RAHBY- ISRAEL TUMETISHIWA KUNYIMWA SILAHA TUSIPOKUBALI KUSITISHA VITA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 37 хвилин тому

    Na bado namkubali sana Ibrah zaidi ya sana yupo kimataifa kbsa

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 3 хвилини тому

    Waalykum Salam alhamdulillah atleast tutalala Ila kama wataendelea kuipiga Gaza vita vitarudi🇰🇪🇱🇧

  • @SALUMTWAIBSALUMTWAIB
    @SALUMTWAIBSALUMTWAIB 4 години тому +3

    Walykm Salam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah

  • @assiahassan2671
    @assiahassan2671 3 години тому +2

    Wlykum Salam warahmatullah wabarakatuh,shukran

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 4 години тому +4

    You won't see this on BBC either CNN

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 3 години тому +2

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakaatuh

  • @lbrasanchoo5290
    @lbrasanchoo5290 32 хвилини тому +1

    💚

  • @rashidhussein-cq2si
    @rashidhussein-cq2si 4 години тому +4

    Wao nitaifa la mungu mbona wanategemea wazungu?

    • @ProsperUlungi-p3t
      @ProsperUlungi-p3t 48 хвилин тому

      Mbona hata nyinyi mungu wenu mnampigania na bunduki

  • @abdiboru3259
    @abdiboru3259 4 години тому +1

    Waaleikum salam

  • @fariydsaiyd9971
    @fariydsaiyd9971 2 години тому

    Waalaykum salaamu warahmatuLLAHI wabarakaatuh.. asante kwa taarifa boss

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 Годину тому

    Shukran

  • @MohdJuma-w6l
    @MohdJuma-w6l 3 години тому +4

    Na hawa wakristo wa mchongo et na wao ndio wamekua watetezi wa wazayuni afu tunashangaa wala ata hawatambuliw na wazayuni

  • @muhamedmudy2737
    @muhamedmudy2737 2 години тому

    Bosi wangu unachambua uzuri ila Mic yako sio quality broo tafuta maic bora upige kazi zenye kuweleka utafika mbali kwenye uchambuzi

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 38 хвилин тому

    Mjomba hii ni dunia ya kupendelea upande mmoja

  • @FaizaAbdallah-b8l
    @FaizaAbdallah-b8l 3 години тому +1

    Hiyo microphone haitoi sauti vizuri tumia Ile yako ya kwanza please

  • @asiaswalehe
    @asiaswalehe 3 години тому +1

    Shukran sana nakule gazawatasitisha

    • @allyhuyu1892
      @allyhuyu1892 3 години тому

      Ni Lebanon tu na Israel, maana Lebanon ilijua kuwashughulikia Israel Kila Israel ikilianzisha kipondo wanachokipata kutoka Kwa hizbullah mswalie mtume bwana Kila wakilianzisha wanashughulika kisawasawa na hizbullah mpaka wanaokolewa na wazungu wenzao ingekua ndiyo hizbollah wanapigwa vile na Israel wasingeitisha usitishwaji vita ila wameamua kuwaokoa Israel maana niaibu ni kama vile mwaka 2006 waliokolewa hivihivi kama akijatokea kiongozi wa Israel kutaka Tena kutaka kupigana basi ni sikio la kufa maana Israel ndiyo wachokozi Kwa Jirani zake

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 3 години тому

    MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

    • @AmanHaonga-y9b
      @AmanHaonga-y9b 3 години тому +2

      😂😂😂😂😂Mungu kashawachoka watoto wake😂😂😂😂!!!.

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 3 години тому +2

      Ilaaniwe uyahudi na wayahudi yenyewe

    • @allyhuyu1892
      @allyhuyu1892 3 години тому +2

      Sheitwani habarikiwi na MUNGU hata siku moja labda Kwa masheytwani wenziwe USA na UK

    • @AllyNassor-de6ck
      @AllyNassor-de6ck 2 години тому +1

      Ulaaniwe wewe na mashoga wenzako

    • @zahraalbaloochi2841
      @zahraalbaloochi2841 2 години тому +1

      Itaishia kunywa damu za watu kuwaua wasio kua na kosa!!

