HARMONIZE FT DIAMOND - BADO Behind the Scene Video Ep1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • WCB WASAFI
    For Bookings contact :harmonize@gmail.com
    Follow me on:
    Twitter : / harmonize_tz
    Facebook : / harmonize255
    Instagram : / harmonize_tz
    Copyright ©2016 WCB WASAFI .All rights reserved.

КОМЕНТАРІ • 167

  • @djrautz733
    @djrautz733 4 роки тому +74

    Kama umeangalia baada ya konde kutoka WCB gonga like👇

  • @user-cl5qv3lt6v
    @user-cl5qv3lt6v 9 місяців тому +4

    Wenye tumerudia kuwatch 2024 piga like😂

  • @AROMAAR_KING001
    @AROMAAR_KING001 6 місяців тому +3

    Bado tunahitaji collabo yako nyingine na diamond

  • @francismsafiri1106
    @francismsafiri1106 3 роки тому +5

    Daaah maisha yanaenda kasi sana hamo leo anamzarau mond

    • @feisalabdul6652
      @feisalabdul6652 Рік тому

      Kamzarau nn sasa uo unafki uyo Domo ndo zarau na choyo babu vp

    • @NassirMagosso
      @NassirMagosso 9 місяців тому

      Alomzarau nan wakat uy dom yy nd anatk awe juu kwa kil k2

  • @1mjanja
    @1mjanja 8 років тому +10

    achieni hilo goma la najaribu kusema Mambo... kali sana baba... nimeipenda hiyo staili

  • @anitaphilip2070
    @anitaphilip2070 8 років тому +3

    mmmmh wanaume hawana huruma kwawanauma wenzao ingekua dem angesema nimemsamehe hahaha poleni

  • @martinemwinyi6853
    @martinemwinyi6853 8 років тому +11

    pole sana Simba for that tough and hard time trying to convince that man, now I know how it is expensive to entertain us pole sana Simba (Diamond Platinum)

  • @kaeselionvidoti947
    @kaeselionvidoti947 8 років тому +3

    hahahahhahhahaha hyo mkaka wa pikipiki kama mnigeria mswahili hataar anataja kabisa thz and thz hhhhaahhha pole Harmonize

  • @michaeljames3480
    @michaeljames3480 7 місяців тому +1

    Mjombaa nchumal leo anajikuta mjanjaa kwel tendaa wema uendee zakoo😢

  • @frankmboya3485
    @frankmboya3485 4 роки тому +5

    Wale wa 2020 Gonga like

  • @Spagles
    @Spagles 7 місяців тому +1

    Kumbe penye marafiki ndo kuna wasaliti we Harmonize saivi unamwona diamond mbaya akiamungu tunamadhaifu lakin unaboa sana

  • @emmytemba31
    @emmytemba31 8 років тому +1

    mnautani na mombo wangu ouk big up brother!!!! #WCB

  • @phoncedadie
    @phoncedadie 2 роки тому

    Daah hili tukio liliuma sana linaonekana na ikabidi mtu uwe mpole maana huna cha kufanya bless up bro mdg ako pia mm ni msanii npo nyuma yenu 🙏

  • @willy3447
    @willy3447 5 років тому

    Simbaa wauwa na hiyo wimbo "Najaribu kusema mambo ila nashindwa..... ooh mamboo ooh mambo fanyeni hiyo clip itakuwa kali sanaa

  • @tumainijohn8489
    @tumainijohn8489 4 роки тому +2

    Rajabu usimzalau m2 alie kusaidia maishan mwako

  • @MagodoroEmpire
    @MagodoroEmpire 8 років тому

    Vizur lazim vigharamiwe ndoman video zinakua kali..mekubal tim wassafiiii uhalisia ndo mpango....harmonize umetisha sana boi unajiamini

  • @Tausiism
    @Tausiism 7 років тому +5

    Learn from this experience. Speak to your Insurance company and obtain a special events liability Insurance protection. Then next time you will not need to negotiate with anyone as your Insurance agents will bring adjusters to finalise compensation if needed. Insurance, Insurance Insurance !

