🔴
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- 🔴#LIVE:SPORTS ARENA NDANI YA WASAFI FM MUDA HUU - OCTOBER 30, 2023
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mnachambua kishabiki mpaka mnapoteza ladha ya uchambuzi mbona feitoto kawaka sana kwasasa ingekua Bado niwa yanga mngekesha hapo mkimchambua? acheni uyanga wenu
WATU KAMA HAMIS KIGWANGALA,ADEN RAGE,SWED NKWABI, MZEE KILOMONI PAMOJA NA MWINA KADUGUDA HAWA MABWANA HUWA SIELEWI NI KWNN WAKO SIMBA NA AWAKO YANGA.. HAWA MABWANA HUWA WANA UONO WA MBALI SAWA NA WATU WA YANGA...
Hilo tukio ni la kulaaniwa na walichokifanya ni zaidi ya ushamba wenyewe
Mashabiki waache ushamba,mpira ni burudani na unajenga urafiki mwema,km mna mambo ya kisasi sio mpirani
Inamaana mabeki wa Simba wanakosa mengi ila beki za hazina kosa hata Moja? Kama ni hivyo magoli yanafungwaje kwenye
Naitakia simba sc ushid sku ya juma mosi
Good
Inamaana mabeki wa Simba wanakosa mengi ila beki za hazina kosa hata Moja? Kama ni hivyo magoli yanafungwaje kwenye lango la yanga?
Simba wana mapungufu mengi tu sema ushindi mwingine marefa wamehusika kwenye mechi mbili ya Prison ,Singida zote mbili hata na Yanga kule Tanga so wenyewe wanajuwa kinachowasaidia ushindi siyo kocha
😂😂😂😂 maskini
Jaman nakusikitia
Unateswa nasimba polee
Bado ujasema
Utasema tu tare5
Na nyie kumbe mna ndoto za kushinda?
Inamaana mabeki wa Simba wanakosa mengi ila beki za hazina kosa hata Moja? Kama ni hivyo magoli yanafungwaje kwenye