PEMBA KUMENOGA UKTY SALMA AMUIMBIA DK. HUSSEN MWINYI QASWIDA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 168

  • @suleimanqassabi6602
    @suleimanqassabi6602 3 роки тому +1

    Zanzibar oyee Mungu mmbariki Mwinyi na Magufuli Best leaders in TANZANIA 👍👍

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +1

    Nzuri hio ndio kampeni safi hamvuki mipaka ya mungu mmejistiri kina mama alhamdulillah

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 3 роки тому

    Penda sana hii nasheed mie sina chama chaaina yoyote ila nimepends mlivyojistiri mmeyuliys pia katika nasheed yenu nanyipia wazuri wasura mashallah mungu awazidishie

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Dokta husein ukichaguliwa maendeleo zanzibar nzima haijashi kuna wapinzani watu uwaunganishe ajira kwa vya vyote wapendwe zanzibar wote ndugu hao tofauti vyama tuu vijana pemba wapewe ajira

  • @alliyalliykidawa5931
    @alliyalliykidawa5931 4 роки тому +1

    Hulazimishwi kupenda ccm walokuwemo wanatosha pemba oyeeeeeee

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 роки тому +3

    Humuingiii ikulu ikulu ya mwalimu seif tutaenda kuifukiza kwa maudi

  • @suleimanqassabi6602
    @suleimanqassabi6602 3 роки тому +1

    Kweli kabisa CCM excellent Chama

  • @rukiaali2768
    @rukiaali2768 4 роки тому +3

    Pambe 2 .mashallah.kasda bulbul 💖

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 4 роки тому +1

    Ongera dada kweli dada zanzibar kumenoga

  • @allynassor9127
    @allynassor9127 4 роки тому +5

    Hatuangalii tena kaswida zako wala hatununui

  • @alfeshhassan4181
    @alfeshhassan4181 4 роки тому +5

    Njaaa wte hao 🤪🤪🤪 hmn llte mara hii kuleeeeeee 🙋‍♂️🙋‍♂️

    • @IntroSoftProductions
      @IntroSoftProductions  4 роки тому

      Pole yako

    • @alfeshhassan4181
      @alfeshhassan4181 4 роки тому

      @@IntroSoftProductions yangu mm au yko hyo kw sbb ww ndo uliesma pole 😉😉 mm sjajua mdom ksma hv na wla stjrbu ksma hvo🤪

    • @autopointcarasseccories4064
      @autopointcarasseccories4064 4 роки тому

      Hii production c sehem ya mjadala hakuna haja y kuonesha hisia z kiupinzani tunafany kaz kw wot hata wewe km una chama chako unatak kufanyiw promo unakaribishw "mijadala ya kisiasa kweny group z siasa na km mda mwengne umekosa cha kuongea ni vyema unyamaze"

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      Na wewe una njaa

    • @alfeshhassan4181
      @alfeshhassan4181 4 роки тому

      @@jumakapilima5674 kanywe maji ya bendera yako ya ccm bs kam una uchu nayo au 🙂

  • @khamissalum8906
    @khamissalum8906 4 роки тому +2

    nyimbo nzuri.. ila najua ni sababu ya njaa ndo mmejitahidi ili mpate chochote huku nchi inazidi kuangamia.. msijiangalie nyinyi tu.. angalieni na vIzazi vyenu vijavyo

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому

      Wao wenyewe hawana kitu hao hawajielewi tu ila wataelewa mwaka huu tuombe mungu atufikishe alaf waje walete mizinguo kwenye vituo vya kupigia kura waone tutakavyowafanya watajuta kuzaliwa

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 роки тому

      mlo 1 tuu kwa siku hawa wanaonesha na km imezidi milo 2 milo 3 hawa mitihani lkn njaa zao zinaenda kuzidi mn watajuta haswaa

  • @aminahhamed747
    @aminahhamed747 4 роки тому +5

    Tokeni apo majuha nyie njaa tupu na mnatatizo la kutojielewa

  • @saumufaki6488
    @saumufaki6488 4 роки тому +4

    Pambeee allah awabarik

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 3 роки тому

    Naomba mjitahidi na kuhamasisha watu kwenye mikutano wajisitiri fanyeni daawah ya kher mungu ndio mlipaji kuwa na vyama isiwe sababu ya watu kukaa bila yanguo

