@@gloriarush6110 zari had twi kids with a man how foolish can mobeti be thinking if she got pregnant with diamond diamond will marry her?? She is a looser
Yes she is very humble..met her once she has taken her kids to hospital and i had go for check up..i chatted to her and her mum. BOTH very humble mum and daughter and very friendly..ALLAH AWABARIK🙏
@Flash B kwanini wanawake mnaogopa kupambana na wanaume wenu mnaishia kutukana na kulaumu wanawake wenzenu, hawezi kulala na mumeo kama yeye mumeo hajataka au kukubali kulala nae
@@mrs2918 nyie wanawake wengine michepuko mnafanya makusudi kutembea na wanaume ambao mnajua kabisa ana mke nyumbani, hata kama humfahamu mkeo lakini hamjali hata kuwaonea huruma mwanamke mwenzio. Nyie ndo mara nyingine mnakua chanzo ya wao kutukanwa,kupigwa, kufukuzwa kwao, kutelekezwa pamoja na watoto na mbaya zaidi hata kufa. Ndo maana kila siku nasema mambo ya haki za wanawake hazina maana mwisho wa siku tunakua maadui.
@@nightwishisthegreatestband6355 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole kwa kutendwa ila hakuna anaebiwa bila kukubali kuibiwa, mumeo angekusheshimu asingetongoza wala kufata wanawake wanje, kwa muandiko huo tu lazima utendwe unaropoka kama choo kilicho jaa
@Flash B No man is taken by a woman,they are consenting adults!!!!!!.All this hate doesn't block her blessings and I am too busy living a good life to let you influence my opinion of someone you probably haven't met but are jumping on the band wagon to call names.Like she said if you're not relevant in her life you do feature in it.
Flash B relax bro😂😂😂😂😂😂,if we were all judged by our past mistakes we would be dead.unless you know this cel bs personally relax and don't believe so much what you read on social media 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yoote 9/10 Zarii is so matured ulivuruga ndoa yake with the expectation that you would stay na bado ukawachwa I think Karma always hits the right time.
@@chaomoka6956 huyo haellewi zari alimtoa wema so zari hakuwa na ndoa wala mondi hajamuowa napia wote ni mahawarazake watu sijui wanamuogopa zari kwanini wanamtowa cheo cha ndoa kwa mondi wakati hakuolewa
Wewe na nani sisi kenya hatutambui wavunja ndoa ,watu wabinafsi hatuwajui kwani yy nani ,,,karma will always hit the best mmmh Mungu siku zote halali 😂 ulidhani zari na mondi wakiacha ukatua na amani wololo samahani mama
Super woman hamisaa nakupendaa sana dadaaangu ♥️♥️♥️♥️ ila naombaga sana ata one day uniajiri niwe kijana wako wa kazi Nita enjoy sana jmn hamissa usiniache dada anguu ♥️♥️♥️
What's wrong with u hamisa wasikuhusudie mtoto wako,watoto walokataliwa ndo hufanikiwa,take care ur son,Sisi tunampenda, M/MUNGU anampenda toshaaaaaa.we lovu u banaaa.sandra Sandra ovyoooooo
Hamisa bado anamupenda diamond sana nilifata INTERVIEW yake wasafi live yooooo uyu dada roho yake yote iko kwa diamond kama tu mama dangote akifunguwa tu mulango basi hamisa mimba no 6 ,kasema alichika ujauzito 3 wa diamond +daylan njo nne 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@@ashaali7154 sorry wema and Domo were not together, even wema herself said it. Hoebetto can say what she wants, Zari is no longer with Domo and they are cooparenting peacefully. The one who is still suffering is hoebetto his eternal spare tire the hidden side chick.😂😂😂😂😂😂. You people are racist i never saw you attacking Lulu for taking Majizzo from hoebetto, why?