  • @famaualjaufy3090
    @famaualjaufy3090 3 роки тому

    Diamond dah we zaidi alafu ulikua ukimfagilia Sanaa huyu mmakonde sema mmakonde msengenyaji sanaaa

  • @JEEPMASKOAFRICA
    @JEEPMASKOAFRICA 8 років тому +4

    hamonizer una angusha mrembo but ukiwa solo hauanguki

  • @TruphenahLiyala
    @TruphenahLiyala 8 років тому +2

    Huyu jamaa wa bike ana ufala mob sana...hataki kuelewa ni hali ya Kazi

  • @elizabethmakhanu3347
    @elizabethmakhanu3347 8 років тому +5

    i love the "mambo" part of it

  • @ibrahimbyaese9148
    @ibrahimbyaese9148 3 роки тому

    🐘🐘🐘🐘now wanamuita jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @bukhaled0018
    @bukhaled0018 8 років тому +2

    @harmonize next time don't take risk bro...anyway all is good you had courage that's the🔑to being great in life👊.

  • @charleskavithishorts
    @charleskavithishorts 8 років тому +2

    nilidhani diamind atanunua io bike ,kwanza times two juu ya hasira ,i hear he is rich

  • @allenmichael1226
    @allenmichael1226 7 років тому +4

    harmonize we mkaleeeeeeeeeeeee

  • @fransicnoel56
    @fransicnoel56 2 роки тому +1

    😁😁😁😁😁😁 vanny boy jogoo la shamba aliwikii mjini🐓🐓🐓🐓🐓

  • @youngkisu
    @youngkisu 8 років тому +1

    Shetta kazungumza point mchz anataka kuuza kilazima

  • @user-td4kg7sw7l
    @user-td4kg7sw7l 7 днів тому

    Mondy kawatoambali sana kawapigania vita nyingi sana mpen heshima yake

  • @mr.dopects
    @mr.dopects 8 років тому +1

    Hahahaha bana eeeh do me a favour make that song ''mambo''.. i'll be happy for that

  • @brianboss7057
    @brianboss7057 3 роки тому +2

    Wakenya Mpoo?🤣🤣

  • @mussajabili6836
    @mussajabili6836 3 роки тому

    Daah,awa,washkaji,walikuwa,wanapendana,sana,van boy,chibu,konde

  • @Billiontrophy
    @Billiontrophy Рік тому

    Bonge moja la ngoma kuwah kutokea TZ

  • @allymtuguta933
    @allymtuguta933 8 років тому

    Kwa wabongo kitu kidogo sana mmiliki angechukulia poa. Lkn south Africa walivyo na roho mbaya!! lazima utegemee kutokea kitu kama hicho cha kukomoana. Na pengine hata hazifiki hiyo gharama waliyotozwa.

  • @manpc
    @manpc 4 роки тому +2

    Konde boy akiona hii arudi kwa simba

  • @kingabry3160
    @kingabry3160 8 років тому +7

    Hahahahaha jamaa pikipiki imeumia kidogo anakwambia upande mzima aloo kumbe mmpaka huko wananjaa hahahah noma sana

    • @habibuanga347
      @habibuanga347 8 років тому +1

      mshkaji anataka kuwauzia pikipiki kwa lazima!! khaaaaa..

    • @hafidhahmed642
      @hafidhahmed642 5 років тому

      wananjaa mwamba mpaka aibu

  • @kevomsaffeh7785
    @kevomsaffeh7785 Рік тому

    Whenever nikiangalia ii video,inanipea moyo sana,,

  • @Tygermnyama
    @Tygermnyama 5 місяців тому

    Hii ni RR bana mwanangu wa kisizwa aliniambia anichukulie kwa njia ya bank alafu mimi nimlipe yeye kidogo kidogo nikamwambia niache kwanza! Hii kitu plug moja ni R500 na zinatakiwa nne!
    Engine oil Lita moja ni R260 na inatakiwa lita nne hii kitu ni noma bana s1000rr

  • @farajiyusuph8146
    @farajiyusuph8146 8 років тому +10

    Diamond- "We are Customer, We are Customer" 😂😂😂

    • @allysalum993
      @allysalum993 8 років тому

      Toyo imeharibika sitemorror anataka alipwe pesa ya pikipiki yote

    • @willygraphics360
      @willygraphics360 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂 mtoto wa tandale katisha dah 😂😂😂🙌

    • @willygraphics360
      @willygraphics360 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂 mtoto wa tandale katisha dah 😂😂😂🙌

