Tanzanian artists are great they support each and that's why they go far unlike Kenya who are ever fighting and seeking unnecessary attention, Big Up Great People
You guys so talented fanyen documentary ya historia ya wcb na historia za wasañii wake na hits zenu kama mond utaanzia simuliz ya kamwambie then itupien utube mpige hela
😊Translation: Ni jinsi gani natamani ningekuwa na uwezo wa kuongea Kiswahili. Muziki wa Diamond Platnumz na Harmonize umenifanya niipende lugha ya Kiswahili. 💘💘 yenyewe
Nafikiri Diamond alikuwa sawa kwa maoni ya kuifanya hii ngoma kiafrika mashariki, Davido kidogo hapa hangeutoa ulivyotoka muruua....Hata Davido ana strength zake pia!
director Kenny kaongea kitu makini sana.. Yani kwa first time nlivockia ngoma nliielewa sanaaaaa kiac kwamba nkaimagine unyama wa mondi kwenye upande WA video, lazma video likitoka litakua laana...ilivotoka first time I was so disappointed,, but we cool now 😎
Baada kuusikiza ujumbe wa Diamond, sijafurahia kabisa. Angekukubali ufanye huu wimbo na Davido. Nyinyi bana mwaishi pamoja, producer wenu angetoa beat nyingine mtengeze wimbo wenu. It was a big Opportunity for you bro. Oliver Kenya
Ni kweli WCB wakufuatanga talents zao siyo cha kuiga ,,coz ukifuata maelezo ya daimond yaani mistali yake hutokana na feelings vyenye zina mtoka kwa akili ...Hicho ni kitu moja kina mfanyanga nyimbo zake zina hit na kupendwa na wengi ....TARENTED GUY 👌👌👌💖💪💪
Tanzanian artists are great they support each and that's why they go far unlike Kenya who are ever fighting and seeking unnecessary attention, Big Up Great People
Mbonge la Ngoma. Nairobi twaicheza kila dakika.
Big up guys🎶🎶🎵🎼🎤
The way I love this song 😭🌹❤️❤️
Miss the two duo for real
You guys so talented fanyen documentary ya historia ya wcb na historia za wasañii wake na hits zenu kama mond utaanzia simuliz ya kamwambie then itupien utube mpige hela
Oh, how I wish I could speak Swahili. Diamond Platnumz and Harmonize musics has made me to fall in love with the language. 💘 💘 it
😊Translation: Ni jinsi gani natamani ningekuwa na uwezo wa kuongea Kiswahili. Muziki wa Diamond Platnumz na Harmonize umenifanya niipende lugha ya Kiswahili. 💘💘 yenyewe
wimbo huu ni nomaa sanaa mmetisha sana wcb zidini kukaza buti lazima waisome namba wakina naniii .WCB FOR LIFE
Nakama nawewe unaangalia hii mwakahuu 2021 gonga liki
one day i might record with you guys. big up
Rayvanny nakupenda bureee. ..ur funny maker ....comedian😂😂😂 Heti nguo za aiyola😂😂😂
Nafikiri Diamond alikuwa sawa kwa maoni ya kuifanya hii ngoma kiafrika mashariki, Davido kidogo hapa hangeutoa ulivyotoka muruua....Hata Davido ana strength zake pia!
Big hug from Namibia
Harmonize X Diamond Kwangwaru moto sana bana +254 niko ndani
kwangwaruuuuu! fire firee 🔥🔥
i always play this song like every day ..bigups guys
director Kenny kaongea kitu makini sana.. Yani kwa first time nlivockia ngoma nliielewa sanaaaaa kiac kwamba nkaimagine unyama wa mondi kwenye upande WA video, lazma video likitoka litakua laana...ilivotoka first time I was so disappointed,, but we cool now 😎
i love the song, Kwangwaru means? Am Ugandan
Ulipendeza sana Wcb
Kenya's national anthem
These guys need a documentary, so interesting. Wakileta Wasafi tv Kenya lazima.
All in all kwa ngwaru is the song of the year
Huku 254 inachezwa kila mahali 👌🏽👌🏽👌🏽
Not on 103.5fm
Monnie Noniot kweli
Awww... Hadinamiss Kenya. Mimi nimeona hii song Leo kwa "the turn up" maisha magic east from Ethiopia
Hellow
nawakubar sana nyimbo imetulia👏👏👏
Niko hapa kucheki Diamond akikaokota 🔥
daaaaaaaaa hatari sana mmetisha xana aseee
Hii imekaa poa sana wcb mko vizuri xana!!!!
ngoma kali sana hiyo mmetisha sana
mmetishaaaaa xanaaa Wasafi Crew Kubwa Tz🔥🔥🔥🔥
Napenda sana hiyo life yenu daah,WCB 4rever and 4always.