Uliteta sana na zari kwenye mitandao nawale marafiki zako waungada ukaenda juu chini paka zari na mody waka achana ukarudi kwa tanasha wafikiri zari yuwataka salamu zakinafki kama unavyo fanya unafki kwa tanasha
Wewe si ndo ulokwenda kumdangaya zari katika birthday n'a huku unamchukulia mume wako juste imagine ingekua yamekufika wewe ungeona vyema Nani anaweza amini mwanamke kama wewe hâta huyo tanasha akiwa n'a mume mwingine haibidi akusogeze mbele kwani wewe si mtu muaminifu
Sasa wataka je hamisa unataka kwenda kwa mchawi wewe sijui mama tee unamchukia kwanini wewe hamisa wachana na mama tee ni mke wa Diamond ni mungu alipanga wanaendana sanaaaa tunawapenda sanaaaa
Hamisa babe,achana na malimbukeni sanura limbukeni Tu,kwani akimchukiya mtoto wako yeye ni MUNGU??????achana naye roho chafu anakuogopa ndo akakuchukiya🇰🇪001
@Flash B we nae Kwan Huy mond kazawaliwa kwaajili ya mwanamke mmoja kumbuka alikuwa na wema na mwanaume siku zote ana tamaa ht uwe unampa nn atakucheet tu na dada ako au rafikia ako
Hamisa umehongeya vizuri sana watanzania support kilicho chenu Hamisa ni mtanzania mwezetu na tena ni mchapakazi ongera sana mama Lao
Pamoja sana 😘
Na kuvunja manyumba za watu. Some women think getting a child with someone will make him love you?? Hell no
@@itsbetter9039 waah 😩 alivunja nyumba ya nani mko namaneno🤩
@@itsbetter9039 wacha upumbavu... Alivunja nyumba ya nani??
@@gloriarush6110 zari had twi kids with a man how foolish can mobeti be thinking if she got pregnant with diamond diamond will marry her?? She is a looser
Pole sana MISSA Allah yupoo na wewe .atakuhifadhi. duhh mitihani mkubwa you r strong. Kpe it up
Usimtane mungu katika upuzi
She's beautiful mashallah ☺️ polite and mature, I'm officially a fan
Mashaallah hamisa mungu azidi kukupandisha daraja na kuona mbali sanaaaa my love ❤️
Your maturity is of a high level ... you are going places... Amin.... love from Kenya
Mungu akubariki na azidi kukupa,wengine ni wivu wa maendeleo yako mengine yanayopita usijali endeleeni na mahusiano na Tanasha
Lovely lady mashallah. Allah atakupa furaha kwa hayo ulopitta aytakufanyia wepesi ktk maisha yako you deserved happiness.
You are smart I love the fact that you are very confident.... love
Pole hamisa wanadam ndivyo walivyo kubwa mungu tu akufanyie wepesi ktk kazi zako
Yes she is very humble..met her once she has taken her kids to hospital and i had go for check up..i chatted to her and her mum. BOTH very humble mum and daughter and very friendly..ALLAH AWABARIK🙏
Masha Allah so beautiful baby girl we l Love you from Kenya 🙏🙏🔥🔥😘😘😘
Asee kumbe unahekima hivi mami mungu akupe mme mzuri jamani na uwe tajiri mkubwa duniani
very well spoken. hamisa is mature and respectful. Kudos hamisa
Love you dear❤️❤️, you're very polite and humble kip it up🙌🙌
You're so bitter over her not unless you collided with her... nothing else for sure
Interview nzuri saana. I like Hamisa to cool down and very humble 💞
@Flash B kwanini wanawake mnaogopa kupambana na wanaume wenu mnaishia kutukana na kulaumu wanawake wenzenu, hawezi kulala na mumeo kama yeye mumeo hajataka au kukubali kulala nae
@@mrs2918 nyie wanawake wengine michepuko mnafanya makusudi kutembea na wanaume ambao mnajua kabisa ana mke nyumbani, hata kama humfahamu mkeo lakini hamjali hata kuwaonea huruma mwanamke mwenzio. Nyie ndo mara nyingine mnakua chanzo ya wao kutukanwa,kupigwa, kufukuzwa kwao, kutelekezwa pamoja na watoto na mbaya zaidi hata kufa. Ndo maana kila siku nasema mambo ya haki za wanawake hazina maana mwisho wa siku tunakua maadui.
@@nightwishisthegreatestband6355 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole kwa kutendwa ila hakuna anaebiwa bila kukubali kuibiwa, mumeo angekusheshimu asingetongoza wala kufata wanawake wanje, kwa muandiko huo tu lazima utendwe unaropoka kama choo kilicho jaa
@@mrs2918 good answers my dr; a man decides where to be hakuna anae mtoa mme kwa mwanamke
ua-cam.com/video/5ooJCurAKXE/v-deo.html
A positive mature attitude towards life.Wish you success in all your ventures.Love from Chiswick,West London UK.