  • @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
    @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 4 роки тому +4

    Usiseme uongo ccm hawajaleta maendeleo wala hawawezi kuleta' zindukeni wazanzibar

    • @rukiamsellem3372
      @rukiamsellem3372 4 роки тому +1

      Wewe unataka maendeleo gani kipofu macho ya wazi unadhani ukisema hivyo ndio watu watu ndio watachagua uoinzani ndio ulete maendeleo . kama unavyodhani utakutiliwa pesa mfukoni hilo lisahau hebu tujiulize huko Pemba miaka 20 majimbo yote ni ya upinzani mbona hatujaona maendeleo zaidi ya kujunufaisha wao na familia zao hayo unoyosema wewe si maendeleo yamefanywa na CCM. Zindukeni

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 4 роки тому +2

      Kweli broo maisha magumu khatari kazi yao ni kujijaza matumbo wao na watoto wao washenzi sana hawa

    • @mwanambarouk2486
      @mwanambarouk2486 3 роки тому

      mmh

  • @bintyussuph4979
    @bintyussuph4979 4 роки тому +1

    Nimerejesha Mara 10

  • @suleimanalisaid3178
    @suleimanalisaid3178 4 роки тому +4

    Hizo ni njaa zenu Zanzibar munaepoteza kwa njaaaaaa℅

    • @mohammadkassim9937
      @mohammadkassim9937 4 роки тому +1

      Walhiy sio nja mitihani huyu waschan waki islamu watisha viuno hivo halfu mwasema qaswida kwa pesa yasiku moja kulipwa kaa ni nja ka nishone upo pale pale bt kuna sehemu ya tusubiri tusijisahau

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      Na wewe una njaa

    • @suleimanalsawafi3023
      @suleimanalsawafi3023 4 роки тому +1

      Mm naon cio njaa tu na upungufu wa akili wanao

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      @@suleimanalsawafi3023 hata wewe una upungufu wa akili pia

    • @radhiambwana8787
      @radhiambwana8787 4 роки тому

      Ww umeshiba Amani unataka njaa sio.

  • @asmaabdull9301
    @asmaabdull9301 4 роки тому +2

    Mashaallah kazi mzr ukhty Salma uko vzur kwa kweli

  • @rayamassoud1993
    @rayamassoud1993 4 роки тому +3

    Mashallah!! Ccm songa mbeleeeee!!!

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому

    Ah walokufa nasikia ni wengi sana haswa pemba maskin nimwenyewe tu mungu wa kuwaweza hawa majini hayana hata mibuyu na mi situ ndio mnaikata wanatuingia sisi mwilini ila hasmina minallwa wanemal wakil hatar hawakushinda wamepokonya hata dura zao hazina furaha basi tu ushetan

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 роки тому

    Maccm mwisho wenu umefika kwa upande wa TANGANYIKA na ZANZIBAR.

  • @badriaahmed4373
    @badriaahmed4373 4 роки тому

    Allah ataitangusha hiyo c c m kama mshuma unavo yayuka hatutaki nchi yetu rudi kwenu acheni wizi c c m sio chama bora pemba hamna c c m hapo wengi masikini c c m hawa lolote teteni haki zenu pemba na unguja wote wa moja ngundu acheni kuitia ila nchi yenu

  • @salymelmazruwy8562
    @salymelmazruwy8562 4 роки тому +6

    Njaaa Kali

    • @iddyramathan4507
      @iddyramathan4507 4 роки тому

      Kama Kuna hajaolewa waoeni wawe salama

    • @mamymamy7938
      @mamymamy7938 4 роки тому

      Kabisa

    • @mamymamy7938
      @mamymamy7938 4 роки тому +1

      @@iddyramathan4507 wasije kwendaowa wapumbavu wakat wazma tupo🤣🤣

    • @munawarsaid6614
      @munawarsaid6614 4 роки тому +1

      Shida zimewaandama mnashangiiria zulma mmewasaliti mashehe wenu sababu ya tamaa awo wasaka tonge. Hanna jipwa ccm ina wenyewe Dodoma

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      Na wewe una njaa pia!!

