Naona huo mtaa wa Imara Daima una manyumba poa sana watu kwa barabara ni wachache. Ama ulipiga video Sunday asubuhi wakati wakaaji walikuwa wameenda church kupewa millions na Ruto?
@@Baddestebasi huko hakuna wizi sababu watu wako busy. Nimechoka kuvunjiwa nyumba na kupigwa ngeta kila wakati huku Mukuru Kayaba. Nahamia imara saa hii hii.
thanks for always enlightening us. i used to think Imara Daima is just a small estate. wow!!
Nice video Robinson 😊
Thank you 🙏
Robbie .. I enjoyed the video and most of all the food segment.. you took a bit of time to say inaslap😂😂 I was getting scared 😅😅. But very impressed .
@tomm2346 😅🤣thanks for watching...lazima ningesema
Weather ya leo imeweza mbaya 🎉🎉🎉🎉🎉
@@samuelthairu ilikuwa poa sana
Guy almost lost his teeth at 3:24 😬, wueh pole kwake
@@ptrouma aki but ako poa
great to see the homebase thriving
@G1T4U yeah thanks for watching
Hapo kwa, "Ndio hizo chakula zimekwisha wasili!" Bruh, umenimaliza! Eniwei, enda Lang'ata sasa!
@@Meme_coiner 🤣😅nitakuja langata
Io mtaa inakaa poa sana alafu io food inakaa kuslap mbaya😊kazi poa sana
@@itsdan2546 ilislap
Naona huo mtaa wa Imara Daima una manyumba poa sana watu kwa barabara ni wachache. Ama ulipiga video Sunday asubuhi wakati wakaaji walikuwa wameenda church kupewa millions na Ruto?
Watu wako kazini hakunanga watu kwa nbarabara
@@Baddestebasi huko hakuna wizi sababu watu wako busy. Nimechoka kuvunjiwa nyumba na kupigwa ngeta kila wakati huku Mukuru Kayaba. Nahamia imara saa hii hii.
@@b.3940 😅
@@b.3940 ni kupoa sana
@@b.3940 Kama utawezana na rent ya imara we hama
huyo a bike, i can relate
Nyumba huko bei yake