@Flash B No man is taken by a woman,they are consenting adults!!!!!!.All this hate doesn't block her blessings and I am too busy living a good life to let you influence my opinion of someone you probably haven't met but are jumping on the band wagon to call names.Like she said if you're not relevant in her life you do feature in it.
@@maureenocholla9855 Well said ! Jealousy will kill them while Hamisa is living her life. God bless jelous people.
Flash B relax bro😂😂😂😂😂😂,if we were all judged by our past mistakes we would be dead.unless you know this cel bs personally relax and don't believe so much what you read on social media 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ua-cam.com/video/5ooJCurAKXE/v-deo.html
I like how polite you are my misa Allah aendelee kukulinda na kukuongoza kwenye kila jambo
Katika umoja tunasema Wimbo, siyo Nyimbo.
Hamisa I like your good spirit keep going. God bless your heart.🙏
Mashallah hamisa mungu akuzidishie
Yoote 9/10 Zarii is so matured ulivuruga ndoa yake with the expectation that you would stay na bado ukawachwa I think Karma always hits the right time.
Hahaaa hyo zari na yy alimkuta Wema kwa hvyo Ni kiti cha basi akitoka huyu anaingia hyu
@@chaomoka6956 huyo haellewi zari alimtoa wema so zari hakuwa na ndoa wala mondi hajamuowa napia wote ni mahawarazake watu sijui wanamuogopa zari kwanini wanamtowa cheo cha ndoa kwa mondi wakati hakuolewa
Exactly 😂
Hamisa, i really love your wisdom
Honger sana mom Mungu akupe haj ya moyo wako kipenzi
Strong and maturity level 💕💕💕
Jmn naumia hata mimi kuusu hamisa pole sana mwanamke hapaswi kucheka mwenzie
💪💪 good hamisa una hekima katka kujibu maswali
Kenya twakutambua mamaa❤keep it up maa Dyllan
Wewe na nani sisi kenya hatutambui wavunja ndoa ,watu wabinafsi hatuwajui kwani yy nani ,,,karma will always hit the best mmmh Mungu siku zote halali 😂 ulidhani zari na mondi wakiacha ukatua na amani wololo samahani mama
Oooh my menagemant! Aaaam! So! Yap! And! Yaaah! Waninjieriyaa!,waswahili wapuuzi ndo hawa.
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Go Moberooo🔥🔥🔥Hakuna kufeli
Super woman hamisaa nakupendaa sana dadaaangu ♥️♥️♥️♥️ ila naombaga sana ata one day uniajiri niwe kijana wako wa kazi Nita enjoy sana jmn hamissa usiniache dada anguu ♥️♥️♥️
😚😚Nakupenda Bure Mobeto unajitambua sana.
Upo cool sana mobeto god blessed
She’s strong & Smart xo❤️
Ulezi au mtama wezako wanawatano nawameweza kuwatuza ww wawili tu eti ulezi mtama huwo aaaaa hatali 😝
What's wrong with u hamisa wasikuhusudie mtoto wako,watoto walokataliwa ndo hufanikiwa,take care ur son,Sisi tunampenda, M/MUNGU anampenda toshaaaaaa.we lovu u banaaa.sandra Sandra ovyoooooo
Thanks hamisa team zari love u
Nakupenda sana hamissa acha wakuseme ndio mafanikio yako
Acts mature and knows how to give Answers
Glad u said it acts mature😂
I love 💘 misa ❤❤😘😘
Hamisa got wisdom. 🙌👌
This girl is very prudent, she knows how to answer questions
She's beautiful respectful women much love from south Sudan to USA NY Syracuse 💃👏
Respectful?its abig No.
Umeongea hekima Mungu akufanyie wepesi
Nakupenda wewe dada tafuata nyayo zako ❤❤❤❤❤❤❤❤
Hamisa bado anamupenda diamond sana nilifata INTERVIEW yake wasafi live yooooo uyu dada roho yake yote iko kwa diamond kama tu mama dangote akifunguwa tu mulango basi hamisa mimba no 6 ,kasema alichika ujauzito 3 wa diamond +daylan njo nne 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Anampenda mpka anaumwa ndomaana mpka Leo Yuko singo inamaan nafac ya mond bado yupo moyon naaijapata mtu wakuiziba
@Change Mindset sana 😂😂😂😂😂😂😂 kila siku wote wako single
@@aisha-ro5fr kabisa umeona wote wako single
Hana lolote uyo sura baya
@@hamidangitu227 😂😂😂
Ongera Hamish. Hope hio nje ni my country Kenya
uyu Mama nampendaaaaaaa mimi❤❤ Hamissa ana busara sana hakurupuki anatumia akili San🥰👌👌
Thanks God Zari dumped Domo and she is living a beautiful life far from those people . May God protect her and her kids. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Flash B Even Zari entered into Diamond relationship while Wema was in the picture. Therefore she is not the Saint one as well.