  • @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
    @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 4 роки тому +1

    Vituko' Allah yastur🤲

  • @abuunuswaibahahmadi8288
    @abuunuswaibahahmadi8288 4 роки тому +2

    Wewe njaa. Sana wwe mwanamke

  • @fatmahamad9314
    @fatmahamad9314 4 роки тому +3

    Hamuoni aibu jamani😄😄😄😄😄

  • @salehhamadi6070
    @salehhamadi6070 4 роки тому +1

    Awo wote walimu na wanafunzi wamefosiwa tu pemba hakuna ccm

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 роки тому +3

    Hao wote washamba kepu watupu

    • @fatmafat9787
      @fatmafat9787 4 роки тому

      Hahaha 😂😂😂nimecheka kwa sauti kepu watupu tenaaaa

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    Zanzibar is the real home of Taarab!!

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 4 роки тому +1

    Hii ni kaswidah au nyimbo jamanii

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 роки тому +2

    Tokeni hapa

  • @abuunuswaibahahmadi8288
    @abuunuswaibahahmadi8288 4 роки тому +2

    Vijiso bibaya

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 4 роки тому +1

    Hawajielewi wapo tu wanahashukwa

  • @nazmilseif4660
    @nazmilseif4660 4 роки тому +2

    Njaa mbaya lkn mwaka huu mtalia

  • @zuwenam.albaalawiy8666
    @zuwenam.albaalawiy8666 4 роки тому +2

    Nasema hatutaki tena sidii zako .

  • @badriaahmed4373
    @badriaahmed4373 4 роки тому

    Wezetu mashehe wapo ndani wana nyanya sikia wengine hawana kosa wameekwa gereza kama yeye takubali wanateseka ndani wengine wakifanyiwa vitendo vya kinyama acheni uzuchi c c m haina mana wateteni wale wezenu walo kua ndani wanateseka wameacha wake na watoto acheni dhuma hakina haito dumu milele iyo utaende mbele ya mola ukaone adhabu za Allah

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +1

    Nice!!!

  • @abdallahjuma8168
    @abdallahjuma8168 4 роки тому

    Huu ndio mwsho wa ccm 2020

  • @mrtiger1208
    @mrtiger1208 4 роки тому +1

    Masha ALLAH

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 4 роки тому +3

    Wanafiki wote walio hapo wote ni washezi tu sura zinawaparama. Wengine. Ni waongo unawaona waziwazi.

    • @fatmaramadhan6919
      @fatmaramadhan6919 4 роки тому

      Nyie wenyew wanzfik washenz wasojielewa nyoniii na mtabk iv iv kupelekeshw km mj y mto

    • @fatmaramadhan6919
      @fatmaramadhan6919 4 роки тому

      Na mtasubir can mwaka huuu kw kupew nyie mkaongoza

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 роки тому +2

    Mipumbavu hii

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 4 роки тому +2

    💚💚💚👌

  • @salmasalmin2155
    @salmasalmin2155 4 роки тому +2

    Pambe hatar!!! Wapinzan mtaumwa sana km hamjaona maendeleo yalofanywa na CCM itabid tuwatafutie miwan ya mbao.

    • @salehhamadi6070
      @salehhamadi6070 4 роки тому +1

      Pumbavu, maendeleo gani ayo maendeleo kwanza hawajafanya ccm peke yao

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому +2

      Maendeleo wakati barabara zina mashimo kama trea za mayai istoshe ajira hazipatikani unamaliza kusoma unatafuta ajira mpaka unazeeka hujaipata

    • @sherrympemba7106
      @sherrympemba7106 4 роки тому +1

      Pemba unaijuwa maendeleo error ucseme uongo hamna kabisa

  • @faizfadhil5087
    @faizfadhil5087 4 роки тому

    Hamna kazi tu

  • @badriaahmed4373
    @badriaahmed4373 3 роки тому

    Wizi tu nyinyi c c m acheni wizi uwooo ovyooooooooooooooooo

  • @abuunuswaibahahmadi8288
    @abuunuswaibahahmadi8288 4 роки тому +3

    Unahashuwo wwe wwe mwenyewe mbaya sura kama nembo ya ccm

  • @gojvon116
    @gojvon116 4 роки тому +3

    ama kweli dunia itakwisha lakini wasiofahamu wapo , hawa au labda si wazanzibari ?