Mi mnanifurahisha Sana duuuu yaaan harmonize na Diamond nyie mapacha kwel duuuu umenifurahisha San😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀👉💟
chama la wana WCB ,second to non
what about beat maker producer Lizer? Pongezi Lizer🔥💪
nice guys,niko hpa 2020
hamna ngoma ya boy from tandale na harmonize ambayo si moto big up
naikubali kwangwaru!ngoma kali hii
Tamaa ya kufanya kitu kizuri ni bora davido asingekaa, KWANGWARU ni ya kiswahili na kimtaa Sana iko Poa
the most trending video so far. kudos
Nani kackia cheko la mbosso ahaaaa
This was ,,,,,, so hot
Haijawahi kutokea Bongo haya ni mambo makubwa sana. Bigup WCB.
First viewer from U.S.A
Here
Etii harmo alienda na nguo za aiyola😀😀😀
Niwee fundi wa kuigiza kaa kanumba masanja jotii usiwee mbaliii naami weka like pleese Mr simbaa
1st viewer from 254🔥🔥🔥🔥
"inama inama" love iyo part sana,,
thumbs up...nice song my dears
Minapenda sana music
WcB iko juu kabisa 254 ama vipi
DarkRays photography
nawapenda sana dee & harmonize u all know how to sing
Acha kabisaaaa kwangaruu nooooouma
Harmonize & Mbosso
ngoma iko juuu
HEY WENZANGU HIVI HUYO DEM MWENYE VIATU VYEUSI NA TIGHT DRESS ANAITWA NANI? manze that girl makes me watch this video 1000 times man
Baada kuusikiza ujumbe wa Diamond, sijafurahia kabisa. Angekukubali ufanye huu wimbo na Davido. Nyinyi bana mwaishi pamoja, producer wenu angetoa beat nyingine mtengeze wimbo wenu. It was a big Opportunity for you bro. Oliver Kenya
Rayvany msenge kweli eti anakuja na nguo za Aiyora
Kali snah....fire
Ni kweli WCB wakufuatanga talents zao siyo cha kuiga ,,coz ukifuata maelezo ya daimond yaani mistali yake hutokana na feelings vyenye zina mtoka kwa akili ...Hicho ni kitu moja kina mfanyanga nyimbo zake zina hit na kupendwa na wengi ....TARENTED GUY 👌👌👌💖💪💪
Rose Irungo
Ismail Njuki 😘😘😘
Rose Irungo tnxs
*talented
We rayvany ckupendi kabixa viherehere vingi na kuvaa kwenyewe hujui
The st viewer mgogo from dodoma im tgod tz in instagram
Wale tulio Angalia 2021 gonga like
Hii ngoma Ukiiskiliza sana unaweza hata ukajisahau Badala ya kuvuta OXYGEN ukavuta CARBON....Tuwen makin jamaniiii
hahahahahaha
eustach peter ni Hivi 🔥🔥🔥🔥
Sele Clever Boy TZ safi
Sele Clever Boy TZ hsaaaaa umetisha
Lisa Chaga 🔥🔥🔥
iko vizur sn nimeipend
Kweli wasafi no wakali
HARMONIZE MWELEZE RAYVANNY AWACHIE KAZI😷😷KIMIA SANA
Good job guys don't give up
Stairi ya mavazi pia bado jipange sana usanii unachangia na mavazi .... Gud song
harmonize hii ngoma kali
Balaaaa Tucheki Kutazama VIDEO/MOVIES mpya zoote
I swear hii ngoma Kali saana
Hiyo ndio behind scene kweli 👌
ray vany mpuuzi eti "kaja na nguo za Aiyola" hahahaha
kwagwaru ninzuri sana ilike u much
Kaz kaz.wcb4 life.
me naona Harimonize kila anapotoa wimbo na diamond plutnumz kuna ki2 huwaga kinaongezeka kwa konde boy
Hii ngoma iko dany tu saana
wcb 4rever
kwangwaru ninyimbo kali sana haipiti siku bila kuisiliza
Umetisha Harmonize
True
Safi sana hogera modi na Harm
safi sana wcb haina mpinzani
hahaha Rayvvny comedian kwel et msanii ana nguo za aiyola
First brother @harmonize
Diamond kiswahili sawia ni 'hiki' siyo 'hichi' dah
Makini kamanda
kam unaikubal wcb gonga like twend sawa wcb4life
+254 kinadada wanajilegeza tu wakisikia hii beat..kalii
I Need The Instrumental Songs🥺
Reyvann anavutaga bangi
😀😀😀niko apa nacheka 2021
Jaman hiinyimbo kali cn😀😀😀😀😀
This Song hiz 🔥
Wa kwanza kuweka comment 😂😂😂😂😂😂
more fire Harmonize mr konde boy
Nyimbo ya kwangru in smba voice
Ha!ha!ha! Yani hawa jamaa bwana story zao zimenifurahisha kweli.....
Hehehehehe ati huyu mtoto anaweza nivua nguo
umoja ninguvu mukishirikiana mutafanza makubwa zaidi
So nieeeeeece
Fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥
Woooow✌✌✌✌✌
i like it
Kawaida mzee baba