@@ashaali7154 sorry wema and Domo were not together, even wema herself said it. Hoebetto can say what she wants, Zari is no longer with Domo and they are cooparenting peacefully. The one who is still suffering is hoebetto his eternal spare tire the hidden side chick.😂😂😂😂😂😂. You people are racist i never saw you attacking Lulu for taking Majizzo from hoebetto, why?
Who dumped who old woman!Get some life mbwa wewe
@@ashaali7154 May God allow your man to bring other women in your bed AMEN AMEN
ua-cam.com/video/5ooJCurAKXE/v-deo.html
Design
Hamisa uongee Kiswahili tuu mana Kingereza hakikupendii japo unakipenda sanaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
I love hamisa
Hamisa Nakupenda bwana tena sana tu alafu nikikusikiliza tu nanote kitu 😘😍😘😍 bgup Hamisa 💪💪
Mashallah Mashallah Alwah akubarikie sana
Bora hamisa ficha mambo yako usitupiwe urozi na ule mkwe ni hatari sana from oman
Ongea vizur hamisa acha kujifanya mungu unamuuiga zama uongeaj
Nafrah kwa coment nyingi za Tz na njee kumpendezesha Dada huyuu heshima kwake
This is mature of you Hamisa...
Hamisa she is good heart
Fly higher dear mungu akulinde na macho na ndimi za mahasidi..love you ♥️♥️♥️
Beautiful Madam Hero
maneno yako ni mazuri sana mwenyezi mungu akutangulie ktk maisha tako kwani mitihani ndiyo moja ya maisha tambua hilo
Hamissa has matured slot and not laughing anyhowly and giggling.God bless this girl.she has been through so kuch
Uliteta sana na zari kwenye mitandao nawale marafiki zako waungada ukaenda juu chini paka zari na mody waka achana ukarudi kwa tanasha wafikiri zari yuwataka salamu zakinafki kama unavyo fanya unafki kwa tanasha
Kweli kabisa
Huwezi kuweka wazi mana unapenda kuharibu mahusiano ya watu
Songa mbele mama wakuache tena uyo zari nani asichukuliwe wakuche we mzuri sana
Kamchezajji ka akiba diamond hahaha akiachana na dem tu ndo anakatafuta kisha kanaachwa njiapanda akipatikana mwingine hakajifunzi???😂😂😂
I love this woman 😍
Huyu mama mkwe wake awe makini asiingilie mahusiano ya mtoto wake kwa maana nayeye anawatoto wakike tena wanatabia chafu sana
Mwamke mwe busar❤❤
Wewe si ndo ulokwenda kumdangaya zari katika birthday n'a huku unamchukulia mume wako juste imagine ingekua yamekufika wewe ungeona vyema Nani anaweza amini mwanamke kama wewe hâta huyo tanasha akiwa n'a mume mwingine haibidi akusogeze mbele kwani wewe si mtu muaminifu
Wote wadangaji tu kwan Mondi alimuoa zari adi useme kamchukulia mume
@@hawahabibu1379 yes kamuowa n'a atamuowa Mara ya pili
Weeee nae hamisa alikua na diamond kabla ht ya zari Alf acha kusema diamond alikua mume wa zari zari alishawah kuolewa na diamond😏😏walikua natombana tuu sio ndoa
@@itihamuzaharan7316 Hajitambui huyo Chib hajaoa wote walikuwa wanadanga tu kwake na yy akitaka aende akapange foleni Ety amemuaibia Mume Zari aliolewa?