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому +1

      Hao ni wazanzibari ila bado hawajajielewa ni bendera wanafata upepo hawajui wanapotoka, walipo wala wanapokwenda wapo wapo tu ila wataelewa mwaka huu tutachinjana kama kuku isipotendeka haki

    • @mulhatmohamed1246
      @mulhatmohamed1246 4 роки тому +1

      Wapelekeshwa tu

  • @munzirighalidi6305
    @munzirighalidi6305 4 роки тому

    Ali wee namba hii Qaswida nitumie wathap 0778379258

  • @الزنجباريعلي-خ3ك
    @الزنجباريعلي-خ3ك 4 роки тому +2

    ukisikia kuishiwa ndiko huko wapuuzi wakubwa

  • @snsonlinetv8432
    @snsonlinetv8432 4 роки тому +1

    Kuna wengine hapo nawafaham tunaish pamoja hali yao ya maisha tunashindana ila leo nashangaa kuwaona wanashabikia ccm wakati hao ccm wanaowashabikia ndo wanaosababisha ugumu huu wa maisha cjui hata watazinduka lini

  • @sherrympemba7106
    @sherrympemba7106 4 роки тому

    Chefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuùr

  • @suleimanawesi5617
    @suleimanawesi5617 4 роки тому +2

    njaa tu iyo .mafala

  • @abnaumuhammad
    @abnaumuhammad 4 роки тому

    Tizama Nyengine Hii Ya Kibabe👇🏿
    m.ua-cam.com/video/fUMrQyGMcV8/v-deo.html

  • @badriaahmed4373
    @badriaahmed4373 4 роки тому

    Kabisaa pemba hakuna c c m unguja na pemba ndugu acheni kuingia kwenye c c m wakati nchi yenu masikini na kuzalumiwa teteeni haki zenu tanzania haija pelekwa na c c m hilo mulijue mnakufa umasikini kisha haki zenu hamtetei c c m wizi tu hamna lolote wanalo liweza bada mifujo tu

  • @nusurashaban955
    @nusurashaban955 4 роки тому +1

    Duuh tumefikia hapa Kuimba mbele ya wanaume

  • @badriaahmed4373
    @badriaahmed4373 3 роки тому

    Wacheni wizi kama wema wezenu wapo magerezani wanateseka moto wa jahanamu unawasubiriiiiii dunia nn nyinyi acheni uchiziii uwooooo looooh

  • @salumft661
    @salumft661 4 роки тому +2

    Dini inaelekea wapi sasa.. hii nyimbo tu na sio kusema kasida.. apo hasifiwi mtume..

  • @Afnananwar2023
    @Afnananwar2023 4 роки тому

    Akuna kitu muhimu duniani kama Elimu
    Tanzania hakuna Elimu huwezi kushabikia ccm kama waishii visiwani pemba

  • @fatmaali6437
    @fatmaali6437 4 роки тому +1

    Ovyo

  • @maryamnassoornassoor3336
    @maryamnassoornassoor3336 4 роки тому +1

    Njaa tu hio muna nn ccm mulolifanya znz kunanuka njaa hpo wengne wakitoka wajaomba mchuz kwenye vibanda vya watu loh 😂😂😂

    • @rizikihaji7654
      @rizikihaji7654 4 роки тому

      Hata Mtume alikuwa na masikini

    • @maryamnassoornassoor3336
      @maryamnassoornassoor3336 4 роки тому +1

      @@rizikihaji7654 kwahio umackn wa mtume ndio unaufananisha na umackn wa znz au pyuuuuu

