Me naomba mnisaidie ndugu zangu nafanya biashara ya kutengeneza hizo kashata lakini zangu hazikauki naweza kaa hata cku 4 wallah hazijakauka yan cjui nakoseaga wapi msaada tafadhari
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 as in natufuta white sugar pia for other uses na supermarket sipati ndio nilikuwa na ulizia hio white sugar ni brand gani na ni wapi naweza nunua
This is awesome....Asante kwa kutuelimisha
👍👍👍 huwa napenda kashata na sikuwahi jua ningepata resipe yake hapa... The perfect recipe you know
Tamu sana hongera kwa mapishi
Napenda mapishi yako..waelezea vizuri sana mashaAllah
Mwanaidi Shibe. Asante sana dadaangu🥰
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 plz niambie hyo colour
@@najmaahmed8851 Ni rangi nyekundu ya unga ama pia ya maji.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 ok shkrn mwalimu🥰naomba utngnze kaimati
@@najmaahmed8851 zipo kitambo tu
Unawez nitengenezea ya biashara.....ninunue kutoka kwako my customers Rilly need this
Niko Marekani dear
MashAllah yummy
Shukran
Safi sana tajiri... love from Mombasa MAGONGO
Shukran sana kwa support 🥰
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 CONGRATULATIONS 👏👏 HARDWORKING WOMAN
Unaeza kuweka Maziwa
MashaAllah❤
Yummy yummy yummy yummy food 😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋
Asante umenifundisha kitu kizuri sana
Karibu sana dear
Waw umenitamanisha zinapendeza
Karibu sana😋
❤❤❤❤❤
💃💃💃 leo ni sherehe, tunajiachia tu na mapishi😘😘😘 asante my dear❤
🤣🤣🤣kabisa tena
Umenichekesha sna da😁eti na utayarishe kahawa yko shkran napenda kujifunza mapishi mashaallah
🤣🤣🤣🖐
Yummy,unaezatumia sukari ya kawaida?
Ndio nzuri zaidi
Mashaallah
Paka maji ishe kabisa
Yes alafu uwone kama zaanza kushika chini ndio uzimimine.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 shukran
Very nice... thanks for teaching us. Nita share na dadangu jamani.
Karibu sana
Have u use the normally sugar coz your sugar it's very White
Yes,normally sugar
Please put English subtitles in all your videos, thanks.
Switch on your English caption plz
Mashallah
Mashallah, umezipatia!!
Shukran sana
wow....
Kashata nzuri sana
Shukran sana
5 cups, kwa grams ni ngapi? Ya nazi
Love the recipe. Sukari umetumia ya kawaida ama icing
Nimeonesha hapo kwa video
Sa siujibu tu mpnz
@@agneslubea268 ametumia ya kawaida
well explained mashallah. nawza tumia coconut flakes?
Nazi fresh ndio nzuri dear
Asante...hii kikombe ya kupimia Maji ni gani....or how many MLS?
Kikombe vile vya measurements
Masha Allah, naja huko dada na kahawa pia juu yako,hahahahaaaa
Karibu sana
Mmmmh tamu Sana😋😋😋😋😋
Tena sanaa😋
Hey have tried but hazijashikana kama hii yako😞... kindly nauliza kama Kuna solution naeza fanya ishikane tena?
Mmh, sasa kwa sukari hiyo km nataka kuuza kuna faida kweli?
Haukua mtaratibu umenipeleka mbio sana,nikama umenipatia clue nijaze mwenyewe
Mambo labania za pikwa vipi
Very tasty indeed.
I agree that
Dada samahan naweza tumia brown sugar
Ndio dadangu
Asante nitajaribu na mm
Karibu sana
Yummy
Mashaallah nimzur
Asante sana
Ahsante kwa elimu nzuri nazi nikikamua kwanza kashata zitaharibika?
Karibu sana....Ninavyo juwa mm nazi ya kashata haikamuliwi.