Hamisa you are hard working women
May Allah bless you more than this
Insha Allah Ameen
Nice your speech my love, love you Mama#Dylan, 😘
Maskini anaonyesha anamapezi bado na baba mtoto wake ila hamisa wacha maisha yaendelee
Sasa wataka je hamisa unataka kwenda kwa mchawi wewe sijui mama tee unamchukia kwanini wewe hamisa wachana na mama tee ni mke wa Diamond ni mungu alipanga wanaendana sanaaaa tunawapenda sanaaaa
Mbavu zangu🤣🤣🤣🤣
Hata kuandika hujui🤣🤣🤣🤣🤣
Umeandika kinyume au??
Mama tee basi mbona hakuolewa after kuzaliwa
I think she should be married by him now,na hawangekosana na Diamond hangempiga matukio as he said.
Angel Bwija achana na Hamisa Mobeto, Nenda na Zari wako, ZARI mzee yule unataka kumtupia matapishi Diamond.
Safi.sana umegonga ndipo
Lily Abel • wewe umetesaaaa 😂😂😂
aging is not a sin
achana na unjinga
Unaongea vibaya
Zari it's good
SIJUI KWANINI NAMPENDA HAMISA 😘
I appreciate you hamisa
Finally hamisa 🥰❤️❤️❤️
Hongera hamissa gonga like Kama unaamiin hamisa ni mstarabu na nikapole Ila Mambo tu ya dunia
Love my sister
Missa♥️♥️
Sura inaonesha inamasikitiko jaman mungu akupe wepes
Hata Mimi nimeona hivyo hahaha
🤣🤣🤣🤣
kabisa uzuni kubwa
Huyu dada nimejikuta nampenda bure, yuko straight kabisaaaaa
Very true,she is also polite
kbsa🙌🙌
@Flash B 👌👌👌👌
@Flash B Haters can say anything but she is flying higher now keep on hating guys!
Kabisa
Mature lady
Zanzibar nimesikia mechukua ile mall pale michezan
I like how you blink
Wewe ongelea mambo yako ya mama daimond na daimond Zari hayo waachie wenyewe
Wewe ndo uliingilia mapenzi ya Zarii naa umeachwaa sasa tulia ilee familia imejaaa achaa kujipendekezaa
❤❤❤ I love you commente
Manshaallah missah lop you
Hamisa umejipaka Foundation aja mvua inyeshee uso utashindwa kwenye utajificha🤣🤣🤣🤣🤣compare na mikono yako uone🤣🤣🤣haki kweli zari ni mrembo🤔🤔🤔
I like you amisa
Pole
Huyu dada nimeanza kumpenda
Fanya kazi tu hakuna kinachoshindikana
Ma sha Allah Moyo usokinyongo ni vizuri nnakukubali
Haonyeshi kinyongo lkn anaroga roga sana huyo tununu..
@@mamboyake4520 kuroga ingekuwa inawezekana wote mungeroga basi acheni chuki.
@@ashaali7154 ..sii alipatikana live..kwani ilikuwa ni siri..
@@mamboyake4520 kwani ww ujaroga acheni izo akuna asojua waganga
@@chunaabdullah1333 ..sijawahi..
Ma shall ah misa nakupenda sana
Micha love🇰🇪🇰🇪🇰🇪...fungua huku kenya we will support you
Nakupenda sana Hamisa alafu nataman sana nije niwe kama wewe fashion mkubwa
Ubarikiwe wote
Hamisa babe,achana na malimbukeni sanura limbukeni Tu,kwani akimchukiya mtoto wako yeye ni MUNGU??????achana naye roho chafu anakuogopa ndo akakuchukiya🇰🇪001
mashaallah ❤❤❤🔥🔥🔥👏👏👏
Hamisa nakupenda sana wewe kweli nikioo cha jamii
Nyinyi mafala munao muita hamisa mchawi basi munaroga nae unamjuaje mchawi kama we sio mchawi natena mushindwe mlegee
Right 👏👏
Mbona hata huyo Dai alionekana na hirizi stagini au
@Flash B did she took your huby kindly asking??
@Flash B we nae Kwan Huy mond kazawaliwa kwaajili ya mwanamke mmoja kumbuka alikuwa na wema na mwanaume siku zote ana tamaa ht uwe unampa nn atakucheet tu na dada ako au rafikia ako
@@farahanafarer7588 Wewe ukaenda hadi ukashika ukaconfirm kwamba ni hirizi??We matako Nini??au ndio zile habari za hbwabwa
Yaan Hamisa kuwa Roho nzuri hivi it is a weapon, to their haters!
Wonderful 💖💖💖