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому +1

      Wala hujakosea wengine wakopa halaf wanajisahaulisha hawalipi

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому +1

      @@rizikihaji7654 kwaiyo turidhike na umaskini kwa sababu mtume alikua maskini? Bas haina haja ya kushabikia vyama kama tulipofika panatosha tutulie tu

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому +1

      @@maryamnassoornassoor3336 hajielewi huyo kanywa maji ya bendera ya ccm ila mwaka huu atayatapika tu

  • @ukwelinauwazitv2615
    @ukwelinauwazitv2615 4 роки тому +2

    Taarab oyee

    • @fatmahamad9314
      @fatmahamad9314 4 роки тому

      😃😃😃😃😃😃 we Ali seif huna adabu

    • @ukwelinauwazitv2615
      @ukwelinauwazitv2615 4 роки тому

      @@fatmahamad9314 kwani apo kilichopo ni nini da fatty

  • @salumalisalum804
    @salumalisalum804 4 роки тому

    Imetulia

  • @rukiamsellem3372
    @rukiamsellem3372 4 роки тому +3

    Wapinzani jamani hawawezi siasa kila jambo limalofanywa na CCM wao linawakera cjui wanatakaje kama ni qasida mal. Seif keshaimbiwa sanaaa na jakuna alokereka punguzeni bifuuuu wacheni na wenzenu wajinafasi katika nchi yao.

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому +1

      Hajakatazwa mtu kuimba kasida ila waangalie hao wanaowashabikia wana shida na wapemba au wanajipendekeza kwao tu hapo kuna watu wanahashukwa hawajui wakirudi nyumbani kwao watakula nini kuna wengine ni bora niwanyamazie tu kwani vitu vyengine havisemeki mlengwa akiona comment atajiskia vibaya ila me niwashauri kwanza tuikombowe nchi yetu kisha ndo washabikie vyama kinyume na ivo atakuja kulia mtu kilio cha paka hapo pemba ikishakua wilaya

    • @rukiamsellem3372
      @rukiamsellem3372 4 роки тому

      @@snsonlinetv8432 Mnawakataza ndio hivyo manawambia wasiwaimbie CCM kasida jamani vimekuja vyama vingi kila mtu ana haki ya kuchagua sio lazima watu woote wamchague mal. Sefu tunatofautiana mitazamo tushindane kwa hoja huo ndio ukomavu wa kisiasa.

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому

      @@rukiamsellem3372 siasa sio mchezo wa karata kama unacheza kwa kujifurahisha tu unapoingia katika siasa unategemea kiongozi utakaechagua akuletee maendeleo katika nchi sio kushabikia tu na ccm hakuna maendeleo wanayoleta nchini hasa huku kisiwani Pemba na ndo mana tunawashangaa wapemba wenzetu kuwashabikia na kuwasifia wakati hakuna walilofanya labda kuongeza ugumu wa maisha na kama kuna maendeleo kwanini wanalalamika maisha magumu c wangetulia tu watuache cc wapinzani pekeyetu tulalamike na ndo mana tukasema haohao wanaoshabikia ccm wakiondoka hapo wanakuja kukopa kisha hawakulipi tena ivi ndio maendeleo hayo? wakati hao wanaowashabikia matumbo yao yamejaa mda wote wanajenga majumba ya kifahari wala hawana matumizi nayo wanaharibu hela tu wakati wananchi wanakufa njaa barabara mbovu ajira hakuna na huyo anaejisifu ana ajira anapokea 150000 kilo ya mapembe 1500 sasa jiulize hiyo hela anayopokea inakidhi mahitaji kweli? wakati kuna huduma nyengine kibao anazohitaji kupitia hiyo hela yake mbuzi anayojisifu kama ni mshahara kuna mavazi, sabuni, matibabu na mengineyo yote yanahitaji pesa hiyo hiyo na kikubwa zaidi Zanzibar wengi wetu ni waislam na naamini kila muislam hajapenda kitendo cha kuwekwa ndani viongozi wetu wa dini bila ya sababu alaf wao wanajiita waislam na wanajua viongozi wetu wanateseka huu unakaribia mwaka wa 8 na hao ambao wanawashabikia ndio ambao wamewaeka ndani ivi kweli ni waislam hao ambao wanamtii kiumbe kwa kumuasi aliyewaumba? Sasa cc ukweli tutaongea kama ichi kitu tunachukia kuunga mkono madhalim wanaorudisha nyuma uislam ukweli ndo huo hata mkachukia

