Mungu ametuumba sis wanadamu kwa sura na mfano wake akatupendela akatupa uwezo wa kutawala kila kitu ,na alituumba ili sisi tumuabudu Yeye peke yake.shetani alilaaniwa na Mungu akamtupa kuzimu ,Yeye anavita vikubwa Sana na sisi na Yeye Hana kitu Cha kutupa vyote Ni fake na viini macho,sisi hatupatani na hayo mambo ya SHETANI Yeye yupo kwa kututesa sisi ,Mungu Alisha sema mwanaume utakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu na hili neno lake haliwezi kubadirika kamwe,, Tamaa Ni dhambi kubwa sana Sasa binadamu wanakengeuka wanataka kupata Mali bila kutoa jasho matokeo yake wanaenda kwa shetani eti kupata Mali badala ya kufanya kazi na kumuomba Mungu,ndio Maana shetani anawacheka na kuwachezesha viini macho ,na mtakoma sana binadamu mlioweka matumaini yenu kwa shetani badala ya Mwenyezi Mungu.Mungu anatupenda sana sisi wanadamu kuliko mnavofikiri.
Majini mashwtwan wore wanakwato na wanaweza kujıgeuza kuws kıymbe ytte umujuayo dunıan kn sehrm kubea huew umbo la nyoka Huyo Bibi n shetan hakuna cha nusu mtu nusu kwako n alkuwq anakupa elimu tu lkn n shetan huyooo Ww hapo ulkuwa ndan ya ulımwengu wa mshwetwan tu hakuna bındam happ
Mungu ametuumba sis wanadamu kwa sura na mfano wake akatupendela akatupa uwezo wa kutawala kila kitu ,na alituumba ili sisi tumuabudu Yeye peke yake.shetani alilaaniwa na Mungu akamtupa kuzimu ,Yeye anavita vikubwa Sana na sisi na Yeye Hana kitu Cha kutupa vyote Ni fake na viini macho,sisi hatupatani na hayo mambo ya SHETANI Yeye yupo kwa kututesa sisi ,Mungu Alisha sema mwanaume utakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu na hili neno lake haliwezi kubadirika kamwe,, Tamaa Ni dhambi kubwa sana Sasa binadamu wanakengeuka wanataka kupata Mali bila kutoa jasho matokeo yake wanaenda kwa shetani eti kupata Mali badala ya kufanya kazi na kumuomba Mungu,ndio Maana shetani anawacheka na kuwachezesha viini macho ,na mtakoma sana binadamu mlioweka matumaini yenu kwa shetani badala ya Mwenyezi Mungu.Mungu anatupenda sana sisi wanadamu kuliko mnavofikiri.
Wengi hawana uelewa wako haswa WanAwake utasikia
✓ nataka mwanamke mref
Story tamu lakn davista unatucheleweshea
Nihatr wasukuma noma
Jamaa anaeleza vema kama Luanda Magere
Shetani ni mtesi sana 😢
saf sana
The devil is the liar😢
Davista huyu jamaa anataja maeno ya ndugu zangu. Kabisa huko bariadi
Shetani akiamua kukuvuta kwake hubanduki hivi hivi 😢😢
True that y tusiwalaumu awa wasimulizi
2nd
Majini mashwtwan
wore wanakwato
na wanaweza kujıgeuza kuws kıymbe ytte umujuayo dunıan kn sehrm kubea huew umbo la nyoka
Huyo Bibi n shetan hakuna cha nusu mtu nusu kwako n alkuwq anakupa elimu tu lkn n shetan huyooo
Ww hapo ulkuwa ndan ya ulımwengu wa mshwetwan tu hakuna bındam happ
Nimechelewa😂
Bado umewahimo
Wa3 leo nimewahimo
Yan nimauzauza aiseee mwisho wasiku sasa namimi nitakuja kuwa mchawi hahhahahaa😅😅😅
Nimewahimo twende kazi mwana Kenge hakuachi😂😂✌️🔥
Tuna pata majina mengi humu kwa kupitia hiki kipindi😂😂❤
@@msaysha5886😍😍😍😅
Umeona eeeh
👊✌️👍。
Sheitwani 😭😭.! Anakupa mkono wa kushoto anachukuwa mkono wa kulia hapo ni bila bila.😂
3
Tuliliomo kwa davista tuajuamo😂
Next😂😂😂
Shetani nyieee sijui kwann vijana mnatamaaa na pesa za burebure😢😢😢😢
binadamu hatosheki kweli huyu hata akipewa ma milioni kwa dollar hawezi ridhika
Ayo majini nimazuri walikupa nafasi yaku chaguwa wangine Wana toa kafara bila kujuwa
😂😂 machaguo yote hatari