Maashaallah woooo nice zaonesha nitamu sana
Tena sanaa👌
je waweza kutumia mabaki ya nazi baada ya kutoa maji yake
Hapana
jmn hyo nazi unaikamua au laa maan mm yng imegom kuganda
Tamu sana😋
Tena sana😊
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 hahah thx
Utakamua tui kwanza ama utaweka ivyo
my kashata does not dry well; what could be the reason?
Let them stay long, before take them out.
Nitajaribu nimependa
Karibu sana
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Asante dear
Ivi nihizo sufuria ni special hazikamati chini hau nisufuria zote zinakuwa hazishiki chini???
Kashata zikianza kushika usiachie mkono. But hii sufuria yangu haishikishi.
Sikupenda unavoeleza,ungesahihisha sentesi zako
Sasa waonaje uwongee badala yangu?
Ujambo je ikikataa guganda unakuwa umekosea wapi
Umezitoa haraka ama ulizinyima sukari.
Mbona mie nilifanya hvyo lkn haikushikana😓
tamu
Mi hazijatoka freshii Nazi tanoo, sukari nusu maji nusu kikombee Ila hazijakauka hata
Hiyo sukari ni kidogo sana kwa nazi 5. Weka sukari kilo
Hiyo skar ni kias gani?
Rudia video mwanzo dear, ukirukisha hautaona.
Tuandalie na kashata za karanga inshaa Allah
Insha Allah👍
mbn me nilipika haikuwa ngumu?
Ulizitoa haraka
Zitachukua mda gani kukauka baada ya kuepua?
Dakika 10 hadi 15
Shukran
Imagine nilipika but zimekataa kukauka...shida ni nini
uko ticha mpoa sana nmekuelewa hadi nkakushinda
🤣🤣🤣 Asante sana 😘
Ama
Sasa hizo na kahawa thungu ya marehemu mzee Mahfudh!!
🤣🤣🤣 looo wanikumbusha mbali
Nazi umeitoa tui ama?
hey whats the name of the colour please
Red color
Maji unapima aje??
Nimepima kutokana na hiyo nazi, sikiliza vizuri hiyo video na nimeonesha dear.
Kindly give the ratio of water to nazi to sugar
Check the description box plz.
nimepika ila ilivyokauka haijawa ngumu sijui nn tatizo
Uluziitoa haraka jikoni
Jameni iliki Ni nini
Chicha linatakiwa kuwa kavu or
Chicha? Sijui haki.
Coz nisha jaribu mara tatu aigandi na nina acha shira inaiva kabisa
@@leesailen3067 Tafadhali sana mm sijatumia chicha nimetumia Nazi. Hebu angalia hiyo video kutoka mwanzo plz.
Mimi pia shida hio hio nimeipata..nimetumia hizi hizi chicha za nazi
Mate yanitoka hapa kwakashata
Karibu sana habibty 😋
Asalaam.aleykm ..I did the same but mine has not dried
You took them early that's why.
True..nimezirudisha kwa moto..zimekauka Poa
Ni sukari ya kawaida au ni ipi
Yoyote tu
Nzuri Mimi njaribu lakini hazigandi
Pengine umeeka sukari kidogo ama hukuziicha mda wa kutosha.
Nazi ukishaikuna unaikausha au unaipika vilevile?
Unaipika vile vile
masha allah sis shukran 💕💕💕
Afwan habibty ❤❤
Me naomba mnisaidie ndugu zangu nafanya biashara ya kutengeneza hizo kashata lakini zangu hazikauki naweza kaa hata cku 4 wallah hazijakauka yan cjui nakoseaga wapi msaada tafadhari
Unazinyima sukari na Kashata ni sukari yakutosha kilo kwendelea kama nazi ni nyingi
Hutoi tui
Hapana
hio ni sukari gani unatumia ya white
Yakawaida bora sukari tu.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 as in natufuta white sugar pia for other uses na supermarket sipati ndio nilikuwa na ulizia hio white sugar ni brand gani na ni wapi naweza nunua
Mashallah