Sema mwana na wewe kichwa ngumu ndo mana ulikuwa unashindwa mambo yaan wewe kila kitu ambacho kinatokea kwako knakuwa fumbo Sasa umeambiwa nguvu ztachukuliwa mtu kayayuka kwako umebaki na fumbo Duuh mwanetu huwezi toboa ktk hzo mishe
Askwambie mtu ndugu yangu! Usiombe! Mzigo ukilala ukiwa ju ya mkeo au mwanamke yoyote! Ni fedheha sana! Hapo ndo mwanaume hata ungekuwa unamiliki mali nyingi kiasi gani! Unajiona huna thamani yoyote kwenye hi dunia, Hata mie iliwahi kunitokea! Acha kabisa!
Davistar hicho kichwa Cha hii simulizi ungeandika mjinga asiejielewa kabisa atafuta utajiri na kuambulia patupu😂😅😂😂
watching from Nairobi Kenya 🇸🇸
Kwani flag ya kenya ilichange?
@@dianangethe7839Ata mi nashangaaa 🤣 kimemulamba
@@jkkim3848 😂😂😂
We are here
Wewe wafurahisha sana yani ufanye upumzi wako tena uanze kusumbua watu
Nimewahimo 😊😊
Huyu jamaa kavurugwa hana ata akili ata moja
Ni kweli ana akili ata moja
Uyu
Kaka ni bwenge sana
Sharti uliyo chaguwa ni iyo alafu tena bado anaangaika kujitafutia kifo
okkk upo sawa
Yan, nmehishaaaaaa
Daaah yaan mwana nakufikiria sikupatii picha we unashangaa wakati unajua kabisa nguvu zitachukuliwa au ndo fumbo kila kitu kwako
""""Mzigo uko sawa""""😂😂😂😂😂😂
Mhh penda penda
Aisee mzigo ulala dorooo😂😂😂😂
""""Mzigo ukazima😅😅😅😅"""
Wasukuma nihatari
👊✌👍.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 interesting, 😂 TZ mausausa , I like to visit your country but naogopa kuona hizo vitu za waganga
Trna kwenu ndo mmezidi mnaogopesha balaaa mtuache wa tz😊
anatafta nini kwa mganga mwingine kwani nguvu zilitoka na akili? 🤔
Waa na imagine huyo mwanamke vile Ali feel mzigo ulivyo zimia
😂Jamaa alikuwa kichwa ngumu nae huyu, yaan anaenda kutafuta dawa ya nguvu wakat akijua washachukua nguvu
Yan nimeshangaa
Ulishangaa Nini mzigo kuzima wakati tayari ulishaambiwa na waarabu wako?
Shida huyu jamaa ni kama chizi yani a
We jamaa hamnazo kweli
Yaan hil taahira linajitoa ufahamu kweli😂😂😂😂
Kwakweli kajua kujitoa fahamu
Nacheka utafikiri mazuri wachawi mna mambo sana😂😂
Twende kazi mtoto wa mwana kenge
😂
😂😂😂
Ibada kuli napafahamu sana jamaa kanikumbusha mbali nguzo nane mwamagunguli maganzo kolandoto bugweto
Sema mwana na wewe kichwa ngumu ndo mana ulikuwa unashindwa mambo yaan wewe kila kitu ambacho kinatokea kwako knakuwa fumbo Sasa umeambiwa nguvu ztachukuliwa mtu kayayuka kwako umebaki na fumbo Duuh mwanetu huwezi toboa ktk hzo mishe
Davista mbona hajatueleza kwamba Pesa alikuwa anapataje?
Sasa mshkaji wangu si bora ufe unatolewa nguvu za kiume??
Nimeshangaa no 18! kila siku wa mia na.!😂
Una bahati. Jitahidi
Uyu si alimsafilisha mke wake kwao imekuaje amemkuta kwake tena au ndio nadhalia
Hata mimi sijaelewa
Kenya 1 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nilidhani mkewe alikuwa amerudi kwao
Part 12 ndipo penye content inayofanana na title ya hii simulizi.
matangazo yanaboa
Na uyu jamaa mwisho wa istoria yake hana Nguvu za kiume😂😂 mzee wa skadi kawa mlemavu
Aiya wee ndio basi tena!
Eti kipunje chaharage😂😂😂😂
Mwanangu mjuzi wakuongea lakini ulikuwa hauna akili
Yaan huyu kiboko kabisaaa
kweli ulikuwa mjingaa
yaaani ulishaambiqa kuwa wanachujua bguvu za kıume halaf ww bası unasgsnga kisha unaangaika wakat uliingia magano mwenyewe
kweli ulikuwq lofaaa sana
Na mbona 99% wanao tafuta Utajiri wa shetani ni vijana.... shetani ana Siri gani na Vijana???
Shule mwalim wake alikuwa na kazi sana Maana kichwa chake ni kigumu kwenye ufaham
Askwambie mtu ndugu yangu! Usiombe! Mzigo ukilala ukiwa ju ya mkeo au mwanamke yoyote! Ni fedheha sana! Hapo ndo mwanaume hata ungekuwa unamiliki mali nyingi kiasi gani! Unajiona huna thamani yoyote kwenye hi dunia, Hata mie iliwahi kunitokea! Acha kabisa!
Hahahahaha
mi nikiwaga na mastress yangu au uchovu Sana mzigo unalalaga tu wakat mwanamke hajaridhika ila nikiwa nimeshiba sina stress wee panachimbika
ila we nae mwehu
Davistar uyo jama yako ulikuwa mpungufu wa akili yeye amesha ongea na babu tume chukuwa nguvu zako
Hatari sana haijielewi watu wa jinsia hiyo sikuizi wapo wengi sana sijui shida ni nini aisee
Vipi kuhusu pesa.
Hiki nacho kichwa ngumu
Ata hizo pesa Auna fraha nazo kama jogoo Apandi mtungi kunafraa apo?😂🇹🇿🇬🇷
Huyu jammaa Kweli zuzu
Alikuwa anachrza na maagano
Wewe ni zuzu pesa za maagano hizo na umesha ambiwa
Mkumbushe huyu jamaa hajatwambia nyumbani kuliendaje baada yake kuhepa wakati alijulikana alimuua mama. Je bado wanamtafuta
Wewe una penda mteremuko upate ela kiura ixi wewe ume ingia maagano na wakala wa lusfa
This guy don't like Please.