    • @ibrahimbyaese9148
      @ibrahimbyaese9148 3 роки тому

      We go buy😂

    • @mutshammy743
      @mutshammy743 3 роки тому

      😂🤣🤣🤣

  • @meddychaurembo9037
    @meddychaurembo9037 8 років тому +1

    Ajali Kazini .... Jamaa Kakaza " 😬😬😬

  • @agustimsoma7754
    @agustimsoma7754 8 років тому

    Ebwanaaeeeeee naona bos kammaindi jamaa wa toyo

  • @leongeorge644
    @leongeorge644 8 років тому +4

    That dude that wanted you guys to buy the bike is crazy..WTF!😂😂😂

  • @emmytemba31
    @emmytemba31 8 років тому +4

    huyo dem ndo kasababisha na mawenge yake angetulia hayo yote yasingekuwepo msifanye nalo kazi tena mxwiiiiiiiii limenikwaza

  • @zuhuraali9983
    @zuhuraali9983 8 років тому +2

    duh poleni sanaaa

  • @judithrichard2665
    @judithrichard2665 3 роки тому +1

    Ntajaribu kusema Mambo 2021

  • @DukeOndieki-ms5ur
    @DukeOndieki-ms5ur Рік тому

    Ubayq sasa hakuna button ya kudownload, mm n shabiki wako mkubwa kutoka 254 kenya

  • @Duurhla
    @Duurhla 8 років тому +1

    sheet kweli mdanandaa

  • @seedmbegu4567
    @seedmbegu4567 8 років тому

    oya jamaa analazimisha mununue pkpk, njaa nomaa.

  • @piusmnanka2755
    @piusmnanka2755 5 років тому

    Wasouth wana roho mbaya sana...!

  • @makopamusic
    @makopamusic 4 роки тому +2

    Litakufa jitu

  • @allyjamal6600
    @allyjamal6600 8 років тому

    Harmonize kuliendaje Mukanunua pikipiki au mlibadilisha tu

  • @DukeOndieki-ms5ur
    @DukeOndieki-ms5ur Рік тому

    Mm n shabiki wako mkubwa kutoka 254 kenya

  • @user-tn8sz1ds6d
    @user-tn8sz1ds6d 6 місяців тому

    I love Mambo song 😂😂❤️❤️❤️

  • @saudahmedsaudahmed7074
    @saudahmedsaudahmed7074 8 років тому +2

    wabongo nawampa mkono hhh from kenya

  • @omarmohammed1190
    @omarmohammed1190 8 років тому +3

    Harmonize !!!!!!! mkAlI

  • @munirabdi5827
    @munirabdi5827 8 років тому +2

    @Shetta Ahahaha Jamaa Yuataka Kutuuzia Piki Piki Kwa Lazima 13.28

  • @MohamedAhmed-yn1lx
    @MohamedAhmed-yn1lx 8 років тому +1

    That was a tough experience hahaha good job

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 8 років тому

    Poleni kwa kweli kazi ni ngumu hakuna cha rahisi

  • @jessicamm3171
    @jessicamm3171 5 років тому +1

    😀unajaribu kuimba bass

  • @TeresiahWairimu-ir7rq
    @TeresiahWairimu-ir7rq Рік тому +1

    NATAFUTA COMMENT ZA 2022 😶😶😥😭

  • @starkidtvexclusive
    @starkidtvexclusive Рік тому

    Hapo kwa bik rayvañny kachoka kweli

  • @agustimsoma7754
    @agustimsoma7754 8 років тому +1

    Ipo gud ndug

  • @justinamati6705
    @justinamati6705 6 років тому +1

    Increase your focus diamond

  • @colmanmassawe2830
    @colmanmassawe2830 5 років тому

    Nywele zako zikiwa nyeusi unapendeza lakini ukiweka yale mausenge unakua mbaya kama harmorapa

