тому +1

    😑😑😑😓😓😓

  • @abigaeloyolr9550
    @abigaeloyolr9550 6 років тому

    Pia Mimi niko na mlevi na wanaulimi tamu sana kwa hivio gidi achaneni nahuyo mwanadada mlevi kuishi nayeye aaa

  • @christernanjala9671
    @christernanjala9671 6 років тому +1

    Msichana hauko tayari na ndoa we,better be open useme bado unahusle kuliko ku west life ya mtu ako 40

  • @johnmuiruri6910
    @johnmuiruri6910 6 років тому +3

    Bro hawako kumi na mbili ka wafuasi wa yesu take heart n move on

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 6 років тому +1

    Lilian ww hata nipewe bure kutoka kwa wazazi wako sikutaki mdomo ndefu na maneno ya marrygo round kujirudia rudia nkt yaani uende kwenu hunitaki lkn unataka pesa hata mm siwezi kukupa kma umeshindwa na watoto nirudishie kwani kuishi na mtu akuzalishe ni kutoboa bank ivuje pesa kila siku bure ww.

  • @linakery4017
    @linakery4017 6 років тому +2

    Inaitwa doa walai bila uvumilivu utatoboa aky

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 6 років тому +5

    huyu mdada hayuko series na ndoa, mbona huyu mume anaonekana ni mnyenyekevu, tena ni mpole kwa jinsi anavyosound.02.10.18.

    • @scholarnasy7906
      @scholarnasy7906 6 років тому +2

      Wanaume wako to pole public lakini kwa nyumba noma

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 6 років тому +1

      @@scholarnasy7906 umenena akiyenyenkea unaweza fikiria malaika woooiyee kumbe!

    • @nimoras
      @nimoras 6 років тому

      @@scholarnasy7906 very true uyu mschana ni yy tu anamjua poa

    • @nimoras
      @nimoras 6 років тому

      @@mwendapoleee kwanza hao ndo wabaya

  • @winnewayesu3099
    @winnewayesu3099 6 років тому +2

    😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 6 років тому +2

    hapa sina comment mwana Dada belele belele mdomo mambo yamejaa

  • @mirriamandayi6753
    @mirriamandayi6753 6 років тому +7

    Mwanamka angali na utoto sana ....Maina plz angalia mwanamke mwingine uoe mature wachana na huyu afanye kazi ataamka late

  • @everlynemulongo7004
    @everlynemulongo7004 6 років тому +2

    Uyu mwanamke ajielewi aty 3 yrs aiii maina nko apa

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 5 років тому

    Lakini wanaume mwaheshimu ndoa

  • @nabwilelinet7027
    @nabwilelinet7027 6 років тому +1

    Sina comment yangu ilinishinda

  • @fidewanjiku5997
    @fidewanjiku5997 6 років тому

    Shida ya houuse keep akipandiswa cheo😩😩😩😩

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 6 років тому

    Huyo mdada tawee sio wa kuishi kwa ndio maina ujipange 2

  • @daggiekangethe789
    @daggiekangethe789 6 років тому

    Matatizo yataisha lini.Huyu mwanamke amegusa pesa akawa wazimu.maina wanawake ni wengi utapata tuu.

  • @njeshkaris8957
    @njeshkaris8957 6 років тому +1

    Huyu mke hana haja ya ndoa maina move on

  • @estherwambui3376
    @estherwambui3376 6 років тому +1

    Ambia Maina dalili ya mvua ni mawingu anjipe suguli atafte rika yake aoe

  • @faithklove9419
    @faithklove9419 6 років тому +3

    Huyu dem ako na kelele mingi sana

  • @Quilant749
    @Quilant749 6 років тому +5

    Gidy na ww ungekua unarepley comments zetu, na pia unatupatia namba za watu hawa lakini pombe hapana kwangu

    • @scholarnasy7906
      @scholarnasy7906 6 років тому +1

      Wakupee number ya kina nani😀😀😀

  • @wabuya1893
    @wabuya1893 5 років тому

    Ignorance is a disease

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 років тому

    how do this children run into premature marriages???????? ati amedanganya age yako so hutaki kuongea na yeye? upuuzi .

  • @norahkimuyu9097
    @norahkimuyu9097 6 років тому +4

    Aka kabinti ni kashezi sana...

  • @dunna1663
    @dunna1663 6 років тому

    Ashapata mwengine huyu bibi

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 6 років тому +2

    Mimi siwezi tetea bwana anawacha familia yake ilale njaa!

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 5 років тому

    Miaka 3 ,mnada

  • @alicesamuel4224
    @alicesamuel4224 5 років тому

    Kiherehere hujui miaka ni Baraka kutoka kwa mwenyeenzi we jamaa Ata uko na roho nzuri kukaa na kasuku..

  • @naliakasandra5884
    @naliakasandra5884 5 років тому

    Utaregret dada

  • @florencealumasi9147
    @florencealumasi9147 6 років тому +1

    Gidi,niunganishe na huyo mme

  • @jebiwotspari9403
    @jebiwotspari9403 5 років тому

    Bro move on. Huyu kibibi bado hako na mdomo

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 5 років тому

    Kuoa mtu ya 1994 ni hasara shida tupu