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому

      @@rukiamsellem3372 cc hatujawakataza na wala hatuna uwezo wa kuwakataza ila tunawambia ukweli waamke huu c mda wa kulala tena kumekucha

  • @juwairaaliy8318
    @juwairaaliy8318 4 роки тому +6

    Hamna kazi nyie mbona hamjengewi uko Pemba bandari haifai miaka yote iyo ccm ipo na Pemba haibadoliki apo mlipo njaa tupu nyie

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому +1

      Hawajielewi hao wanajipendekeza wasipopendwa ila wataelewa mwaka huu in shaa Allah tunawang'oa na mizizi yake

  • @aishasaid12
    @aishasaid12 3 роки тому

    Mm

  • @Saidykj
    @Saidykj 4 роки тому

    Mashangingi ya CCM haya na mashoga wa CCM

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 4 роки тому

    Utaacha kusikiriza wewe na familia yako nyau wewe kwani huyo seif atafanya nn

  • @jumajuma5570
    @jumajuma5570 4 роки тому

    mashaallah

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 4 роки тому

      Unamdifia mtu anamkufuru Mungu Subhanallah

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому

    Mmependeza nyie wadada! Jamani kwanini watu hawawezi kuimba hadi wavae vichupi?

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 4 роки тому

      Hata kama hawajavaa vichupi nyimbo ni Haram haifai kwa Muislam

  • @husseinalbashary2307
    @husseinalbashary2307 4 роки тому

    hahahahaha wasani wa kaswida

  • @sniper93999
    @sniper93999 4 роки тому

    RC

  • @hussnakhimiss531
    @hussnakhimiss531 4 роки тому

    Kwan nyinyi act mnaibiwa nn maan tukisema tukague umo majumbani mwenu hamn ata chupi inayofikia saman ya elfu nne kwendeni uko muibiwe nn

    • @safiambaroukkhamis439
      @safiambaroukkhamis439 4 роки тому

      Waambie

    • @hussnakhimiss531
      @hussnakhimiss531 4 роки тому

      Ndo nawapa siwaachi na mm

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 4 роки тому +1

      Mi bwege imo ya sina nyingi, siamini kama ni wazanzibari nyie mmetumwa tu. Rudin Keanu shenzi nyie

    • @hussnakhimiss531
      @hussnakhimiss531 4 роки тому

      Kwa taarifa yenu mm ni mzanzibar halis kwa baba na mama mtajijua nyie wakimbiz nyie act nyote wapemba wapofu maan wapo wapemba wanajielew il sio nyie shezi mwenyew

    • @hussnakhimiss531
      @hussnakhimiss531 4 роки тому

      Mm baba ang ni shamsi vuai nahodha usishitushwe na jina ilo bwege ww. Halaf unapoongea na mm shung mdomo wako nawez nikaja hadi ulipo kupitia location jii ya utube

  • @musaibaabuu1064
    @musaibaabuu1064 4 роки тому

    Ikiwa njaaa sisi bado tunasonga mbele kazi kwenu wa pizani na chukizenu ccm oyeeeeeeeeeeeee by

  • @shufaasleiman455
    @shufaasleiman455 4 роки тому

    Pambee

  • @alliyalliykidawa5931
    @alliyalliykidawa5931 4 роки тому +1

    Hulazimishwi kupenda ccm walokuwemo wanatosha pemba oyeeeeeee

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 4 роки тому

      Kama Pemba kuna ccm mngepata angalau kiti kimoja 2015 ila cha kushangaza hata diwani hamjapata mpaka muliposaidiwa na jecha mkarudia uchaguzi na mwaka huu in shaa Allah ndo zaid hamna lenu