  • @MohdSuleiman-fw2un
    @MohdSuleiman-fw2un Годину тому

    Ndio pale ambapo nasema wa Israel ni watu waoga mnno mbona Lebanon watu wemeanza kurudi na pia wana furaha sana wa Israel niwaoga sana tena sana bora hii vita imalizike tuuuu

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 33 хвилини тому

    Na je vipi kuhusu Gaza

  • @Abdulshabani-nl8xk
    @Abdulshabani-nl8xk 4 години тому +2

    Hizbullah wasinge kubali kusitisha tuone kama wange weza kuwakomboa raia waliochini.ya hixbullah

    • @MailesSezero-l4c
      @MailesSezero-l4c 22 хвилини тому

      Hakuna raia waliotekwa na Hezbollah Bali Hamas ndo wanashikilia mateka

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 3 години тому

    Nice news

  • @manasstaMuhammad
    @manasstaMuhammad 2 години тому

    Mm nauliza Lebanon wao watasitisha vita na Israel jee wa Palestine nao vita itaisha ama hapa imekaaje😢?

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 3 години тому +1

    Wameona muelekeo wa kushinda vita zidi ya hizbullah

  • @yakubaosman7439
    @yakubaosman7439 26 хвилин тому

    ivi na awa wazungu nao peponi watakuepo nao.??.

  • @Abdulshabani-nl8xk
    @Abdulshabani-nl8xk 3 години тому +1

    Asalam.alikum.nauliza vipi mateka walio chini.ya hizbullah je wataaachilia tu au vipi kitakua

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 2 години тому

    Wazayuni wamekula kichapo cha mgambo wa hizbullah kainua mkono kujipanga aibu sana na bado

  • @seifabdul7153
    @seifabdul7153 Хвилина тому

    Kwanini isiwe usitishaji wa mauaji kwa wapelestina au kwa sababu hawana silaha? Huyo netanyau ni mjanja sana. Anavuta mda wa siku 60 kwa sababu hawana silaha na tramp shoga wao ameahidi atawasaidia mazayoni.

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 2 години тому

    Hebu nipe ukweli niliona katika baadhi ya mitandao kuwa Hezballah waliteka Kambi mbili za jeshi je ni kweli na kama kweli wameondoka ktk Kambi jizo

    • @MailesSezero-l4c
      @MailesSezero-l4c 19 хвилин тому

      Za uongo hzo Hezbollah hajashikilia Kambi yoyote

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 3 години тому +1

    Hizbollah ni wasenge kweli yaani wewe umeshauliwa viongozi wako alafu unamuelekeo wa kushinda vita unaenda kumpa muda adui yako dah

    • @assiahassan2671
      @assiahassan2671 3 години тому

      Kwan huwezi kuongea bila matusi😢

    • @ProsperUlungi-p3t
      @ProsperUlungi-p3t 45 хвилин тому

      Unachukulia vita ni vyepesi

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 31 хвилина тому

      Hizbollah wapo kwenye mapambano kwani ww akifa mzazi wako au wazazi wako ndio maisha yatakushinda ?

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 2 години тому +1

    Na israel dawa yao hizbullah na hamas mpaka watanyoosha

    • @JumaMakala-xf5nb
      @JumaMakala-xf5nb 42 хвилини тому

      @@issadullah2074 hahahah we kijana umenifurahisha, dawa ya Israel ni HEZBOLLAH

  • @MailesSezero-l4c
    @MailesSezero-l4c 10 хвилин тому

    Me mchambuzi napingana na wewe kwasababu moja lengo kuu la vita vya Israel na Hezbollah; kwa upande wa Israel lilikuwa n kurudisha raia wa Israel kaskazini na kwa upande wa Hezbollah lilikuwa n kusaidia hamas. Hivo lengo la Israel linafikiwa lakn Hezbollah malengo yao hayajafikiwa kwasababu makubaliano hayaoneshi km idf itaondoka gaza

  • @JumaMakala-xf5nb
    @JumaMakala-xf5nb 3 години тому +2

    HEZBOLLAH wasikubali mpaka Gaza iwe Free, hakuna raha ya maisha bila ya free parestina na FREE CONGO NA FREE SUDAN,

    • @DavidTarimo
      @DavidTarimo 2 години тому

      Ndo wamesha shindwa vita hivo.

    • @ProsperUlungi-p3t
      @ProsperUlungi-p3t 46 хвилин тому

      Nenda kawasaidie hivi unajua vita ni nyepesi

    • @JumaMakala-xf5nb
      @JumaMakala-xf5nb 43 хвилини тому

      @ProsperUlungi-p3t iwe nyepesi iwe laini sio kazi Yang, kaa Kwa kutulia

    • @ProsperUlungi-p3t
      @ProsperUlungi-p3t 39 хвилин тому

      ​@@JumaMakala-xf5nbbasi na wewe kaa kwa kutulia vitu usivyovijua