  • @happygeorge2709
    @happygeorge2709 8 років тому +1

    mwisho cku ikawaje sasa

  • @doyermaziwa6382
    @doyermaziwa6382 8 років тому +2

    dar changamoto nyingi Sanaaa

  • @user-gw5lb9ju5m
    @user-gw5lb9ju5m 10 місяців тому

    Wozaaaaa

  • @sylviakanguhi2439
    @sylviakanguhi2439 8 років тому +1

    thanks habari tushaipata

  • @emmanuelchannel195
    @emmanuelchannel195 8 років тому +2

    kila aliye fanikiwa alipitia vikwazo pale

  • @abdulnurudini8563
    @abdulnurudini8563 8 років тому +1

    Kw hyo jamaa alkua anakaza au co aache hbr zake

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 8 років тому +1

    HAHAHAHA... at 06:50-07:13... BABA KAYLA.... #MY_NEW_RIDE... FANYA BIDII BANA ACHANA NAKUSHOBOKEA WENZIO...KKKKKK

  • @philipmajura7378
    @philipmajura7378 8 років тому +2

    poleni sana

  • @kizanglahypeman5511
    @kizanglahypeman5511 8 років тому +1

    noma sana yapendeza

  • @officialmikella4537
    @officialmikella4537 8 років тому +2

    Awewome piece

  • @paulsantana363
    @paulsantana363 8 років тому

    kweli mwanangu demu anamawenge huyo unaona mpaka kawatia hasara

  • @gemajackson6114
    @gemajackson6114 3 роки тому

    Konde boy jeshiii tembo mbunge

  • @juniorgeorge3658
    @juniorgeorge3658 8 років тому +2

    NICE HARMONIZE

  • @babakecoll8243
    @babakecoll8243 2 роки тому

    I like this song bado

  • @Olivier13334
    @Olivier13334 5 років тому +1

    Man that man so mane

  • @givenpeter9213
    @givenpeter9213 8 років тому +1

    nice one bro

  • @johnmanyika8894
    @johnmanyika8894 8 років тому +1

    bado sana kaza but

  • @dichadazang1
    @dichadazang1 4 роки тому +1

    Broo napenda insipire yako

  • @salimsaid8827
    @salimsaid8827 8 років тому +1

    Iko amazing

  • @samsonhenry3871
    @samsonhenry3871 8 років тому +2

    ahahaha mamba anaelewa ngeli

  • @rabinlacha3701
    @rabinlacha3701 8 років тому +1

    Nice bro...

  • @jashmaida8665
    @jashmaida8665 8 років тому +3

    Hi bor

  • @paulsantana363
    @paulsantana363 8 років тому

    huyo mwenye pikipiki anawakazia kishenzi anajifanya anasema gharama za vifaa kwenye pikipiki yake duu kweli MTU chake anataka alipwe huyo.

  • @dj20international74
    @dj20international74 8 років тому +2

    GOOD

  • @starjay3052
    @starjay3052 4 роки тому

    shetta mzeya

  • @GogoGogo-ts6er
    @GogoGogo-ts6er 8 років тому

    ebuye ebuye
    mmh njaa tupu uyo jamaaa anakaza ile mbaya mda mwingne msifanye kitu cha uhalisi jaman japo ni muhimu ila yanapokuja mambo kama ayo ni shida

    • @aliali189
      @aliali189 8 років тому

      aya lipen pkipk hio

  • @user-zt5dq8ws3f
    @user-zt5dq8ws3f 11 місяців тому

    Yaaph

  • @godfreykalinga3155
    @godfreykalinga3155 8 років тому +1

    hacra ya nn we n baba lea kwa upole motto wako

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 8 років тому +2

    Hahahaha jamaa anahesabu damages eti

  • @anethmichael57
    @anethmichael57 8 років тому +2

    asee kwel mnahangaika even lugha yenyewe imekua ngumu dah.
    u deserve buana cuz mna suffer asee.
    so jamaaa anataka kuwauzia pikipiki kwa lazma.
    duuuuh,

  • @fabicshofficial
    @fabicshofficial Рік тому

    ❤❤

  • @mednejjd1795
    @mednejjd1795 8 років тому

    eeh shetta bila shati aennde mazoezini bana ana tia aibu

  • @mashellemichael4769
    @mashellemichael4769 8 років тому +2

    the dude wants money he keep insist for it.. but diamond had him on locker hahahah...

  • @soevingamoo1656
    @soevingamoo1656 2 роки тому

    Wooooooooooow

  • @wazzirimushi1855
    @wazzirimushi1855 3 роки тому

    Nakubali sn

  • @philipmajura7378
    @philipmajura7378 8 років тому +1

    jamaa analeta janja janja maneno meengi

    • @aliali189
      @aliali189 8 років тому

      domo lipa baba pkipki hio pesa ndefu

    • @philipmajura7378
      @philipmajura7378 8 років тому

      +Ali Ali ela ishalipwa kitambo hawez wakatoka huko bila kulipa

  • @marymamtei2141
    @marymamtei2141 8 років тому +1

    am really sorry